MASTER J : DIAMOND PLATMUZ MBURUDISHAJI BORA NA ALI KIBA NI MUIMBAJI BORA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 233

  • @IGEMBEOG
    @IGEMBEOG 8 місяців тому +21

    Tulio kubaliana na master like please

  • @timothmwakakusyu4563
    @timothmwakakusyu4563 9 місяців тому +7

    Nakubaliana na master J japo ukweli mchungu. Huyu PHINA ni balaa sana yaani ana vocal kali sana mpaka unaweza kusisimka anapoimba na anajua kuburudisha, kuna Rubby, kuna Msechu hajawa tu serious, Beka Ibrozama. Hawa wanajua

  • @fauznuhu9981
    @fauznuhu9981 9 місяців тому +6

    Congo fally pupa kapiga arena tata kwa siku 21kila moja wa tu elfu abaini

  • @ggcrank6264
    @ggcrank6264 9 місяців тому +10

    Singeli ndio sound yetu kwenda international Master umeongea point sana

  • @sheesaid2501
    @sheesaid2501 8 місяців тому +2

    Umesema Master Jay huo ndio ukweli !! Singeli itaenda mbali Sanaa ✌️🫶

  • @brendaurio4480
    @brendaurio4480 9 місяців тому +3

    Master umeongea ukwl kbsaaaaa Abby and phone uwiii❤🔥🔥🔥🔥

  • @NgengeMkeni-uo5hq
    @NgengeMkeni-uo5hq 9 місяців тому +5

    Master anajua bhn🙌🏿

  • @moodyramadhan336
    @moodyramadhan336 9 місяців тому +6

    Kuhus Abigail na phina yoo 👋 hundred percent I agree 👍 💯...

  • @leonjozy
    @leonjozy 9 місяців тому +15

    Kuhusu Abby Chams haipingwi, she's the only female artist who can take Tanzanian music to international level

    • @fj8317
      @fj8317 8 місяців тому

      Wewe ni Mungu

  • @songoloomari5427
    @songoloomari5427 9 місяців тому +4

    That true na wataishiya ku complain everyday

  • @emmanuelmwatujobe8450
    @emmanuelmwatujobe8450 9 місяців тому +13

    Jamaa hana baya

  • @anthonymiles8304
    @anthonymiles8304 8 місяців тому +1

    If at all kenyans and tanzanians could come together...and mix both music genre well we could be in a better position to compete internationally... kudos to the interview 👏...

  • @Dazuu9884
    @Dazuu9884 9 місяців тому +9

    hilijamaa lina jua mziki

  • @salamajuma5481
    @salamajuma5481 8 місяців тому

    Allah akulibariki Master Jay

  • @amosdastan1006
    @amosdastan1006 9 місяців тому +2

    Master uko sawa kabisa nakubar

  • @aliiddmkomwa1804
    @aliiddmkomwa1804 6 місяців тому

    master j sio box big up broo

  • @wakandatyganelsonofficiall6395
    @wakandatyganelsonofficiall6395 9 місяців тому +4

    Wa Nigeria wana support each other but Bongo shida😢😢

    • @izack9191
      @izack9191 9 місяців тому

      Ndo usgamba sasa

  • @rmags8843
    @rmags8843 9 місяців тому +17

    Actually I would rather be an entertainer than just a singer!! Watu Kama kina Beyoncé, Tina Turner, Michael Jackson, James brown succeeded in music for being great entertainers than just singing. They all have a common denominator which is stage presence!!!! And that’s what Diamond brings to the table and it’s what makes him leave a mark when he is on stage!!

    • @bakarithegeoinformatician7406
      @bakarithegeoinformatician7406 9 місяців тому +1

      Was Justin Timberlake an entertainer?

    • @rmags8843
      @rmags8843 9 місяців тому

      @@bakarithegeoinformatician7406…if you haven’t noticed the list I mentioned is of the greatest of all time!! The cream!! Great performers!! Justin Timberlake haingii kwenye hii list! Hafikii Hii level!! Sasa utamcompare Justin and Michael Jackson or Beyoncé? 😅.

    • @izack9191
      @izack9191 9 місяців тому

      What about justin bieber, adele, bruno mars, the legend, ed sheeran etc... are they entertainers?

    • @yolo5261
      @yolo5261 8 місяців тому

      Bro all those that you mentioned were both entertainers and singers

    • @lifegotv975
      @lifegotv975 8 місяців тому

      Are you even listening to yourself 🤷🏿‍♂️

  • @alidyaya4512
    @alidyaya4512 9 місяців тому +6

    Asake anatumia beat za amapiano davido yuko tour since last year na Unavailable beat ya mapiano bana boy anaimba dance hall

    • @DaudiKimoto
      @DaudiKimoto 9 місяців тому

      Unavailable ngoma kubwa sana ya davido kwenye album yake nzima ni amapiano so kuna muda unaongea ukwel kuna muda unaongea opinion zako

    • @henrychiriba9354
      @henrychiriba9354 9 місяців тому

      Huwezi elewa chenye uyu mwamba anaongea ju ww unaangalia sarakasi za msanii ukidhani ni kuimba vizuri

    • @alidyaya4512
      @alidyaya4512 8 місяців тому

      @@DaudiKimotokwani umeelewa point yngu 😅?

  • @zaherashamte1058
    @zaherashamte1058 9 місяців тому +3

    Nampendaga xn masta j mkwel xn

  • @eduuclassic6997
    @eduuclassic6997 8 місяців тому +1

    Umeeleweka sana bro

  • @jossporahmsw8420
    @jossporahmsw8420 9 місяців тому +1

    Sawa,, nmekuelewa.

  • @saidyabdalla7410
    @saidyabdalla7410 9 місяців тому +2

    Kenya sijaona msanii anaye Fanya vizuri Watanzania ndio wanafany vizuri

  • @Gudowabazoba
    @Gudowabazoba 2 місяці тому

    Masta jay

  • @JamesMwandoje
    @JamesMwandoje 8 місяців тому +1

    Harmo....juu...master mnafiki

    • @ricklandennis
      @ricklandennis 8 місяців тому

      Harmo ana melody nzuri na anajitahidi kuimba kingereza anachokifahamu lakini ukienda kwenye uhalisia ana makosa mengi kwenye kingereza chake huo ndio ukweli, wanigeria kingereza Chao wanachanganya na lugha zao lakini huwezi ukakuta kwenye kile kingereza kina makosa

  • @dancemachinecrew6480
    @dancemachinecrew6480 8 місяців тому

    Multiple intelligences master jay mziki wetu unavingi vya kufikilia kusonga mbele sioni sababu za watu kushindw kuelewa hili cha kushangaza na wanaenda nchi za watu mimi kama nashindw kuelewa wanaendaga kujfunza nini au ndyo picha tu af proud of ??? Fact master waeleweshe mpk waseme wakichukia shauri zao "Keep Bongo Flavour music safe"

  • @abkmavoko
    @abkmavoko 6 місяців тому

    Gengetone international inaweza kabisa sababu ya sheng.. Kenya

  • @anordkaniki8476
    @anordkaniki8476 9 місяців тому +2

    Fact master j

  • @zedylui4861
    @zedylui4861 8 місяців тому

    Legendary, mtu kukuelewa lazima awe na upeo mkubwa na anaujua mziki.. unatema madini

  • @nzalatv5927
    @nzalatv5927 8 місяців тому +1

    Mapozi 🔥🔥🔥

  • @faidhamyovela179
    @faidhamyovela179 9 місяців тому +3

    Master j anaez hojiwa masaa 4 na hammalizi

  • @thatforeign4590
    @thatforeign4590 9 місяців тому +2

    Facts on facts on facts thats why i listen to yo interviews nondo tupu. Abby is surely that good. Lets push young stars kina treyzah and the likes.

  • @abkmavoko
    @abkmavoko 6 місяців тому

    True bongo flavour ni arabic scale

  • @vincentmushi1247
    @vincentmushi1247 9 місяців тому +3

    Hatuna umoja ...ingawa wabongo wako wachache Uk ...lkn wanamuziki wakiungana ...wanaweza
    Mfano kwa majaribio tukisema tuchukue wanamuziki 10 bora wabongo waende pale 02...tunaweza kuujaza ule
    Muziki sio lugha tuuu
    Ni vibes pia....mfano muziki wa kizaire...hatujui lugha lkn wakipiga ni mataifa tofauti wanaenda na wanafurahi....ingawa wanaigeria wana faida ya kuwa wengi nchi za ulaya...ndo maana wana jaza
    Sababu UK peke yake wanaigeria wako karibuni millioni 1 na.....Wabongo hawafiki hata 50,000.. lkn tukianza kwa umoja tunaweza .. hapo master J anatukatisha tamaa...asiseme kuwa hatuwezi... alimwambia Hamonize hawezi kuimba...lkn Diamond alimchukua na akamfundisha na sasa hivi yupo top 5 na ndiye kati ya washindani
    Wakubwa wa Diamond.....everything is possible under the sun....

    • @faidhamyovela179
      @faidhamyovela179 9 місяців тому

      Kubali ukatae toa mifano yotee kuhus 02 arena tupaach dai ana miak 20 kweny gam

    • @LukioMateruh
      @LukioMateruh 8 місяців тому

      Nimekuelewaa

    • @Joelfreedom4
      @Joelfreedom4 8 місяців тому

      Tutakuja kufanyikiwa tukiacha kuiga Waarabu. Hicho ndicho chanzo au mzizi ya tatizo letu. Sisi ni waafrica lazina tuimbe kama Waafrica. Wenzetu wakiskiliza ngoma zetu wanandhani tunatoka Oman. Huwezi kutoboa ulimwenguni bila support kutoka Nigeria wapo wengi ugnenini.

  • @husnednour2349
    @husnednour2349 8 місяців тому

    Umeongea facts kaka.
    King kiba akitoa just one song ina hit forever. Diamondnyimbo zake zina hit for just 3 months and you'll never listen anymore

  • @yahayashuta9608
    @yahayashuta9608 9 місяців тому +1

    Hujama boya sana konde boy noma

    • @faidhamyovela179
      @faidhamyovela179 9 місяців тому

      Hun akilii 😂😂😂 ana miak 10 sijui kiko wap

  • @nwntz
    @nwntz 9 місяців тому +2

    Master umenena na hii iwe ya mwisho kama hawajakuelewa tena basi

  • @tomfoss9613
    @tomfoss9613 9 місяців тому +3

    Huyu mze hajuwi anacho kiongea. Eti wasanii wa Nigeria hawafanyi amapiano?? Asake mwenyewe unae mshabikiya ana song yenye title ya amapiano na anazo piano kama zote

  • @amisamaurid1882
    @amisamaurid1882 8 місяців тому +2

    Kila mtu amini anachokiamini mm ninachokiamini ni kwamba King Ally salehe kiba ndo mfalme wamuziki Tz❤❤😂

  • @theroggyplus255
    @theroggyplus255 8 місяців тому

    Aisee.. ngoja nitafte part two

  • @mjunimashauri5311
    @mjunimashauri5311 9 місяців тому +1

    Much respect Kwa master Ila napenda kutofautiana nae ukimsiliza vizuri utaona ameegemea kwenye mapungufu badala ya Nini tunacho na tunaenda vp mfano tuna baadhi ya mazuri kama taifa tuna bet,Kuna maeneo atukuwai perform such francophone zone na tumejaza mm sitowai define 02 arena kama kipimo cha mafanikio hivi burns anaconditentent failure kwenye show Africa utasema Sio international artists I think Naija nje ya sounds, investment Wana advantage ya exposure na population tuachache kuwa chukilia POA wasaanii wetu sijui yule staenda wale Japan's master Jay that was personal kiukweli eti international wataenda chams na phina wengine hapana hapa umekuwa personal mno not real

    • @kelvinwilfred-p2e
      @kelvinwilfred-p2e 8 місяців тому

      you know music and its reality, i appreciate that by the way in all of your success hater must appear

  • @fadhilishomari133
    @fadhilishomari133 7 місяців тому

    facts

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 9 місяців тому +4

    Huyu jamaa anamjua Rubby vizuri ?

  • @mjunimashauri5311
    @mjunimashauri5311 9 місяців тому

    Nimekutana na huu ujumbe twitter I think mond should Improve his marketing strategy na vision Kwa ujumla kuelekea kwenye album this year nahuhakika album itatoka this year tunaitaji mabadiliko ya mtazamo na uwekezaji masuala ya kushangilia trends UA-cam sijui boomplay tushavuka toka 2017 tunaitaji marketing strategy za kina Olamide,rema asake something which involves money not too much drama

  • @chiragahmbura9523
    @chiragahmbura9523 8 місяців тому

    Tatizo ni hiv Wakenya Hawataki kujibrand sana juu wasanii wengi wakali wakenya ni Matajiri hilo nalo jua

  • @jimmyselejimmysele2821
    @jimmyselejimmysele2821 9 місяців тому +4

    Natokea congo
    Akuna msani kama diamond uko kwenu

  • @calvinloveambroce842
    @calvinloveambroce842 8 місяців тому

    Inawezekana ila tatizo huko UK 🇬🇧 wabongo ni wachache sana

  • @omaryluambano3495
    @omaryluambano3495 9 місяців тому

    Kingkiba

  • @raphaelchuche6281
    @raphaelchuche6281 9 місяців тому +1

    kwamba Harmonize hajui kuimba 😃

    • @bashirusalehenandoro3128
      @bashirusalehenandoro3128 9 місяців тому +1

      Kuimba mzikii jaman ni Taluuma sio kila anakuja na melody zenye maneno na saut mzur anajua kuimba kuna vitu ving sana ukwel ni usemwe kenya tunawazid namba ya wasanii ila mziki hatuwawez

  • @francissamson2207
    @francissamson2207 9 місяців тому +1

    Wa Tanzania waishio UK 🇬🇧 hawafiki 5,000 na Wa Nigeria pekee ni zaidi ya 270,000 ukiacha mataifa mengine ya West Africa then uje fananisha na Wa Tanzania 😂. Watu wa West wanapenda statehe sana kuliko Wa Tanzania pia kujaza 🇬🇧 au Nchi za Europe au USA siyo issue kwao wapo wengi sana.

  • @newbillionaire701
    @newbillionaire701 9 місяців тому +9

    Kama umeskia master j akisema ushaudi gonga like

  • @brayo001
    @brayo001 9 місяців тому +1

    Huwa mnadharau wakenya sana na ndio ulaya kwenu wasanii wenu wakianza show za nje mpaka sisi tuwapige promo ndio mjulikane ulaya ndio maana headquarters za music stream ziko Kenya sio Tanzania Sasa kama entertainment mmeishika mbona hwaji kwenu..

    • @ricklandennis
      @ricklandennis 8 місяців тому

      Nyie hata muwe na Kila kitu bado ni washamba, mnatuzidi hivyo vyote plus English lakini hamtuzidi kimuziki mnabaki kuwa mashabiki wetu😅

  • @Rukaka_jr
    @Rukaka_jr 8 місяців тому +2

    Tatizo mnamuogopa alikiba mnashindwa kumwambia kuwa hajui kuimba 😂😂😂

  • @msomi_realty_solutions
    @msomi_realty_solutions 9 місяців тому

    Watangazaji msimuogope master j, Nigeria wanafanya amapiano na sauzi wanafanya afro beats; ila kufanya bongofleva nakubaliana NAYE

  • @Abousamir-w2k
    @Abousamir-w2k 9 місяців тому +2

    Anachoengea master ni sure….kama ukimsikiliza kwa mihemko yako utamwona anazingua…wasanii wetu wengi entertainers sio singers(complete artist) ndio maana limifikaga swala kuperfom live band kweny show zao huwag kamzozo makelele mengiii 😂😂😂

  • @michigan_tv2974
    @michigan_tv2974 8 місяців тому

    Sawa umerekodi kipindi cha nyuma lakini hamna unachojua kuhusu international

  • @ayk20
    @ayk20 8 місяців тому

    Master rasta ulinyoa coz ulienda kuomba nafac ya kugombea sema tuu ukweli coz bongo stars search program haijaisha

  • @LukioMateruh
    @LukioMateruh 8 місяців тому

    Uyu ana zeeka vibaya sikila kitu aongee afu pia anachuki binafsi akae pembeni karia yake imeisha nieshima tu anajivunjia bila kujijua ushamba wenye confidence ana ropoka xanaa

  • @Silversieh-bt5zk
    @Silversieh-bt5zk 8 місяців тому

    Kuna vitu Master J huw haelew mwanamuziki anasimama na aspects tofauti tofauti hata kama msanii ni mzuri kwa vocal lakini Bado anaburudisha watu kwa hiyo vocal yake If u say someone is a best singer lakini even numbers zake on Digital platforms za audios Bado anazidiwa numbers na hao unaosema ni best entertainers not singers Kuna sehemu uko wrong. Art is dynamic not static kama unavyodhani ethics za music zinakuwadeveloped Kila era don't force each era to sound the same hata wasanii wakubwa kama Chris Brown, Janson Derulo wako the best at vocal aspect and when it comes on the stage still they entertain at all. This is a reason why even the artist rised from BSS when get into a music industry they fail to top up most of them Because you're not good judges too. Music is not all about vocal there are so many things apart from vocal.

  • @dkensmopainvevo3683
    @dkensmopainvevo3683 8 місяців тому

    Master anaongea❤ wasanii tuchukulie kama funzo

  • @laurentchimbirani5990
    @laurentchimbirani5990 9 місяців тому +2

    Okoa MB zako, anzia Dak ya 10

  • @Duanny-jm8fr
    @Duanny-jm8fr 9 місяців тому

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @japhetbarton8268
    @japhetbarton8268 9 місяців тому

    Hivi perfomance ya mtu aneimba live kwa ufundi wa sauti zaidi kuliko mataa taa na vtuko kbao jukwaani ipi ni sawa kwa muombaji
    Best performance duniani hadi leo haina vtuko vingi
    Sema tunataka kuamnisha watu kwamba ili uwe perfoma mzur lazma uwe na vtuko vingi hata bila kuangalia ubora wa saut yako na watu wanachopokea

  • @kasimumakashataumemalizakakaii
    @kasimumakashataumemalizakakaii 3 місяці тому

    Wanatafuta namna yakulidikwenyegem hawwo

  • @SiscoKalongola-vu8nk
    @SiscoKalongola-vu8nk 9 місяців тому +38

    O2 arena siyo kipimo cha kuwa level ya juu ya international, UK wanigeria wapo more than laki 3 that why hata akienda artist yeyote kutoka nigeria atapata watu wengi tu, taja artist toka South A frica aliyewahi jaza iyo 02!acha kudanganya kila siku eti 02 ndiyo kipimo

    • @cleveronlinemedia820
      @cleveronlinemedia820 9 місяців тому +5

      Fact

    • @samirmswahili
      @samirmswahili 9 місяців тому +6

      Ah wapi endelea kuwapa moyo tu😅

    • @samsonkivuyo9548
      @samsonkivuyo9548 9 місяців тому +1

      Na sio wanigeria tuu, kuna waghana na waliberia pia ambao wanavibe pamoja so unaongelea milioni kadhaa hapo

    • @SimbaM2kufu
      @SimbaM2kufu 9 місяців тому +4

      Master J is a legend; speak about him with some respect. He's old school, and his views reflect his understanding of the musical world he grew up in. Your point of view is a logistical one. There is no need to call him a liar.

    • @arkishpromusic3395
      @arkishpromusic3395 9 місяців тому

  • @kadito-music
    @kadito-music 9 місяців тому +2

    Am a kenyan bt master jay take your flowers 🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺

  • @jerrybasaya5377
    @jerrybasaya5377 8 місяців тому

    Master J katema Busara nyingi mnooooo. Ukweli mtupu

  • @josephatSwai
    @josephatSwai 8 місяців тому

    Davido aliwai kufanya piano na mafiki zolo masta

    • @ayk20
      @ayk20 8 місяців тому

      Alochosema master kuwa kung'ang'ania sound ya mtu mwingine ndo tatizo angalia wasanii wetu mtu mmoja Ana piano zaidi ya 4 haya tafutq Nigerian artist mwenyewe piano zaidi ya 4

  • @ADVAMMIDA
    @ADVAMMIDA 9 місяців тому +3

    True fact

  • @UrassaPaschal
    @UrassaPaschal 8 місяців тому

    Franch lugha kubwa fally ndio anatumia na anachanganya na maneno ya nyumban

  • @Lilmg33
    @Lilmg33 8 місяців тому

    Acha aitwe masta Kweli Ni masta anajuwa tana anajuwa anachokiongea napenda ukweli sikuzote

  • @faidhamyovela179
    @faidhamyovela179 9 місяців тому +5

    😂😂😂 master j han unafikii😂😂😂

  • @KiduMashkio
    @KiduMashkio 8 місяців тому

    Uposahihi Abigail ashakamata Kijiji urabuni

  • @DaudNonus-ry2iu
    @DaudNonus-ry2iu 9 місяців тому

    Ngoma kali sana

  • @kijanisaini5688
    @kijanisaini5688 9 місяців тому +1

    Sema yote ata sisi tunajua Alikiba anaufaham Muziki kuzidi wewe sio ww tu ata manju masud alishamsifia kiba halafu ww unadhihaki

  • @p-tah_p-manirecords
    @p-tah_p-manirecords 8 місяців тому

    Kama hako na 50 million why not invest kwa those upcoming anasema wataenda international.

  • @bukuruhassan9751
    @bukuruhassan9751 8 місяців тому

    Master apo umekoseya amapiano na kwaito ni tofauti kwaito Niazamani wakati wakina Brenda amapiano Aina Ata myaka 10 sound yake imekuja juzijuzi tu

    • @Joelfreedom4
      @Joelfreedom4 8 місяців тому

      Anasema kwaito ni chimbuko la Amapiano na iyo ndo ukweli.

  • @OfficialEl-khaify_Production
    @OfficialEl-khaify_Production 9 місяців тому +2

    Huyu jmaa hatumuelewi nini asa anataka mara awaponde wote mar awasifu😊

  • @JamesMwandoje
    @JamesMwandoje 8 місяців тому

    Master J mbege mpe mkeo dai amuburudishe

  • @festusabramary-bz4ef
    @festusabramary-bz4ef 9 місяців тому

    aliongea kwamba mziki sio lazma lugha ufike international lakin Tena kasahau apo mwishon anasema wenzetu naijeria na Jamaica wanafaida yakiingeleza kwenye lugha zao

  • @sendimbwega1645
    @sendimbwega1645 9 місяців тому

  • @LukioMateruh
    @LukioMateruh 8 місяців тому

    Ety atatoa million hamsin mshamba uyu iyo ela anayoo akasaidie ndugu zake ukoo

  • @Igauf3
    @Igauf3 8 місяців тому

    The consumer determine the market. I don’t know why forcing the young bucks to do bongo XYZ. Let them do what they see fit musically. Lastly, Kenyan are more into technology (AI) far better than us.

  • @UrassaPaschal
    @UrassaPaschal 8 місяців тому

    Watu wanaimba ili tuburudike mzee acha kujichnganya kwenye lugha lengo la kuimba ni nini?

  • @YasiniMajily
    @YasiniMajily 9 місяців тому +1

    2094 ndo kaanza kazi 😅

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq 8 місяців тому

    Ukweli ndo hawautaki wa bongo 😂😂😂😂😂

  • @richshayo4924
    @richshayo4924 9 місяців тому +6

    There was a reason to call them stupid? Bruh hold yourself accountable mbona ninyi producers hamkenda international?

  • @ChristianChuwa-cy1du
    @ChristianChuwa-cy1du 9 місяців тому

    Wewe jmaa unajua nahisi ndy ulimshauri diamond amchukue dvoice

  • @simbaedouardo8499
    @simbaedouardo8499 9 місяців тому

    Masata tunamkubali ila facts zake sizo nasio kuanza ndio kumaliza pia international sio kujaza ao ku voc saana soo kumaanisha kwamba burna anajuwa ana voc kali kuliko Hawa wa bongo pia swali kwanin yeye hakufik mahali jawa vijana walipo

  • @mjunimashauri5311
    @mjunimashauri5311 9 місяців тому

    Yaaani unamkuta mond interview na Trevor Noah,power break fast ya USA maadj wanalipwa , likes of football teams,hotels, clubs,malls yaaani budget atleast 500k USD hapo Kuna namna Ila hivi za Tik Tok tu hapana kwakeli sijui manara mmmm hapana hatutoenda truth be told

  • @arkishpromusic3395
    @arkishpromusic3395 9 місяців тому

    is bongo a genre or a style of music

    • @Joelfreedom4
      @Joelfreedom4 8 місяців тому

      Bongo is Taarab music, mixed with Rnb, and African traditional drum patterns.

  • @rashowshine7849
    @rashowshine7849 9 місяців тому

    Hiyu naye ni pimbi too ndio mana ata huko bss watu wanaofanya vizuri ni wale mliowakata

  • @KassimAlly-xp4dz
    @KassimAlly-xp4dz 9 місяців тому

    Huyu master j ameanza kuchanganikiwa sasa milioni 50

  • @badifundi6089
    @badifundi6089 9 місяців тому

    Hii kauli ya tukitaka kwenda international imekaa kinafki ..hao wenye ndo twasema wako international.. international yao ni ipi

  • @britonkanumba6828
    @britonkanumba6828 9 місяців тому

    Huo uimbaji bora umemfikisha wapi kiba?

    • @ndunga_dashtv
      @ndunga_dashtv 9 місяців тому

      😅 nimechekaa et mwimbaji Bora nyimbo zipi au mistari ipi ambayo inautofauti na wasanii wengine 😅😅

  • @hansthegreat8423
    @hansthegreat8423 9 місяців тому

    Fact fact fact ....

  • @ramadhaniramadhani3774
    @ramadhaniramadhani3774 9 місяців тому +1

    Mnampa Airtime ili kuwa dhoofisha msiowapenda, mbona maompenda Diamond hamuwapi airtime ktk vipindi vyenu?

  • @rosestigeneriksson8387
    @rosestigeneriksson8387 9 місяців тому

    Huyu master hana hata trofé ya kusingizia yeye kucrash tuu huyu ana nini!!acha kuporna ushafilisika

  • @ivanchobz
    @ivanchobz 9 місяців тому

    Unajua huyu jmaa anaongea tu, afkirie na afatilie, population ya Nigeria kiinchi tu ni 220Million people plus, cc tupo 60Million ndani ya nchi mind you hapo hujui watu huko UK wamezamia wakimbizi kibao na muingiliano wa wao kuingia western countries ni mkubwa sana compare na cc obviously lazma wao wawe na Nafasi kubwa sabbu UK ,Nigerians ni wengiiii mno kiasi kwamba yani hata rappers UK weenyw asili zao ni Nigeria so ni vzaz toka miaka ya Nyuma vili Immigrate Kweny hzo nchi wabongo ni wachache mnooooooooooo hzi nchi za western pamoja na europe obviously itakuwa ngumu.

  • @GenesisReuben-d4o
    @GenesisReuben-d4o 8 місяців тому

    Sisi tunaka burudani sio uimbaji tofautisha hivyo vitu mzee 😂😂😂