Jamani huyu rafiki yake na R..k eleweki do mnafiki huyu R..k wwe jarimbu kua na mtoto wakike Jackie natokea kenya 🇰🇪 Jamani like hapa na utambarikiwa🙏🙏🙏🎉🎉🎉
Jack bado unampenda Ben lee mmmh mapenzi hapana kwakweli RK nae hajui kutafta wake anachukuwa wa mwenza kama kg na mond vile mmmh Asante wasanii wetu kwass mnatoa kwa wakat tunawapenda 💐🇹🇿
Naomben Elim kidgo ni Kwan wat huw wanaomba Like Tena ad wanalazimisha.. zinafaida Gan au Huwa zinaongeza nin Make.. ni kitu Ambacho nakutan nacho UA-cam dayle..
Hongereni sana kazi nzuri naona piah mnapata sapoti nafrai juu ya Hilo nami nakuwa miongoni mwa watu wanaotoa sapoti katika channeli hii ongereni sanaaa hampoi rk na wenzako mbarikiweee
Asante sana kwa movie nzuli sana naomba mungu awalinde wote mlio shiliki kuigiza siri ya uba nawwpenda sana jaman mwaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Atakae soma SMS hii Mungu agufungulie milango ya ridhiki akupe hitaji lako nawachezaji wote Mungu awafikishe mbali pale munapo taka kufika nawapenda Sana from Burundi
am watching from Kenya jameni Hawa wanawake kutoka tz warembo jameni mnapendeza sana nipate MKE kutoka tz Rk and the team mungu awabariki sana kwa kazi nzuri mnayoifanya
Ni wa kwanza leoooo nimeipatiiiaaa MBARIKIWE WOTE HUMU WAPENDWAAAA❤❤❤❤
Muvie inakoleya Sana
Génial merci beaucoup je vous suit dépuis le Congo 🇨🇩 Kinshasa
Na miye Niko Lubumbashi 🇨🇩🇨🇩
Wanaompenda jacky tujuane kwa likes jamani kanakaa karemboo 😊❤❤❤
❤❤❤❤🎉🎉🎉😊😊😊
😢😢🎉🎉🎉🎉
Jackie wetu
❤❤
Jacky nimremboo sana
Wa Kwanza Leo with 5 second nipeni likes all the way from Kenya mombasa
Wakwanza leo namba like zanguu kama mnamkubali rk kwa kazi nzuriiiii mungu awape maisha marefu wote nawapenda saanaaaaa🎉
Natamani hii mov iwe inaonyeshwa kila siku lk please usitowe kipande kimoja kimoja tafadhali ongeza ata vipande viwe vitatu
Wakwanza from Mombasa ❤❤❤❤ nipeni like 10 tu
Rk sharout kaka kazi kubwa na nzuri brother wanangu wanao mkubali Rk gonga like
Kwa sasa tunaenda sawa coz hamcheleweshi movir hata kidog nawapenda sana rk movie❤
Rk kijana mdg akili nyingi❤❤❤❤
Leo mimi wa kwanza kutoka Oman nipen like zangu jmn
Atimae mmesikia kirioo chetu chakuto chelewesha. Asanteni sana timu Rk tuna shukuru sana. Mungu awape wepesi nsha_allah..❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Yaan had rah saiv
Napenda vile episode zinakuja tu mfululizo hakuna kuharibu time😊😊❤
😂😂😂😂😂😂
@@Magori_jh kweli😂
Kabisa si kama kitambo walikuwa wanatuweka sana
Wanawake ni wadhaifu sana kwakwel Duuuu
Nishafika Kenya 🇰🇪 watching from Nairobi
Nipe likes
❤
Mamb
Nawapendaa ❤❤❤🎉🎉🎉mung awapee maisha marefuu 🤲🤲
Amen
Jamani huyu rafiki yake na R..k eleweki do mnafiki huyu R..k wwe jarimbu kua na mtoto wakike Jackie natokea kenya 🇰🇪 Jamani like hapa na utambarikiwa🙏🙏🙏🎉🎉🎉
🏃🏻🏃🏻🏃🏻🏃🏻🏃🏻🏃🏻🏃🏻🏃🏻namm nimewahi leo jamni hamjambooo nyote
Had nimechekelea hii haijachelewa 😂😂
From Kenya movie iko sawa kabisa...jaribuni kuirefusha kidogo
Leo nmewahi 🎉🎉🎉❤❤ jmn na namkubali rk KAZI nzuri 🎉🎉🎉🎉
Now days you are very fast to bring us the sequel on time🤜
❤❤❤❤ rk nimewahi kaz zur kak na timu yako yote❤❤
Jack bado unampenda Ben lee mmmh mapenzi hapana kwakweli RK nae hajui kutafta wake anachukuwa wa mwenza kama kg na mond vile mmmh Asante wasanii wetu kwass mnatoa kwa wakat tunawapenda 💐🇹🇿
Yaani mapenzi tuyaache jinsi yalivyo😂😂😂😂😂😂😂😊😊😊😊😊🎉🎉🎉❤❤
R.k ongezaaa dakika movie nzuliii 🎉🎉🎉🎉🎉sanaaaa ❤❤❤❤❤❤❤❤
Kazi nzuri sana one love ❤❤❤💯💯 Rk
Waaaah Benley mwamba ak kazi nzuri sana wa kwnza kutoka kenya msininyime like zenu mm ni shabiki wenu mkubwa sana mwenye nafuatilia kazi zenu
Asante sana
Nmechelwwa hapo SI Kaa siku zingine like apa natoka Kenya na mungu awabariki
Naomba mkimaliza mtupe huu wimbo in full naopenda vinoma sana yani
Nawaomba tugongee like zenu kwa kupenda qwenyu......so much lover boy kutoka Kenya ❤❤❤❤
Yani uyu kaka siyo kwa myozo huyu ongereni kwakazi nzuri
Mtoto kautaka😂😂
Mr Rk Tunga hii movie ni Kali inastshili muda Fanya uganyavyo tuongezee muda jamani🎉🎉❤
🎉🎉🎉🎉🎉😊😊😊😊😊❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Naomben Elim kidgo ni Kwan wat huw wanaomba Like Tena ad wanalazimisha.. zinafaida Gan au Huwa zinaongeza nin Make.. ni kitu Ambacho nakutan nacho UA-cam dayle..
Wakwanza tok Burundi like zangu warundi wenzangu kwajili ya RK ❤❤🎉🎉🎉
Ila Jacky apo kwa Ben ungeacha kwenda Jaman 😂😂
😂😂😂😂😂
😂anaweza sasa
Mapenzi ww😂😂😂
Yaani mi huwa ananikera kweli !!😅
😂😂😂😂😂@@darlenesalum3667
Leo mumewai safi sana 🎉
Nakubalii sanaaaa kaziii za Rk ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mnajaribu sikuizi hongera❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Rk chukua mauwa yako kaz nzur sana ❤❤❤❤
❤❤❤❤❤
Tangu nianze kuwatch hii movie sjawai pata like😢😢Ebu leo nimewai nipee ata 2 pekee
❤
❤
jamani😢
Nakukubali sana RK
Asee munajitahidi kuwaish nawakubali❤❤
Benlee katulia na mchumba wa ki sure, 😂😂😂, alfu RK we mwache Irene si anajifanya ety amepata wa kulea mimba mpee nafasi ajienjoy
😂😂😂
Ha!! Benliii haupendwi tena😅
Na sitaki😂😂
Sema kudonyo
Congrats.... Hii hamchelewi ata huko wrong house jikazeni
R.k ameamua ni back to back❤❤❤❤❤🎉
Kaz nzur❤
"Namba unayopiga inatumika kwasasa"
Sauti ya KIUME Tangu lini😂😂
Tangu leo😅
@@Benlee2709 Halafu itakuwa Sauti yako😁
😂😂😂😂😂
@@jamesmboneko2952 Aweeeeeh🤣🤣
Mnafanya kazi swafi sana kutuletea vitu tamu tamu🎉🎉🎉
Wakwanza mimi huku from Kenya 🇰🇪nipewe like bhc😅
Naomba like kumi to 🎉 tem rk
Pamoja niko nanyi
Uk0 vizuri xaxa ivi kaka rk
Great job rk
Jameni movie tamu sana napend
Aiseee watu mko Fasta sana
Ben lee ako na mambo kweli hvi bado yuampenda Jacky ama😂❤
😂😂😂najua basi
@@Benlee2709 👍
Benlee tutakuchapa shenzii ww😂😂😂😂😂why unamadharau Ivo😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂atajua yeye
Akijua Kama irene umempa mimba utafute pa kwenda 😂😂😂😂
😂😂😂mara moja
Kwa kweli 😂😂😂
Moto sana i saay❤❤
Naipenda Sana hii move
Kazinizuri sana arakehi tumehipenda watazamaji wako mungu akuhinuwe zahidi❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kazi nzuri San nawapenda msichelewe wapenzi ❤❤❤
I like Rk videos ♥️♥️
BENLEE NA BENSON WANÀIGIZA VZR SAANA...YAANA WÀÑAÑIKOSHA SAANA LKN NAJIULZA WANAFANYA KAZGAN MBONA MDAWOTE WAKOBZE NA MAPENZ T
Kbs yaan kla mda n madem 2,,
😂😂😂😂😂😂 nimecheka
@@MaverickLotlahKAZI ya Nini sasa
@@Benlee2709how do you survive bila kazi😂
😂Bora wew umewaza kazi m Sjui staring nan adui nan yn sielew story mapenz Sawa ynafnyje eehee
Hongereni sana kazi nzuri naona piah mnapata sapoti nafrai juu ya Hilo nami nakuwa miongoni mwa watu wanaotoa sapoti katika channeli hii ongereni sanaaa hampoi rk na wenzako mbarikiweee
Asante sana kwa movie nzuli sana naomba mungu awalinde wote mlio shiliki kuigiza siri ya uba nawwpenda sana jaman mwaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kweli jaki ni mzuri mno anavutia namkubari sana
Obrigado primo por mandar mais cedo possível ❤
Ungeren jaman 🎉🎉🎉❤❤❤
R Kelly umetisha sana safari hii mapema tu ndo tunavyotaka sisi mashabiki zako isipite siku mbili siku moja unaweka ata mbili kama leo
Mbona R Kelly
Kama una mpenda rk tujuwane kwenye likes ❤❤❤🎉🎉🎉
Yani jack ni mzuri sana jmn❤❤❤❤❤
Benly anamchukulia poa sana Jackie asijue kua ni shemeji yake 😂😂😂😂
Aende kule😂😂😂
😂😂😂😂😂jmn benlee hana baya
Rk ...mpende Jacky Bana huyu mrembo unaumia Kwa Roho❤️❤️❤
Vinzuli sana vioginzi❤️❤️🧡🧡
Hawa jamaa wanaupiga mwingi sana, wapeni mauwa yao🥀🌹🌹
Kheee 😂😂😂😂Afu benlee mkorofii jamaniii sonyo gan Hilo
La mwana ukome😂😂😂
😂😂😂😂😂 sana
I LOVE YOU SO MUCH SIRI YA HUBA FORM BURUND 🧡💜♥️🧡💜🧡💜🇧🇮🇧🇮
Kaz nzuri sanaaaaa❤❤❤❤❤
Sisi kama mashabiki tunafurahi sana kuona kazi inapigwa kwa haraka hivi gonga like kama na wewe unaenjoy
Kazi nzuri rk toah mwendelezo wake brother
ila jack mzuri jaman na ilo jicho❤❤
Du movie kali sana imetulia haina vulugu za maneno,mambo ya kuchambana
Hivi Ben Lee anajikuta nani yani, 😂😂😂, anajifanya hampendi Jack kumbe anampenda 😂😂😂😂 na anawivu naee kinomaaaa
😂😂
@@Benlee2709 sema ukweli unampenda sema unapenda kumuumiza tu😂😂
Anampenda kweli 😂😂😂😂😂
@@Orenj-l8d tena sana tuu
@@JASTINSEZA Subutu
Leo na mm nataka like nione utamu wake
Asante sana lakin Raha unaipataje au unaiskiaje watu waki like? Nifundishen jaman na mm nataka raha
Ila benil alivyojichua na hayo marigo yake hapendezi kama mtu wa mdada mshamba mshamba😅nakuigiza Rk ndo kiboko yao amevaa uhalisia na jack❤
Kazi nzuri sana RK🇹🇿
Atakae soma SMS hii Mungu agufungulie milango ya ridhiki akupe hitaji lako nawachezaji wote Mungu awafikishe mbali pale munapo taka kufika nawapenda Sana from Burundi
Amen
Amen 🙏 🙏
Amen 🙏
am watching from Kenya jameni Hawa wanawake kutoka tz warembo jameni mnapendeza sana nipate MKE kutoka tz Rk and the team mungu awabariki sana kwa kazi nzuri mnayoifanya
Now yaanii masela mnazidi Kuni make happy jamani keep going on.😊
Changa moto kiekiekieeeeeeeeeee 🤣🤣 je vous aiment fort 🤝 Congo mon pays 👑🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Kama wewe umapennda hii kipindi nipelike zangu tukiendelea na maisha na kunyonya raha pamoja🙏🙏🙏👍👍👊👊
Nawapenda sana rk❤❤❤
Apa umejitahid aise! Zimewahi sana umetisha
Kazi nzuri ila beleee anajaribu kuumiza jack but jack ni jasiri sana
Niko pale😂😂😂
@@Benlee2709 😛😛😛😛😛
@@Benlee2709ila wewe mwamba una dhambi😅😅😅Jack wetu n jasir
@@elosygatwiri-r4l 🤣
@@mouna6920 Aweeh
❤❤❤
Sijui unapitia hali gani na una tatizo unaeangalia movie hii Mungu akulinde wewe na familia yako🙏🙏🙏
Jaman siri ya huba ni tamu mpaka tamu tena ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 ila benlee punguza zarau jaman unamuonea jack wetu
sijachelewa sana, jaman nawapenda nyote na nmpongeze Rk kwa umakin wake
Rk me naomba uwe Romeo me niwe Juliet wako mana I love you so much 😂😂😂😂😂
Rk pamoja na timu yako naipenda kazi yenu msichelew mungu awatangulie ktk kazi zenu mnafanya kazi kubwa San🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Asante sana kunielewa naomba na kesho tena jmn