"TUMEKUTEGEMEA MTEGO UKIZUNGUMZA UCHAFU WA CHADEMA Utakiona chamoto" MWAMBIGIJA AMUONYA MSIGWA CCM

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 10

  • @AndersonLyandala-du1rt
    @AndersonLyandala-du1rt 3 місяці тому

    Ushauri mzr

  • @festokemibala5832
    @festokemibala5832 3 місяці тому +1

    Hivi huko kwa wwnzetu mtu akihama uwa anawapaka matope aliowahama as if yeye ni mtakatifu? Vipi ktk hili jambo ukiliweka ktk mzani na issue ya Mpina, ipi ni nzito iliyobeba figisu ya kinafiki? Tuache unafiki na siasa zetu njaa!

  • @jafarmlawa9627
    @jafarmlawa9627 3 місяці тому

    Unaogpa Sana. Mwambigije

  • @kasomishedrack5027
    @kasomishedrack5027 3 місяці тому

    Wengi mno wameshahamia ccm kutoka Chadema mpaka makaribu wakuu lakini Chadema bado ipo tu kwa hiyo walaa Chadema haiwezi kufa kwa kuhama mwanachama kiongozi.

  • @DamasAmos-ue2gh
    @DamasAmos-ue2gh 3 місяці тому

    Ubalikiwe mwambigije wewe nikamanda kweli nimekubali

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 3 місяці тому

    Acha kumtishia viongozi wote wa chadema wote walitoka CCM . msimtetee mbowe .Kwani Msingwa nimmoja ametoka wangapi wameingia CCM .Hizo siyo sera tabia zenu ni matusi na lawama .

    • @ezekielkiduge8730
      @ezekielkiduge8730 3 місяці тому +1

      Uchawa ni shida sana sana!!!!

    • @andrewkissava9184
      @andrewkissava9184 3 місяці тому

      Mkondya ni sawa na fisi au kasuku mla mizoga wewe

    • @ladislausriwa7768
      @ladislausriwa7768 3 місяці тому

      Dalili za woga. Kwa nini mnamtisha Msigwa? Mwacheni aseme? Kujibiana kutawafunua zaidi