SIRI YA HUBA { 22 }

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 гру 2024

КОМЕНТАРІ •

  • @SONGA_TZ
    @SONGA_TZ 2 місяці тому +84

    Nakukubali sana RK move zako ni nzuri na zinapendwa na kila mtu endelea kutuletea vitu vizuri ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @martinskabwe
    @martinskabwe 2 місяці тому +78

    Eti oooh Rk anachelewa kutoa kazi Mara oooh sijui nini embu team Rk tujuane hapa ❤

  • @BL52Tv
    @BL52Tv 2 місяці тому +448

    Samahani Team RK vipande vyenu ni vya dakika chache sana kwa niaba yetu walau dakika 23... Tupo wangapi tujuane apa 👇👇👇👇

  • @MushuaSonda
    @MushuaSonda 2 місяці тому +108

    Jamani 😭😭😭😭, kwapamoja tumpeni poole jackline!!!, anapitia kipindi kigumu sana 😢😢😢😢😢😢,

    • @Juma-e8l
      @Juma-e8l 2 місяці тому +2

      Kweli mapenz kichakaa unayempenda hakipendi asiyekupenda unampenda😢😢😢😢

    • @IrakozeMydear
      @IrakozeMydear 2 місяці тому

      Kiukweli namuoneya huruma sana jack Wang 😢😢

    • @FlowinaFrolian
      @FlowinaFrolian 2 місяці тому

      Daaah 😢😢😢jack

    • @brianosiemo86x4
      @brianosiemo86x4 2 місяці тому

      😢😢😢

    • @NagisGamer
      @NagisGamer 2 місяці тому

      😅😅😅

  • @Patrickshukuru-l1e
    @Patrickshukuru-l1e 2 місяці тому +53

    Mimi ndo wa kwanza naombeni like zang jameni 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩👌👌👌👌👌👌

  • @Abomcleak
    @Abomcleak 2 місяці тому +161

    Wanaohona kama mke wa docta ni pisi kali tu like hapa

  • @ScholaMalale
    @ScholaMalale 2 місяці тому +10

    Jack wewe ni mzuri sana ❤❤❤❤❤

  • @chilovebeb4579
    @chilovebeb4579 2 місяці тому +29

    Akuna mwengne aliefika hku🤣😆😹 ko mm nipo mwnyew tuu na siri ya huba💃💃💃💃💃acha ni enjoy bila wakutaka like wafike
    Good job broo

  • @ebubu-bf1oy
    @ebubu-bf1oy 2 місяці тому +12

    Rk uko vzr mzee ,,kula pozi hapo kwa jack ❤❤

  • @StevenMakanja
    @StevenMakanja 2 місяці тому +19

    Ila Benlee ety safisha hapa sababu mpenz wangu Anakuja Duu Nimecheka sana😂😂😂😅😅

  • @ShalletHalima
    @ShalletHalima 2 місяці тому +25

    Rk ujue wamtesa mwenzako ssa mbona mfiche mapenzi yenu jamani n anaonyeshwa madharau alaaah!! Wanibwaga bwana

    • @cheskongwavi4564
      @cheskongwavi4564 2 місяці тому

      Jamani me napenda mwanaume wa aina ya bensoni yaani mbabe mbabe then I awe na wivu duuu wanaovuruga kabisa

  • @UmmuJuma-d9x
    @UmmuJuma-d9x 2 місяці тому +25

    Jamani mm sipendi macho ya benlee km so mtoto wa kiume anabowa

    • @Kidoaaisha
      @Kidoaaisha 2 місяці тому

      😂😂😂

    • @AshuraEssore
      @AshuraEssore 2 місяці тому

      Mim simpend tu kabisa yaan alivo mmh

  • @RukaiyaMkiwa
    @RukaiyaMkiwa 2 місяці тому +16

    Ki2 smart🎉 alafu kiwe kifumi jmn mbn km najilamba 😢

    • @aishaomar2287
      @aishaomar2287 2 місяці тому

      Chunga usidondoshe ute😂😂😂

  • @HamenyimanaJeanmarie
    @HamenyimanaJeanmarie 2 місяці тому +17

    Nimechelewa sana kabisa Ila naona mi ndo wa kwanza kutoka 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 tunawapenda sana ,naombeni like zanguuu❤❤❤❤ wanaopenda Siri ya huba

  • @sarahfisoo5689
    @sarahfisoo5689 2 місяці тому +10

    Ila jmni huyu kaka anaye nyodo pumbavu zakeeee😂😂😂😂benleee nyoko zako

  • @sophiaazizingaiwa3857
    @sophiaazizingaiwa3857 2 місяці тому +7

    Ila mke wa doctor mali safi❤ mimi ningekuwa jack nisingeendelea kukaa kwenye hyo nyumba ya benlee

  • @Farry-dx5wd
    @Farry-dx5wd 2 місяці тому +2

    Following this from Saudi Arabia 🇸🇦 🎉🎉

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 2 місяці тому +4

    Ukweli hueka mtu huru siku zote...wajina wangu umefanya vizuri kua muwazi❤ # hongereni nyote🎉🎉🎉

  • @mohamedwako2425
    @mohamedwako2425 2 місяці тому +14

    Rk please!!!,tafadhali ongeza dakika sisi mafans wako hatujafurahia😢episodes tamu na ni fupi sana tuongezee dakika😢😢I love your team

  • @FranquinaGeraldosoda
    @FranquinaGeraldosoda 2 місяці тому +25

    Leo wa2 nipeni like zangu from Mozambique 🇲🇿 plaus

    • @herosam254-v6k
      @herosam254-v6k 2 місяці тому

      Mozambique kwani wanaelewa kiswahili

  • @DommyAbasy-cn5nc
    @DommyAbasy-cn5nc 2 місяці тому +9

    huyi mke wa Dacktar masikini msema kweli mwenyewe sijui ni wangapi wanafanyaga hivo walai. 🙆🙏😁

    • @CynthiaNamjole
      @CynthiaNamjole 2 місяці тому

      Ilimbidhi tu juu D.N.A ingefanywa na angedhalilika 😢😢 she is good in reasoning doctor asimwache❤❤❤

  • @Mtumisi
    @Mtumisi 2 місяці тому +102

    Wakwanza hapa kutoka kenya weka likes

  • @SethJohnmeza
    @SethJohnmeza 2 місяці тому +4

    Namba one Niko hama munip cangu nduguzangu ❤❤❤nawapenda sana R.kbcp sana ❤❤

  • @Glorian-iv6xz
    @Glorian-iv6xz 2 місяці тому +13

    Waaaaaa nlivoitegea nikidhani nitawai kumbe kuna walio wai😂😂😂😂 nawapenda bur mashabiki wenzangu ❤❤ Rk kazi nzuri sana pamoja na team yko nawafatiliq nkiwa 🇰🇪 ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @HPZAYOZA
    @HPZAYOZA 2 місяці тому +27

    Wakwaza leo naomba like jaman sipati kabisa like yani

  • @AmisseNsaluba
    @AmisseNsaluba 2 місяці тому +7

    Leo mm wa kwanza kutoka 🇲🇿🇲🇿🇲🇿Mozambique wilaya ya Nangade asanteni sana

  • @marthaonkoba
    @marthaonkoba 2 місяці тому +25

    Ndio naingia bana team eastafrica tusupportiane basi Kama unapenda series ya huba pita na like basi❤❤❤🇰🇪📌

  • @DekelvaSoujaboy-mb8ps
    @DekelvaSoujaboy-mb8ps 2 місяці тому +1

    Kazi nzuri Sana my mwamba Rk unyama mwingi ❤❤❤ from Drc Congo Lubumbashi 🇨🇩🇨🇩💥💥💥🌟💥🌟

  • @Magori_jh
    @Magori_jh 2 місяці тому +19

    Dk 7 jamn nime wai sija chelewa RK popote ulipo Mimi pia ni mfuasi wako nipe like zangu huja wai nipa like 😢

  • @elijahbaraka
    @elijahbaraka 2 місяці тому +2

    Wow fantastic job. God bless you guys 🎉 next episode please

  • @Denis.rwegasha
    @Denis.rwegasha 2 місяці тому +4

    Movie ni nzur sana mabro sema sasa mnachelewesh vpande

  • @NiyonzimaTantine
    @NiyonzimaTantine 2 місяці тому +8

    Samahani team Rk dakika ni chache sana jmn 🎉🎉🎉🎉 nawapenda sana kutoka burindi❤❤❤

  • @AssdfAssd-g3y
    @AssdfAssd-g3y 2 місяці тому +2

    Team strong team fulus team Rk wp like zangu jamani ata kma nimekuwa wa mwisho bt nimefika mauwa yngu🎉🎉🎉🎉🎉🎉hayo jmni Rk bambi sana❤❤❤from kenya

  • @evelnjuma1834
    @evelnjuma1834 2 місяці тому +2

    Wow nawakubali sana ila mapenzi bahn khaaa mtihan sàna 🎁💃🏼💐🇹🇿

  • @VictorineKavira
    @VictorineKavira 2 місяці тому

    Nakukubali sana RK move zako ni nziri na zinapendwa na kila mutu endelea kutuletea vitu vizuri

  • @UmmuhUnique
    @UmmuhUnique Місяць тому

    Umetxha sana RK mungu akubariki kwa kaz nzuri ❤❤❤ unazo zifanya🙌🙌🙌🙌

  • @WeisikoAlex
    @WeisikoAlex 2 місяці тому +5

    Rk ongeza takika za movie please alfu hii move ni moto sana ❤❤❤❤❤❤ tunaifathilia sana ongeza takika ili tuenjoy movie

  • @Mamygumbo
    @Mamygumbo 2 місяці тому +11

    Rk vipande vina dakika chache sana jmn muongeze muda walau ata dakika 20 na dakika 12 jomon movie tamu ila vipande vifupiii

  • @Annyfiona-l4o
    @Annyfiona-l4o 2 місяці тому +8

    Leo nimewahi🎉🎉🎉🎉❤❤❤ kutok burundi naomba likes ❤❤❤

  • @JoowzeyDangote
    @JoowzeyDangote 2 місяці тому +1

    Namkubali Irene na bibi ya doctor,hao ndo pisi kali❤

    • @SalomeKawogo
      @SalomeKawogo 2 місяці тому

      haipingwi na kizur zaid anapenda Irene akiwa na rk na mke wa daktari akiwa na benson

  • @rethwilson9016
    @rethwilson9016 2 місяці тому +12

    Hii movie Kali natangia nianze kuangali sijawahi pata like

  • @DommyAbasy-cn5nc
    @DommyAbasy-cn5nc 2 місяці тому +1

    Movie ya tanzania alafu wajae wa kenya aweeee From Tanzania Number 1 Nawapenda sana ♥

  • @Nippaelly
    @Nippaelly 2 місяці тому +5

    Saiv wako motooooo ni chap chap😂❤❤

  • @RosinaPita
    @RosinaPita 2 місяці тому

    Namkubali sana RK move zake ni mzuri na zipenda Mimi natoka mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @princemodelizzy5341
    @princemodelizzy5341 2 місяці тому +6

    I like this story bro Rk❤

  • @SimbaSamson-t6b
    @SimbaSamson-t6b 2 місяці тому

    Kazi nzuri Team rk japo hapo kwa muda muangalie ss ndo tunaotazama👍👌🇰🇪

  • @vumiliarichard9347
    @vumiliarichard9347 2 місяці тому +1

    Rk wetu tunakupenda mno ndio maan tunafatilia movie zako tuliomba utuwahishie movie umefany ivo bas tusikilize na ili tuongezee muda vipande ni vifup san by vee 💕❤️

  • @AdamIshak-o9v
    @AdamIshak-o9v 2 місяці тому +6

    Jaman leo nimekuwa wa kwanza 🤭🤭🤭🤭

  • @user-Zadig
    @user-Zadig Місяць тому +1

    Nalipenda sana ili lijama li benly afu lijeuli❤

  • @SalimMaalim-o5n
    @SalimMaalim-o5n 2 місяці тому

    ❤❤❤❤ napenda xana mnavyo endeleza tamthilia hii Mungu uwape nguvu z kuendeleza Kaz yenu

  • @ChristysonmanpowerMutambo
    @ChristysonmanpowerMutambo 2 місяці тому +1

    Big up to you R,K
    Am watching from in Zambia🇿🇲

  • @Amillobabe
    @Amillobabe 2 місяці тому +6

    Boomfire definitely here, Hi Rk

  • @SyombuaMuvengei
    @SyombuaMuvengei 2 місяці тому +1

    Huyu rafiki yake na R...K anakejeli kinoma yaani do naitanzama nikiwa kenya 🇰🇪 pamoja kwa r..k❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @ElizaLikolika
    @ElizaLikolika 2 місяці тому

    Asante sana kwa muenderezo mzuli jaman pia nakupenda sana RK jaman mwaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @luisaugustovictor815
    @luisaugustovictor815 2 місяці тому +7

    Leo mm wakwanza kotoka msumbiji 🇲🇿

  • @ruksmohaa7071
    @ruksmohaa7071 2 місяці тому +1

    Doctor doctor doctor nimekuita mara ngapi😂😂😂😂😂

  • @MayengDulu
    @MayengDulu 2 місяці тому +2

    Mungu awabaliki sana katika kazi zenu ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @AsminKache
    @AsminKache 2 місяці тому +1

    Hii series ni pambe ila mda wake kikodo sana fanya kitu Rk hii ngoma yakipekee kijana tena kali mno❤

  • @CarolyneNyanchama-yk1gf
    @CarolyneNyanchama-yk1gf 2 місяці тому

    It is an interesting movie,,I have really enjoyed ❤❤ mzidi kutuletea vizuri zaidi otherwise nawapenda ❤

  • @legendCopy
    @legendCopy 2 місяці тому

    IYO inaitwa heshima ya ndoa kuwa mkweli mbele ya mumeo na kukiri kosa mbele ya Mungu wako, nazipenda Sana muvi zeno🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @SuhailaMohammed-t2o
    @SuhailaMohammed-t2o 2 місяці тому +5

    Jamn mwendelezo please usichelewe Rk nakupenda napenda unavyoigiza kipenzi❤

  • @reginaIssa-m2j
    @reginaIssa-m2j 2 місяці тому +2

    ❤❤ very nice.jac anateseka .Bado anampenda been lee

  • @YusratSalum
    @YusratSalum 2 місяці тому +1

    Kwan huyu mdad mzuriii hiviii benlee amemtoa wap 😢❤

  • @rubyrung8808
    @rubyrung8808 2 місяці тому +1

    Mambo mengi mda mchache mna tuénjoy sana dakika zenu kidogo😮😮

  • @AshaNzara
    @AshaNzara 2 місяці тому +1

    Rk angalia dakika broo 🎉🎉❤

  • @MariamuSalum-bb9ov
    @MariamuSalum-bb9ov 18 днів тому

    😂😂😂😂jakiiii adi RK anakustukia punguza presha

  • @LeahPeter-pr6cq
    @LeahPeter-pr6cq 2 місяці тому +1

    Mmeanza kufanya kazi nzuri sasa ju siku hizi naona mumejitahidhi kutunza mda wa kutoka movie

  • @BhutemiMapalala
    @BhutemiMapalala 2 місяці тому +1

    Rk we nihatari baba asiyekupenda hana D,, hata moja❤❤❤

  • @Amir-g2i5p
    @Amir-g2i5p 2 місяці тому +5

    from kenye wakwanza mungu atuweke salama kwawote wataoma hii comment na a like 🙏

  • @MorisiaMaliki
    @MorisiaMaliki 2 місяці тому +5

    Wakumi na nane leo jmñ na mm naombeni like zangu 😂😂😂

  • @officialsuma99
    @officialsuma99 2 місяці тому +5

    Good job ro movies

  • @aliciasy80
    @aliciasy80 2 місяці тому

    Kazi nzuri kabisa...nmeipenda💓

  • @willykijanaa
    @willykijanaa 2 місяці тому +5

    Dakika zenyewe kidogo Tena movie inaanza nyuma sana sasa si ni madharau 2 kwa mafansi wenu

  • @NaphtaliOchieng-e6g
    @NaphtaliOchieng-e6g 2 місяці тому +2

    Yes rk I appreciate your work. Give a like to all Kenyans

  • @GeyeJacques
    @GeyeJacques 2 місяці тому +1

    Nipo congo drc hizi filamu zitatuhuwa na raha jamani mmh berlin kwakurembuwa

  • @AbdurazackSaidy
    @AbdurazackSaidy 2 місяці тому +6

    Hatimae leo nimekua wakwanza kutoka newala tanzania

  • @HalimaKharoub
    @HalimaKharoub 2 місяці тому

    Mnakaaa Sana alfu mnaleta vipande vifupi jitahidn viwe viref kdg 🙏

  • @Charlene-ij3br
    @Charlene-ij3br 2 місяці тому

    Vraiment félicitations 🎉🎉🎉🎉🎉 kwa kazi 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @VfhDgjjv
    @VfhDgjjv 2 місяці тому +20

    Hii mimba sio yako😢 ivi mumeskia ama niongeze volume

    • @Onepiecefamily-v1c
      @Onepiecefamily-v1c 2 місяці тому

      Ongeza 😅😅😅😢😢

    • @mouna6920
      @mouna6920 2 місяці тому +2

      Aligonga na yeye akagongewa na s mayai 😅😅😅

    • @WilfredKibeu
      @WilfredKibeu 2 місяці тому +1

      Ongeza volume

    • @TabithaMaina-p2q
      @TabithaMaina-p2q 2 місяці тому +1

      Nakwambia hapa mtu ana watch Na uoga 😢

    • @SadyAsake
      @SadyAsake 2 місяці тому

      ongeza sauti

  • @happybalence
    @happybalence 2 місяці тому +5

    dah jack mpk hurum et pole mwaya 😥

  • @bombabinshwari6733
    @bombabinshwari6733 2 місяці тому

    Taharuki imetawala Sana Mwisho Wa kila Episode
    Hivyo Basi msiwe Mnakawia Sana Kudondosha Episode zinazofatia
    Ila Kazi yenu Kuntu sana
    Hongera sana

  • @FlanleMk
    @FlanleMk 2 місяці тому +1

    Jack ni mvumilivu sana aseeeee

  • @KingBless-t4j
    @KingBless-t4j 2 місяці тому +2

    Kitu kinanimbamba kwahii movie kunawarembo tu❤

  • @benardattekerubo5649
    @benardattekerubo5649 2 місяці тому

    Movie tamu jamani❤❤ ungetuonyesha tu vile doc na Benson walifanya😂😂😂 na vile nimengoja kuona

  • @nixonianzahoor3905
    @nixonianzahoor3905 2 місяці тому +3

    keep up giving episode on time like this....

  • @GladysKarembo
    @GladysKarembo 2 місяці тому

    Congratulations team Rk.Ila Benley unamtesa mwenzio Jacky ak waaaah.

  • @AgataFranciscoagustnhoAgostinh
    @AgataFranciscoagustnhoAgostinh 2 місяці тому

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤kazi mzuli rk endelea anae kuchukia ni mbaya wako

  • @SUZANAABEL-m5z
    @SUZANAABEL-m5z 2 місяці тому

    Jaman aisha ana sauti nzuri na kauki nzuri kwa mume wake bila shaka sio mbongo uyo mana wabongo hatar iyo

  • @SalhaAlly-j6y
    @SalhaAlly-j6y 2 місяці тому

    Aisha mke wa doctor nakupenda sana❤❤

  • @SeraphinIshara
    @SeraphinIshara 11 днів тому

    Imenivutiya hier mouvi kabisa, niko congo

  • @salimusaid304
    @salimusaid304 2 місяці тому +4

    FROM KIGOMA TWENDE HAPA KWA LIKE TEAM RK TUJUANE

  • @SheilaMbajira
    @SheilaMbajira 2 місяці тому +1

    Kazi nzuri Rk ila ningeomba mwogeze movie iwe refu kidogo sio fupi jamani kama unaniunga mkona gonga like hapa ata tano jamani ❤❤❤

  • @jackiekhajiji3889
    @jackiekhajiji3889 2 місяці тому +4

    Jackie my name love you dear❤❤❤🎉mapenzi moto moto

  • @PrinceAmos-y8t
    @PrinceAmos-y8t 2 місяці тому

    Hahahahhaha nakubali sana master rk 😂😂😂😊😊🎉

  • @QueenTyler
    @QueenTyler 2 місяці тому +8

    Much love ❤❤❤

  • @LeonedahTenge
    @LeonedahTenge 2 місяці тому

    Kazi nzuri sana RK lakini ongezeni mda kidogo jamani !!!!!!♥️♥️♥️♥️

  • @MwanamisiMuna
    @MwanamisiMuna 2 місяці тому

    Waigizaji muda nikidog sna tuongezeen kias utam ukianza kutiririka movie imeisha kheeee,all ov dat nawapenda nyte ❤

  • @RashidiSaidiIsrael
    @RashidiSaidiIsrael 2 місяці тому +2

    Jamani mwendelezo uko nakawiya rk fanya haraka iwe natoka part 5 kwa siku ❤❤❤

  • @elizabethkabanda4105
    @elizabethkabanda4105 2 місяці тому +3

    Kwahyo vimdundo dundo kidogo imeisha khaaaaaa😢

  • @XZOROXZORO
    @XZOROXZORO 2 місяці тому

    Kazi nzuli rk😊😊😊hivi umeharakisha asante sana rk😊😊😊