HARMONIZE: DIAMOND, JIBEBE INA BALAA/ SIO UFAHARI, WANAMSEMA VIBAYA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 сер 2018
  • LIVE: LISTENING PARTY BARNABA - GOLD ALBUM SEA CLIF HOTEL
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 82

  • @asallymbwego5906
    @asallymbwego5906 6 років тому +93

    Wanaokubalina na mm kuwa Harmonize ni msanii mwenye busara sn gonga like nyingi HP.

  • @simbachafosa6880
    @simbachafosa6880 6 років тому +16

    Kuambatana na watu sio ufahari,bali kusaport na kuwasaidia pia unaoshirikiana nao. Moyo wakipekee sana. Nimekuelewa dogo, Mungu akusaidie usaidie wengine wengi.

  • @mwinyimkuumwimbe8235
    @mwinyimkuumwimbe8235 6 років тому +14

    Jamaa wapekee sn kwn n wasanii wachache wanaowakubal wasanii wenzao na kukubali kujua nyimbo zk na kuziimba. Mungu akuongezee niggaz pamoja na WCB 4life chama la wan wana

  • @yahyamohamed3805
    @yahyamohamed3805 6 років тому +29

    Uyu jamaa anatembea na madini mwilin...!!!! Duuuhhh!!! Co poa

  • @saidahj2543
    @saidahj2543 6 років тому +22

    Napenda harmonize ana utu na heshima

  • @mansurmohamed5752
    @mansurmohamed5752 5 років тому

    Safi sanaaa Harmonize. Mungu akuzidishie hvyo hvyo.

  • @bamidelle88
    @bamidelle88 5 років тому +1

    Kondeee booooy nakupenda sana

  • @hashimumtamike3607
    @hashimumtamike3607 5 років тому

    Safi sana mdogo wangu busala zako na hekma zina fanya ss kaka zako tuzidi kkpenda

  • @yusuphomarypenza8683
    @yusuphomarypenza8683 5 років тому

    Unafanya vzr sana konde boy.

  • @gegomnete4199
    @gegomnete4199 6 років тому +4

    _Nimesoma Comment zote ziko blessed_
    😂😂😂🙌🙌🙌

  • @karimuabdallah4501
    @karimuabdallah4501 6 років тому

    nice ....representer from southern zone......hngra homeboy

  • @sudymalema2796
    @sudymalema2796 6 років тому

    Sitaili Moja ya nywele duuuu Mzee baba

  • @dockaridk
    @dockaridk 6 років тому +3

    Hey yo man... We believe in you harmonize and you're going far your song atarudi is mwa! Believe in you.

  • @sheguaofficial603
    @sheguaofficial603 6 років тому +12

    NOMA GONGA LIKE HAPA

    • @nickomlumbetz5326
      @nickomlumbetz5326 6 років тому

      Shegua Official Nakubal mze baba Aha ha ha ha ha ha ha ha ha!!!!atare

  • @brightonvalentino9024
    @brightonvalentino9024 6 років тому +7

    HARMONIZE
    HAMU WA MAPENZY MWISHO WA SIKU ANAITWAA
    KUDE BOY

  • @bobomsafi7450
    @bobomsafi7450 5 років тому

    WCB4LYF BIG UP BARANABA CLASSIC🔥

  • @thomastairo2021
    @thomastairo2021 6 років тому +1

    💪 si umeona balaa

  • @mpozymkoma7827
    @mpozymkoma7827 6 років тому +3

    OG zote

  • @nanaleetz
    @nanaleetz 6 років тому +3

    unapenda kumuiga maneno ety "sio kwamba tunajua sana" hehehehehe mamaeeeeeeeeeee

    • @HightechTz
      @HightechTz 6 років тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😋😋

  • @mabroukabeid148
    @mabroukabeid148 6 років тому +1

    Ukovizuri Nakukubali

  • @amanziinyoniwcb4605
    @amanziinyoniwcb4605 5 років тому

    hatarii sanaaa wcb

  • @romanomlanda7184
    @romanomlanda7184 6 років тому

    Huyu jamaa yupo vzr sana

  • @ahmadadam6125
    @ahmadadam6125 6 років тому +7

    Hongera Kak ila nataka kujua wasfi presenter search hapa dar itafanyika Lin maana naamin ninakipaj sana

  • @cyprianmagoti3528
    @cyprianmagoti3528 5 років тому

    Horminize waga ana smart speech always

  • @lenjeevara3407
    @lenjeevara3407 6 років тому

    pwaaaaaaaaaa

  • @nazyj8402
    @nazyj8402 5 років тому

    Kamwambie harmo naomba cku moja aniite niwe kwa video ya nyimbo yake, coz hiyo ni ndoto yangu ila 2 fulfil it its very hard coz am aut of money. Na ningeomba harmo anisaidie coz nina amini anaweza nisaidia. Am from kenya plz harmo

  • @cosmasemmanuel5212
    @cosmasemmanuel5212 6 років тому

    Tishaa sana konde boy

  • @safariadrien8544
    @safariadrien8544 6 років тому

    yuko sawa uyu dogo

  • @marehemsanga3455
    @marehemsanga3455 5 років тому

    jamani wanaosema kude boy anaweza aungane namimi

  • @fashiryjumanne3568
    @fashiryjumanne3568 5 років тому

    👏👏👏👏

  • @wilsonwizzo2483
    @wilsonwizzo2483 6 років тому

    👏👏👏👏👏👏

  • @Hottatto816
    @Hottatto816 5 років тому

    Ka harmonize kame noga saiz

  • @manawaaporinary9635
    @manawaaporinary9635 6 років тому +4

    simbaaaaaaa mtoto

  • @castromontana2112
    @castromontana2112 6 років тому +10

    Uyu jmaaa anavaa kishamba snaaa

    • @castromontana2112
      @castromontana2112 6 років тому +1

      @@salumbakhresa7538 uyu jmaa mi humsifiaga kaka ila mda mwengine kimavazi anaboa

    • @laucrizant4981
      @laucrizant4981 6 років тому

      nyie watu hamjui watu wanao vaa,mlitaka ang'areee ety

    • @isaackbm1935
      @isaackbm1935 6 років тому

      We unavaaje ??

    • @HightechTz
      @HightechTz 6 років тому +1

      😂 😂 😂 😂 huto tu viatu umetuona😂😂😂😂😂😂😂

  • @heriramadhani8231
    @heriramadhani8231 6 років тому +2

    Balaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @lilinming3383
    @lilinming3383 5 років тому

    💪

  • @shadrackmpanga9144
    @shadrackmpanga9144 6 років тому

    Konde boy madin hay

  • @gesendaemmanuel7184
    @gesendaemmanuel7184 6 років тому

    Nc boy

  • @alphamugabo528
    @alphamugabo528 5 років тому

    chinga boy

  • @rehemashafi4809
    @rehemashafi4809 6 років тому

    Penda sana hamo

  • @eveantoni1727
    @eveantoni1727 6 років тому

    wewe ni moma mwanangu

  • @jdsfreeman3296
    @jdsfreeman3296 6 років тому

    🔥🤔

  • @latb2747
    @latb2747 6 років тому

    wasafi wamepata kikoba

  • @hebybiba6442
    @hebybiba6442 5 років тому

    nakupenda bure harmo

  • @ismailchivihi7094
    @ismailchivihi7094 6 років тому +6

    Hamonize unaniangusha kwenye mavaz kaka angu mmakonde mwwnzangu

    • @ismailchivihi7094
      @ismailchivihi7094 6 років тому

      Hapa ndipo nilivo amin c kila anaenda shuke anaenda kuelimika inawezekana wengine huenda kukua na wwngine kufuata kufaulu na waendele na elimu mwishoe apate kaz mbeleni sasa ww bro wangu nani kasema mm nataka avae vitambaa ni nani hii ni comment yangu na saggest chochote ninacho kiona sasa ww ukiona haiko sawa ww andika ya kwako. Hv ww huon kama ungeliandika ya kwako ungeonge comment na kuonekan Kama leo umecomment youtebe kuliko hii kaz ya kukosoa mwenzio au ww ndio ulikuwa desinger wake nn?

    • @ismailchivihi7094
      @ismailchivihi7094 6 років тому

      Pole utakuwa una maradhi matatu ambayo mwalmu alisema sasa inawezekana moja wapo lina kuhusu ww angalia sana

    • @HightechTz
      @HightechTz 6 років тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @castromontana2112
      @castromontana2112 5 років тому

      Siko pekeangu asante sna kwa kutambua

  • @elzearselestine5000
    @elzearselestine5000 6 років тому

    wa sita ku commnt

  • @jeromefrank5367
    @jeromefrank5367 5 років тому

    tupia kodi mmakonde

  • @snakepoison9482
    @snakepoison9482 6 років тому +4

    konde boy

  • @mapenzitz
    @mapenzitz 6 років тому +19

    Amenisawisi

  • @allyking324
    @allyking324 6 років тому

    Unakbusha mzee hapo kwenye zpu mbona pame Tuna au umedinda kimyakimya

  • @kevootz1456
    @kevootz1456 5 років тому

    #WCB yan kama wanaingiaga kwenye mazoezi ya maswali yani napenda wanavyojibu

  • @Mpya
    @Mpya 6 років тому

    Hahahaa #jibebe

  • @gloryemmanuel3115
    @gloryemmanuel3115 6 років тому

    Nice sana mkali wa wsb

  • @dalalibangokigamboni3958
    @dalalibangokigamboni3958 6 років тому

    KAMA UNAHITAJI KUUZA KUNUNUA KUPANGA AU KUPANGISHA NYUMBA VIWANJA MASHAMBA FREM NA OFISI CALL#0718295182 #0765505909
    Instagram@dalalibango

  • @dalalibangokigamboni3958
    @dalalibangokigamboni3958 6 років тому +2

    KAMA UNA GARI UNAUZA AU UNAHITAJI GARI LOLOTE TANZANIA CALL #0718295182 WATSAP
    #0765505909
    Instagram@bango_magari

  • @yohanamsafii3404
    @yohanamsafii3404 6 років тому +3

    Konde boy

  • @boazmtileghe9161
    @boazmtileghe9161 5 років тому

    Kama unakubaliana na mimi hamo anavaa kishamba gonga like

  • @allykassim9826
    @allykassim9826 6 років тому

    Mgodi unatembea,au siyo madini? Macho nayooo.....

  • @officialpaulmabula8346
    @officialpaulmabula8346 5 років тому

    Nachoflahizaid kutoka kwa Harmonaize nibusarazake hatainjenakaziyake lait kamaangekua hana busara ningemchukiasana fanyakazi kijana Tukopamoja na wewe

  • @joshuamkupi6893
    @joshuamkupi6893 6 років тому +2

    Muangalie mwalimu aliyemuua mwanafuzi ingia kwa account yangu

    • @aminafesali5817
      @aminafesali5817 6 років тому +1

      mr.joshtz mbona hamna unafanya uwongo???