VUNJA BEI AMWAGA MACHOZI MBELE YA WAZIRI MKUU, WANACHO KIFANYA TRA SIO SAWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 тра 2023

КОМЕНТАРІ • 38

  • @roberttarimo3957
    @roberttarimo3957 День тому +1

    Uko vizuri bro unaweza kutetea wanyonge safi sana

  • @mwarikimwariki2653
    @mwarikimwariki2653 Рік тому +5

    Safi sana vunja bei,.
    Concepts nzuri sana

  • @emmanueldavid9506
    @emmanueldavid9506 5 днів тому +1

    Embu mpeni ajira Vunja bei awasadie anaakili kubwa sana

  • @user-ok6lv3je4b
    @user-ok6lv3je4b 3 дні тому

    Safi sana nchi ikiwa na vijana kama awa kitaeleweka

  • @annabadru2352
    @annabadru2352 Рік тому +4

    Vunjabei uko vzr sana mno Yani weweee kichwa honey

  • @ibrahimpilla2731
    @ibrahimpilla2731 Рік тому +7

    Nmesoma na vunjabei advance alipiga ONE,huyu jamaa ana akili sana

  • @suzanamwangingo2995
    @suzanamwangingo2995 Рік тому +1

    Vunja bei unaongea pointi sana .hongela kaka.wazili mkuu wafanyabiashala wako wanateseka sana.tla hapana

  • @hamisimsosi6237
    @hamisimsosi6237 6 місяців тому +1

    Yaani wewe fred ni mwamba yaani unafunguka vitu vya maana havina hata vairas ya kisiasa hongera fred😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 3 дні тому

    mamalamikoa kila siku na serikali haiskii..jmni kwa kweli sio haki kabisa

  • @Luganoamos-jv5in
    @Luganoamos-jv5in 5 днів тому

    Nilikuwa naye pale chuo hyo jamaa,anafaa kuwa mwenyekiti wa wafanyabiashara safi vunja bei

  • @JosephHewan-qb1uq
    @JosephHewan-qb1uq 3 дні тому

    binamu humeongea vizurisana 🎉❤

  • @hurumalunda2490
    @hurumalunda2490 4 дні тому

    Safii,,na umachinga wa wawekezaji wa kigeni kuharibu mzunguko

  • @hamisimsosi6237
    @hamisimsosi6237 6 місяців тому +3

    Wewe sasa tunakupandisha cheo wewe ni rais wa wafanya biashara 😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @kianda973
    @kianda973 Рік тому +6

    Huyu jamaa ni mwamba

  • @brianlaroya8185
    @brianlaroya8185 Рік тому +1

    Eti vunja bei kamwaga machozi, andika habari ya kweli watu wataangalia tu

  • @user-cs9jj4ds9u
    @user-cs9jj4ds9u 9 місяців тому +1

    Kama unaakili timamu na umekamilika Kila idara utaona tunakoelekea mm naonea huruma vijana na watoto ambao bado Wana umri mwingi wa kuishi kazi ipo ili kusafisha haya yote ni ngumu mizizi hii kuitoa inaitaji lawama na cdhani kama atakaeitoa hiyo mizizi atakaa wapi kwa usalama wake kazi ipo

  • @sabrinayahaya952
    @sabrinayahaya952 Рік тому +1

    Bado utasikia watu kidumu chama cha mapinduzi😂😂😂

  • @Fefetubes
    @Fefetubes Рік тому +2

    Jamaa anaakili hadi anaakili tena

  • @tatoorashedi1787
    @tatoorashedi1787 Рік тому

    C .TRA tu idara zote zimeoza hakuna hata sehem yenyenafuu viongozi tembeleeni kwenye vitengo mjionee wenyewe

  • @vicenttarimo2203
    @vicenttarimo2203 6 днів тому

    Sikujua kama Kuna wafanyabiara wenye akili hivi kumbe baadhi wanawashinda hata walioko madarakani.

  • @bajagihaji8923
    @bajagihaji8923 Рік тому +1

    Kweli elimu ya kulipa kodi ni muhimu kila upande ujitetee kisheria

  • @akberyuda5950
    @akberyuda5950 Рік тому +1

    VUNJA BEI KICHWA SANA

  • @JacksonMwinga
    @JacksonMwinga День тому

    Saf sana

  • @TeamKRX
    @TeamKRX Рік тому

    Wa Tanzania hongereni wakenya munatuona sasa mumetuelimisha sasa watakoma sasa wanaotunyanyasa

  • @eddiemohamed9003
    @eddiemohamed9003 Рік тому

    👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻

  • @emanuelsamson-hq2jv
    @emanuelsamson-hq2jv Рік тому +1

    Vunja beiukosawa nduguyetuu

  • @leahmgunda4154
    @leahmgunda4154 Рік тому

    Mwanzo wa ngoma ni --- - -

  • @sskondopoleani9616
    @sskondopoleani9616 Рік тому

    Alama ya Kengerre

  • @joisejimmy750
    @joisejimmy750 Рік тому

    Mwiguru aende burundi

  • @ramsonmpulule6264
    @ramsonmpulule6264 5 місяців тому

    Kichwa xana

  • @nkwabidonald4277
    @nkwabidonald4277 4 години тому

    Mh

  • @Fefetubes
    @Fefetubes Рік тому

    Genius

  • @mnolamanyendi4956
    @mnolamanyendi4956 Рік тому

    Ccm nnchi imewashinda waondoke

  • @BoniphasLukas
    @BoniphasLukas 5 днів тому +2

    Chalamila lipo tu linasikiliza naujinga wake

    • @user-ky5wu4gc9g
      @user-ky5wu4gc9g 4 дні тому

      Hadi nimecheka tena lipo tu limetumbua mimacho hapo haelewi chochote!

    • @monicamwita7865
      @monicamwita7865 2 дні тому

      Linashangaa shanhaa tu. Sup umemshuka kutokea maneno take.