Chama cha wanahabari chalaani kitendo cha polisi kumkamata mwanahabari Macharia Gaitho

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 сер 2024
  • Mwanahabari Mkongwe Macharia Gaitho amesema kukamatwa kwake na kisha kuachiliwa na makachero ambao hawakujitambulisha kwake hakutamzuia kuendelea kuikosoa serikali. Gaitho ambaye alijeruhiwa mkononi wakati akikamatwa amesemaalifuatwa na gari asilolijua kutoka nyumbani kwake hali ambayo ilimfanya aingie katika kituo cha polisi cha Karen kupata usaidizi

КОМЕНТАРІ • 24