Miaka yote kwenye game lakini bado hautulii mbele ya Camera, unashika shika pua muda wote, mara macho, nyele, mikono shingoni n.k HII HAIJAKAA SAWA mzee baba. Nadhani ni ishara ya kutojiamini, yaani una hofu na wewe mwenyewe. Mavoko wewe ni mkubwa sana, hebu jiamini you are greater than you. Think.
WE sam akili yako haina akili kwa kua ulikuwepo wakati wanaichukua nyota yake au una bwatuka tu unashindwa kuogea ya kwa ko unafatilia ya wenzio ka mtoto wa kike bwana acha ushoga wee
Mavoko unachekesha sana VIWAZI milioni moja anaitafuta wiki zima alafu unataka kumiliki lebo kaka maa kwanza uandae vitu vizuli kulupuka uone
Sema huyu jamaaa Ana Mambo meng sanaaa lakin anajua Sana Kaz zake big up
Daaah really amazing i feel fantastic to see you back best artist my favorite artist #i really appreciate you Rich mavoko💪💪💪
Lichi wew nimtu wapekee huna skendo zakijinga ngoma zako nazielew San huna dharau maisha marefu kwako
Mavoko big lion
Bro wasafi walichukua nyota yako but before ulikuwa star japo still unaimba poa tu, in short nakukubali
Kweli kabisa, angebaki kama aslay ata kwa sai mbosso akiondoka wcb story yake itaisha ivo
Bro kidogo tew wee ndo ungekua boss wa diamondi,,,,kama cjaksea pinga like tukipita,,,
Kwani pua inauma
Ni mshikaji 1 anayejitambua, nini anakifanya, kwanza hajicki wala hana skendo za kijinga ni mtu yupo cool sn, namkubali 👍🤝✌
Nice🔥🔥🔥🔥
Mzee miwani vip hukijalibishia cku unainunua?
Big up bro be a one army like you are now
hmmm kushika ndani ya puwa, na anaonekana sura imezeeka sijuwi ni kwa mawazo ao 😏
Matangazo mengi sana wazee yaan Kama tupo kweny TV
Mavoko miwani iko kombo darling
Mungu ndie mwenye uwezo endelea kumuamini tu binaadam hawataweza yeye akipenda ufike popote utafika na kiupita
Mbona rich hautulii shida Nini dogo?
Bangi
🤣
Love you mavo🇰🇪🇰🇪
Kawaida sana
Kwel
Nakubal kaz broe
Nice
Mavoko yuajitambua
UBSCRIBE TO MKOI MEDIA (KWA MOVIE ZOTE ZILIZOTAFSIRIWA)
ua-cam.com/channels/FPxdpSX-EaZlUIVx-DB8xA.html
Uyu jamaa atakua ameanza kusnif madawa
Huyu jamaa sipendagi kuangalia interview zake kwa sababu ya hizo pigo za kuchezea pua muda wote
, 😀😀😀👍
Bro tunakukubali sana ila wachana napua uki shika shika inakera. Kiroho safi sivizuri mbele ya watu
Ata me sijapenda but inakaa ana homa mwelewe tu
Ana sniff uyu
Miaka yote kwenye game lakini bado hautulii mbele ya Camera, unashika shika pua muda wote, mara macho, nyele, mikono shingoni n.k HII HAIJAKAA SAWA mzee baba.
Nadhani ni ishara ya kutojiamini, yaani una hofu na wewe mwenyewe.
Mavoko wewe ni mkubwa sana, hebu jiamini you are greater than you. Think.
Kaka kweli umesema.
Rich jamani mwili umepunguaaaa unakaa mwenye stress
Sula Kam Bata
Kaumbwa na mnyezi mungu, uzuri wa roho ndo Mungu anaangalia bali sio sura
Rudi brother
Reporter ni Zahir?
WE sam akili yako haina akili kwa kua ulikuwepo wakati wanaichukua nyota yake au una bwatuka tu unashindwa kuogea ya kwa ko unafatilia ya wenzio ka mtoto wa kike bwana acha ushoga wee
Rich mavoko ni msanii mkubwa
utaweza
Kinyamwez
Lyk u mavoko
😂😂😂uyu ni nani
Sasa nyie kila mtu anadai rich hatulii kwenye 📷 kwan yeye sanamu au ananyolewa achen upimbi nyie