HAKI HAIPATIKANI KWA MAOMBI, HAKI INAPATIKANA KWA KUDAI.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 31

  • @ezekielemanuel2910
    @ezekielemanuel2910 Місяць тому

    Bwana Joseph… ninatamani kujua ulisoma chuo gani na ulisoma nini na una kiwango gani cha elimu pia historia yako kwa ujumla ikoje. Asante sana.

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe Рік тому +2

    Kazi nzuri sana mawazo mapana sana sema kisauti cha uchokonozi punguzeni kukitumia

    • @wachokonozi_
      @wachokonozi_  Рік тому

      Marekebisho yanafanyika chap tuko pamoja.

    • @Ndaizee
      @Ndaizee 2 місяці тому

      @@wachokonozi_safi kwa kukubali kushauriwa

  • @Malikiabdalla-r2l
    @Malikiabdalla-r2l 8 днів тому

    Xema kak unajua

  • @ElishaAbeli-o4j
    @ElishaAbeli-o4j 3 місяці тому +1

    Huk kenya katika musafala wao wakudai hak huo musafala haudaihaki ukiangalia huo musafal niwawt walio shindwa maisha nawez wakiwem kwao wamepata upenyo wakuiba kila anachokiona mbele yak hiv sio kudaikweli hak huo niupambav nawizit

  • @jumafox-mu1dd
    @jumafox-mu1dd 5 місяців тому +1

    Navutiwa sana mijadala yenu inanipa kitu kipya kwenye ubongo natamani sana na mimi nipate nafasi ya kukutana na nyinyi maana ninamengi ya kuchangia juu ya 🌍 Africa

  • @OmarySaliboko
    @OmarySaliboko 15 днів тому

    Toa mafunzo ya komfuu mimi sielewi hata ufanyeje nataka comfuu

  • @georgenazi9325
    @georgenazi9325 Рік тому +2

    Wachokonoziiiiiiii

  • @g-abbastechnology1818
    @g-abbastechnology1818 Рік тому +1

    mmetisha

    • @wachokonozi_
      @wachokonozi_  Рік тому +1

      Pamoja sana! Wastue na wengine...

    • @g-abbastechnology1818
      @g-abbastechnology1818 Рік тому

      @@wachokonozi_ nawashtua izi ndo mambo. zangu napenda tengeneza vitu mzee

  • @MrDonriz
    @MrDonriz 3 місяці тому +2

    Historia ya Ramani ya mwanzo ya kabla yakubadilisha neno Africa tulikuwa tunaita Afra tafuta original Ramani kabla ya hili tulioletewa.

    • @MrDonriz
      @MrDonriz 3 місяці тому +1

      Ukienda kwa hao wadini dini baada yakuingiza dini wao waliita hivi soma kidogo Alkebulan
      The ancient name of Africa was Alkebulan. Alkebu-lan “mother of mankind” or “garden of Eden”.” Alkebulan is the oldest and the only word of indigenous origin. It was used by the Moors, Nubians, Numidians, Khart-Haddans (Carthagenians), and Ethiopians.

  • @TradingPHD
    @TradingPHD 3 місяці тому +1

    Wekenya wali kusikia vizuri 😂😂😂👍🏾👍🏾

  • @NuruSalum-k1c
    @NuruSalum-k1c 5 місяців тому

    Nawaelewa

  • @SAMISAI.
    @SAMISAI. Рік тому +1

    Icho kisauti kitoeni tupate elimu nzuri jamaa namkubali endeleeni kutuletea madini mmepata subscriber

    • @wachokonozi_
      @wachokonozi_  Рік тому

      Marekebisho yanafanyika chap. Tuko pamoja.

  • @NgaizaKimbeNgaizakimbe
    @NgaizaKimbeNgaizakimbe 8 місяців тому

    Tukoo Pamoja...Thailand..

  • @sureboyofficial6473
    @sureboyofficial6473 5 місяців тому +1

    TUNACHOKIWEZA KWANZA KUONDOA NI HIZI DINI TUNAZIWEZA NA CHANZO NI SISI WENYEWE , TUTUMIE MAJINA YETU KAMA WAAFRIKA

  • @JaneJaph
    @JaneJaph 2 місяці тому

    hivi mtu anavoomba mpaka wanasema ananena kwa lugha hii imekaaje

  • @AnaniaAnania-lk3ek
    @AnaniaAnania-lk3ek 2 місяці тому

    Nawapata wazee "acn

  • @sureboyofficial6473
    @sureboyofficial6473 5 місяців тому

    VIONGOZI WAKIPUUZI SANA TUNAO AFRIKA UKIMTOA MAGUFULI NA NYERERE , MAANA HAO NDIO PEKEE WALIOKUWA NA UTHUBUTU WAKUMSEMEA MUAFRIKA KWAMBA ANATAKIWA KUSHIRIKI KIMAENDELEO NA KUTOA MISAADA ,NAKUMBUKA #MAGUFULI ALISEMA SISI SIO MASIKINI

  • @Abeidjuma1241
    @Abeidjuma1241 21 день тому

    Tuko na wewe mchochezi ni kwanini waaafrica🤣

  • @MisheckSiame-si1yo
    @MisheckSiame-si1yo Рік тому +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @sureboyofficial6473
    @sureboyofficial6473 5 місяців тому

    KBS WAAFRIKA TUJITAMBUE TU TUTATOKEA TU

  • @sir.kibuka1320
    @sir.kibuka1320 Рік тому +1

    Maana ya neno AFRIKA
    The Egyptian word Afru-ika, meaning “Motherland”
    The Greek word aphrike, meaning “without cold”; and the Latin word aprica, meaning “sunny.”
    Kwa asilimia kubwa hali ya hewa ya JOTO ya AFRIKA ndio ilizaa jina AFRIKA/AFRICA
    "BARA LA JOTO"

  • @aggreyyonna5925
    @aggreyyonna5925 Рік тому +1

    Icho kisauti kinacho tokea kwenye mazungumzo cha wachokonozi kinatuchanganya