HII NI NJIA NYEPESI YA KUMJUA MTU ANAEKUROGA (MCHAWI WAKO) FATA UTARATIBU HUU BY Skh Yusufu Diwani

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 90

  • @tamashavictorine7190
    @tamashavictorine7190 Рік тому +1

    Acheni kusema mengi sana

  • @walkingspringsab-wi9vb
    @walkingspringsab-wi9vb 7 місяців тому

    Subhanala ,njia maalum ya kutoa ,kuharibu uchawi wa kifungo cha umalaya ni ipo . shukran

  • @joyjoysi3389
    @joyjoysi3389 Рік тому +1

    Tatizo mnaelezea sana adi mnatoka kwenye mada

  • @nibiziasiya-gh3qd
    @nibiziasiya-gh3qd Рік тому +1

    Mimi nipo oman , yote yamesha nikuta sheikh , nipo apa naishi na sihri sheitwan kwenye muwili toka mwaka wa 2020, shukran jazaka Allah kheir.

  • @usushjsjsj1699
    @usushjsjsj1699 2 роки тому +2

    Mariam Mohamed
    Ma shaa Allah Ma Sheikh Allah awahifadhi na awazidishie umri 2zidi kusaidika nakuelimika In shaa Allah

  • @AbdallahMpemba
    @AbdallahMpemba Рік тому +2

    Allah akunusuruni nyinyi waongo sana ktk kila nyanja acheni shirki.

  • @HamisBwenya
    @HamisBwenya Рік тому

    Mungu akulinde Sheikh Yussufu Diwani.

  • @halimaalimwamajeni6291
    @halimaalimwamajeni6291 2 роки тому +1

    Mashaallah jzka Allah kheri masheikh wetu

  • @thomasremmymassawemassawer6586

    Mashaallah!🤲🏾 nakini nakua na huzuni juu ya mashekhe tunao waendea kuhitajia msaada juu ya matatizo yanayo tukabil wanahitajia pesa nying na si swadaka kama ilivyo kawaida nami natambua twamuomba mungu kwa karama alio kujalia wewe na si mimi kiukwel ina huzunisha maana tunae muomba m/mungu ana weza pokea dua au asipokee hii imekaaje?

    • @goldbizzo4527
      @goldbizzo4527 Рік тому

      Bana maelezo ni mengi Sana nimechika kuskiliza kwaher

  • @universitylink
    @universitylink 2 роки тому +1

    الهم ارنى فى الرايتى او فى المنمى الرا تبين فيها علتي وسببها و علجها

  • @Fatuma-e4e
    @Fatuma-e4e 2 місяці тому

    Shukran Yusuf

  • @GodfreyMabojala
    @GodfreyMabojala Рік тому

    Maerezo mengi sana

  • @AshaShaffih-ou8wq
    @AshaShaffih-ou8wq Рік тому +1

    Wanaboaa yani wanasema kwa kujivuta maneno story nyingiii yani ilo lengo ata likifikiw tuhoi waskilizaj

  • @ZawadfredyLaurence-qh5pd
    @ZawadfredyLaurence-qh5pd Рік тому

    Naomba kwa kiswili Dua iyo

  • @bausiwessaomar983
    @bausiwessaomar983 Рік тому

    Asalam aleykum,ipo katika suna hii swala bila Tahiyatu

  • @mwanakuumsumbi-em1yl
    @mwanakuumsumbi-em1yl Рік тому

    Shehke mungu akulipe

  • @Mariam-lj8fz
    @Mariam-lj8fz Рік тому

    Jazakallahu khayr mashekhe wetu

  • @ayushsaeed1051
    @ayushsaeed1051 2 роки тому +1

    Shukran umenicundisha kitu 😭😭😭🙏

  • @pillyshemsanga4676
    @pillyshemsanga4676 2 роки тому

    Salam. Maleku shehe. Tunamshukuru. Sana

  • @bashirabdullah1234
    @bashirabdullah1234 2 роки тому +2

    ما شاءالله

  • @kingofart2999
    @kingofart2999 Рік тому +16

    Punguzeni maelezo mengi yatawafanya fans wenu kuruka chanel yenu jitahidini kwenda kwenda kwenye point.

  • @OmanOman-nz2bg
    @OmanOman-nz2bg Рік тому

    Asante sana

  • @HassanLastman-hh9sw
    @HassanLastman-hh9sw Рік тому

    Shekh Yusuf naomba mnisaidie me nilikua keleva sana adi hali yangu ikaharibika sina elimu kwa sasa kila mtalum wte nmeenda kuna wanafunzi wenzangu wamenionea alfu mama mwingne akanieka uchawi nataka kujua hawa watoto na ugo mama nitafanya aje ndio nijua majina zao

  • @mwanakuumsumbi-em1yl
    @mwanakuumsumbi-em1yl Рік тому

    Mashaalwaa

  • @sheilamsabaha5465
    @sheilamsabaha5465 2 роки тому

    Mashaalah unaweza kuniandikia shekhe

    • @shimafuad6868
      @shimafuad6868 Рік тому +1

      ALLAHUMMA ARNI FIY MANA MI RUUYAN TUBAYYINU FIY AILLATI WASABABAHA WAILA JAHA

    • @mwanaimajumaa
      @mwanaimajumaa Рік тому

      Shehe asante tuandikie kwa maneno vizurr hiyo dua

  • @nkurunzizaabdul-aziz7211
    @nkurunzizaabdul-aziz7211 4 місяці тому

    Asalam alaikum warahmatullah wabarakatuh tunaomba mtuelekeze iyo Aya iko kwenye sura gana Nani Aya yangapi

  • @mkmwayama4534
    @mkmwayama4534 2 роки тому

    Jazakallakheir

  • @MaisalaKastori
    @MaisalaKastori 24 дні тому

    Asalam aleykum,ndugu yangu inasadikika amerogwa na anaumwa afanyeje ? Napatikana Kigoma (Mosh Said)

  • @adammaulid2356
    @adammaulid2356 Рік тому +1

    Kumbe kin ibnu Qayyim munamfahamu eeeh lkn kw kichunga manufaa yenu

  • @kibalibibiaicha2627
    @kibalibibiaicha2627 Рік тому

    Incha Allah

  • @neemafredrck-kn4wl
    @neemafredrck-kn4wl Рік тому +1

    Maelezo mengi kuhusu mada ,hali ngum mnatumalizia mb ,muwe mnaingia kwenye somo usika maelezo yanakuwa mengi jamani

  • @isack6099
    @isack6099 2 роки тому

    Masha Allah..jazzakallahu kheri mashekh wetu Allah awafanyie wepesi ktk kila hatua ya kutoa dawa. Nimewakubali sana

  • @mwanakuumsumbi-em1yl
    @mwanakuumsumbi-em1yl Рік тому

    Yakuona mchawi

  • @thomassamwel4953
    @thomassamwel4953 3 місяці тому

    Shekhe naomba namba yakko

  • @zahraalbaloochi2841
    @zahraalbaloochi2841 16 днів тому

    Wee Tapeli mkubwa lipa hakh za watu kwanza usikae ukijisifu hapo!!!

  • @zahraalbaloochi2841
    @zahraalbaloochi2841 22 дні тому

    Huyu jamani tapeli mkubwaa hana lolote kutafuta kik mitandaoni

  • @malkiajijous1520
    @malkiajijous1520 2 роки тому +1

    Wa aleykum msalam warahma tulahi wabarakatuh
    Shukran

  • @Mikarmusic-eb7vy
    @Mikarmusic-eb7vy Рік тому

    Km hyu mtu hajui hyo dua kuisoma inakuwaje

    • @salumkhamis8547
      @salumkhamis8547 6 днів тому

      Nenda kasome usikae tu hujui, watu wabaya hawachoki na wanatumia mpaka pesa

  • @abdulwahabmiraji4209
    @abdulwahabmiraji4209 2 роки тому

    Mashallah

  • @NasibuNasoro-ew3vw
    @NasibuNasoro-ew3vw Рік тому

    Nakama haujui kuyataja kwa kiarabu vp utasemaje kwa kiswaili maana wengine erim hatuja soma vp nifundishe mimi nina maguum sana maana dariri zote ulizo zisema ninazo kiukweli nimelongwa tafahdari shekhe nipe erimu hiyo ishaallaah pia nisaidie number ya ccm

  • @mwanakuumsumbi-em1yl
    @mwanakuumsumbi-em1yl Рік тому

    Tuaandikiee hiyo duwaa

  • @raymondmwandamila2675
    @raymondmwandamila2675 Рік тому

    Unapatikana wapi?

  • @suheilahsuheilah4968
    @suheilahsuheilah4968 2 роки тому +1

    Mashallah mashaallah tabarakallah

  • @oliveryhagite6822
    @oliveryhagite6822 Рік тому

    Sisi wote SI waslam, wasiowailamu watafanyaje

    • @salumkhamis8547
      @salumkhamis8547 6 днів тому

      WAISLAMU TUNATAKUWA LAZIMA TUISOME DINI MBONA NYIMBO TUNAZIJUA

  • @athumanikhamisi3377
    @athumanikhamisi3377 2 роки тому

    جزاكم الله خيرا

  • @blacknature3691
    @blacknature3691 Рік тому

    Husomi tahiyatu?

  • @mussamatondo-w3h
    @mussamatondo-w3h 2 місяці тому

    Tatizo kuna muda mnaongea vitu vya kugombanisha watu,mfano unakuta mtu sijui nikupe dawa ya kumroga mwanaume au mwanamke arudi,ivi mnajua tatizo waliloachana,au unataka wasababishe matatizo mengine,

  • @ramangedzo9055
    @ramangedzo9055 2 роки тому

    Mashallah tabarakaallah whatapp namba tafadhali sheikh

  • @fatumakalombo392
    @fatumakalombo392 Рік тому

    Ila hiyo sigda mbona ni mda mrefu sana? Inawezekana kweli si utachokea mswalani?

  • @sheilamsabaha5465
    @sheilamsabaha5465 2 роки тому

    Shkhe Asante kama ujui Quran unasemaje

    • @salumkhamis8547
      @salumkhamis8547 6 днів тому

      NENDA KASOME SIO SUALA LA KUMUULIZA HILO MUISLAM ANATAKIWA LAZIMA AISOME DINI YAKE

  • @hydoJohn
    @hydoJohn Рік тому

    Maneno mengi ni dalili za kutojihamini

  • @kilimilekilimile6446
    @kilimilekilimile6446 Рік тому

    Kote nimeweza shida hapo kwenye Dua tu.

  • @anndaniel4055
    @anndaniel4055 Рік тому +1

    Na sisi atujui kuomba hivyo, tuombe aji , please

  • @MarthaLungwa-sr4er
    @MarthaLungwa-sr4er 5 місяців тому

    Sasa sisi ambao sio waislamu tunafanyaje

  • @alimatambwe3402
    @alimatambwe3402 2 роки тому

    Asalamwalaikum pls unaweza kuniandikia pls🙏🙏

  • @mamysarah7071
    @mamysarah7071 2 роки тому +1

    Asww.ugumu.unakuja.apokwenye.sijida

  • @MiriamHarrison-zk2gr
    @MiriamHarrison-zk2gr Рік тому

    Je..utatusaidije..tusio waislam na naitaji kufanya Dua iyo??

  • @ZoroSharifu
    @ZoroSharifu 5 місяців тому

    Hakikw

  • @fatumakalombo392
    @fatumakalombo392 Рік тому

    Mbu watakung'ata hadi utachemka

    • @saloomidd1084
      @saloomidd1084 4 місяці тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @FrankNgajilo-ip3zq
    @FrankNgajilo-ip3zq Рік тому

    Mara 1000 hahahahahah

  • @zuwenahamoud6690
    @zuwenahamoud6690 10 місяців тому

    hakuna anaeweza nara 1000 katika sijda.

  • @abdirahman7321
    @abdirahman7321 Рік тому

    Assalam'Alaikum. Jazakallahu Kheiran...tafsiri ya hiyo dua tafadh'dhal???

  • @ruhembuzakasigwa9392
    @ruhembuzakasigwa9392 2 роки тому

    Ndugu sasa kama,mutu simuslamu,atafanya 'ninikwasomo,hili

  • @shimafuad6868
    @shimafuad6868 Рік тому

    Huyo nyuma mbona anasali anatikisika sana kama anacheza? Akaa? 😲

  • @alhajjanabi1298
    @alhajjanabi1298 2 роки тому

    A.Aleikum
    NAMBA ya What's app

  • @assaneanliassane4680
    @assaneanliassane4680 Рік тому

    Wakati uko sijda unayisoma iyo dua mara elfu moja unahisabuje unaweza ukasahau isabu kwaiyi inakuaje?

    • @blacknature3691
      @blacknature3691 Рік тому

      Mi ata sijafahamu na ukiwauliza hawajibu hakuna faida kuwafatilia hawa

  • @jannyjoy2217
    @jannyjoy2217 Рік тому +2

    Too much tooking

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu 2 роки тому

    المعروف المشاكل، نصف العااج

  • @khadijamshamu760
    @khadijamshamu760 2 роки тому

    Asalam aleykum.sheikhe kwa kiswahili inafaa

  • @AhmedMohamed-un4zh
    @AhmedMohamed-un4zh 2 роки тому

    لا حول ولا قوة إلا بالله
    حاطب ليل
    كذب وافتراء
    أنسيت (( الأصل في العبادة توقيفية ))

  • @kingofart2999
    @kingofart2999 Рік тому +7

    Punguzeni maelezo mengi yatawafanya fans wenu kuruka chanel yenu jitahidini kwenda kwenda kwenye point.

    • @WardaIsmail-rj5gm
      @WardaIsmail-rj5gm 7 місяців тому

      Ebu jieshimu wewe miziki mnasikiliza mwanzo mwisho kama kustahamili mwanzo hadi mwisho bora uwache kukomenti nonsense

  • @fatumakalombo392
    @fatumakalombo392 Рік тому

    Mbu watakung'ata hadi utachemka