Haki ya mungu movi nimeipenda sana toka nilipoanza kuangalia movi za Tanzania ndio movi namba 1 one kuinjoi na kuchukua screen short na mimi nimejishangaa kwa kifanya kitendo kama hicho kwa kuvutiwa na movi nzuri sana hii love so much for entertainment me God bless all members Amen.
I’m starting to learn Kiswahili, and this has been the first movie I’ve watched fully in Kiswahili. It really motivated me to learn. Asanteni. Nakupenda.
Asante sana your response is supposed to be Karibu sana Nakupenda __Nakupenda pia (I love you too) I can offer you free classes if you don't mind n thanks so much for your love
Hongera sana mkaka kama life yako iko hiv utatoboa yan sio saut nzur hat hekima na utulivu unao Mungu akutangulie ukue zaid ya hapa dah hongera san bna
Mume bila nguvu zakiume inaleta shida sana,ikiwemo na zarau kifamilia,nimejifunza kusamehe,na kufanya subra ktk maisha,zaidi ya kindowa,kazi nzur sana wadau 🎉🎉.❤
Manshaallah nimependa san gsi imeisha imeishs vzri and nataman ibaki jaman ongeren san kazi mnajua bila unafki nawapa ongera nying san natokea burundi 🇧🇮 ❤🎉🎉🎉❤
Rk saut yako mavazi yako mi hoi hae pole boss mchawi sura yako aifai lomantc bn inafaa uchawi nakucheka kichaei nani alimuona boss mchawi skicheka kwa move ya Boss mchawi irvyomprndeza like yako moja2 jameeeeniii
RK kaka uko mpole sana unajitahidi sana na kipaji chako na pia hongera...tumia upole wa movie zako kama vazi la maisha yako kaka...usiwe na tabasamu la movie tu na upole...fanyia kazi tabasamu lako kwa wapenzi wako...am proud of you.... congratulations 👍
Tanzania mzima ukitoa movie za kanumba basi hii number Moja mko vizuri sana🥰
Arakae Kma Utulivu Wako Ndio Maisha Yako Alisi Kka Ongera Sana Nimekupenda Bureee❤❤❤❤
Nakubali BOSS MCHAWI NIPENI LIKES
Vp,nduguzangu,mukovizir,kwer,kwamuvi,zenu
Sawa❤❤❤
Bona ndugu Yako alale na bibiwe, iyo hairuhusio🙀🙀☠️
Hakuna movie nilikuwa naingoja kwa hamu kama kiume part 2 kaka RK hongera sana sana sanaaaaa unajituma sana na nazipenda sana kazi zako ❤️❤️❤️❤️
Daaahh hakika yametimia maana nilikuwa nahisubiria sana hiii story hakika yametimia natarajia kuanza mwaka huu vzr kwa kigongo hiki mubarikiwe sana
Washiriki wazuriiiiii movi nzuriiiiiiii kwa kweli mungu ametupa vyote vizuri
Dah kwakweli Rk kazi Yako n nzuri sana allhah akuzidishie kipaji kaka ❤ from kenya
Haki ya mungu movi nimeipenda sana toka nilipoanza kuangalia movi za Tanzania ndio movi namba 1 one kuinjoi na kuchukua screen short na mimi nimejishangaa kwa kifanya kitendo kama hicho kwa kuvutiwa na movi nzuri sana hii love so much for entertainment me God bless all members Amen.
Amiin 🤲
Hujaangalia movie wewe usimalize maneno, zipo movie ni balaa, kuna movie ukianza kuangalia huwez kukatisha zipo na ni za bongo
Bora ulivyo sema wewe😂😂@@Cambarada
We tafuta movie kwani bado hujaona
wewe munafiki sana edhi zaka numba hukuwepo au ulikuwa mtoto
Wallahi RK wewe ni Noma sana brö nakupenda Sasa uko mupole sana yani wewe unakuja nyuma ya Steven kanumba kweli 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
💯 ❤❤❤ sauti yake ni kama ya kanumba
Tusharudisha kanumba aki
Mmh kanumba Moto wew
❤
Ongereni sana mmefundisha vizur sana Mungu azidi kua nanyi
Rk unapendeza sana na pia uko na sauti tamu basi nipe likes tukisonga
Tamthilia hakika ni nzuri sana. Hongereni sana na karibuni zanzibar.
Ninoma dogo hongerra sana inaonekana we ndie mrithi wa the great
Hongera sana kwa kazi yenu nzuri Mungu awalinde na pia awatangulie kwa kila jambo mfanyalo
Yn RK una Saudi nzuriiiiii sana yn sipati picha ukowa na chimama wako chumbni dud hongera
Umeona eeeeh
Ten xn anaxaut mzur you kaka jamaniìiiiiiiiiiiiii❤❤❤
Jaman taratibu na Hy saut mchumba ake npo hp nasoma coment zenu😂😂😂😂😂
Kaka unakuja vizur san na unaweza kuwa zaid ya ivo keep it up
Shabiki tunataka mizigp kama hiii sio zigo za kiseng kiukweli nimeenjoi saana rk mungu akutangulie kijana mafanikio yawe juu yako nice one
Movie ni nzuri Sana hongera kwa wote waliofanikisha hii kazi ikiongozwa RK
Iko vizuri Sana hongeni mnajua kuigiza Sana mungu akuongezee kipaji cha kuigiza
Ujumbe mzito ,,,rk,,,esta na mumewee wamekujua kutendea haki uhusika. Nice movie
Rk nakubali sana kazi zako komaa uwe juu zaidi ya marehemu kanumba
Shemeji kwa shemeji mahaba ya likuwa juu,hari anaonekana kijana mdogo lakini wacha tu hee
Bando part 2 kaka mungu akuzidishie kazi yako nzuri ❤❤❤❤❤❤❤
Tunawapenda sana wandugu wetu watanzania,,,,,, one love from uganda❤. Although not good in swahili
Nimejifunza mambo ma wili ma kubwa ambayo naya juwa ila na yafanyia upuuzi,japo nimeitiza nyuma. Asanteni sana
Mungu akupe baraka telee Rk nakupenda piya uzidi na roho ya upole na umilivu piya ❤
Rk aki wewe uko poa na Zauti yako pia kila mtu anatamani kukuona..❤❤
Congratulations movie nzuri tunainjoy sana ubarikiwe sana
Big Love 💕 from Kenya 🇰🇪🇰🇪. You guys you are on another level of creativity. Good lessons learnt from this beautiful movie 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏
Rk saut hiyo jaman daah wewe n mzr,mtulivu, mpole, kila sifa umebarikiwa big up
Rk unasaut nzuri mno sema kitu basi niwe napata simu yako moja kila usiku kabla ya kulala iniliwaze 😢😢😢
Nilikuwa naitafuta hii comment 😃
Hii sauti inanivuruga ubongo mpaka maini 😂😂😂😂
😂😂😂😂❤
Mmmh
😂😂🎉🎉
Kazi nzur sana mia fil mia Allah awazidishie mupo vizur sana RK sauti yako nafananisha na Almaruhum kanumba Wallah hongereni timu mzima ya RK ❤❤❤❤❤❤❤
wow,unapendeza Sana nilkua namaubiria Sana huyu mwamba , kajua kuugiza kuitumia hii saut yke,Kisha kafanana Sana na rafiki yng
I’m starting to learn Kiswahili, and this has been the first movie I’ve watched fully in Kiswahili. It really motivated me to learn. Asanteni. Nakupenda.
Asante sana your response is supposed to be Karibu sana
Nakupenda __Nakupenda pia (I love you too)
I can offer you free classes if you don't mind n thanks so much for your love
Mungu awajalie kila lakhery muweze kuleta zengine kali zaid na zai Inshallah from Kenya saud
Rk kumbe sio mgeni kwenye uigizaji nilidhani Ile boss mchawi ndio ya kwanza... Upo vzr bro Rk much love from kenya
Nawakubali wazee moo love nyengine kama hii🇰🇪🇰🇪🇰🇪💪💪💪
Congratulations RK napenda sana movie zako kwa kweli unaweza
Woow, the guy has amazing voice ❤️❤️,much luv fr🇨🇦,, more movies plz
Duh! More Much respect!! hii nizaidi ya move! Rk Mungu aongeze maarifa zaidi ufike mbali❤❤❤
Nimependa sana video zako boss mchawi❤❤❤
Hongera sana mkaka kama life yako iko hiv utatoboa yan sio saut nzur hat hekima na utulivu unao Mungu akutangulie ukue zaid ya hapa dah hongera san bna
Rk upo vzur sana wewe ni fundi wakuigiza❤❤❤
Mume bila nguvu zakiume inaleta shida sana,ikiwemo na zarau kifamilia,nimejifunza kusamehe,na kufanya subra ktk maisha,zaidi ya kindowa,kazi nzur sana wadau 🎉🎉.❤
🎉🎉🎉🎉❤❤❤cogratulation aky nice movie mafunzo mazuri sana keep shinning ❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Jacky🔥🔥
RK nakukubali kaka hasa kwenye movie ya penzi LA huba umecheza vizur tunapenda❤ kazi zako brother
Daaa hii move tamu sanaa 💖💖 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 I like it
❤❤❤❤dah kila kipenger kiko bomba Sana naweza kusema hongeren kwaufundi wahali yajuu kiuigizaj
Asee nakukubali sana mshikaji wangu hii movie ni Nouma san
Good
Manshaallah nimependa san gsi imeisha imeishs vzri and nataman ibaki jaman ongeren san kazi mnajua bila unafki nawapa ongera nying san natokea burundi 🇧🇮 ❤🎉🎉🎉❤
Jamoon na mm naombeni likes zangu😅
Sawaaaaaaa
Good job nawapenda sana kazi yenu nzur mung awaongezee uwezo muendelee kutuletea Kaz nzur zaid
Rk jamani sauti hiyoo tafadhali...😢
When i was getting tired of uchawi😅nimepatana na hii❤ big stars rk na uyo mchawi after kanumba lemme create time tonight niwatch hii
Yani hii movie inanikumbusha kanumba mwenyewe❤❤❤
Mimi mamaako kutoka 🇰🇪 kenya nakupenda bure mwanangu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉congratulations
Freshi sana ...welcome to Kenya
Hongera sana,hakika movie zako zinakongo mioyo haichoshi kuangalia,Mungu azidi kukusimamia ktk kazi zako za sanaa
Rk ni Kanumba mdogo kwan tulikua mtu wa kuziba pengo la Kanumba ila ndiye uyo ametokea❤❤❤❤❤
Kabisa Ndugu Watu Kama Hawa Waitaji Sapoti Kubwa Sana
Mungu abariki zaidi kipaji chako nakukubali sana MR. RK
Kwa kweli Rk nawapenda sana ,,halafu natazama nikiwa kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪na nitazidi kuwafatilizia wakati mnaendelea kupost video zenu
RK wew noma kwa uigizaji kanumba wakwanza wew pacha wake natunakupenda xana karibu kwatu Burundi Pia nasietun ❤❤❤❤❤
Brother uko vizur sana ilove you kama huo ndo moyo wako Mungu akupe familia chema
Pia mmetufunza yaliomo Asante sana
Filamu nzuri nimependa sana🥰🥰🥰🇦🇪🇦🇪🇧🇮🇧🇮
Asante sana nimeipenda Kwa moyo wa upendo,, MUNGU Awe NANYI.
Dah hakika Movie hii ni nzuri nzuri kupita maelezo ♥️♥️♥️ Big up sn 💪 kwa Alie iandika Pia kwa Team nzima ya RK,Inamafunzo mazuri jaman
Daah...Rk uko vzurii sana Maashaallah hongera kwa kazi nzuri
Ubarikiwe mtumishi Mungu akulinde juu ya kazi zako.
Rk saut yako mavazi yako mi hoi hae pole boss mchawi sura yako aifai lomantc bn inafaa uchawi nakucheka kichaei nani alimuona boss mchawi skicheka kwa move ya Boss mchawi irvyomprndeza like yako moja2 jameeeeniii
Ni vile haiwezekani ila ningekupa like 10
I really enjoy the movie Boss mchawi
@@lucyatieno6460 ❤️
😅😅😅😅😅😅
Kabisa huyo anafaa kuwa mchawi tu 🤣🤣🤣
Boss mchawi namkupali Sana mungu awabariki Sana Na rk
Sema huyo broo scine zake za uchawi tu mapenz aaaaaaah
Masha allah kazi nzuri sana mungu akubariki uzidi kuwa mjuzi zaidi
Bro kaza san ndokizazii chako hiki me napemda jisi ulivo ipangilia movies mungu akubaliki
RK hongera sana kwa kazi nzuri movi zako nzuri sana nazidi kuzifatilia
Kaz nzur Ilove RK❤❤🎉🎉🎉
Movie nzuri na watu wazuri tena roho safi Mungu azindi kuwainua milele
Kwahiyo ulisubir shemeji apate mimba kwanza😂 umetisha mzee baba 😅😂😂😂 hongereni kwa kazi nzur👏👏👏👏
Yaan me saut yako tu rk ndo huw inanikosha❤❤🎉
Nakupa hongera kwa mara nyingi ila nakubali kazi kabisa bro na ubarikiwe zaidi
RK kaka uko mpole sana unajitahidi sana na kipaji chako na pia hongera...tumia upole wa movie zako kama vazi la maisha yako kaka...usiwe na tabasamu la movie tu na upole...fanyia kazi tabasamu lako kwa wapenzi wako...am proud of you.... congratulations 👍
Nice 👍 kazi nzuli Asanteni 🙏🙏🙏
Team strong weka like hapa kumkubali RK
Tunawapenda sana from Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮
KAZI NZURI BWANA RK... MWENYEZI MUNGU AKUPEE UJAZIRI KUPITA HAPO......NAOMBA LIKES KUTOKA NYC
RK nakukubali sana dear🎉🎉🎉
Rk sauti yako Ina mvuto sana hongera kijana na timu yako nyote munapendeza sana
Kazi nzuri sana 🤜🏼
Makini
RK napenda sana mamako ata katika boss mchawi alifanya juu chini ili akupata kwa kazi mahali ulikuwa, congratulation you are the best mother
Nakupenda sana arakei 🎉❤❤❤❤
Daaah move inauzunisha nakufurahisha ninzur sana jmn hongera zako mtunzi❤❤❤
Dah huyu kaka ana sauti nzuri uwiiih
🙆🙆
❤❤❤
Hongera sana rk kwa kazi nzr
Kiukweli nimeipenda sana. Mumemaliza vizuli sana🎉🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Tupo congo ila kazi zina fika vizuri sana,, rk mambo?
Niko kenya nafatilia sana Rk vpy
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤very nice my Frend movie zuli xana goood job twawapenda
Sauti yako tu rk me hoii 💕
Pol mway 😂
@@arbinuwamahoro7370 tuwaambie ni umalaya tu ama 😂😂😂😂😂😂
Kwa kweli nawapenda saaana ❤hiyi movie naitazama nikiwa Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮tena RK una sauti nzuri
aya pacha wangu
aya pacha wangu
kaka RK nakupenda sana unajua sana yani ww nikanumba kqbisa kaka nakupenda sana mwaaa naomba mungu akufikishe mbali zaidi ❤❤❤❤❤i🎉🎉🎉🎉🎉🎉
sawa kabisa napenda movie za rk
Kweli RK anajua kuigiza Ila bdo ajafikia kiwango Cha kumfananisha na KANUMBA
Rk movies zako huwa zinanitia moyo sana
Woow Napenda ga moves zenu ninzuri❤️❤️❤️❤️❤️ sana
Rk kazi nzuri sana nawapenda sana