Magoli | SAMAKIBA 2-3 FEIBUI | Mechi ya Hisani | Nifuate Zanzibar 15/06/2024

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 лют 2025
  • Tazama magoli yote matano na penati aliyokosa Alikiba katika mchezo wa hisani, Team FEIBUI ikiitandika Team SAMAKIBA mabao 3-2 kwenye Dimba la Amaan Complex, Zanzibar.
    Magoli ya FEIBUI (Fesal Salum Feitoto na Abdulaziz Makame) yamefungwa na Feisal Salum, Ibrahim Ahmada Hilika, na Dismas Novatus huku magoli ya SAMAKIBA (Mbwana Samatta na Alikiba) yakifungwa na Kelvin John 'Mbappe' na Mbwana Samatta.
    Dakika ya 24, Team SAMAKIBA walipata penati lakini Alikiba alikosa....

КОМЕНТАРІ • 62

  • @mbaruksaid5775
    @mbaruksaid5775 7 місяців тому +4

    Hongereni kwa wandaaaji mchezo mzuri Sanaa👏👏👏👏

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 7 місяців тому +3

    Mchezo ilikuwa wa kistarabu sana, hongera waandaaji ❤

  • @marosproduction01
    @marosproduction01 7 місяців тому +2

    Samakiba Foundation

  • @SulmanAliy-wp8zq
    @SulmanAliy-wp8zq 7 місяців тому +4

    Team fei

  • @peacestone6764
    @peacestone6764 7 місяців тому +2

    mtangazaji ni🔥💯

    • @Tanzania_ni_yetu
      @Tanzania_ni_yetu 7 місяців тому

      Charles hirrarry wa BBC ni hatari sana😃

    • @AtwifMabrouk
      @AtwifMabrouk 7 місяців тому

      😂😂😂😂 Nimecheka Kwa SAUTI

    • @ahmedhillary6067
      @ahmedhillary6067 7 місяців тому

      Huyo ni Ahmed Hillary 😅 ​@@Tanzania_ni_yetu

  • @levygasper7438
    @levygasper7438 7 місяців тому +3

    Mpila umeisha sijamuona alikiba akishika mpila vizuli 😂😂😂

  • @elibarikikivuyo5946
    @elibarikikivuyo5946 7 місяців тому

    Buruuudani safi sana

  • @isackobadiah484
    @isackobadiah484 7 місяців тому +1

    Mnazingua, Hamuonyeshi Vizurii

  • @covertv8081
    @covertv8081 7 місяців тому +5

    Leo mm wa Kwanzaa nipeni maua yangu

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 7 місяців тому +3

    Dah fei straika

  • @Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k
    @Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k 7 місяців тому +15

    Mbona kama nimemuon mukoko tonombe jmn ila kamerazenu zimezingua😢

    • @AtwifMabrouk
      @AtwifMabrouk 7 місяців тому +1

      Ndio alikuepo

    • @DavidMido
      @DavidMido 7 місяців тому +1

      Mukoko yeye

    • @japhetgoliama
      @japhetgoliama 7 місяців тому +1

      Mukoko anaenda kosti ya tanga

    • @celvinrobert7972
      @celvinrobert7972 7 місяців тому +1

      Awa wananzingua Kinoma Yn siku ya Derby au Finals ndio wanajitahidi kuweka Camera Zaidi Ya 1 unprofessional things kbs wanaboa

    • @alexnomba
      @alexnomba 7 місяців тому +1

      Yupo bongo uyo

  • @fatmaathumani7116
    @fatmaathumani7116 7 місяців тому +2

    😂😂ila kibaka kauza gemu

  • @tariknassoraucho5814
    @tariknassoraucho5814 7 місяців тому +1

    Kiba alipokosa Penalty Fei na Nova walivuogeuka na kucheka 😂

  • @SuleAmber-lw2tx
    @SuleAmber-lw2tx 7 місяців тому

    KingKiba aache ubishoo umetuangusha 😢

  • @sullehtz9327
    @sullehtz9327 7 місяців тому

    What a match 🙌

  • @tariknassoraucho5814
    @tariknassoraucho5814 7 місяців тому

    Kwaio kipindi cha kwanza cup10 Kiba Cha 2 ni Samatta

  • @upepobeka6877
    @upepobeka6877 7 місяців тому +1

    Ticha tomombe au macho yng

  • @stn4873
    @stn4873 7 місяців тому

    Namuona hapo MUKOKO TONOMBE

  • @mbaruksaid5775
    @mbaruksaid5775 7 місяців тому

    Alikiba anatumia left kumbee

    • @Gainoz27
      @Gainoz27 7 місяців тому +1

      Anatumia kulia ila alitaka kufung kisuperStar

  • @WeChooseYou1
    @WeChooseYou1 7 місяців тому +3

    Kiba 😂

  • @OmaO-rd9cx
    @OmaO-rd9cx 7 місяців тому

    Bola hata ningedaka mm kuliko huyo juma kaseja

  • @RajabuHamza-hs9kn
    @RajabuHamza-hs9kn 7 місяців тому

    Mukoko😮😮😮😮😮

  • @junglemovies2623
    @junglemovies2623 7 місяців тому

    Mukoko TEACHER

  • @stn4873
    @stn4873 7 місяців тому +1

    Hivi huyu ali kiba mnasemaga ni mchezaji😂😂😂😂😂😂

    • @st.jamese.r6941
      @st.jamese.r6941 7 місяців тому +1

      Ndio mchezaj, alwah kuchezea Coastal union ya Tanga na akawa anakiwasha tu 😢

    • @decent_pd2692
      @decent_pd2692 7 місяців тому +1

      Kisa kakosa penalty??? Hata alivyoipiga tu unajua ni mchezaji....

    • @stn4873
      @stn4873 7 місяців тому

      Sio kukosa penati, sijawahi ona ufundi wowote kutoka kwake...embu Utakeni radhi mpira nyinyi🤣🤣🤣

    • @stevekasawala2315
      @stevekasawala2315 7 місяців тому +1

      Mpira unahitaji mazoezi sana sio hivyo unavyofikiria

    • @KomboBafah-rx1rh
      @KomboBafah-rx1rh 7 місяців тому

      ​@@st.jamese.r6941 hajawahi kuchezaa hata huko coastal union

  • @amirlehao8945
    @amirlehao8945 7 місяців тому

    Sauti ya mtangazaji kama charles Hillary

  • @DavalsonMarlony
    @DavalsonMarlony 7 місяців тому +1

    kba kakznguwa bhn

  • @josephdamas3647
    @josephdamas3647 7 місяців тому

    huyu kelvin john ni yupi ?

    • @machaizephrine3505
      @machaizephrine3505 7 місяців тому +2

      Nimchezaji wa kitanzatia. Alikuwa anachezea Genk saahivi amesajiliwa Aab ya Denmark.

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 7 місяців тому +1

      Mtoto Wa mzee John

    • @AtwifMabrouk
      @AtwifMabrouk 7 місяців тому +1

      Yule alokua anaitwa M'BAPE

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 7 місяців тому

      @@AtwifMabrouk mwambie ni w mtoto 2 Wa mzee John... Akina mbappe wapo kibao ... Kuna mbappe wa congo, Kuna mbappe wa mwananyamala hata yombo vituka yupo mbappe pia .....

    • @dangomc_official
      @dangomc_official 7 місяців тому

      pakome

  • @davidsika5292
    @davidsika5292 7 місяців тому +1

    😅😅😅😅 kibamiaaaa

  • @SimomNgumbi
    @SimomNgumbi 7 місяців тому

    Mokok

  • @jaffjeff6912
    @jaffjeff6912 7 місяців тому

    Tonombee Mukoko

  • @davidsika5292
    @davidsika5292 7 місяців тому

    Mziki hajui hata mpira hajui😂😂😂