#EXCLUSIVE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024
  • #EXCLUSIVE: ASKARI SABASITA ALIYEJIJENGEA KABURI afunguka "MUDA SI MREFU NITATOWEKA DUNIANI"
    www.youtube.co...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 59

  • @marselojr9884
    @marselojr9884 Рік тому +14

    Binafc cjaona km ni jambo baya nafikiri 2 hofu ya watu wengi ni kwamb jambo Hilo ni geni kwetu na siyo Mila na desturi zetu mtu kujichimbia kaburi mwenyew

  • @ZeraGeofrey
    @ZeraGeofrey Рік тому +11

    Baba Tunda🙌

  • @NixonGerson
    @NixonGerson 11 місяців тому +1

    Utafanya vyote ila moto unakusubiri wewe waza kufa tu hujui kilichopo ndani yako

  • @Chettymlambalipsi-lb9km
    @Chettymlambalipsi-lb9km Рік тому +9

    Hangaika na mambo ya Dunia hii lakini lazima utakufa tu.mzee upo sahihi kabisa Kwa kujipanga mapema na kuwapunguzia uchungu wale ambao watakuja kulia siku ya msiba wako manake wakiwa wanaliona Hilo kaburi pindi ukiwa hai na ukifa wataona kawaida

  • @juma2979
    @juma2979 Рік тому +7

    Hiyo ni afya ya akili

  • @mathewungani9724
    @mathewungani9724 Рік тому +2

    Mpuuzi we Mzee...

  • @NaomiChristopher-mt2yh
    @NaomiChristopher-mt2yh Рік тому +2

    Kama hela ipo unajiandalia mazingira ohooo!!!, Unawaacha pesa wanakuzika ovyo lazima uwe na uhakika wa utakapolala😅😅

    • @jostamzxkaole3113
      @jostamzxkaole3113 Рік тому

      Iyo plani nzuri 🤣mtoto uezi kuuza iyo nyumba hatakama ela ikiishayoote::

  • @davidwalalason7630
    @davidwalalason7630 Рік тому +4

    Ni njia moja ya kutosababisha vita siku yake ya mwisho kwani tushaona sana familia zikizua ugomvi wa sehemu marehemu atalazwa

  • @PrinceBonnyTz8
    @PrinceBonnyTz8 Рік тому +2

    Mzee unazingua unatumia million 7 kujenga kaburi😅😅 hiyo ni Nyumba mzee

  • @martinpaul1241
    @martinpaul1241 8 місяців тому

    Tatizo nyumba anaifanya ionekane kama kaburi.

  • @PanchoValentino-wh7wt
    @PanchoValentino-wh7wt Рік тому +1

    Yesss hakika kabisa

  • @joshuasamson9618
    @joshuasamson9618 Рік тому +2

    Vizuri jambo nzuri sana andaa makao milele roho inavyotaka

  • @christopherjoseph8330
    @christopherjoseph8330 Рік тому +2

    Jambo jema, ila tusiamini kwenye shimo la kaburi kifo ni siri kubwa huwezi jua itakukuta wapi pengine baharini mwili usionekane tena.

  • @Jonnibo
    @Jonnibo Рік тому +1

    Wengi tunazikwa vibaya kwa kukosa maharifa

  • @hamidudigogo5863
    @hamidudigogo5863 7 місяців тому

    Sasa anywe sumu ili yakamilishe alivyo viandaa

  • @agnesjohn9382
    @agnesjohn9382 Рік тому +1

    Mmm kuwa uyaone

  • @saretachacha8637
    @saretachacha8637 Рік тому +1

    Uko sawa mzee, kufa ni lazima

  • @Omarychadda
    @Omarychadda 7 місяців тому

    Mzee mi naomba nisomeshe tu maana napata tabu

  • @Tchidymbanga
    @Tchidymbanga Рік тому

    Tujiandae kwa ajili ya mwisho mwema, tuandae pepo sasa ili iyo hewa nzuri ikufikie.🎉🎉🎉

  • @RachelBriervanity1
    @RachelBriervanity1 Рік тому

    Kaka yangu katumia akili ya kuzaliwa hakuna cha mtu hapo hahahaa

  • @rashidisaidi8535
    @rashidisaidi8535 Рік тому +5

    Sasa ata ukilipamba ivyo ndo utaenda pepon?? Jiandae kwa ibada hivyo vyote ni vyaanasa

  • @rashdiyange7758
    @rashdiyange7758 Рік тому +1

    Kwakwer majambawaz walijuta kwako

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 Рік тому

    Good!!

  • @wisperfect5320
    @wisperfect5320 Рік тому +1

    Yupo sawa kwan mwanadam kitu pekee ambacho unauhakika nacho ni kifo tu

  • @issackathman850
    @issackathman850 Рік тому +2

    huyu itakuea alifanya madhabi sana

  • @godfreyjames8582
    @godfreyjames8582 Рік тому +1

    Sema ukisema utakufa siku si nyingi na Mungu nae hakuchukui unaishi saaana

  • @salehwaziri5062
    @salehwaziri5062 Рік тому +2

    Huyu ndioyule alikuwaga morogoro miakaya nyuma auwanafanana majina

  • @paulntalima6998
    @paulntalima6998 Рік тому +2

    Afya akiri ni changamoto

  • @hamzamsafiri3418
    @hamzamsafiri3418 Рік тому +1

    HUYU KADATA MILIO YA RISASI ISHAMFYATUA NETWORK UKIJICHANGANYA TU HATA RISASI ANAKUWEKA, NA HILO KABURI LITAKUWA LINAMUITA HANA SIKU SI NYINGI ATAONDOKA HUYOO

  • @Liliana-mc2su
    @Liliana-mc2su Рік тому

    Soon unatngulia

  • @ip_header
    @ip_header Рік тому +1

    Kwahiyo anaogopa akifa hatozikwa? au ndio swagga za kidunia?

  • @Jonnibo
    @Jonnibo Рік тому

    Yuko sawa kabisa ni swal l kili tu all we are dying suddenly

  • @abdulkadirmbarouk5634
    @abdulkadirmbarouk5634 Рік тому +1

    Ukifa utapelekwa kijijini ww 😂😂

    • @alexchamy2289
      @alexchamy2289 Рік тому

      Hapo ndio kijijini Moji kijijini ni kama mjini

  • @njoroboihastla
    @njoroboihastla Рік тому

    Manyara,kiteto tunamjua vzr sana😂😂

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 Рік тому +1

    Hapendi kuja kusumbuka baada ya kifo

  • @IzihakaFihirini
    @IzihakaFihirini Рік тому +8

    Kwahali hii lazma atakua anaishi maisha mazuri kwakua kifo kwamtu aliyeokoka nisawa kwakua mwisho wasku anaamini atafufuka katika wafu ivo nisalama kwakua kristo yesu kashinda basi tutashinda

  • @pendomarco8928
    @pendomarco8928 Рік тому

    Baba akili nyingi naamini unajiandaa ata njia zako

  • @Chakol123-k7s
    @Chakol123-k7s Рік тому

    Wote mnao judge vibaya huyu mzee nyie sio watoa hukumu mwacheni mzee wawatu.... Mungu ndio finally judge binadamu mnapiga kelele tu.. Nmefurah kusikia kuwa amemrudia mungu❤❤

  • @fatuma3969
    @fatuma3969 Рік тому +3

    Omba msamaha kwa mungu wako hata ukifanya hivyo mungu hapendi umeumbwa kwa udongo lazima ulalie hayo ni makosa makumbwa mbele ya mwenyezi mungu huo ni msiba mkubwa kabisa

  • @rizikiabdalla2501
    @rizikiabdalla2501 Рік тому +1

    Linapaipuuu ya kupitishaaa hewa au kututoleaaa unuko wako ukesha ozaaa

  • @lelaiddy6856
    @lelaiddy6856 Рік тому

    Baba Tunda Whozu