PENZI LA MTOTO WA BOSS 💞 NA DADA WA KAZI PART 47 | Love Story

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 1 тис.

  • @Dontatv255
    @Dontatv255  13 годин тому +527

    MUNGU AKUPI UNACHO TAKA ANAKUPA UNACHO STAHILI 🥰❤

  • @zipporahvaati-r7h
    @zipporahvaati-r7h 13 годин тому +156

    U have done nice this round,,hamjakawia kutoa next part,,wenye wanakubaliana na Mimi gonga like apa

    • @basimisemusafiri4856
      @basimisemusafiri4856 12 годин тому +2

      Kitambo mulikuwa munasheza muzuri lakiniiakunaata atuonimafanyikiyo yoyoteata🎉🎉🎉

    • @basimisemusafiri4856
      @basimisemusafiri4856 12 годин тому +2

      Yakurudishamali ya kina kelvin jamani🎉🎉

    • @ChristineMaloba-hk9je
      @ChristineMaloba-hk9je 4 години тому

      🎉❤❤❤😅merry Christmas 🤶 😅

    • @VeenVv
      @VeenVv 3 години тому

      N Xmas ndio maana

  • @PerisInzeyi
    @PerisInzeyi 13 годин тому +79

    Umeanza kujaribu kuleta mapema, watching from kenya

  • @HawaHassani-ge8ko
    @HawaHassani-ge8ko 13 годин тому +109

    Waoooo💃💃Team Strong Mkuje Huku Donta Inafanya Yao mapema hataki Masiara King Kelvin 🎉

    • @MonicaMkombwe
      @MonicaMkombwe 12 годин тому +1

      Uwe unatutex mapema bhana

    • @hamidasaid-oh8fs
      @hamidasaid-oh8fs 12 годин тому +2

      Tupo uku

    • @HawaHassani-ge8ko
      @HawaHassani-ge8ko 11 годин тому +3

      @hamidasaid-oh8fs nakubali kipenzi yaan tutaunguza malabisi kwaajili ya Donta tv😂😂😂

    • @HawaHassani-ge8ko
      @HawaHassani-ge8ko 11 годин тому

      @@MonicaMkombwe au siyo ULI nom Nini😂

    • @hamidasaid-oh8fs
      @hamidasaid-oh8fs 11 годин тому

      ​@HawaHas😂😂😂😂😂😂sani-ge8ko

  • @SalhaShaban-h4v
    @SalhaShaban-h4v 13 годин тому +212

    Unaesoma comment hii MUNGU akujalie tuone mwaka mpya tukiwa na afya njema. Na akupe hitaji la moyo wako..donta family gather here🎉🎉🎉🎉

    • @KadejaMon
      @KadejaMon 13 годин тому

      🎉🎉🎉 everyone 🤲❤️❤️❤️ inshallah

    • @Marcykirui
      @Marcykirui 13 годин тому

      Amina🙏

    • @MonaEd-o4z
      @MonaEd-o4z 13 годин тому +1

      Amin thumma amin kwa sote my

    • @MaryamAbbas-o1c
      @MaryamAbbas-o1c 12 годин тому

      Amin thuma amiin kwa sote

    • @MwaJuma-x3t
      @MwaJuma-x3t 12 годин тому +1

      Ameen yarab

  • @Willyz550z
    @Willyz550z 13 годин тому +93

    WA Kwanza tena kutoka 🇰🇪🇰🇪.nipee like

  • @MagrethBernard-p2n
    @MagrethBernard-p2n 13 годин тому +103

    Kheri ya kristimas na mwaka mpya shabiki wenzangu, tuzidi kumwomba mwenyezi Mungu tu atuvushe salama

  • @keruboElizabeth-c4t
    @keruboElizabeth-c4t 13 годин тому +43

    Wa kwanza from Kenya 🇰🇪 🇱🇧 ❤️ nipewe like zangu

  • @Mosetieunice
    @Mosetieunice 13 годин тому +36

    from Kenya 🇰🇪 niko ndani kazi nzuri sana 🎉🎉🎉

  • @HajraRamadhan-x5f
    @HajraRamadhan-x5f 13 годин тому +123

    Anaesoma coment hii Mungu amfikishe mwaka mpya akiwa salama🤲🙏

  • @EliasRobert-f6f
    @EliasRobert-f6f 13 годин тому +29

    Mm wa kwanza leo jamani🎉❤❤ love sana wale wote munao fatilia movie hii muwe na happy Christmas

  • @ElesiaKinemji
    @ElesiaKinemji 12 годин тому +14

    Yeyote atakeesoma comment hii namtakia kheri ya krismas na mwaka mpyaaaa....na avuke salamaa❤❤❤❤🎉🎉

  • @SubbyDaudy
    @SubbyDaudy 13 годин тому +47

    Heri ya chrismas na mwaka mpya 🎉🎉🎉🎉 wapendwa asante kwa kutupa mambo yetu😂😂

  • @EverlineMamake
    @EverlineMamake 13 годин тому +19

    Mapema ndio best much love from 🇰🇪

  • @JuniorGazakartel
    @JuniorGazakartel 13 годин тому +43

    Any Kenyan 🇰🇪🇰🇪🇰🇪here let us support our brother from tz🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @PhostineWaswa
      @PhostineWaswa 9 годин тому

      🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 all the way and forever

  • @GladysKahindi-x4y
    @GladysKahindi-x4y 13 годин тому +20

    Leo nmekuwa wa kwanza, yaani mpaka raha😂😂😂😂😂

  • @HadijaVinyu
    @HadijaVinyu 13 годин тому +16

    Ila mnaomba like mnaboa kinoma😏, Eny way nawapa kongole wana Donta Tv🎉🎉🎉

  • @JeanMuganza-f5q
    @JeanMuganza-f5q 11 годин тому +5

    Ongera sana Kelvin Léo umewayi kabisa mimi wa kwanza kutoka drc 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @suleimankipyego5143
    @suleimankipyego5143 12 годин тому +10

    Na wakenya tuko wengi aje!!😂😂😂😂😂❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😅😅💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻

    • @PhostineWaswa
      @PhostineWaswa 9 годин тому

      🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

  • @KhadijaNassor-f6m
    @KhadijaNassor-f6m 13 годин тому +20

    Wooow Leo mumewahi cnaa ,kazi mzuri donta tv🎉

  • @agathaKamuya
    @agathaKamuya 12 годин тому +13

    wana donta kazi nzuri , sikukuu nimewaitia huku🇸🇸 tukisonga mbele prrfect.

  • @HappyDaudi-ub4hw
    @HappyDaudi-ub4hw 5 годин тому +2

    ❤️❤️❤️❤️Mungu awavushe mwaka salama Wana donta family wote nawapenda Sana ❤

  • @BikyeombeLubembela
    @BikyeombeLubembela 13 годин тому +20

    Wakwanza Leo pls Nipeni like zangu na mungu awabari mufike mwaka mpya 🎉🎉🎉❤Nawapenda ❤

  • @SeiphMkwizu-iz8ed
    @SeiphMkwizu-iz8ed 13 годин тому +36

    Kama umeanza coment kabla movie haijaisha like ap ❤ tujuane

    • @chomarChomar-y2y
      @chomarChomar-y2y 10 годин тому

      Kwa sisi nsumbiji tunakupenda sana na tunasema obrigado!

  • @JosephineEmmanuel-os5oj
    @JosephineEmmanuel-os5oj 13 годин тому +15

    Nawapenda bure ndota family 🎉❤

  • @AnnaWaswa
    @AnnaWaswa 13 годин тому +16

    Kevin ongera sana mungu akujalie kazi safi usichelewe tena 🎉🎉🎉

  • @HildaRuben
    @HildaRuben 13 годин тому +24

    Hongera kelvin kazi nzuri movie zako zinatuelimisha sana ahsante 🙏🏻🙏🏻

  • @SimbaSportsClubMemories
    @SimbaSportsClubMemories 12 годин тому +4

    Nakubali sana Kelvin Leo umeleta kazi Mapema huna baya kaka...Much love from Dubai 🇦🇪❤

  • @RuthExavery
    @RuthExavery 13 годин тому +18

    Waoooooh nimekua wakwanza Leo like zangu

  • @michaelombay4066
    @michaelombay4066 13 годин тому +26

    Wa kwanza naombeni likes 😁

  • @SaumuRuwa-r7j
    @SaumuRuwa-r7j 13 годин тому +13

    🎉🎉🎉hello guys njooni tuone Tina akiumbuka

  • @CatherineKiilu-j2l
    @CatherineKiilu-j2l 13 годин тому +11

    Kazi zuri guys mmefuatanisha vizuri ❤❤

  • @neemakoi6635
    @neemakoi6635 13 годин тому +9

    Wakwanza ili narudi 🎉❤❤😊kutazama nko busy

  • @DicksonAntonioErnesto-o6u
    @DicksonAntonioErnesto-o6u 12 годин тому +7

    Força Kelvin,hunafanya vizuli sana kutoka moz 🇲🇿

  • @Pisca-hj8zb
    @Pisca-hj8zb 12 годин тому +18

    Tina alisha kuwa mtu waku Liya lia tu niatari kweli 😂😂😂😂😂

    • @PhostineWaswa
      @PhostineWaswa 9 годин тому

      Kuna wakati wakila jambo wacha alie yamemfika aliyojitakìa

  • @MagrethNgadaya
    @MagrethNgadaya 13 годин тому +19

    Leo wakwanza toka ifakala naomba lake zenu jaman

  • @RonaldWabwire-ui1ti
    @RonaldWabwire-ui1ti 13 годин тому +10

    Broo nakukubali broo mungu asidishiyee miyaka uzidi kutuwelimisha broo Mimi ni roniclifh kutoka Kenya ❤❤❤❤❤❤

  • @MichaelLowisKayumba
    @MichaelLowisKayumba 13 годин тому +10

    Niko hapa number one leo
    Nipeni mauwa yangu

  • @AnnickyHatungimana
    @AnnickyHatungimana 12 годин тому +6

    Family Donta tunawapenda Sana kwa mafunzo mnatupa

  • @Cheusi_media
    @Cheusi_media 13 годин тому +16

    Big up kwa wote tunaozid kutoa saport kwa DONTA TV hakika mungu ni mwema 🎉🎉

    • @IsmailJuma-n4c
      @IsmailJuma-n4c 8 годин тому +2

      𝑳𝒂𝒉𝒂𝒖𝒍𝒂 𝒄𝒉𝒆𝒖𝒔𝒊 𝒎𝒆𝒅𝒊𝒂 𝒌𝒊𝒍𝒂 𝒌𝒐𝒏𝒂 𝒏𝒊𝒍𝒊𝒑𝒐 𝒏𝒂 𝒘𝒘 𝒖𝒑𝒐😂😂😂

  • @rozamarcelle1241
    @rozamarcelle1241 12 годин тому +5

    Jamani yahani kitu kimeingia nami nikotu nasina taharifa sijapenda kabisa nawapenda sana tena sana kelvin end lovenes ❤️❤️❤️💯

  • @DafrosapusNgomb
    @DafrosapusNgomb 11 годин тому +7

    Mungu akubariki sana Kelvin Kwa kaz nzuri

  • @HellenDaniel-o5q
    @HellenDaniel-o5q 13 годин тому +13

    Leo wa kwanza naomben like ata moja mim shabik mpya

  • @nshimiyimanaalex6467
    @nshimiyimanaalex6467 11 годин тому +6

    Asanteni sana kutupatia hii 🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼 Kigali Rwanda ❤❤❤❤❤❤❤

  • @JohnBosco1
    @JohnBosco1 11 годин тому +6

    Leo nimechelewa, lakini much respect Donta TV, much love from Burundi 🇧🇮 ❤🎉

  • @AmisseNsaluba-t4k
    @AmisseNsaluba-t4k 13 годин тому +9

    Kelvin kaka kazi mzuli nawatakia kazi njema

  • @RehemaSospeterKihanga
    @RehemaSospeterKihanga 12 годин тому +5

    Ongera saana team Kelvin Leo mmejitahidi kuwahisha sema dakika kidogo saana

  • @Loverboy-i2y
    @Loverboy-i2y 13 годин тому +10

    Leo umewahi kelvin 🎉

  • @ISHIMWETania
    @ISHIMWETania 13 годин тому +13

    From Burundi ❤❤❤ like zang wapenzi

  • @user-dv8qn9rs6g
    @user-dv8qn9rs6g 12 годин тому +4

    Mungu anasikiya maombi kaka kelvin ni Marcelin nawafata hapa Congo ❤❤❤❤

  • @JailethGodfrey
    @JailethGodfrey 12 годин тому +10

    Wadadaa tuoikubalii sautii ya denis kulikoo sulaa yakee tujuanee😅😂

    • @Frola-r9z
      @Frola-r9z 8 годин тому

      😅😅😅😅😅😅hii noma

  • @Emmajose-t8t
    @Emmajose-t8t 13 годин тому +2

    Walio tangulia na wale walichelewa walilipwa kiwango kimoja Maisha marefu yaliyo na mafanikio marry Christmas every one take care Drive safe donta tv good job bigup

  • @OFFICIALNOZLA
    @OFFICIALNOZLA 11 годин тому +4

    Jaman mungu awa. Saidie mje mtoe mv Kali zaid ya hy man kwa mwaka huu hy ndio mv Bola

  • @meresianaunami8337
    @meresianaunami8337 13 годин тому +8

    Nimewahi kumbe 4min❤

  • @RahelKashinje
    @RahelKashinje 13 годин тому +13

    Wa kwanza mimi naombeni likes jaman nawapenda afu nawatakia heri ya Christmas vipenzi❤❤❤❤❤

    • @Swabrina-
      @Swabrina- 13 годин тому +1

      ❤❤❤ nawe pia

  • @DianaDiana-ej6fn
    @DianaDiana-ej6fn 13 годин тому +8

    Wow ,,,kazi nzuri sana Wana donta tv

  • @TatuMkeso
    @TatuMkeso 12 годин тому +4

    Leo nimewah hongeren sana team ya donta,yajayo yanafurahisha

  • @sharifamasudi-b8u
    @sharifamasudi-b8u 13 годин тому +16

    Yaan leo nimeuwa wakwanza tangia kuzaliwa sijawahi😂😂mnipe mauwa yangu

  • @JoeriaAbdallah
    @JoeriaAbdallah 11 годин тому +4

    Next plz juu niko na bundles kipao ya nawarch tu hii movie juu inanifunza mambo mengi sana like kutoa bol kumbe inaeza kukudhuri mbeleni..Ooh mungu tusaidie sisi wasichana 😢

  • @AlinaNgimbudzi
    @AlinaNgimbudzi 13 годин тому +14

    Nimekuwa wa kwanza leo like zangu❤❤

  • @AminaDibwe
    @AminaDibwe 8 годин тому +3

    Kama binadamu nimeumia Tina kuto kushika mimba 😢😢mvuke mwaka salama 🤲🤲 wana dota tv🎉❤

  • @ZainabAbdullah-bc6pu
    @ZainabAbdullah-bc6pu 13 годин тому +10

    Leo nimewahi wa Kwanza au mnabisha😅

  • @riziki8406
    @riziki8406 11 годин тому +2

    Waaaah leo mapema ndio best mungu awabariki sana na pia nawaombea kher ya mwaka mpya

  • @annekimeu9107
    @annekimeu9107 12 годин тому +3

    Leo pewa kwa bill yangu Kelvin ☺️ ujakawia saana 👏

  • @AndrewFundi
    @AndrewFundi 13 годин тому +9

    Watu wanawahi sana kkkkkie 😂😂

  • @SylvainMuvunga-o3w
    @SylvainMuvunga-o3w 13 годин тому +7

    Mimi wakwanja njaamni❤❤❤❤

  • @YunusiAmina
    @YunusiAmina 13 годин тому +5

    Mambo nikama haya mapema mapema 🥰🥰🥰

  • @InvyolataIndasi
    @InvyolataIndasi 13 годин тому +8

    Wakwansa jamani kutoka kenya wapi likes zangu

  • @NgowaNgao
    @NgowaNgao 12 годин тому +2

    Hamjakawia donta lakini muda ni mfupi mno na episode iko fiti sana.big up lakini team kelvinloveness

  • @SaimoniChacha
    @SaimoniChacha 11 годин тому +2

    Team strong wote Calvin katuwez mwaaaaaaaaaa calvin❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @RizyoneSteven-e8b
    @RizyoneSteven-e8b 11 годин тому +3

    Oya weeh mnafanya vizuri sana Yan donta tv nakubari

  • @naomikisaba5785
    @naomikisaba5785 13 годин тому +4

    Kama Mali zitarudi kwa kevi atamuajili bonny😊

  • @JuniorGazakartel
    @JuniorGazakartel 11 годин тому +2

    Endeleleeni Tu vivyo hivyo,mnatupea burudani mzuri, much love

  • @HassanChinga
    @HassanChinga 13 годин тому +4

    godblesing brother kazi yko ninjema sana

  • @JaneJane-h2i
    @JaneJane-h2i 12 годин тому +4

    Tinnah na family yako mutavuna milicho panda😂😂😂😂rip baba kelvin 😭

  • @Wamwakera254
    @Wamwakera254 12 годин тому +2

    Wow kwanza 🎉🎉 yetu sote as a family of DONTA TV natumshuru mungu kwa mengi alotutendea mwaka mzima na alotuepusha nayo, happy happy Mary X-mass to all of us ❤❤❤❤🇰🇪🇸🇦

  • @Noella-p5u
    @Noella-p5u 11 годин тому +3

    Na merry Christmas 🎅 🎄 kwa watu wote muko munaangalia iyi film 🎥 ❤

  • @rayaalkhayfy2026
    @rayaalkhayfy2026 10 годин тому +2

    Sasa mpo vizuri asanteni sana hamucheleweshi ❤❤❤ thanks donta TV

  • @Amruche96
    @Amruche96 13 годин тому +6

    🎉🎉 great job

  • @edvoicemusictz2942
    @edvoicemusictz2942 13 годин тому +14

    Wakwanz leo her ya mwak mpya wana Donta tv

  • @JuniorGazakartel
    @JuniorGazakartel 11 годин тому +7

    Team Donta TV hamuezi kupita bila kuwacha like🥰🥳

  • @FgfRt-t6j
    @FgfRt-t6j 10 годин тому +2

    APO.SAWAAA KEVIII 😅😅😅😅😅 ONGERA ETI TINA HAWEZ KUPATA MUTOTO ❤❤❤❤❤ KEVI UNAPENDWAAA❤❤❤❤❤

  • @GatekayvanLight
    @GatekayvanLight 13 годин тому +8

    From kenya no1❤❤❤

  • @MuhimpunduIssa
    @MuhimpunduIssa 13 годин тому +2

    Wooooowww,wakwanza from BURUNDI, I love you loveness

  • @SarahOnchieku
    @SarahOnchieku 13 годин тому +3

    Amazing leo hujachelewa

  • @joycemuenimutua4506
    @joycemuenimutua4506 11 годин тому +1

    Kelvin next ifike kesho kwa wakati,ongera sana kwa kazi zuri pamoja na team yako ❤ Kenya

  • @MarthaFocus-q8u
    @MarthaFocus-q8u 12 годин тому +3

    Nikweli Mungu anakupa unachostahiliii❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @SalomeSumbizi-ll9wc
    @SalomeSumbizi-ll9wc 3 години тому

    Kunywa chochote Kelvin Bili juu yang kwa kuw umenifurahisha kuwaisha movie yetu pendwaaaa❤❤❤👏

  • @agneskarembo7805
    @agneskarembo7805 11 годин тому +3

    Wakenya hatuachwi nyuma...tuko na nyinyi bampa to bampa😅

  • @HappyDona-o7c
    @HappyDona-o7c 12 годин тому +1

    Hongelen Kwa Kaz mzuri kalibun mtwar kwetu tunawapend waigizaj wote wa hii kazi🙏🙏🙏🙏

  • @mamab674
    @mamab674 13 годин тому +11

    Nikisubiria Kristinamas naburudika, ninaomba na kesho turushiebkipandw

  • @HoHo-l1r
    @HoHo-l1r 12 годин тому +1

    Asante donta TV safali hii mmetutendea haki twawapenda sana tupo wote bega kwa bega hadi.wisho....

  • @Rukaka_jr
    @Rukaka_jr 13 годин тому +7

    Haya ndo maneno sasa sio leo kipande kimoja kingine mpaka upite mwezi

  • @KingQueen-f4r
    @KingQueen-f4r 11 годин тому +1

    Yaan donta tv Leo mumetufurahisha kweli 😊😊 kesho kama ivi tena kelv mapema ndio best ❤❤

  • @mariamabdulla7868
    @mariamabdulla7868 12 годин тому +2

    Tpo San team strong...team kelvin ns lovenes ❤❤❤❤❤❤

  • @JulienBaguma-y2s
    @JulienBaguma-y2s 13 годин тому +1

    Waooo!!! Léo épisode imefika mapema sana Ongereni sana donta tv tunawapenda sana

  • @GeorginaLumwago
    @GeorginaLumwago 13 годин тому +3

    🔥🔥🔥 this movie nyie 😢

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 11 годин тому +1

    Asante Kelven umewahii leyoo ubarikiwe sanaa nawapenda sanaa mungu azidi kuwabarikiii niwatakia ckuku nyemaa ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @Kephmusic-nr5jn
    @Kephmusic-nr5jn 12 годин тому +5

    Daaah Tamthilia nzuri sana kwa kweli, umefanywa kwa Ubunifu na Quality kubwa na kuna mengi sana ya kujifunza humo na yanalenga kbs maisha yetu katika Jamii. Ninaomba muongeze muda wa kutazama angalau Dk 30 mpaka 40 Hivi kama ilivyo mwanzo maana dk 20 ni ndogo sana.

  • @JohnMburu-x6i
    @JohnMburu-x6i 8 годин тому +1

    Kazi nzuri sana Kevin...funzo nzuri kwa jamii,,,watching from Kenya🇰🇪.