MREMBO WA ALI KAMWE AFUNGUKA A - Z, SAFARI YAKE KUJA DAR, KILICHOTOKEA KATI YAO BAADA YA KUKUTANA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 тра 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 26

  • @dayana5513story
    @dayana5513story Місяць тому +4

    She is beautiful 😍

  • @steveanthon5523
    @steveanthon5523 Місяць тому +6

    Ndiyo mkome kupama make up, zinawazeesha, tazama bila make up unavyopendeza!

  • @sophiakayumba5974
    @sophiakayumba5974 Місяць тому +5

    Ni mzuri sana na wala hana shida yeyote, namfurahia zaidi kwamba ana kitu chake cha kufanya yaani biashara na sio kwamba ni slayqueen aliyekalia kupiga tu picha na kupost, congratulations little queen, tupunguze ku-bull watu.

  • @magrethmagessa2445
    @magrethmagessa2445 Місяць тому +2

    Mungu akutunze mdogo angu

  • @wamangaitv2288
    @wamangaitv2288 Місяць тому +3

    Daaah dadaake nmesoma nae kabisaaaaa❤wow

  • @bennamush4616
    @bennamush4616 Місяць тому +1

    Nakupenda mtoto wa Edes ❤

  • @SandreAlhlwah-bv1cx
    @SandreAlhlwah-bv1cx Місяць тому

    Kazuri❤❤

  • @leoniaashery9337
    @leoniaashery9337 Місяць тому

    Mwanahabari mmbeya😊😊😊

  • @user-ek2ij1lk3x
    @user-ek2ij1lk3x Місяць тому +1

    Kaz NZr

  • @happinesskitali164
    @happinesskitali164 Місяць тому +3

    Kazuri mno

  • @user-mw5xs2wx8n
    @user-mw5xs2wx8n Місяць тому +2

    Sio mekap alikua anatembea km kajinyea ila fec haikua mbaya

  • @oyay2821
    @oyay2821 Місяць тому +2

    Mbona amekaa kombo? Ali Kamwe ashamvunja centre bolt.

  • @HelsonRuchagula
    @HelsonRuchagula Місяць тому +1

    Ni mzr bwana

  • @javandaudi5553
    @javandaudi5553 Місяць тому +1

    Kumbe kabaya hivi

  • @nancyg8664
    @nancyg8664 Місяць тому +4

    sauti ya wema inawaaribu warembo wengi kwakwel😂

    • @Annalisejg2ur
      @Annalisejg2ur Місяць тому +2

      Hicho kisautiii😂😂😂😂

    • @britneyivy
      @britneyivy Місяць тому

      Acha bhn...kwan sauti anayo wema tuu af mbn wala hazifanani

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 Місяць тому

      @@britneyivy kila mtu anacomment kulingana na kile masikio yake yamesikia mimi naweza kusikia sauti kama ya wema wewe unaweza ukasikia ya jaiva.

  • @majaliwamussa9268
    @majaliwamussa9268 Місяць тому +1

    Nyie wadadisi wa mambo binafsi

  • @ombenikefa7342
    @ombenikefa7342 Місяць тому +1

    uyo mtu wa make-up ndo alizingua😂

  • @Jackilinedanielikilika
    @Jackilinedanielikilika Місяць тому

    shida nimekapu nimlembo kumbe

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 23 дні тому

    Wewe mwandishi nimwongo sana hayo ni YA mtu binafsi. Udadisi gani huo?

  • @rizikimtui8992
    @rizikimtui8992 Місяць тому

    Kamwe ajamwacha 😢

  • @charlskaswiza2982
    @charlskaswiza2982 Місяць тому

    Kwa ninavyojuwa xx watoto wa TMK ww kamwe mtu kashaliwa apo 😂😂kama msemo wa kondacta nyanyuwa miguu juu tuingize mzigo😂😂

  • @Mosses8
    @Mosses8 Місяць тому

    Hahahahahahaa nakweli duuu