Huyu ndiye Prophet Lovy Longomba, mpwa wa Awilo, alinunua kanisa lake la Marekani kwa TZS Bilioni 22

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 гру 2023
  • Tembelea www.sns.co.tz kwa habari nyingi zaidi
    Subscribe kwenye channel yetu ya WhatsApp
    whatsapp.com/channel/0029Va84...
    Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
    / simulizinasauti
    / simulizinasauti
    / simulizinasauti
    / simulizinasauti

КОМЕНТАРІ • 387

  • @prestonkenyaofficial
    @prestonkenyaofficial 7 місяців тому +4

    Dude has been nominated for Grammy as the best producer. LOVY IS BLESSED

  • @dorsandollah3384
    @dorsandollah3384 7 місяців тому +2

    Mungu mm ni mwenye dhambi, nisaidie Mungu wangu 👐👐

  • @bonnyngowo7567
    @bonnyngowo7567 8 місяців тому +10

    Njia za Mungu kamwe HAZICHUNGUZIKI.Do not comment negatively for something you do not know for sure😢😢

  • @johnjackson9665
    @johnjackson9665 7 місяців тому +1

    Papaa Lovy my prophet since I saw you preaching in Tanzania on the night of wonder you are the wonderfully anointed Prophet gether with our Papaa Java, Iam now make a follow up on your page insta and you tube, I learn a lot the word of Lord Jesús through your preching

  • @evelinadodie9443
    @evelinadodie9443 8 місяців тому +7

    Dunia iko mbali Mungu atupe macho ya kuona mbali

  • @kimah9855
    @kimah9855 8 місяців тому +5

    Lovy na Christian tunajua😂😂😂❤️Sasa hana bro yake 😢It’s good to see Sasa ni mtu wa Mungu ❤❤❤

  • @MohammedMohammed-uo5sk
    @MohammedMohammed-uo5sk 8 місяців тому +3

    Ok,Longombas two bro who had good vibes in their music chemistry but they work hard but Kenya was there base foundation.God is great

  • @abelsimfukwe8404
    @abelsimfukwe8404 7 місяців тому +2

    Yes pastor LOVY GOD BLESS YOU MORE THAN MORE

  • @clouartmichael7296
    @clouartmichael7296 8 місяців тому +18

    Mwenye sikio na asikie ...Manabii wa uongo wamekuwapo Mathayo 24:24 na utawagundua kwa matendo yao mionekano yao Yakobo 2:26 ...ila tuwe makini na haya matamasha mnauzwa nafsi zenu mnaposhiriki madhabahu ya haw manabii ...

    • @ProphetRomly
      @ProphetRomly 7 місяців тому

      Mungu asipowaokoa wewe waweza? Lini ushawahi waombea hao unaodhani wamepotea? Je, Ushawahi kufunga kumuombea mtu yeyote mbali na ndugu zako? Kama niliyoyasema jawabu ni hapana basi utubu na uanze kumtafuta Mungu Nawewe ukahubiri maana wote tumeagizwa kueneza habari Njema.

    • @clouartmichael7296
      @clouartmichael7296 7 місяців тому

      @@ProphetRomly1 Wakorinto 14:33 Kwa maana Mungu si Mungu wa machafuko, bali wa amani; vile vile kama ilivyo katika makanisa yote ya watakatifu.

  • @MohammedMohammed-uo5sk
    @MohammedMohammed-uo5sk 8 місяців тому +5

    Thank I've seen them performing live in Kenya at mombasa show grounds as curtains riser for Mr Nice #Fagilia bongo and that time Mr Nice ndio kusema but look now #Lovy Longombas God has lifted him up to better the world.

  • @MtazameKristoTv
    @MtazameKristoTv 7 місяців тому +1

    Hallelujah 🙏 Men of God ❤❤❤

  • @mikkello3590
    @mikkello3590 7 місяців тому +1

    All these servants of God have the same encounter that leads them to serve God. They all encounter Jesus one on one

  • @haruniaisha5905
    @haruniaisha5905 7 місяців тому +3

    Utajiri na eshima viko kwa mungu 😍

  • @kipleedy
    @kipleedy 6 місяців тому +1

    Life is spiritual, kafara hutolewa... wachache sana wataelewa nilivyo sema.

  • @dianafinnes3248
    @dianafinnes3248 8 місяців тому +8

    I honour the Annointing on you ,Papa Lovy,GodBless you 🙏🏽

  • @janenandi4095
    @janenandi4095 7 місяців тому +1

    PROPHETIC Word FEARLESS Preacher UK 🇬🇧 IM IN AGREEMENT WITH YOU U PAPA LOVY : BLESSINGS ARE ONLY FROM GOD ; 👀 POA ; F FOREVER REMAIN BLESSED ; FOR THE MOUTH 👄 OF THE LORD HAS Spoken NO OTHERWISE ; IIM GLAD WE SPEAK 🗣️ SPEAK language AND FROM SAME COUNTRY ; I LOVE ❤️ KENYA 🇰🇪 KARIBU HOME 🏠🙏🏼❤️

  • @irakozesania1680
    @irakozesania1680 8 місяців тому +2

    Mungu ni mukubwa

  • @stephenmwanzake
    @stephenmwanzake 8 місяців тому +8

    ❤Nampenda sana Pops. Jamaa amenyenyekea sana kutumiwa na Mungu, Jehovah ahimidiwe kwa hilo jambo. Maneno yananiishia, machozi ndo mengi, Ya furaha na kumshukuru Yeova

  • @silviasaleh4667
    @silviasaleh4667 8 місяців тому +1

    Lord have mercy, kanisa Lao nilagarama which it's not a lie but.....aprophet knows all his neighbors that's a good one.

  • @MujuniKamugisha
    @MujuniKamugisha 8 місяців тому +15

    Dunia hii maprophet kila kona watu wanadanganywa kwa sababu wamekosa maarifa
    Wakristo tafuteni sana kujua neno

    • @TabiaMwaisumo-ss7pz
      @TabiaMwaisumo-ss7pz 8 місяців тому +1

      Tupe hilo neno tulijue lkn kama huna neno acha maneno luka 6:37 itakusaidia sana kuchunga kinywa chko

    • @francisprot5586
      @francisprot5586 8 місяців тому

      Toa sababu na evidence, usiongee usivyo vijua. Be +ve

    • @Elllllllllllly
      @Elllllllllllly 8 місяців тому

      Neno linasemaje??

    • @carolinederi5690
      @carolinederi5690 8 місяців тому

      ​@@TabiaMwaisumo-ss7pzZidi kusoma neno hyo verse moja haiezi kukisaidia coz hawa si watumishi wa Mungu wa kweli
      Yesu alichkiwa sana ukiona mtumishi yuapendwa jua ni wale kondoo ndan ya mbwamwitu

  • @joshuamuro9494
    @joshuamuro9494 8 місяців тому +3

    Kafanana sana na AWILO MWENYEWE anzia kichwa mwili hadi sura

  • @user-pq2vt8yz6p
    @user-pq2vt8yz6p 7 місяців тому +1

    Wateule tuwe macho ni siku za mwisho,neno la Mungu linasema mtawatambua kwa matendo yao.Si kila mtu asemaye Bwana Bwana ataingia katika ufalme wa Mungu.

  • @TheBossOdhis
    @TheBossOdhis 8 місяців тому +17

    He is also a Kenyan Music Legend. Group yake na kake ilikua moto 🔥 sana miaka hio ya nyuma

    • @michaelthobias9967
      @michaelthobias9967 8 місяців тому +6

      Sio wakenya hawana uhusiano na hiyo nchi isipokuwa wameishi Hawa jamaa ni wakongomani

    • @michaelthobias9967
      @michaelthobias9967 8 місяців тому +3

      Ukisema ni wakenya basi baba yake awilo longomba naye ni mkenya

    • @TheBossOdhis
      @TheBossOdhis 8 місяців тому +2

      @michaelthobias9967 wewe kwenda..he grew up in Kenya not Congo..you heard sky say ni Mkenya-Congo..Awilo ni mjomba wake..sio baba

    • @TheBossOdhis
      @TheBossOdhis 8 місяців тому +1

      @michaelthobias9967 shida iko wapi...wameishi Kenya so he is a Kenyan Music Legend..

    • @yasminoluoch169
      @yasminoluoch169 8 місяців тому

      ​@@michaelthobias9967b4 ujibu kitu skiza kwa makini sawa hawa ni half kenyas half Congo

  • @martinjosephat4694
    @martinjosephat4694 8 місяців тому

    Dah🎉🎉🎉🎉🎉

  • @stevewanga957
    @stevewanga957 8 місяців тому +4

    Yesu sura. Yake iko aje msanii ni msanii tu

  • @contentprince9198
    @contentprince9198 8 місяців тому +4

    Tutakuwepo sisi tuliobarikiwa n Mungu

  • @Kelvinchristopher072
    @Kelvinchristopher072 8 місяців тому +18

    Ivi na wewe mtangazaji unaamini kuwa hawa ni watumishi wa Mungu,ivi mnadhani mbinguni ni rahisi ivo kufika Mungu atusaidie sana😢😢

    • @florazacharia5982
      @florazacharia5982 8 місяців тому +1

      Uwi we ndo hujui embu Kaa sikiliza mafundisho ya Prophet Lovy..afu muombe Mungu akuoneshe kweli yote. Mungu sio Mungu wa ma suti tu.. unawaza tattoo. Izo alichora kabla hajampokea Yesu. Ata waovu Yesu anawatafuta ukumbuke kesi ya Mtume Paul

    • @thescop1003
      @thescop1003 8 місяців тому +3

      We nani alikuambia ni ngumu, mnajudge watu mionekano utafkili mlishaenda mkaongea na mungu mkarudi

    • @stainlesseducators699
      @stainlesseducators699 8 місяців тому +3

      Acha uongo nani kakwambia ni ngumu?
      Mtu kwenda kwa baba yake ugumu upo wapi.
      Kama Mungu sio baba yako kweli itakuwa ngumu.

    • @viktamade
      @viktamade 8 місяців тому

      ​@@florazacharia5982 tattoo alichora muda sio mrefu wakati ameshaanzq huduma

    • @betty_900
      @betty_900 7 місяців тому

      😂huezi elewa

  • @evemurugi3399
    @evemurugi3399 8 місяців тому +2

    Wow we fallow each other tiktok and I didn't know he is a longomba

  • @KhojaNasri
    @KhojaNasri 8 місяців тому +7

    Nashukuru Mungu kuzaliwa muislam

  • @salvatoryngowi7233
    @salvatoryngowi7233 7 місяців тому

    ❤❤❤

  • @noelyjonsi9741
    @noelyjonsi9741 8 місяців тому

    Kabisaa

  • @queennambeye1236
    @queennambeye1236 8 місяців тому +2

    Lovy Longomba Mkubwa Amewai Kuishi Tanzania

  • @clouartmichael7296
    @clouartmichael7296 8 місяців тому +24

    Watoto wa Mungu jihadharini hizi ni nyakati za mwisho na kwa promotion zao huwa ni kubwa kwan Ibilisi hutumia nguvu ya media sana ila tusome Biblia ,Neno ni Kristo mwenyew Kwa Roho wake atawajulisha ukweli ..nuru na giza hazina hushitika 2 Wakorinto 6:14 ,1 Yohane 4:1 Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani.
    Leo hii imani ya rasta ya jamaica imaingia kwa manabii wa kanisani kwa kupotosha watu kwa kuibadili injili ya Kristo kwa kusema Samson alikuw na rasta wakati Samson alikuw na nywele ndefu na Mungu alitak kuonyesha utukufu wake pale kwenye nywele ya Samson...

    • @DavisMubake
      @DavisMubake 8 місяців тому +1

      Niambie kwenye Biblia imeandikwa wapi mtu lazima akate nywele?

    • @CelestinMvungi
      @CelestinMvungi 8 місяців тому +1

      Unampa ukubwa shetani kuliko Mungu. Don't you know that God work with those u don't even xpect

    • @clouartmichael7296
      @clouartmichael7296 8 місяців тому

      @@DavisMubake mm sijasema habari ya kukata nywele ,rudia Tena kusoma vizuri ujumbe wa Mungu pia Mungu wetu sio machafuko kwa maana ya kubishana 1 Wakorinto 14:33 Kwa maana Mungu si Mungu wa machafuko, bali wa amani; vile vile kama ilivyo katika makanisa yote ya watakatifu.

    • @clouartmichael7296
      @clouartmichael7296 8 місяців тому +2

      Baba wa Mbinguni Hana ushirika na miungu mingine Soma Neno hapo 1 Wakorinto 6:14...hata watumishi wake aliowaokoa huwatumia ktk utukufu wake Kwa Mavazi ndio maana anasema vaeni nguo za adabu ,hasa sasa Mitume,manabii,waalimu,wainjilisti ,wachungaji ,maaskofu, hawezi kuwatumia katika mionekano ya kidunia maan Yeye anasema mssifatishe namna ya Dunia hii Warumi 12:2 ,1 Petro 3:3 ,pia hata mionekano ya nywele Yakobo 2:16 Maana kama vile mwili pasipo roho umekufa, vivyo hivyo na imani pasipo matendo imekufa...hizi ni Nyakati za mwisho wapo wengi wanakuja hata watakaovaa heleni na wewe utakuja kusema Mungu anamtumia mtu yoyote yule ...upo sahihi lakini sio Kwa watumishi wake aliowateua kumhubiri maana Yeye mwenyewe anakataza wanaume kuwa na mionekano ya Wana wa Ulimwengu huu kuwa makini sana na Jitahidi kusoma Neno na Roho akuongoze maana tunaambiwa tuishi Kwa roho na sio kimwili

    • @CelestinMvungi
      @CelestinMvungi 7 місяців тому

      Hujasikiliza mafundisho yao, ila umewahukumu kwa mavazi yao Yohan mbatizaji alivaa na kula kama chizi na watu wote walimwona hvyo je ingekua leo si ungesema dini imeingiliwa. Kuna nabii wa Mungu pia alihubiri uchi kwa miaka 3 je huyo pia hakutumwa na Mungu. Yesu alisema hata msipomwamini yeye basi aminini kazi zake watu wanapona na mapepo yanatii je hao hawaponyi watu, mapepo hayatoki. Utasema wanatumia nguvu za giza ila Yesu alijibu swali hilo akisema ufalme uliogawanyika je si utaanguka wenyewe. So stop pointing fingers by judging things of the spirit with your mind.

  • @constanciapeter2497
    @constanciapeter2497 8 місяців тому +1

    Welcome to TANZANIIA.. OUT Prophets we ❤❤❤uuu

  • @timetravellor5367
    @timetravellor5367 8 місяців тому +2

    Duh ukristo umekuwa usanii na watu Wana sapoti

  • @user-mk2bq6io1e
    @user-mk2bq6io1e 8 місяців тому

    Ehhhhh niatari Dunia

  • @chalokalunde9429
    @chalokalunde9429 8 місяців тому +1

    Manabii wa upande wa pili,Sawa. Sio wa Yesu mnazareti.

  • @AsmaAmeir
    @AsmaAmeir 7 місяців тому

    Duh bas nami nikimuona yesu tayar nakuwa nabii

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 8 місяців тому

    ✌️👍👊.

  • @michilita2959
    @michilita2959 8 місяців тому +1

    Mmmmmmm jamani hela inatafutwa

  • @Gabonfreeman
    @Gabonfreeman 8 місяців тому +2

    God is my first one in my life

  • @elcharismaticohommeromanti748
    @elcharismaticohommeromanti748 8 місяців тому +4

    Akuna kipia apo, ila vipofu wa imani ndo wata a mini awo ma nabii wauongo

    • @danielyjarome9439
      @danielyjarome9439 8 місяців тому +1

      Hongera kwakuwa wewe ni mtakatifu uliye kamilika mwenye uwezo wa hata ya kutoa kasoro za wengine ila nakushauri tuu muda unaotumia kukosoa watu utumie muda huo kuchunguza maisha yako ya kiroho je uko sahihi ??

  • @meshack3266
    @meshack3266 8 місяців тому +1

    Bhanaa eee asiye amini asi Amin na anae Amin na amini

  • @EllyFredy
    @EllyFredy 8 місяців тому +6

    Mungu atusaidie nabii kavaa mpaka kipini 🙏🙏ee mungu shughulika na hawa watu wanaopoteza kondoo wako

    • @mjkazidi1265
      @mjkazidi1265 8 місяців тому

      Umeshasoma Biblia Historia ya Sauli alivyo waua wakristo baadae akawa Paulo....Mungu anaweza kumtumia mtu yoyote wakati wowote...Wengii wanadanganywa na muonekano wa mtu.

    • @farijala1
      @farijala1 8 місяців тому

      ​@@mjkazidi1265 Unajua Mtazamo wa Hivyo Ndio unaopelekea Ulimwengu Kila kukicha Unaangamia. Mema Hayatendi kiriho TU HADI muonekanoq

    • @barakaduma4888
      @barakaduma4888 7 місяців тому

      Koma

  • @rosebullens5155
    @rosebullens5155 8 місяців тому +4

    Wawwwl wellbethere son of Godfromkenya

  • @HabilyTech
    @HabilyTech 8 місяців тому +6

    Wahuni walioamua kujiita manabii

  • @isamazatv.115
    @isamazatv.115 8 місяців тому +5

    Hahahha this is too much kabisa izi church nimajabu kabisa 😂😂😂😂😂

  • @fayverenah
    @fayverenah 8 місяців тому +1

    How i wish picha za kina paul john na peter wote waliotembea na yesu mkaona muonekano wao😂i think those guys were looking more funny thsn prophet lovy longomba😂😂

  • @fayverenah
    @fayverenah 8 місяців тому +2

    Mbona watu mko bitter na prophet lovy😂😂muonekano wake unawauma mbaya😂kama mnataka kumsikiza sawa kama hutaki pita ukienda😂😂😂

  • @bakarisaidi3022
    @bakarisaidi3022 8 місяців тому +1

    Huyu hakumtoa broo wake kafara🤔Umaskini ni kitu kibaya sana lakini Mungu ndio anajua zaidi.Ukristo umekua biashara kubwa na biashara inayotajirisha rahisi sana,Muumini Maskini anazidi kua maakini na mchungaji anazidi kuwa Tajiri kisha anahubiri kua Tajiri itakua vigumu kuingia katika ufalme wa mbinguni na yeye ni Tajiri.

  • @user-mz3vu5jm5f
    @user-mz3vu5jm5f 8 місяців тому +15

    Mwisho wa Dunia akuna. Mtumishi wa mungu apo

    • @YustoMlay-cv4zb
      @YustoMlay-cv4zb 8 місяців тому +3

      Kabisa hao ni deval worshiper na uyo mwenyejiwao WA apa Tanzania

    • @Churchofecclesia
      @Churchofecclesia 8 місяців тому +2

      Nyie wapuuz wote mliokoment BWANA NA AWASAMEHE

    • @akajoza4043
      @akajoza4043 8 місяців тому

      Bwana yupi😂😂😂

    • @HansChuma
      @HansChuma 8 місяців тому

      @@Churchofecclesia em naww amka acha kulala naww huyo bwana unaemuongelea angekuepo apo angekucha vibao

    • @wenawenawena3647
      @wenawenawena3647 8 місяців тому

      Bwana which bwana where😂😂

  • @edchrisbeatz8976
    @edchrisbeatz8976 8 місяців тому +6

    mungu akikuita ufanye kaz yake lazma akubadilishe kwanza sasa huwa wavaa vipini na kusuka sijui imekuwaje!!? 😢 so sad gyz bora kujisomea maandiko mwenyewe kuliko kusomewa haya ndo madhara na hawa ndo wanasababisha ukristo uonekane wa hovyo stupid😡

    • @shamimushittindi1418
      @shamimushittindi1418 8 місяців тому

      Mavazi hayakupeleki popote dear

    • @luciasteven3314
      @luciasteven3314 8 місяців тому

      Kitendo cha kubadrishwa tabia sio cha sku wala wiki wala mwezi aliemuokoa ndio atambadr siku had siku plz kua mpole

  • @adriandanford208
    @adriandanford208 8 місяців тому +2

    Mungu ndiye anajua walio wake ,😂😂😂

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 7 місяців тому

    Prophet Lovy anafundisha mafundisho mazuri sana

  • @veeJesus
    @veeJesus 8 місяців тому +53

    Uezi kumtumikia Mungu kiukweli ukwel ukawa maskini. Hawa watumishi kama wewe ni mchanga kiroho unaangalia kwa macho ya nyama huwezi waelewa😊.

    • @raphaelkaswahili323
      @raphaelkaswahili323 8 місяців тому +12

      Wewe ni mjinga kama wajinga wengine Paulo Petro Yohana mbona walikua maskini na walimtumikia Mungu kwa kiwango Cha juu zaidi na Bado wakabakia kua maskini why? Jitahidi kumjua Mungu Ili uyakwepe matapeli

    • @veeJesus
      @veeJesus 8 місяців тому

      @@raphaelkaswahili323 we ndo mjinga wa mwisho lakin sio kosa lako. Kitabu cha matendo kinasema katika wale mitume hakuna aliekua na uhitaji maana yake nini wote walikua matajiri kwendraaaaaa uko kasome bible uko unataka watu wawe maskini ili nink kitokee akati Mungu tunaemwabudu ndo ameumba vitu vyote tena kwa ajili ya watoto wake. We vipi bwana

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 8 місяців тому +5

      Uwe tajiri? Ambae kuuona ufalme wa mbingu ni ngumu kuliko ngamia kupita kwenye tundu la sindano, huyo yesu hakuna sehemu unaona yeye au watumishi wake wanajihusianisha na utajiri wa kidunia ila nyinyi tu watumishi wa kichaga na kiha ndio lazma muwe matajiri , amkeni nyie watoa sadaka mnaowapa watu utajiri nyie mkiwa hoi mnapanda daladala na vikwapa vinawanuka

    • @veeJesus
      @veeJesus 8 місяців тому

      @@fahadfaraj6474 weweeee tunakua matajiri kwa ajili ya Mungu. Tunakua matajiri kwa ajiri ya ufalme. Huezi kuhubiri injili bile fedha na nyie mnaosema utajiri ni dhambi wanafki wa kubwa kwa nini huwa mnaamka ahsubuh mnaenda kufanya kazi ili nini. Mungu alimtajirisha Abraham kwa nn afanye hivyo wakati ni dhambi. Abraham alikua tajiri mnoooooooo. Vipi kuhusu Solomon kaombwa hekima kajiziwa na utajiri juu yake. Vipi kuhusu Ayubu tajiriiiii haijawahi tokea na wako kwenye biblia na walimjua Mungu vibaya mno. Hiyo fikra ya kusema utajiri ni dhambi nikwambie tu ni ya kipepo ili uwe maskini na biblia inaandika hakuna kinyonge kitakachoingia kwenye ufalme wa Mungu. Kuna sehemu biblia inaandika Mimi ni Mungu nikupae nguvu za kupata UTAJIRI. MUNGU WETU NI TAJIRI NA WATOTO WAKE TUNATAKIWA KUWA KAMA BABA YETU SIO NYIE MNAJIFANYA WA KIROHO MKITOKA KUOMBA KANISANI MNAANZA KUOMBA LIFT ZA MAGARI. KUWA TAJIRI LAKINI UTAJIRI HUO NI KWA AJILI YA MUNGU. JENGA MAKANISA ENEZA INJILI TOA HELA YA MAKONGAMANO SAIDIA WAHITAJI NK

    • @Officialkeeler
      @Officialkeeler 8 місяців тому +9

      Kweli Kabisa umeongea point sana kama shetani anatajirisha kwann MUNGU asitajirishe watumishi wake

  • @Odogwu9667
    @Odogwu9667 8 місяців тому +1

    Bwana Yesu Asifiwe

  • @shebbythespyro5393
    @shebbythespyro5393 8 місяців тому +1

    Ukristo una utatizo kweli

  • @GeorgeChitemo-kt8sw
    @GeorgeChitemo-kt8sw 8 місяців тому

    Msiiwa ite watumishi wa Mungu kwakuwa mnachafua Imani ya ukristo hawa waabudu shetani kabisa aslimia miamoja

    • @danielyjarome9439
      @danielyjarome9439 8 місяців тому

      Hongera kwakuwa wewe ni mtakatifu uliye kamilika mwenye uwezo wa hata ya kutoa kasoro za wengine ila nakushauri tuu muda unaotumia kukosoa watu utumie muda huo kuchunguza maisha yako ya kiroho je uko sahihi ??

  • @issazalala4907
    @issazalala4907 8 місяців тому +1

    Daaah watumishi full Rasta mix tatuu😂

  • @KhadijaAbdallah-kn3ii
    @KhadijaAbdallah-kn3ii 8 місяців тому +2

    Sadaka za bwana muhimu sana

  • @africa7479
    @africa7479 8 місяців тому +3

    eee kanisa linanunuliwa ?

  • @MAMA_KIAN
    @MAMA_KIAN 8 місяців тому

    ❤❤❤❤

  • @tatuaamuuinyi9633
    @tatuaamuuinyi9633 8 місяців тому +1

    😅😅😂😂😂😂😂

  • @MAMA_KIAN
    @MAMA_KIAN 8 місяців тому

    ❤❤❤❤❤❤

  • @Zainab-sq1tc
    @Zainab-sq1tc 8 місяців тому +2

    Naknaga clip zake insta maneno mazur lkn jins alivyo sio ushuhuda kabsa pengne aliachana na mamb ya dunia ndy akaokoka tusimbeze

    • @haridimpelengana1246
      @haridimpelengana1246 8 місяців тому

      Yesu akikuokoa anakubadilisha.
      Bado ana matendo na tabia za kiibilisi.
      Kuna roho nyingine iko ndani yake.
      I assume LGBT wako nyuma yake

  • @MAMA_KIAN
    @MAMA_KIAN 8 місяців тому

    ❤❤❤❤❤

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 8 місяців тому +2

    Prophet Tb Joshua japo ni Muslim ILa namsikiliz kila siku ndio namwamin

    • @jamaldeenmakenga
      @jamaldeenmakenga 8 місяців тому

      Prophet Tb Joshua,
      A freemasonry agent!!!
      What are you talking about?

  • @constanciapeter2497
    @constanciapeter2497 8 місяців тому

    And u know KISWAHILI 😂😂❤❤🎉🎉🎉

  • @Dranka186
    @Dranka186 7 місяців тому +1

    Kwa wenye akili 😮😮😮

  • @janesuma-is4wc
    @janesuma-is4wc 8 місяців тому

    Mtumishi kavaa kipini puuan ni jambo jema haya sawa sina lakusema zaidi only God can judge his servants

  • @jayspermlewa7425
    @jayspermlewa7425 8 місяців тому +3

    Wacheza porn wanaweka vipin puani na wanamatatuuu na ww mchungaj unaweka sasa nn tofaut yake na hao wahuni damn it this is shame as Christianity😢

    • @danielyjarome9439
      @danielyjarome9439 8 місяців тому

      wewe chunga maisha yako ya kiroho je uko sahihi ??????? na njia zako pia sije siku ya kiama ikafika wale ulioona wakosaji kumbe ndio wako sasa na wewe umejaa dhambi. Muombe MUNGU akusaidia kuishi maisha matakatifu sio kukosoa watu wengine.

  • @adriandanford208
    @adriandanford208 8 місяців тому +1

    Ukimwengu wa giza unapambana saana kuvuna nafsi za watu kuzipeleka kuzim

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 7 місяців тому

    Ukiwa mwongo ni rahisi kuwa tajiri njoo na uongo wako leo umetokewa na Yesu anzisha kabisa bas umasikini umeuaga

  • @sayeedbinazan
    @sayeedbinazan 8 місяців тому +1

    😂😂😂😂

  • @Officialkeeler
    @Officialkeeler 8 місяців тому +2

    Namuelewa sana huyu Jamaa

  • @gabziljohn9625
    @gabziljohn9625 7 місяців тому

    Wez😂😂😂 chum kizito

  • @badymedia9648
    @badymedia9648 8 місяців тому +1

    biashara ya dini inahela kumaanina ,ila kwa wakristo ,waislam hata ubweke mpaka utoke povu , utaondoka mishipa ikiuma mia mbovu hutoiona 😂😂😂

  • @francisprot5586
    @francisprot5586 8 місяців тому +1

    Tunaomba na ya Java

  • @laneyManu-vq9yi
    @laneyManu-vq9yi 8 місяців тому

    😢😅😅😂😂

  • @muharamiesther5908
    @muharamiesther5908 8 місяців тому

    Mwe Mwe Mweee🤔

  • @Mikael-xh4cp
    @Mikael-xh4cp 8 місяців тому

    Hii ndio kitu inazidi kunidhihirishia kuwa europeans are very smart and will not tolerate such nonsense , vitu kama hivi havitokei huku because no one will tolerate everyone is busy hustling

  • @abdulrahmankafuku3449
    @abdulrahmankafuku3449 8 місяців тому +18

    Maskini kondoo wa mungu wanazidi kupotea 😢😢😢😢

    • @Churchofecclesia
      @Churchofecclesia 8 місяців тому +3

      Mmoja wapo n wewe usiejielewa

    • @Churchofecclesia
      @Churchofecclesia 8 місяців тому +2

      Mmoja wapo n wewe usiejielewa

    • @abdulrahmankafuku3449
      @abdulrahmankafuku3449 8 місяців тому

      @@Churchofecclesia Mathayo 24:24 Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule.
      Mathayo 24:25 Tazama, nimekwisha kuwaonya mbele.
      Mathayo 24:26 Basi wakiwaambia, Yuko jangwani, msitoke; yumo nyumbani, msisadiki.
      Mathayo 24:27 Kwa maana kama vile umeme utokavyo mashariki ukaonekana hata magharibi, hivyo ndivyo kutakavyokuwa kuja kwake Mwana wa Adamu.

    • @abdulrahmankafuku3449
      @abdulrahmankafuku3449 8 місяців тому

      @@Churchofecclesia Soma brother usipoteee kwa kukosa maarifaa

    • @salmabinyaga2357
      @salmabinyaga2357 8 місяців тому

      ​@@Churchofecclesiawe ndo hujielewi kenge wee

  • @basiribonga689
    @basiribonga689 8 місяців тому

    Kwamba kanisa lina police station? Sawa bana

  • @kamalbashir5127
    @kamalbashir5127 8 місяців тому +1

    Mtumishi we mungu kava hirini😂😂😂😂

    • @stanastana3199
      @stanastana3199 8 місяців тому

      Wanasema unyamwezini ni mambo ya kawaida

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 7 місяців тому

      ​@@stanastana3199 Ikiwa unanyamwezini ni jambo la kawaida, kwa Yesu na bikira Maria nako ni la kawaida?

  • @RojahKamalza-lw3ls
    @RojahKamalza-lw3ls 8 місяців тому

    Mmeona hiyo pua lakin

  • @lujuomjanja2866
    @lujuomjanja2866 8 місяців тому +1

    HAPO USA HAPO KUNA VITU VINGI SANA PALE........!!!

  • @drsilo
    @drsilo 8 місяців тому +1

    Ukiristo bn eti kanisa ni hali ndo inahusiana je na uunguu

  • @mbarouksattar5281
    @mbarouksattar5281 8 місяців тому

    Lovy Longomba Senior Ni Kaka Yake Awilo Longomba,Alishawahi Kupigia Bendi Ya AFRISO.

  • @yusafbayu7016
    @yusafbayu7016 8 місяців тому +21

    Alhamndulillah kuwa muislam mana haya mambo yaku nunuwa kanisa ikiwa yako na sikiaga tu kwa wenzetu 😢😢

    • @queenmollel6739
      @queenmollel6739 8 місяців тому +1

      Hahahaa yaani, ila hayana maana Cha muhimu ni kumpenda Mungu , muda mwingine pesa inaruhusu kama huna utanunua nini

    • @prosperreuben1724
      @prosperreuben1724 8 місяців тому +4

      Kwahiyo ile misikiti iliyopo kwenye masheli ni ya nani kama haimilikiwi na mtu binafs

    • @goddyffmarsacha259
      @goddyffmarsacha259 8 місяців тому +5

      Uislamu is a false religion

    • @minicooper9642
      @minicooper9642 8 місяців тому +2

      @@prosperreuben1724 huwezi kusikia hata siku moja msikiti ni wa mtu
      Misikiti yote ni ya M.Mungu

    • @minicooper9642
      @minicooper9642 8 місяців тому +3

      @@goddyffmarsacha259 mtu mwenyewe hujielewi sasa utauelewa Uislam
      Haya tambeni na mitume wenu marasta 😂😂😂

  • @haridimpelengana1246
    @haridimpelengana1246 8 місяців тому

    Haya misukule nendeni kwenye usiku wa maajabu mkapandikiziwe chip za ushoga.
    Mungu si mwendawazimu

  • @mwami_the_don_
    @mwami_the_don_ 8 місяців тому

    Tuwaombee kwa mungu hawa manabii wa uwongo kwakwer

  • @happnesskatandula4189
    @happnesskatandula4189 8 місяців тому +3

    I was there yesterday airport nikiwapokea nitaman nimguse Prof anibariki

    • @lakhaly19
      @lakhaly19 8 місяців тому

      Akubariki kwan yeye ni mungu?

    • @subirahowen124
      @subirahowen124 8 місяців тому

      😂😂 kazi ipo

  • @Boaz22
    @Boaz22 8 місяців тому +1

    Bro sky, prophet sio mchungaji, ni Nabii😅😅

  • @gildasnyaki3812
    @gildasnyaki3812 8 місяців тому +21

    Lovy is the genuine Prophet of God.

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 8 місяців тому +2

      Ur dreaming wake up

    • @Churchofecclesia
      @Churchofecclesia 8 місяців тому +4

      ​@@KassimAlly-xp4dztulia ww hujui unachokiongea et ur dream stop foolishness

    • @minicooper9642
      @minicooper9642 8 місяців тому +2

      @@Churchofecclesia sasa wewe kwa akili yako hao wanaweza kua mitume wa Mungu?
      Hebu acheni kumtania M.Mungu nyie jamani

    • @sammotv6920
      @sammotv6920 8 місяців тому +2

      ​@@Churchofecclesiahuna akili amkaa ulipolalar

    • @Churchofecclesia
      @Churchofecclesia 8 місяців тому

      @@sammotv6920 wewe zako ndo uziamshe zakwetu zimeamka muda ndo maana tunasema cha ukweli, zako zimelala na zimetiwa giza kabisaa

  • @saidybhoky-lb7hg
    @saidybhoky-lb7hg 8 місяців тому

    jamani kuweni makini hawa ndy wanasapoti ushoga

  • @YustoMlay-cv4zb
    @YustoMlay-cv4zb 8 місяців тому +3

    Itabidi niende uislamu jamani daah

    • @user-uo8xw9kr4b
      @user-uo8xw9kr4b 8 місяців тому

      Karibu bila shaka ALAH JALAH JALAL akuongoze.

    • @drsilo
      @drsilo 8 місяців тому

      Karibu na utajua km ukristo hamna kitu hamna pasta atakaezungumzia hili..lakn ktk hamn mtu atakaeichezea DINI njoo ktk din ya haki

    • @joniajohn4716
      @joniajohn4716 7 місяців тому

      Don't get lost
      Yesu ndie njia ya kweli na uzima , pasipo Yeye hakuna atakae mbona MUNGU alie hai. Leo kubali umpokee Yesu awe Bwana na mwokozi wa maisha yako ingali neema ipo.
      Nenda katika kanisa linalohubiri neno la kweli na uzima....sio miujiza miujiza pekee haiwezi kukujenga kiimani. Ufundishwe neno la Mungu vizuri ili uweze kukulia wokovu. Ukikomaa kiroho na kiimani kama Neno la Mungu linavyoagiza upepo wa UONGO wa ibilisi na agents wake wakiwemo manabii wa uongo hautakuyumbisha kwa sababu utakua umejengwa katika misingi imara.
      Ndugu usipotee muslims and christians don't worship the same God unfortunately. Yesu ndie njia ya KWELI NA UZIMA that's it.

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 7 місяців тому

      ### Yusto karibu kwenye Uislamu, huku kwetu mtu haamki asubuhi akawa nabii ama mtume, kubwa atakua sheikh tu, atowe mawaidha aseme na kunukuu ya Mungu muumba.

  • @simionngayayi6903
    @simionngayayi6903 8 місяців тому +3

    Unakuaje mtumishi wa Mungu alafu una hereni kwenye pua cha pili ukawa na Rasta za bandia huo ni utumishi wa Mungu ama ni usanii 🤔🤔🤔

    • @veeJesus
      @veeJesus 8 місяців тому +1

      Kwani wapi imeandikwa ukiwa mtumishi usiwe na kipini au kuwa na rasta ni dhambi. Iv huwa mnasoma biblia au mnahukumu tu kwa vile mna bando.

    • @africa7479
      @africa7479 8 місяців тому

      ​@@veeJesus wewe hebu ona aibu hapi shetani mwenyewe nachukua nukuu kwa mshangao

    • @user-cb2us2nu2m
      @user-cb2us2nu2m 8 місяців тому +1

      Moyo ndio utakutetea siku ya kihama 😊

    • @lazarojoseph7541
      @lazarojoseph7541 8 місяців тому

      Hetani tu

    • @lazarojoseph7541
      @lazarojoseph7541 8 місяців тому

      ​@@veeJesusAcha kutetea ujingi kutoboa pua na mirasta unaona ni sawa ndio maana dini ya kikristo ndio inasupport ushetani waislam watabaki kuwa juu kwa misimamo yao na kuto kusupport ujinga au ushetani

  • @michaelsamson9663
    @michaelsamson9663 8 місяців тому +1

    Mambo magum aya

  • @faridithomas4859
    @faridithomas4859 8 місяців тому

    Wakristo bwana

  • @andreauisso3225
    @andreauisso3225 8 місяців тому +1

    Mana bii wauongoo washajua Tz kunahela zabure endeleeni kuwa tajirisha umesikia anaishii wapi huko marekani take care hizi ni nyakati za mwisho

    • @SharifaHayatta
      @SharifaHayatta 7 місяців тому

      Usiukumu ukaja ukumiwa

    • @andreauisso3225
      @andreauisso3225 7 місяців тому

      Soma maandiko matakatifu yanasemaje siyo maneno yangu wala sija muhuku mtuu, hizi ni nyakati za mwisho take care