GPS: US yaukataa Ushindi wa Maduro Venezuela, yamtambua mpinzani, CHINA, URUSI, CUBA zamuunga mkono

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 194

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 2 місяці тому +15

    Yan nikipindi best ever...ila Kwa mungu uko kutawaka moto Kwa izi dhurma za hapa duniani...kikubwa mungu atupe mwisho mwema

  • @BarakerZeonlist
    @BarakerZeonlist 2 місяці тому +1

    THIS IS THE BEST PODCAST APA SNS

  • @jamalkishangu
    @jamalkishangu Місяць тому +1

    Vikwazo vinaathiri sana maisha ya watu wasiokuwa na hatia. Wananchi wanaamua kuichukua serikali yao.

  • @shabanibussara8454
    @shabanibussara8454 2 місяці тому +2

    Nyie jamaa Mwenyezi Mungu Awaweke aisee. Tunafaidika sana juu ya midahalo na mijadala yenu.

  • @OthmanThabitJuma
    @OthmanThabitJuma 2 місяці тому +1

    Asanteni sana kwa kweli ishu ya dangote imeniuma sana

  • @martinsinacio3457
    @martinsinacio3457 2 місяці тому +2

    Naikubali sana SNS. Nipo hapa Moz

  • @MAHAN-SMART
    @MAHAN-SMART 2 місяці тому +10

    Kazi juu ya kazi hatupoi sns 🔥🔥🔥

  • @GeorgeAkasha-zx2rj
    @GeorgeAkasha-zx2rj 2 місяці тому +13

    Ila Henry anajua sana.Kongole kwako ndugu Henry.

    • @RAKIIMRAKIIM
      @RAKIIMRAKIIM 2 місяці тому +1

      Yeah Mwana Anafungua Sanaaaa......

    • @shabanibussara8454
      @shabanibussara8454 2 місяці тому +1

      Anajua haswaa

    • @HasaniSalum-k2q
      @HasaniSalum-k2q 2 місяці тому

      Henery Maduro.
      Smaa Lukashenko.
      Bundala FaKrazde.
      Sudi Ayatoula. Alhkaminei .

  • @hassanlikwenangu8471
    @hassanlikwenangu8471 2 місяці тому +1

    Kiherehere cha hali ya juu sana

  • @farusaimon3490
    @farusaimon3490 2 місяці тому +3

    Asanteni sana watanzania wenzetu! Mwenyezi Mungu awajaalie maarifa zaidi.

  • @Officialjidaa-sn9cs
    @Officialjidaa-sn9cs 2 місяці тому +3

    Sns hoyeeeeeee

  • @HekimaAmani
    @HekimaAmani 2 місяці тому +1

    Nakubali sana kazi yenu imenyooka na mnaanza kushauri ili kuleta maendeleo ya nchi yetu big up kwenu

  • @jumamsofe7897
    @jumamsofe7897 2 місяці тому +4

    Nawapata vizur kabisa ,akili zenu ni zaidi ya vijana,BIG UP

  • @brianbaltazar6198
    @brianbaltazar6198 2 місяці тому +3

    Nawafatilia kutokea south africa..uchambuzi wenu ni mzuri sana

  • @mfupakhamis9751
    @mfupakhamis9751 2 місяці тому +1

    Samahani naomba achambuzi wa Marekani na kiongomzi mmoja Panama Noriega taf GPS.
    Ufalme wa Mungu usimame.
    Amin

  • @kassimbayuu
    @kassimbayuu 2 місяці тому +7

    Kazi nzuri sana, ila mkifanya gps kama hii ni vyema kuwaalika na viongozi japo wakuu wa mikoa, maana ni kazi nzuri sna,

    • @kevicristian2738
      @kevicristian2738 2 місяці тому +1

      Waje wafanye nn?🤔

    • @blueboybajos6880
      @blueboybajos6880 2 місяці тому

      ​@@kevicristian2738 atuambie vizuri waje kufanya nin😂😂

    • @kassimbayuu
      @kassimbayuu 2 місяці тому

      @@kevicristian2738 hahahahahaha kufanya conversation ya maendeleo katika kila sekta

    • @salhawaziri1668
      @salhawaziri1668 2 місяці тому +1

      Wakute TBC hapa si mahali pao…hapa ni kwa hisani ya wananchi

  • @RosacLefid
    @RosacLefid 2 місяці тому +3

    Sns ibarikiwe inatoa uelewa muhimu katika jamii

  • @nyawawawanyawawa935
    @nyawawawanyawawa935 2 місяці тому +5

    Hawa vijana Seeikali ingeli wawezesha katika shughuli zao wakawa independent THINK TANK.

  • @chachajulius4481
    @chachajulius4481 2 місяці тому +7

    Hongera sana sky naona Leo wote wapo FBI, CIA na FSO

    • @michaeljuma254
      @michaeljuma254 2 місяці тому

      Nani FBI na nani CIA na nani FSO😅

    • @allyhasani3750
      @allyhasani3750 2 місяці тому

      Washamba nyinyi kwan uliambiwa wanashindana kuchambua,huu ni mjadala wa kielim mpuuzi

  • @asiri-romy-simba3671
    @asiri-romy-simba3671 2 місяці тому +2

    Kweli kabisa, na musichelewe kuifanya.

  • @AhmedAli-x8w9e
    @AhmedAli-x8w9e 2 місяці тому +3

    Sns mnaupiga mwingi aiseeeeee

  • @jkifutu7936
    @jkifutu7936 2 місяці тому +3

    Wamerekani bhana

  • @eliacmaginya3429
    @eliacmaginya3429 2 місяці тому +2

    Nawafatilia nikiwa tanga hongereni kwa update

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 2 місяці тому +10

    Mrusi rafiki wetu africa wazazi walisoma urusi bila mikataba yeyote

  • @GodenBMDaniel
    @GodenBMDaniel 2 місяці тому +2

    Wazee wa GPS tunawakubali sana hapa USA

  • @3erffeoui86
    @3erffeoui86 2 місяці тому +3

    uku kenya pia iko hiyo gongo twaita changaa ni pombe haramu ni mvuke wa mahindi ikiwa steam

  • @amosmakabara3024
    @amosmakabara3024 2 місяці тому

    Nakubali sana gps
    Lazima elimu utembee kuanzia kwenye familia zetu
    #juwa unaishi kwa ajili ya mama Afrika

  • @mlelwatv5831
    @mlelwatv5831 2 місяці тому +2

    Massubi ana vitu vingi sana shida uwasilishaji anaachia vitu njiani anadakia kingine ila yuko vizuri .

  • @mpwaguzipwagu3199
    @mpwaguzipwagu3199 2 місяці тому +2

    NAWAKUBAL SN WANAAAA
    GPS /

  • @paschalfausitine7108
    @paschalfausitine7108 2 місяці тому +12

    Mimi. Binafisi. Alipo, urusi , nipo, namunga ,mkono, nikolasi, Maduro, vivan. Venezuela

    • @IshipalemyPasko
      @IshipalemyPasko 2 місяці тому +1

      😂😂😂😂😂

    • @JamesJastin-bg1rx
      @JamesJastin-bg1rx 2 місяці тому

      Kumamake

    • @AFRICA_D669
      @AFRICA_D669 2 місяці тому

      @@JamesJastin-bg1rx kajininginize 😂

    • @AFRICA_D669
      @AFRICA_D669 2 місяці тому

      @@IshipalemyPasko 😂😂jamaa hataki uonevu viongozi hata wakipanda farasi ye atakimbia hta kwa mguu ilatu yuko nao kila sehem

  • @asiri-romy-simba3671
    @asiri-romy-simba3671 2 місяці тому

    GPS for wisdom

  • @kassiannyamba805
    @kassiannyamba805 2 місяці тому +3

    Masubi nakuzoom, GpS noma sana😂

  • @gayanimwansasu
    @gayanimwansasu Місяць тому

    Nimesikiliza VEMA hili njopo liko vizuri sana

  • @JohnTemba-y6e
    @JohnTemba-y6e 2 місяці тому +2

    Hawa jamaa ni kama Shedrack ,Meshark na Bernego

  • @IssaHassani-dg1xy
    @IssaHassani-dg1xy 2 місяці тому +7

    Maduro keshspita imeisha hiyoo zilizobaki ni kelele za chura

  • @klvinasena6929
    @klvinasena6929 2 місяці тому +2

    Huku kenya tunamtambua maduro

  • @lionroot4073
    @lionroot4073 2 місяці тому +2

    Brothers mnaendelea kunifungua macho coz naisha sweden and west countries sina tudanganya sana since i startad kuangalia GPS naweza kubishana na hawa wazungu nabisha nao kwa Fact

  • @yeyob8163
    @yeyob8163 2 місяці тому

    Thanks sns.for conversation.but.but you as their leader. try to arrange good formation from one to another in discation.they are interfering themself befor in talking.every has a righty tolk.no one up to other brother scary.try to see that can damage our kipandi.

  • @RaphaelHhari
    @RaphaelHhari 2 місяці тому

    Hongereni isipokuwa msitengeneze upande ninyi ila watu waamue upande wenyewe ninyi mjikite kwenye kuweka mambo wazi kupitia mantiki na usahihi mambo,kwa sababu jambo ya Venezuela hamjalidadafua kwa kina bali ni ushabiki wenu msikisie mambo (fact and logic)

  • @Drepsama
    @Drepsama 2 місяці тому

    Huyo dogo anaingilia sana ebu mlizingatie ilo

  • @podahsalim2296
    @podahsalim2296 2 місяці тому

    ❤❤

  • @timothybanda3219
    @timothybanda3219 2 місяці тому +5

    Guy's don't make a mistake, USA is not a democratic country, is a republic. Soma katiba yao from pre amble mpk page ya mwisho hkn sehemu neno democracy limetajwa. Vilevile hata katiba za states zote 50 hkn sehemu wameandika ni democratic. Wao kujifanya wao ni walimu wa demokrasia ni illusions tu kuhadaa wananchi wake. Pia, wao wana interest na Venezuela sababu ya mafuta yao hakuna lingine

  • @rashidiamini
    @rashidiamini 2 місяці тому

    GPS kipindi bora kila cku topic bora hazchoshi

  • @CharafimalisalimoAli-qw3hk
    @CharafimalisalimoAli-qw3hk 2 місяці тому +6

    MARECANI NI KIKWAZO CHA AMANI DUNIANI. NASHANGAA WALIMWENGU HATUYAONI YALIYOFANYWA NA AMERICA LIBIYA URAQ, AMBAKO WANANCHI WANATAMANI VIONGOZIHAO WAFUFUKE.

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 2 місяці тому

      Wala Marekani si kikwazo ila ni nchini inayosimamia haki,utu na maadili.ww unaunga mkono dhulima.

    • @kassimrajabu7805
      @kassimrajabu7805 2 місяці тому

      ​@@MathewNathan-yb2bzww huna akili

  • @muhamadharun9432
    @muhamadharun9432 2 місяці тому

    Big up brothers😂

  • @jeremiahmsemwa8323
    @jeremiahmsemwa8323 2 місяці тому

    Hii rangi nyeusi ina usinitch sana... ni hatari sana

  • @RenatusRugemalira-ef1fq
    @RenatusRugemalira-ef1fq 2 місяці тому

    Kinacho fanya africa isiendelee ni ubinafsi tulio tengenezewa kua ivi sio katika maisha ya kawaida tu ata kwenye dini maswara ya imani ubinafsi mtupu watu rangi ni moja kila kitu tuna fanana ila shida ni moja tu SIASA NA DINI ndo Tatizo mpaka tuna teseka ivi sio kuteseka kimwili tu bali ata kiroho tuna teseka japokua utumwa wa kiroho watu wengi wa afrika wana uchukulia kama hutashi kumbe ni mifumo tu asanteni sana SNS

  • @ReyzDon
    @ReyzDon 2 місяці тому

    Muwaite na watalamu wanao dili na hizo ishu

  • @Elizabeth-gq9kl
    @Elizabeth-gq9kl 2 місяці тому

    Lakini musichukiye Amerika ikosawa.

  • @Rionel365
    @Rionel365 2 місяці тому

    Media ambao iko black and white ni Firstpost by mtangazaji Palki Sharma.

  • @issalyanali4119
    @issalyanali4119 2 місяці тому

    Kwani kura walipiga wamarekani?

  • @saidimwanga444
    @saidimwanga444 2 місяці тому +2

    Napendekeza mijadala yenu muwapelekee viongozi maalum wa serikali yetu wayafanyie kazi na ikibidi kuwashawishi wawashawishi viongozi wa nchi zingine kuitisha eidha kongamano la wazi au la kisirisiri ili kuamshana ktk kukuza chumi za nchi zetu jwa kutumia rasilimali zetu wenyewe kwa wenyewe.

  • @juliussamson6143
    @juliussamson6143 2 місяці тому +1

    Ali alikua na point nyingi sana kwenye mafuta mmemnyima muda wake

  • @safarivahocha8077
    @safarivahocha8077 2 місяці тому +2

    Hiyo siyo mara ya kwanza kwa Marekani na vibaraka wake kumkataa Maduro, na kumpongeza mpinzani. Walijaribu kumpindua Maduro 2018 wakashindwa Wanajisumbua tu, Maduro hatishiki na Marekani wala hawaogopi.

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 2 місяці тому

      Ww nawe mbona unaunga mkono dhulima .Maduro hakushinda bali mwanasiasa wa upinzani ndio kashinda.

  • @zuricakes6817
    @zuricakes6817 2 місяці тому +1

    Sky mbona hautuletei habari za maandamano UK,...Nigel Farage, Dj Sma alifurahi sana alipomtetea Putin na Russia amekinukisha 🙂

  • @aftapat5365
    @aftapat5365 2 місяці тому

    napenda mnavyobisha 😂😂😂

  • @SaraphinaKidoti-qe7gi
    @SaraphinaKidoti-qe7gi 2 місяці тому

    Mnachambuwa hadi gongo tena 😂😂

  • @wewa7329
    @wewa7329 2 місяці тому

    Gongo sio petroleum bwanaa

  • @evansogutu4167
    @evansogutu4167 2 місяці тому +1

    How old is Masubi Msee Ako na mafilings Sana

  • @MohammediKihimbwa-bj4pf
    @MohammediKihimbwa-bj4pf 2 місяці тому +1

    Wanafilwa kwer nmeamin wakimkataa wao ndiyo. Nn

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 2 місяці тому +2

    Tuko nanyi kwa kila habari mpaka wababe wadunia watakapo shikana mashati na kila mtu kukimbia na kipande chake cha dunia tufe sote walizike kulanina zao

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 2 місяці тому

      Maduro ni dikteta na mlafi wa madaraka.Anapigania tumbo lake na kuacha wananchi wake wakiangamia.

  • @hamidamussa-sy4fm
    @hamidamussa-sy4fm 2 місяці тому

    Huyu cheupe kipara kila kitu anakosoa yeye marekani islaeli ukleen lazima akosoe ata kiwe cha ukweli

  • @FrankDavid-en6on
    @FrankDavid-en6on 2 місяці тому

    Sns tuleteeni full story ya Bangladesh

  • @Batam2022-hu1ph
    @Batam2022-hu1ph Місяць тому

    Kwanini waapangie wezao wanaroho mbaya hao ea

  • @MichaelMsongole
    @MichaelMsongole 2 місяці тому +1

    Africa kitu kidogo chakutumia akili wanasema tumuachie mungu

  • @AdnaneisufomomadeMomade
    @AdnaneisufomomadeMomade 2 місяці тому

    Marekani anajipa uungu wa dunia.mimi binafsi siipendi marekani . kitu ambacho kinachonifanya kuto ipenda ni wanyonyaji

  • @mfaumeabuobakari-ct7kh
    @mfaumeabuobakari-ct7kh 2 місяці тому

    Kunatarifa zinani changanya mnasema ayedom inatungua mabomu ya karibu banestiki je? Mtuambie 2 juwe.

  • @Muba-Gucci-TV
    @Muba-Gucci-TV 2 місяці тому

    Nawaza kwa uwezo wangu kwanini na wao wasitumie uyo mfumo kwa marekan na wao wanatak kuingia kwenye uchaguzi

  • @mtaasisi
    @mtaasisi 2 місяці тому

    Jamani tusikate tamaa kwa kigezo cha kusema waafrica tunasalitiana wenyewe, inaweza ikawa ni kweli iko ivyo kwasababu ya matukio mengi ya usaliti ya kiafrica. Lakini pia hata wazungu wanasalitiana wenyewe pia mfano yule jamaa wa wikileaks hakuwa mwafrica watu kama mshindani wa maduro sio mwafrica watu kama wanaotaka kumuua trump na maraisi wengine wengi waliouawa sio waafrica. Usaliti upo kila sehemu kwasababu kila mtu huangalia maslahi yake binafsi. So hii isiwe point ya msingi bali ni namna gani ya kupunguza au kuondoa usaliti usilete madhara hili ndio suala la msingi, ikumbukwe waafrica sisi wengi ni masikini so kila mtu anatamani nafasi ya kisiasa ili aweze kujikwamua kiuchumi so ni rahisi kushawishika mkipewa option mbili kifo au pesa.

  • @timotheothadeomgassa4929
    @timotheothadeomgassa4929 2 місяці тому

    Kwahiyo sioni pia tatizo la Mmarekani hapo sababu kila big fish anataka msosi wake. Kimsingi China, Russia, Cuba etc mataifa yote hayo yana interest na Venezuela. Kwahiyo hakuna Mmarekani yupo sahihi kama ambavyo wengine wenye maslahi yao binafsi wanavyong'ang'ania kumsapot huyo wampendae . Sema ninachoendelea kujifunza kupitia siasa za kimataifa ni kwamba kila mmoja ameamua kuchagua upande wake lkn wote wapo kimaslahi

    • @HansChuma
      @HansChuma 2 місяці тому

      Hata ww unapotongoza nakwenda kufanya mapenz em acha kudanganya unaenda kuomba kaz ili iweje au kunafanya biashara ili iweje(au uko kumfaidisha boss na campuni yake hapo nikutegemeana mzee baba ....nakama hiyo kaz au campuni unayotumikia hauna maslah nayo utaendelea kufanya kaz au utaacha....??

  • @allymatilda7519
    @allymatilda7519 2 місяці тому

    Ali umeongea adi simesisimka viongozi wetu wa Afrika ni vibaraka na pia wanachangia umaskini Afrika wanatamaa ma greedy politicians alafu hatupendani wenyewe kwa wenyewe

  • @YussufMohd-fc1dj
    @YussufMohd-fc1dj 2 місяці тому

    nikw raixi lazima muwe katka serkli yang in xha Allah

  • @GeremihJuma
    @GeremihJuma Місяць тому

    Mpinzani aende blinken akamuoe
    Akaolewe na bulenken zero marekani kihelehre Hadi kiongozi wake

  • @leonardlubala393
    @leonardlubala393 2 місяці тому

    Nyie manao ongea mna ushahidi gani? Nanacho wa shangaa nyie nannyi mna ingia katika kosasa lile lile. Wacheni kudanganya tafuteni ukweli halisi kabla ya kuchua upande.

  • @MichaelMsongole
    @MichaelMsongole 2 місяці тому

    Mimi ninacho jua wanzania kuhusu mawazo yenu yamaandalizi kuhusu mafuta watasema tumuachie mungu

  • @HajiKlein-so1rk
    @HajiKlein-so1rk 2 місяці тому

    Marekani ndo changamoto ktk dunia hii

  • @swahilibrotherhood
    @swahilibrotherhood 2 місяці тому

    Sky 😂 kihereele gani

  • @DafiMohamed-dz8xk
    @DafiMohamed-dz8xk 2 місяці тому +1

    Vibaraka wana shida sana shetani mkuu USA akisema kitu vibaraka wanamfuata hawana kitu kabisa hao 😂😂😂mwisho umefika

  • @SaraphinaKidoti-qe7gi
    @SaraphinaKidoti-qe7gi 2 місяці тому

    Saudi ndo anaongoza Venezuela wa pili apo

  • @MichaelMsongole
    @MichaelMsongole 2 місяці тому

    Nikweli viongozi wanawalimoti

  • @anordgerison8639
    @anordgerison8639 2 місяці тому

    SKY umeonesha chuki dhidi ya USA

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 2 місяці тому

    Marekani wana double standard hapa kwetu tanzania kuna udictotor

  • @ngoyaboy1590
    @ngoyaboy1590 2 місяці тому

    Venezuela 🇻🇪 pale mafutaa kibao

  • @rajah9328
    @rajah9328 2 місяці тому

    Watu watakuja kujua ukwel ya USA ila nchi ikisawaidiwa lazima mntaanza kusuport LGBTQ

  • @deosebastian1687
    @deosebastian1687 2 місяці тому

    Ndgu yetu huyo hajui vzur anachoongea, marekani kila kitu detailed sio km Venezuela kaka , hapo kakosea km ndio mchambuzi wako

    • @ramadhanijuma4130
      @ramadhanijuma4130 2 місяці тому

      Aisee itabidi uwasiliane na sky Ili uwe unatuchambulia wewe hope tutajifunza mengi

  • @KinyongaUgwadu
    @KinyongaUgwadu 2 місяці тому

    Ali subi nimejrb kusoma comment nyng za wan Gps wanaomba uondke mna unaboa waskiliza kw unachikufanya kusem ukwel htupenzw na mazungumzo yko pale na cjuii kwnni ukltwa katika Kila kipnd uboa sna m2 we2 jtfkar

    • @AbuJuhaifah-c8j
      @AbuJuhaifah-c8j 2 місяці тому

      Ngoja nikupe maarifa kidogo ubishi wa Ali masubi kwa upande mwengine ni mzuri kwa sababu unawafanya ao wengine kuzungumza mamb mengi na kwa upana zaid lazima mmoja awe kama ivo kidg awe mtata ili watu wadadavue vzr na matirio mengi ikiwa wote waje waongee urusi good bila ya chalenj kipindi kitadorora wambie na wenzio kua ni kama ivo asnte si kwa ubaya lakn

  • @allymatilda7519
    @allymatilda7519 2 місяці тому

    SNS CHAMA LA WANA MPO JUU KAMA AIR DRONE ZA MRUSI 🫶🏿🫶🏿🫶🏿🔥🔥

  • @ElijahOwino-xe2cd
    @ElijahOwino-xe2cd 2 місяці тому +1

    Hapa Venezuela wakimuondoa Maduro watajuta...ukimuona USA hawamtaki Rais wa nchi yenu mjue kuna kitu wanataka kukiiba lakini wameshindwa

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 2 місяці тому

      Ww acha uongo wako watajuta kwa lipi.Hivi ww unaona wananchi wa venezuela wanavyoishi kwa mateso.Huyo dikteta maduro akiondoka wananchi ndio wataifurahia nchi yao.Wananchi takribani milioni tatu wameikumbia nchi yao.

    • @kassimrajabu7805
      @kassimrajabu7805 2 місяці тому

      ​@@MathewNathan-yb2bzww Kibaraka nini??

    • @barakashaban9698
      @barakashaban9698 2 місяці тому

      ​@@MathewNathan-yb2bzivi ww punga hao US wanakupelekea moto nini

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 2 місяці тому

      @@barakashaban9698 sasa matusi ya nini ndugu.Haya ni maoni tu.unateseka ukiwa wapi.ina maana ww una uchungu zaidi ya wanavenezuela waliopiga kura.

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 2 місяці тому

      @@barakashaban9698 juzi tu mmeenda kopa kwao na hata huu mtandao unaoringa na kutamba nao ni wa hao hao US.Au ww mwenzetu umezoea kufirwa na ndio maana any time unawaza mambo hayo.

  • @africanmandetraveler2847
    @africanmandetraveler2847 2 місяці тому +2

    Sasa marekani hata akimtambua mpinzani wakati tume imeshamtangaza Maduro hiyo imeisha.

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 2 місяці тому

      Nguvu ya us SI unaijua?
      Hawakawii kufanya Yao maana uwezo wanao

    • @nizarrama225
      @nizarrama225 2 місяці тому

      siyo kweli walijaribu 2018 wakachemka dunia imebadilika watu wanataka multipolar world free dunia siyo ya enzi zile zilizotokea Libya, Iraq etc​@@christinewomanoffaith5479

    • @AFRICA_D669
      @AFRICA_D669 2 місяці тому

      @@christinewomanoffaith5479 dhubutu wanauwa pale ambako mataifa ya brics hayapati rasilimali ila mataifa mengi yenye nguvu yanachuma wese😊,alafu et uguse wee hata wao wanajua

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 2 місяці тому +1

    China,urusi na cuba ni tatizo.Hawawaonei huruma wananchi wa nchi hiyo wanavyoishi kwa dhiki kubwa.Maduro hajashinda uchaguzi huo,bali mwanasiasa wa upinzani ndio kashinda.

    • @BryanNassary
      @BryanNassary 2 місяці тому +1

      Kama huelewi acha usicoment

    • @sosbrayantbenjamin9701
      @sosbrayantbenjamin9701 2 місяці тому

      Machafuko meng Dunian anasababisha nan ? Gadaf aliuawa na watu gan ? Thomas Sankara aliuawa na nan ? Fungua akil

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 2 місяці тому

      @@sosbrayantbenjamin9701 Uwe na kumbukumbu nzuri basi.Waliosababisha maandamano yale ni waarabu wenyewe na sio Marekani wala nchi za Ulaya.Gadaf alipoanza kuwaua wananchi wake kwa kuwa ulaya na marekani walikuwa washakuwa maadui na Gadaf muda mrefu ndio wakatumia mwanya huo kumwadhibu Gadaf.

    • @sosbrayantbenjamin9701
      @sosbrayantbenjamin9701 2 місяці тому

      @@MathewNathan-yb2bz kafatilie vzur mapinduz ya nchi za kiarabu uzur makala yake humu yapo wamechambua vzur tu

    • @sosbrayantbenjamin9701
      @sosbrayantbenjamin9701 2 місяці тому

      @@MathewNathan-yb2bz kafanye research kwanza ya machafuko yaliyo tokea nchi za kiarabu naona hata hujui 🤣

  • @barnabasmafuru6735
    @barnabasmafuru6735 2 місяці тому

    Vijana kama hawaa huoni hata wakialikwa kwenye dhifa muhimu, ila kunavijana wahovyo kama Mwijako na machawa wenzie wako endorsed. trashy tuu

  • @BuhetySharia
    @BuhetySharia 2 місяці тому

    Uyu jamaa ana SHORT TEMPER .....SKY muweke kijana chini....
    ana .... MASUBI ANA SHORT TEMPER amabyo inakua visible wakati wote
    Sasa hiii inakua sio poa

    • @thefactbook...1607
      @thefactbook...1607 2 місяці тому

      Short temper maana yake ni kuwa na hasira za karibu i think you got it the wrong way. Hasira za nini sasa ..?. Just for a conversation..?.

    • @BuhetySharia
      @BuhetySharia 2 місяці тому

      @@thefactbook...1607 .you no nothing concerning these guys.....ni uelewa finyu sana .unaweza kutumikia na kuitapret na kuja na aidia ozo kama hyo uliyoitoa...
      You got it in wrong way...which way is wrong ???.....I'm advise sns founder this is for matured and not milked toddler

    • @thefactbook...1607
      @thefactbook...1607 2 місяці тому

      @@BuhetySharia buheti sharia a great african name lakini reaction yako its dissapointing.no one insulted you as you do calling others toddler.any way perhaps thats your scope.so have it your way.

    • @thefactbook...1607
      @thefactbook...1607 2 місяці тому

      @@BuhetySharia by the way u de one who didn't know who you were talking with.but ur advice if it was. Its noted.

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 2 місяці тому

      ​@@thefactbook...1607Mkuu watu hawaelewi aisee wanataka uongee wanachokipenda wao na sio uhalisia, piga kazi ndugu wenye C 3 tushakuelewa....Sema daah DJ-SMA usimkamie sana anakuwa inferior complexity, japo tunafahamu ni kipindi tu.Ila by the way asanteni kwa uchambuzi mzuri.

  • @bishweko
    @bishweko 2 місяці тому

    U.S Maneno yao ni uchochezi mtupu.

  • @GeremihJuma
    @GeremihJuma Місяць тому

    Brenkeni zero benizwela sjyo marekani
    Ivi marekani ni wajinga magharibi hawana haki ya kuingia nchi nyingini mareka zero zero zero zero zero
    Habiyera

  • @Cabosport
    @Cabosport 2 місяці тому

    ILI UPATE GONGO INAITAGI UWE NA MABIBO AU MUA🇲🇿🇲🇿

    • @AFRICA_D669
      @AFRICA_D669 2 місяці тому

      😂😂😂mabibo ndio nin

    • @HareemaMct
      @HareemaMct 2 місяці тому

      Mabibo ni ile inakaa kwenye korosho chini ndio inaitwa Mabibo kama hujui kwanza unajua korosho ww naweza nikakuelekeza kumbe hata korosho hujui 😂 ​@@AFRICA_D669

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 2 місяці тому +1

    China na urusi zinaunga mkono dhuluma,hazifai.

  • @amirinestory
    @amirinestory 2 місяці тому +1

    😂

    • @amirinestory
      @amirinestory 2 місяці тому +2

      Toka lini marekani wamemkubali moduro😂

    • @AFRICA_D669
      @AFRICA_D669 2 місяці тому +1

      @@amirinestory maduro nae jina Lake limekaa kidcteta pia kiafrica flani, ile mijamaa ikiamua kukuchafua bhana wee 😂

    • @amirinestory
      @amirinestory 2 місяці тому +1

      @@AFRICA_D669 tunashukuru kwa kutuhabalisha...uhuru wa fikra ni bora sana kwetu waafrika...one day we will be free from hands of U.s.a in sha Allah

  • @HomeboyTZ19
    @HomeboyTZ19 2 місяці тому +3

    Kiherehere au ndio the Truth? mbona nanyie mnakuwa Bias? hebu kuweni na akili basi muache hizo Bias za kuichukia Marekani hata kama inasema kweli. US ni Moja ya Nchi yenye technologia ya juu sana na diplomasia kubwa kwa hiyo its very likely wanachokifanya ni sahihi huko Venezuela.

    • @IshipalemyPasko
      @IshipalemyPasko 2 місяці тому

      Kweli wewe ni shoga

    • @kamanapomo7029
      @kamanapomo7029 2 місяці тому

      ​@@IshipalemyPaskotena shoga kubuhu

    • @paschalfausitine7108
      @paschalfausitine7108 2 місяці тому +3

      Tatizo sio teknolojia , tatizo. Kufanya. Wanadamu wote. Kuwa. Mafara. Hasa cc wafrica. Nalichukia. Bc , tatizo. Tumeaminishwa. Marekani. Ndo Kila kitu

    • @IssaHassani-dg1xy
      @IssaHassani-dg1xy 2 місяці тому +3

      Hatakama tutaichukia marekani ww inakuuma Nini?

    • @HamzaMbasha-xs2ky
      @HamzaMbasha-xs2ky 2 місяці тому +2

      Ona ng'ombe hii..

  • @johnmichaellukindo21
    @johnmichaellukindo21 2 місяці тому

    Sky kumbe wewe ni comunista!