D VOICE ALIVYOMPANDISHA LAVALAVA STEJINI, WAIMBA WIMBO WAO MPYA 'TURUDIANE'
Вставка
- Опубліковано 15 лис 2023
- D VOICE ALIVYOMPANDISHA LAVALAVA STEJINI, WAIMBA WIMBO WAO MPYA 'TURUDIANE'
www.youtube.com/@Wasafi_Media...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - Розваги
Huyu lavalava kwenye melody hizi hana mpinzani🙌
Nuff respect kwake lavalava my favourite artist
Naukubalii Sana huu wimboo ❤
Lavalava nyoko kwa nyimbo hizi..yaani kapost instar nimekuja fasta kuangalia uku..yaani lavalava anasauti bwanaa mimi shabiki yke klk wote wbcb..nyotaaaaaa😢
Kama mimi😅😅😅😅😅
My favourite, please lavalava hizi ndio nyimbo zako.
Lavalava ana sauti❤❤❤nampendaaa
Ila lava lava BADO utazid kuwa msanii wangu fundi Kweli Kweli sema ndio hvyo tu but unajuaaaaaa
Yes lava lava basi tu utoto mwingi ila ana Sauti
@@nckcharlez978hahaha kumbe anUtotoee
Hajitumi tu
Jamaa anajua sanaa
Huwa naomba apate heartbreak nipate wimbo,,,,big up kwa mrembo alokufanyia hili,now we have great big in town.....
😂😂😂😂😂
Lavalava 🔥🔥🔥🔥🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿
Nakubali sana Msanii Wangu Lavalava
Collabo zote hii ndo imeweza....na ndo itachukua trend no:1
lava lava anaandika aseeee jamaa anajua sana ❤
Yamoto sanaaaaaa 🔥 🔥 🔥
🔥🔥🔥🔥🔥💯
Kwenye hizi kazi lava lava ana balaa😂😂😂😂😂❤❤❤
Lavalava❤❤❤🎉🎉🎉
Hiii chemistry nimeielewa sana🎉
Lavalava ur the best all the time
Kikubwa someni mikataba vizuri maaana sio baaadae mnataka kutoka mnaaaza kumuona mondi mbaya sasa hivi njaaaa unayo baaadae njaaa ikiiisha usilalamike
Sema Lava lava hana nyota ila ni 🔥🔥🔥🔥
Sn yn anajuwa balaa
@@nishaabdula5015 Hakika
Labd abadili jina man mambo hay yanaenda na jina man kam jina lilikukataa mtihani hutoboi
❤ respectful to Lavalavaaasa,,,,
Kama ni Kali ni Kali ❤
Lava lava 🙌🙌
Lava On 🔥
Lavalava anakwamia wapi
Mbona mkali sana
Lavalava ❤❤❤
BIN SIMBA SULTAN: I like to see HOME Tanzania wasanii wanapata fursa kama hizi
Nice 😮😮 job
🔥🔥
Lava lava❤❤
Waaooooooo nice
YES YES KAZI KAZI WANANGU TEMEKE OYEEEEEE
Duh🙌🙌🙌
Lava lava❤❤❤❤❤❤
Kuna jamaa nmeona anatoka machozi aky aky hii song iko poa sana❤❤
Lava lave🎉🎉🎉🎉🎉
lavalava umemfunika Aiisee mimi na kukubali unaimba vizuri sana karibu ngara kwetu k g r #
❤❤❤
Wa nne hapa from USA
Kwaio???
Kazi kubwa
💎💎💎💎
❤❤
Dah
Nakubali sana
❤❤❤❤❤
lava lava ana uwezo mkubwa sana
lava lava 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Uyu lava lava mamaeee apana kwakwelii khaaaaaaa
Jamaa Bado anaogopa kutumbuiza live mziki wa singeli unataka Kashi Kashi umepoa d voice
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Msanii mrefu kuliko wote WCB
😂😂😂😂😂
😅😅😅😅😅😅
Mrefu na mdogo
Kwanin wasingempeleka akacheze kikapu?
@@bennylove6021😂😂😂😂
Ntakuw wameisho kumwelewa huyo d voice naon kiatu hakimtoshi kuwa wcb kwa mtazamo wangu mdogo naon dogo bado maan wapi wakali sanaaa sass huyu hata kwa B2k anasubir sanaaaa
Let's go guys✊
Mmh,kawimbo kamootooo
dogo anajua sikiliza kwanza alivotulia
Lava lava napenda music wako bro
Lava bait unajua sana
Lavalava kapata mrefu zaidi yake
Bado mnakazi ya kutudhihirishia uwezo wa huyu dogo kwa hapo kwenye live sijamskia vizur
Kabisa bado hana moto hataaa
We uyu anajua sema apo kelele nying nyimbo alixoimba apo angeimba zake anajua sn uwa namfatilia sn
Sawa ngoja tumpe muda tuone uwezo wake labda atafika kwa stone boy
UNYAMA
Ingependeza huu jamaa angekuwa Raper
Lava lava mukali wa izi vitu
Makin sana huna baya brother 😂
D voic, huko uliko ingia kuwa Makin sana maana wenzio wako teyar kwa lolote siunaonaa mazav ya boss wako
Dogo ushatoboa mpaka kuwa hapo we ni fundi na maisha tayar
Ni mrefu
But lava na D, voice wako na same voice
Nihihelewa hingoma
Lava lava ulipendeza acha masiala.
Lava lava unajua mbk unakera
Lavalava unakunywa soda gan ndugu
Lavaa hatari 😢
Lavalava kaimba kama anatambulishwa yeye
Au ndo kukomesha kipaji cha mtu
😅😅
Dagote hauja kosea heshima ziende kwako
Kwaiyo uyo ndo mshikaji wake
Diamond umeyatimba kusaini D voice hana sifaa za kuwa msanii wa wcb huyo mtoto wa uswahili atakusubua sanaa
Lava huna mpinzani kwenye hizi melody
D voice hajui kufanya live parfoms kwa stage,,,,na mondi hapo kapata hasara pesa aloiwekeza kala wachui..😂😂😂
Lavalava fundi mkuuu
Mini konde geng ilakwalalava nimevua mpaka na ndala
Lavalava wangu fundi kabisa sijui unakwama wapi unajua sana we mbwa 😅😅😅😅
VIPAJI
Anaundugu na saidi juma makapu ?
mnyama lava lava hajawahi kufeli
Nyimbo mzur sana🎉🎉
Yn lava lava anaimba jmn
Wange mchukua aslay mara kumi huyu mi sija mkubali
Namheshimu lavalava, sasa yeye ndio tegemeo wasafi, after mboso kuanza kuimba uchafu tupu
Hasaraa nyingine
DOGO UNAJUA ILA ULIINGIA KWENYE MFUMO WA YANGA UKAPIGWA 5 KWA 1 KAMA SIMBA LAVA LAVAAAAAAAAAAA🎉
Naona kuna madem wapo kwenye mawindo daa maisha aya
😂😂 wako kwenye mawindo siyo
@@agnesjohn9382 we nawe usicheke sana Wenyewe wataskia
Kumpata kama Harmo, ni mtihan sana. Yule mjamaa anaimba bana. Anyway hongera kwa WCB
😅😅 hawawezi
Kabisa
Issue sio kumpata harmonize issue kuendelea kuwatoa wasanii wachanga kwenye levo walizokuwa nazo kwenda kwenye nafasi nyingin
Bit
Uyo dogo fundi... Yaani nilijuwa kama xi D voice bhac mczo morfani
D voice uko poa
Uyu aezi fikia Ibra
Uliskia wap😂
Ibra ndio Nani...
Hamna kitu apo
Dogo kaya ingia kweny copy ya lava lava ndio ngoma zake
Rudi tufunike kombe mwanaharamu apite
Hapa WCB wamebugi msanii mwenye nyota ni FOUNDER Tz wangemchukua doogo