RASMI JIONI HII KAMATI SAA 72 YAMFUTA LESENI KAYOKO,TFF NA TPLB WATOA TAMKO,MECHI SARE SIMBA,YANGA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 77

  • @HarunakiongoziMohamed
    @HarunakiongoziMohamed 10 хвилин тому

    Hamna kila kitu,mnataka kutuharibia mpira

  • @SurprisedBirchForest-tm5yg
    @SurprisedBirchForest-tm5yg Годину тому +2

    Sheria zakijinga sana hivi mmejifikilia wakati mnatunga hizo Sheria mnaakili kweli tunatanga ushindani mnaleta kukuza vipaji vya watu ambao hawataki hata kujituma acheni ushamba

  • @SamsonDaniely-s6k
    @SamsonDaniely-s6k 46 хвилин тому

    Wekeni sheria kwenye uandishi wenu wa habari ila mpira hamuwezi

  • @yusuphuadhuman9085
    @yusuphuadhuman9085 35 хвилин тому

    Naona mmekuja kuwapangia watu vikosi Sasa

  • @DeodathChinyamba
    @DeodathChinyamba Годину тому

    Ni mtizamo mzuri sana hasa hapo kwenye save/cleansheet

  • @fredcheppe1667
    @fredcheppe1667 Годину тому

    Mnaweka PESA kwenye timu au maneno tyu....!! Tutarudi nyuma Mita 300 Kwa kutaka Nafasi za upendeleo kwenye football

  • @emmanuelmrope7819
    @emmanuelmrope7819 24 хвилини тому

    Hawa ndio wanao uwa soka letu hakuna kitu chochote cha point al8chokizungumza hapo kuanzia macoach mpk wachezaji watueleze hizo academy za kipaji mmeziaanda wp au za magolikipa au kuna coach gani mzawa anayefundisha nje? Na pili hiyo nafasi ya 6 tumeipata mwaka gn je ni kwa wachezaji wazawa na macoach wazawa? Au baada ya players wenye quality wa nje ndio wametufikisha hapo? Tusipochagua watu makini wenye weledi na vision ya mbali itoshe kusema hatutasogea popote kwa watu design hii✅🤔🙌

  • @marcobulili4341
    @marcobulili4341 3 години тому +1

    Adhabu kali sana hyo kunyang'anya timu point si vzuri mtakatisha tamaa wawekezaji. Mchezo utakuwa siyo profession tena.

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 2 години тому +1

    Ukistaajabu ya Musa....!! Yaani mafundi wa magari wanaweka mikakati ya kutibu wanadamu .....!!
    Jopo la wataalam wa kupiga picha linajadili taaluma isiyowahusu na wadioijua !!
    Ni ujinga uliopitiliza kupambana na Katiba ya FIFA, CAF na TFF !!

  • @ismailjailan4186
    @ismailjailan4186 57 хвилин тому

    Mpira hapewe mtu nafasi nafasi anatafuta mwenyewe hem acha kuushi kwa mazoweya mwenye ubora ndio anacheza

  • @AbdallahMnyiwe-he2zu
    @AbdallahMnyiwe-he2zu 21 хвилина тому

    Huyu hajui mpira ana ingiza siasa

  • @yusuphuadhuman9085
    @yusuphuadhuman9085 30 хвилин тому

    IV mlijifikilia au mlikulupukatu je mashabiki wa timu pizani na wakavaa jezi za wezao na wakafanya uo ujinga mjifikilie vzuli

  • @ismailjailan4186
    @ismailjailan4186 59 хвилин тому

    Hivi kabla ya kuzungumza ufikiriya hakula hata moja zuri mira ni biashara sahivi habari ya kupangia tim wacheze kina nani sijuwi kipa sijuwi timu injanganywe kwa ushirikina sijuwi wa and 20 wacheze wanne km ww unatimu ungefanya hivo

  • @mwanahamisihatibu590
    @mwanahamisihatibu590 Годину тому

    Yaani kama mmeenda kujizalilisha hata mpira hamjui Bali mnataka kuharibu ligi

  • @mwanahamisihatibu590
    @mwanahamisihatibu590 Годину тому

    Kwenye kufunga magoli sio kweli mbona wengi wamepewa na hawajafunga na hizo tuzo msitake kuwapangia NBC anzisheni tuzo zenu

  • @mwanahamisihatibu590
    @mwanahamisihatibu590 Годину тому

    Maoni ya kipuuzi

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 25 хвилин тому

    MNAACHA KUWAPA SEMINA MAREFA KILA CK MNAUHARIBU MPIRA. MAREFA WA KWETU HAWAJUI MPIRA NA SHERIA

  • @WilfredChomo
    @WilfredChomo Годину тому

    Sikubaliani na hoja hata Moja.
    Bora ibaki kama ilivyokuwa.
    Watanzania wasipojituma watabaki kuwa na viwango duni tu.Uwezo unatokana na kipaji.Tafakari.Anzisheni chuo cha makocha.

  • @HarunakiongoziMohamed
    @HarunakiongoziMohamed 12 хвилин тому

    Mawazo mengi hayana faida na soka la tanzania,hapo hakuna kitu,kuna nchi gani inataratibu wa hivyo,hivi huyu anaeongea alicheza timu gan hapa tanzania

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 16 хвилин тому

    TFF ANGALIENI HILI HUYO ANATAKA KUUHARIBU MPIRA.

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 17 хвилин тому

    WEWE UNAPOSEMA KILA TIMU IWE NA WACHEZAJI 4 AMBAO NI WAZAWA USHAURI NI KILA MCHEZAJI APAMBANE APATE NAFASI VINGINEVYO WATAKUWA WANASEMA HATA NISIPOCHEZA VZR NTAPANGWA TUU HAMUONI NYIE NDY MNAYEHARIBU MPIRA?

  • @SurprisedBirchForest-tm5yg
    @SurprisedBirchForest-tm5yg Годину тому +1

    Pumbavu lisipitishwe hata moja kuku kweli mnaakili nyie

  • @mpekuzimedia-xw1rb
    @mpekuzimedia-xw1rb 4 години тому +1

    Hii Simba wandawaazimu kweli hivi Mungu kwann hii simba kila siku inazungumziwa maredioni kwenye matv yanii waandishi wanaipa promo kubwa sana sisi yanga hata hatupewi sapoti kubwa na waandishi Simba inapendelewa sana sisi yanga hatupendwi

  • @FredrickMzuma
    @FredrickMzuma 3 години тому +1

    Sheria mbovu sana hizo

    • @JohnJoseph-qq7ow
      @JohnJoseph-qq7ow 26 хвилин тому

      Mashabiki wa yanga nimashetani wachawi wakubwa yanga kubebwa mbebwe bado tena mroge matusi ni ya yanga

  • @nordiccontrol01
    @nordiccontrol01 44 хвилини тому

    Du! Mmeona mshahara hamjapewa mkaamua kutaftiza vikao ili mpewe posho

  • @Magilebasu
    @Magilebasu Годину тому

    Hizo Sheria mmezitunga mkiwa choon😂😂

  • @bulaasiywez7014
    @bulaasiywez7014 3 години тому +1

    We jamaa izo Sheria peleka nyumban kwako,,mpira wetu Bado unakua huwez kuweka Sheria za hovyo kama izo,,

  • @IMANIMWAITEGE-ve8gr
    @IMANIMWAITEGE-ve8gr Годину тому

    Kichwa cha habari na mnacho kiongea ni tofauti

  • @JohnJoseph-qq7ow
    @JohnJoseph-qq7ow 27 хвилин тому

    Ukiona matusi ujue ni shabiki wa yanga

  • @SurprisedBirchForest-tm5yg
    @SurprisedBirchForest-tm5yg Годину тому +1

    Nyie hamna akili kabisa wapumbavu sana

  • @AziziLiwago
    @AziziLiwago Годину тому

    Hizi sheria zote mnazipendekeza baada yakuona kunatimu inazinyoosha zingine kona zote,,nimapendekezo yaliyojaa ucmba

  • @AbelOmary
    @AbelOmary Годину тому

    Asante kayoko mbwa

  • @chandeyusufu9570
    @chandeyusufu9570 2 години тому

    Kwenda sharia izo kawake kwa mkeo

  • @sebastianmbena2836
    @sebastianmbena2836 13 хвилин тому

    Mnavyo viongea mna vielewa kweli?? Maana inaonekana waz kwamba mna malengo ya kuua soka la kiushindan nchin

  • @drdd774
    @drdd774 2 години тому

    Haya mapendekezo hayafai, hata kwenye vikoba😮

  • @WilfredChomo
    @WilfredChomo Годину тому

    Wadau wanasemaje kuhusu mapendekezo yenu?

  • @AyubuMohamedi
    @AyubuMohamedi Годину тому

    Sijaskia wakimtaja kayoko

  • @revocatusmalimi4525
    @revocatusmalimi4525 3 години тому

    Waandishi msiingilie sana suala soka wahamasisheni wachezaji wetu wajitume zaidi badala ya kuwaonea huluma kama mnavyofanya. Tunao wachezaji wachache wa kuigwa mfano Baca,Shalala,Kibu ,Mzize nk wao mbona wanapata namba za kudumu

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 21 хвилина тому

    MNAWAPANGIA SHERIA WENYE TIMU ZAO BASI NA NYIE ANZISHENI TIMU ZENU. KOCHA MNAMPANGIA KIKOSI AKIFUNGWA MNAMFUKUZA NA KUSEMA HAFAI. KWANI HAYO MAPENDEKEZO HAYO MMEYATOA WAPI?ACHENI KUHARIBU MPIRA

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 13 хвилин тому

    UNAACHA KUWAREKEBISHA MAREFA KM KAYOKO ILI WAYAFUTE HAYO MAKOSA?HAYO NI MAPENDEKEZO CY LAZIMA YAFUATWE
    WEWE UNATAKA WACHEZE 4HAO VIJANA KM HAWAWEZI ITAKUWAJUJIFUNZE KWA TIMU NYINGINE

  • @RAMADHANIJUMA-l6o
    @RAMADHANIJUMA-l6o Годину тому

    Mmefeli hapo mbona mapendekezo yenyewe ndio ushikina sasa

  • @franknyange6769
    @franknyange6769 2 години тому

    Hivi mnaujua mchezo wa mpira wa miguu kweli??? Hayo mapendekezo yenu ndio ushirikina wa kwanza kabisa kabla ya ule unaoudhania wewe, ligi yetu itakuwa ya hovyo sana kuliko ligi yoyote Africa. Na itashuka kwenye viwango vya CAF.

  • @FredrickMzuma
    @FredrickMzuma 3 години тому

    Wachezaji waongeze juhudi ili wapate nafasi. Mbona mzize anapata nafasi mbele ya Prince na baleke

  • @MussakasimKayanda
    @MussakasimKayanda 2 години тому

    Sisi Simba tushamsamehe haya ni maisha tu

  • @benestadyamwale8218
    @benestadyamwale8218 2 години тому

    Mnataka kuua viwango vya timu zetu na vijana wenu

  • @JudicateShuma
    @JudicateShuma 2 години тому

    Hii Sheria ya tff ya GSM kuwadhili zaidi ya tim Moja inatoka wapi wakati GSM ni yanga damu acheni siasa kwenye mpira wetu wa Tanzania,

    • @AminaTapwale-e5t
      @AminaTapwale-e5t 2 години тому

      Nenda akasome kwanza sheria za soka then urudi kucoment ..hata mo akitaka kudhamini team nyingine anaruhusiwa

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 2 години тому

    Rudini tena ndani mkapendekeze upya,na mshirikishe watu wengine wenye weledi sio nyie,hapo hakuna cha maana labda kwenye ubora wa kipa kuzingatia save,,ila wachezaji wa kitanzania wanatakiwa wapambanie namba msiwafeve tu tutaua mpira wetu wenyewe

  • @revocatusmalimi4525
    @revocatusmalimi4525 3 години тому

    Mpira ni biashara, tuache kingiza siasa kwenye mpira wetu kutaka kuingiza suala la wazawa. Hili litaua mpira wetu sababu tutalazimika tusahiri na kutumia wachezaji wetu wenye uwezo mdogo wasiojituma. Timu zinalazimika kutafuta wachezaji nje ya nchi sababu wazawa ni wazembe hawajitumi. Suala la kujiuliza ni sera zipi za mpira wa miguu hapa kwetu tofauti na za nchi nyingine

  • @fadhilikiduba3894
    @fadhilikiduba3894 Годину тому

    La magoal kipa mmmh wapambane kwa kweli

  • @ZawadiHassan-x6q
    @ZawadiHassan-x6q 2 години тому

    Munataka kualibu ligi hayo mapendelezo mulipendekeza mukiwa baa

  • @FredrickMzuma
    @FredrickMzuma 3 години тому

    Sheria zenu hizo ni mbaya zaidi ziko kihisia zaidi kuliko uhalisia wake

  • @mujunibikombo764
    @mujunibikombo764 3 години тому +1

    Mapendekezo fake hayo,

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 2 години тому

    Walevi nyie tokeni hapo hamna cha maana mnachojadili

  • @brycesonmathias6112
    @brycesonmathias6112 Годину тому

    Kwa nini Leo?

  • @kiluwaselemani4246
    @kiluwaselemani4246 3 години тому

    Waqmuzi wenu mbona hamuwasemei au wana shelia zao?

  • @GeraldN-h8f
    @GeraldN-h8f 3 години тому

    Wachezaji waoneshe wiwango kama hawana viwango akae bech

  • @FatmaAli-i8g
    @FatmaAli-i8g 2 години тому

    Kuhusu ushirikina mtathibitishaje? 🤔

  • @ashindatawasi9598
    @ashindatawasi9598 2 години тому

    Akili zako finyo kuliko za mkeo

  • @linogracephord9785
    @linogracephord9785 2 години тому

    Kuhusu Magoli kipa unaongea pumba kabisa!

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga Годину тому

    Sasa nyie ni nani?.

  • @andreajohnmzigula2089
    @andreajohnmzigula2089 3 години тому

    Pigen chin R,kayoco

  • @anthonysegereti9795
    @anthonysegereti9795 2 години тому +1

    Hamna lolote nyie

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 2 години тому

      Wajinga watupu. Hawajui U 17 au U20 au U23 nani kazianzisha !! Wamejichora !!

  • @YOSHUAMWAMPETA
    @YOSHUAMWAMPETA 3 години тому

    NIWAULIZE SWALI MOJA TU.Je mtawezaje kuthibitisha ushirikina? Swali la nyongeza , mlikuwa wapi siku zote kuhusu haki za makipa pale KASEJA ALIPODAKA LIGI YOTE HADI MECHI ZA KIRAFIKI? AU MLIKUWA MUMEKUFA SASA NA MUMEFUKA?

    • @Mkubwa_jr
      @Mkubwa_jr 3 години тому

      Mkipitia mlango wa nyuma tu wakati mlango rasmi upo wazi hiyo ni dalili ya kwanza yq ushirikina😂😂😂

  • @Yangadamu
    @Yangadamu 40 хвилин тому

    Hawa ni wajinga wa wapi