VITA KALI YA MANENO STEVE MWEUSI NI MCHAWI SHAFII BRAND ADAI MSEMO WA KULA TU KUOGA AAAH

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 чер 2024
  • Our mission is to bring people together,entertain and educate people that's why we create content that does exactly that

КОМЕНТАРІ • 95

  • @AlexJumanne-ls5gm
    @AlexJumanne-ls5gm 16 днів тому +7

    Kuiba misemo ya watu tu kutunga wako Aaaaah 😅😅😅

  • @user-mg8jn4pc6n
    @user-mg8jn4pc6n 9 днів тому +3

    Steve simuogop ndionini. We shafii unatafta kiki ujulikane

  • @bernakajoro2656
    @bernakajoro2656 3 дні тому

    Ukitaka kujifunza usiogope kujifunza kwa watu,big up Steve anakuonea gere

  • @user-dy9tg3bp4w
    @user-dy9tg3bp4w 16 днів тому +1

    Tukiagalia comedian mwenye misemo mikali ambayo ipo mjini adi sasa ni ndaro tu 🔥🔥

  • @micoyotham
    @micoyotham 6 днів тому

    shafff achaa wengee sitivuu ni jineass piaa nimkubwaa wakoo kikazii

  • @mwamba27tv
    @mwamba27tv 17 днів тому +3

    Msemo sio kupendwa shida aliyepresent ndo tunamkubaliii

  • @newprecious5487
    @newprecious5487 16 днів тому +6

    Yaan wewe Mara Nimemwambia Steve mwezi wa kwanza wakat Anatoka Kushoot Mara nimepot mwezi wa nne Mara nimemuachia now wasema Uwez kubali Kesho mwaenda mahamaniiii acheni Kiki mashavuuuu

    • @IdarousPossy
      @IdarousPossy 10 днів тому

      Hiv umesoma kwel wee?mbona hujui kuandika kabisa yan kabisa hujui kuandika ulichokiongea hata akielewek

    • @Perfect-migomigo
      @Perfect-migomigo 10 днів тому +1

      Yeah Kweli kbs hajuwi kuandika😂😂​@@IdarousPossy

    • @IdarousPossy
      @IdarousPossy 10 днів тому

      @@Perfect-migomigo hahahahh

  • @mwamba27tv
    @mwamba27tv 17 днів тому +4

    Kwenye crip ganii ulianza bhana achaa uongoo wewe fanya kazii ufanikiwe steve kakuzidi vingapi bhana

  • @Khamisame-k4l
    @Khamisame-k4l 10 днів тому +1

    Hili shafii kama jing dume steven humuwez wewe💪💪

  • @saumunassor1507
    @saumunassor1507 9 днів тому +1

    Wacha shobo,, au mikazo ziro humpati steve hata ufanyeje umbea tu kufanya yako aaaaah!😂😂😂😂

  • @KANUMBAMASINDE
    @KANUMBAMASINDE 16 днів тому +4

    ACHA IZO WEWE TAFTA NJIA NYINGINE YA KUTOKEA STIVE ANA AIDIA NYINGI SANA AWEZ KUKUIBIA WEWE AIDIA

    • @MdUsman-nz6sd
      @MdUsman-nz6sd 10 днів тому

      Ebwana kwanza shafii hafanani na huo msemo kabisa

    • @JackyTarimo
      @JackyTarimo День тому

      Msemo wa stivu

  • @ErickWambura-dv1if
    @ErickWambura-dv1if 9 днів тому

    Acha usenge wewe shafii kumamae tafuta hela Acha kumchungamia mfalme wako stiv ndo baba enu ko mnabidi mumueshim huyo ni baba ako najua unatafuta Kiki mbwa ww stiv mweusi is our hero and we ❤❤ him..

  • @MasokaSakina
    @MasokaSakina 16 днів тому +2

    Shafii Brand wewe bado mtoto kwa Steven mweusi tulia

  • @user-kq1gn8zi8x
    @user-kq1gn8zi8x 17 днів тому +2

    Wabongo tufanye kaz tuaacheni marumbano

  • @EstherDismas
    @EstherDismas 7 днів тому

    Hata Mimi nakumbuka mama alikuwa ananiambia ko hiyo na wewe umeniiga Kwa umri nakuzaa utanilipa shaffff

  • @User7700
    @User7700 12 днів тому +1

    Kugombania msemo tuu kuunda mwingine aaaah😅

  • @KANUMBAMASINDE
    @KANUMBAMASINDE 16 днів тому +2

    SASA KAMA JANWALI MBONA ATUKUUSIKIA KWAKO TUMEUSIKIA KWA STIVE AYA SAWA NI WAKO LAKIN USICHOKIJUA AIDIA UA ZINATOKANA NA WATU NDIO LAKIN JE STIVE ASINGE UFANYA UO MSEMO KUJULIJKANA TUNGEUJUA DOGO ACHA UJINGA KWANZA STIVE KAKUSAIDIA SIJUA BILA STIVE SAIVE UNGETUA UNATUMIA KIKI GANI MSHUKURU

  • @User7700
    @User7700 12 днів тому +1

    Msemo ni wa SHAFI BLAND jamaniiiiiiii uyo steve mzee ni mwizi tuu eleweni ilooo😢

  • @chandeyusufu9570
    @chandeyusufu9570 5 днів тому

    Shafii mshamba tu

  • @Msumi74
    @Msumi74 13 днів тому

    Uyooo jamaa ni chizi analilia misemo kwaiyo mungu yye ndio amempa maneno uyooo safiii ni chokoooo

  • @user-gy9jv1vr7i
    @user-gy9jv1vr7i 3 дні тому

    Shafii acha kiki

  • @Krmogking_b1uh
    @Krmogking_b1uh 16 днів тому +2

    kuiba misemo ya watu pumbavu

  • @shedrackshaibu1986
    @shedrackshaibu1986 10 днів тому +1

    Kwahiyo watu wote wa buza ni hamnazo maana unavosema buzaa inaonekana wanaoish watu wasojielewa pls tuachie buza yetu

  • @EdiAboolo
    @EdiAboolo 15 днів тому +1

    SHAFII WEWE NIWA KIKE KILA SIKU UNAJISEMESHA KWENYE TV

  • @user-xw4be3dl5u
    @user-xw4be3dl5u 6 днів тому

    Wewe kuma tuu umfikii stv

  • @OlgaChirezi-qt1pg
    @OlgaChirezi-qt1pg 13 днів тому

    Achana na mweusi wew that guy is a memory

  • @user-zk1sc8fi5p
    @user-zk1sc8fi5p 9 днів тому

    Wewe shafi ujinga 2 kuimba aaaaaaaah 😂😂😂😂eti asifike mshamba nn Wewe mwehu umeshindwa kubali broo 😂😂😂lkin pole 😅😅

  • @AlexanderMairo
    @AlexanderMairo 9 днів тому

    Dahaaa shafii nilikuwa nakuamini Ila umezgua Sana dahaaa ujafanya pw Kaka unamchafua stive mbn Hana baya

  • @EstherDismas
    @EstherDismas 7 днів тому

    Mara umemwachia mara utapanda mahakamanu eleweka bac

  • @user-vv2jy6gx6n
    @user-vv2jy6gx6n 9 днів тому

    Mwaka 1989 mama aliwahi kunambia nacheza tu kuogaa aaahh,wewe shafii ulikuepo mwaka huo au ujinga unakusumbua kwo umeiba msemo wa mama

  • @PauloLusasi
    @PauloLusasi 12 днів тому

    Mbona unamsema mwezio ww kama hujafanikowa kubali😅🎉😂😂❤❤

  • @fatumahaji4998
    @fatumahaji4998 9 днів тому

    Uo msemo niwakwangu mim shafii iyo misemo imeongelewa toka miaka iliopta😅

  • @Mariam-k2e
    @Mariam-k2e 8 днів тому

    acha zakoo we msemo wako ni Mchaw mkubwaaa😂😂😂😅

  • @silassebastian229
    @silassebastian229 10 днів тому

    Shafii mjinga ww usiwatishe wasanii wetu mbwa wewe

  • @totobest6913
    @totobest6913 10 днів тому

    Wewe jinga umshinde stivu

  • @Mariam-k2e
    @Mariam-k2e 8 днів тому

    Koma kbisa mchawi mkubwa we 😂😂😂😂😂

  • @MayilaHaruna
    @MayilaHaruna 8 днів тому

    Kusemasematuu kuoga aaah! We shafi pimbi stive ni mkali na ww pambana kivyako

  • @rithajerome1070
    @rithajerome1070 12 днів тому

    Ww humuwez Steve Kwa lolote mwenzio amejipata wivu tu kuoga aaaah

  • @MapishiKujifunza
    @MapishiKujifunza 10 днів тому

    Stev aliishiwa kwel alikuwa ata achekeshi sana kipindi hich

  • @MdUsman-nz6sd
    @MdUsman-nz6sd 10 днів тому

    Stivu nisikilize dogo hajui ngumi huyo na ndio maana pale uwanjan alirusha ngumi kwa vile kaona watetezi wapo mbona hajaja77 mchumba tu huyo mweusi endeleza fani achana na mweupe uyo

  • @nyereremkama3845
    @nyereremkama3845 16 днів тому +1

    Acha zako wewe Steve mweusi humuwezi

  • @user-mc2dp1rj9d
    @user-mc2dp1rj9d 7 днів тому

    Ww nimbwa wa stv kakimya shezi ww

  • @SmartVicenzo
    @SmartVicenzo 16 днів тому

    Acha ujinga wew

  • @nmasare9364
    @nmasare9364 16 днів тому +2

    Haya tufanye huo msemo ni wako alaf ndo unamzidi Steve nini

    • @fbensony
      @fbensony 10 днів тому

      😂😂😂😂😂

  • @IbrahimAli-nr3qz
    @IbrahimAli-nr3qz 16 днів тому

    Msemo wa stivu bhana wako aaah

  • @DEEMANDIZZOH10
    @DEEMANDIZZOH10 15 днів тому +1

    huyu jamaa ashaanza kuchanganyikiwa sio bure yan anavyoongea utasema mtu

  • @TemboTembo-l4g
    @TemboTembo-l4g 9 днів тому

    ww hebu ongea ukwel bx acha kudanganya

  • @KANUMBAMASINDE
    @KANUMBAMASINDE 16 днів тому +1

    SAWA TUFANYE NI WAKO KO WE UNATAKAJE SASA

  • @roberttarimo4956
    @roberttarimo4956 16 днів тому

    Acha maneno fanyakazi, umiza kichwa achajungu njoo na msemo mwingine sasa kama hujanahatisha

  • @jimmycool1495
    @jimmycool1495 8 днів тому

    unaweza ukawa unaongea ukweli lakini umechelewa wacha tu

  • @Farisrashidi
    @Farisrashidi 14 днів тому

    Uyo muong bwan steve ndo wake ww hujuw bwan

  • @MdUsman-nz6sd
    @MdUsman-nz6sd 10 днів тому

    Wewe mwili tu huo ngumi huwezi wewe mbona hujaenda 77

  • @ELKANAMUSTO
    @ELKANAMUSTO 10 днів тому

    Wivu aaah

  • @totobest6913
    @totobest6913 10 днів тому

    Muongo mkubwa

  • @DishaniDisha-zm2gm
    @DishaniDisha-zm2gm 16 днів тому

    Achaa unafki bro.

  • @MaryWayuuwa
    @MaryWayuuwa 9 днів тому

    😂😂😂😂mmi niko hapo kwa wembamba wa kurongwa 😂😂wenye matatizo sio sisi wakenya wachokozi kweli ssa Daro nae ukonde wake umekua wa kurongwa surely 😂😂😂😂😂😂

  • @bmpiscoboy5674
    @bmpiscoboy5674 5 днів тому

    wewe ni nani sasa? usitafute jina kupitiya Steve 🇨🇩

  • @KANUMBAMASINDE
    @KANUMBAMASINDE 16 днів тому

    KWELI WATU WAKIKUAMIN WATAOTEA ASE

  • @totobest6913
    @totobest6913 10 днів тому

    Muongo wataka kutaka kiki huna lolote

  • @NaimaHamad-dv1ji
    @NaimaHamad-dv1ji 16 днів тому

    Ebu wacha ujinga ww huna lolote kujigamba tu😏😏😏😏

  • @user-pp9mp1pz9f
    @user-pp9mp1pz9f 10 днів тому

    Ana wivu huyu jamaa

  • @sultanjames9395
    @sultanjames9395 16 днів тому

    We hujielewei, kwa hiyo wa buza ndio hawajielewi.

  • @godwinkileo7702
    @godwinkileo7702 7 днів тому

    Acha ushamba wewe huna ubunifu, umefeli kwenye game, angalia kàzi zako na zake zipi bora

  • @ElizabethShandrack
    @ElizabethShandrack 8 днів тому

    Wew muone minywele ulikua wap kutoa wimbo wako

  • @LudovickSilas
    @LudovickSilas 11 днів тому

    Ww ndio kichaaa mashamba ww

  • @coolbwoy7183
    @coolbwoy7183 10 днів тому

    Hamna kitu humu

  • @Marombe32
    @Marombe32 14 днів тому +1

    Mbona Tanzania 🇹🇿 muna nishangaza,, kisa musemwa thu ??
    Mbona sisi 🇨🇩 🇨🇩 Congo DRC tuna ibiayana misemwa tu mingi lakini hatu post ??

  • @user-wu4eq1tv4h
    @user-wu4eq1tv4h 11 днів тому

    Upumbavu tu

  • @FilbertHabashi-zn1qu
    @FilbertHabashi-zn1qu 17 днів тому

    Kwa hyo una maanisha tunaokaa buza tuna shida gan,,,, msenge kweli wwe...

  • @FelixVirtumino-yf6xu
    @FelixVirtumino-yf6xu 16 днів тому

    😅😂😂🤫🤫🤫

  • @AyishaOman-cw4xs
    @AyishaOman-cw4xs 9 днів тому

    😅😅😅😅

  • @user-wu4eq1tv4h
    @user-wu4eq1tv4h 11 днів тому

    Mbna ww ndo kama mzee

  • @festusbokoro1615
    @festusbokoro1615 16 днів тому

    Wakuandame wwe Kwa lipi mbwa wwe

  • @HilarioCosta-up6kc
    @HilarioCosta-up6kc 12 днів тому

    Umeiba wewe kaka

  • @ChiliHelman-yv4re
    @ChiliHelman-yv4re 9 днів тому

    Msijui kwaujinga wenu kunakitu mnaongeza wenye akili wanatoka wejinga wenzenu ndomtakuwa nawo

  • @mansoorburuhan6791
    @mansoorburuhan6791 11 днів тому

    shafii acha mambo ya ajabu Akina diamond wamecopy mambo mangapi na wakasemwa ...? mara ndaro karogwa mara nn pelekeshaga uko mshenzi, uko unanin cha ajabu sasa...... tafuta content na sio kuwasema wenzio utaaibika..... mbwa wew😅😅

  • @festusbokoro1615
    @festusbokoro1615 16 днів тому

    Wwe ni mbwa tu Kuna clip za Steve za kwaka Jana na aliongea huo msemo wwe uko na laana

  • @bitangaabwe3441
    @bitangaabwe3441 14 днів тому

    Mdomo wewe huna lolote

  • @jafarinauma6798
    @jafarinauma6798 10 днів тому

    Kuwa na akili wewe bwege usitengeneze bifu na watu wote wa Buza huna akili kabisa jitahidi kujua jinsi ya kuongea katika media

  • @user-wl8fg8ne1f
    @user-wl8fg8ne1f 16 днів тому

    Acha ushamba msemo wa Steve mweusi

  • @JamlickKiogora
    @JamlickKiogora 14 днів тому +1

    Huyu jamaa akona shinda, Steve Mweusi ni baba yao aseme ni pesa tuh anataka,ata ikiwa msemo ni wake ndio nini ? Tulia wewe ni mtoto mdogo sana

  • @user-so9uu4gk6w
    @user-so9uu4gk6w 10 днів тому

    Wabongo Muna penda Kiki video p**** Guy wabongo NI wajinga 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @User7700
    @User7700 12 днів тому

    Msemo ni wa SHAFI BLAND jamaniiiiiiii uyo steve mzee ni mwizi tuu eleweni ilooo😢

  • @LinuslusianLinuslusian
    @LinuslusianLinuslusian 7 днів тому

    Wewe kaza tu dogo utafika tu