Prophet Lovy Longomba: Nilimuona Yesu kwa macho yangu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 65

  • @glorynguma3593
    @glorynguma3593 3 роки тому +5

    Prophet of God I love Ur teaching is always power ful

  • @swahiliwithZita
    @swahiliwithZita 3 роки тому +3

    I danced to their songs jamani haswa dondosa! still a vibe 2021

  • @siandowo5654
    @siandowo5654 Рік тому +1

    He is a true man of GOD

  • @upendofancy1781
    @upendofancy1781 2 роки тому +1

    Sns .thank you for introducing us to so many people who benefit our life.
    🙏🙏🙏

  • @totoozebingwatshumani4642
    @totoozebingwatshumani4642 2 роки тому

    God be with you always prophet lovy don't forget me Amen

  • @queenesther8505
    @queenesther8505 Рік тому

    God bless you lovi

  • @gatuhivirginia7640
    @gatuhivirginia7640 Рік тому

    Soo nice. Blessings

  • @isco49
    @isco49 3 роки тому +1

    Yesu alikua anaenda wap jmn😭

  • @bambone1938
    @bambone1938 3 роки тому

    Wow big ministry

  • @lelarubea6405
    @lelarubea6405 3 роки тому +5

    Jamani watu waongo hawa wanatokewa na mashetani wanasema Yesu kweli,

    • @lexq-sm6lq
      @lexq-sm6lq 3 роки тому

      Mashetani nayo pia hayapo, ni vitu vya kifikirika hivyo

    • @leonardlema1915
      @leonardlema1915 Рік тому

      Bakiza maneno!

    • @piusnkwale
      @piusnkwale 10 місяців тому +1

      Kama shetan anaweza mtokea mtu kwanini isiwezekana kwa Yesu?

  • @bornkilla6173
    @bornkilla6173 Рік тому

    Amen 🙏🏾

  • @gatuhivirginia7640
    @gatuhivirginia7640 Рік тому

    ❤❤

  • @meriqueen1343
    @meriqueen1343 3 роки тому

    Wa kwanza ku comment 💥💥

  • @chany9950
    @chany9950 3 роки тому

    Anen 🙏🙏

  • @Mzayanine
    @Mzayanine 3 роки тому +4

    Mbona tumemuuliza yesu amekataa

    • @kelvinbernard7120
      @kelvinbernard7120 3 роки тому

      Jamani 😂😂😂😂😂😂😂🙌🏽🙌🏽

    • @ashleylocks5349
      @ashleylocks5349 Місяць тому

      Chunga usitaje Jina la Yesu kwa upumbavu

    • @ashleylocks5349
      @ashleylocks5349 Місяць тому +1

      Chunga usitaje jina la Yesu kwa upumbavu

  • @idrisasalum8013
    @idrisasalum8013 3 роки тому

    Hhhhhhh ukristo mtihani xana

  • @eunicemasika6986
    @eunicemasika6986 3 роки тому

    Amen

  • @anitakamene4656
    @anitakamene4656 3 роки тому

    Nice

  • @simontitus6626
    @simontitus6626 3 роки тому

    Cousin?....Should be Uncle!

  • @hassanmassawa1107
    @hassanmassawa1107 3 роки тому +2

    So kafanikiwa kuonana na Yesu, halaf hakumuuliza chochote, maana Dunia ina maswal mengi, usipokua makin shetani anatumia opportunity ya maswali hayo kukujaribu

  • @Felix-sc8ku
    @Felix-sc8ku 3 роки тому +1

    Tatizo langu ni kuwa manabii waongo ndio wengi.

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 3 роки тому +2

    Huyu alimuona yule Yesu wa Kenya 🤣🤣🤣

  • @kreamagdfsa1697
    @kreamagdfsa1697 3 роки тому

    Sasa ameacha kuimba dunia ina mambo

  • @bambone1938
    @bambone1938 3 роки тому

    Nina swali lakujuwa je yesu mweusi ama mweupe?

    • @queensuzybeb9676
      @queensuzybeb9676 3 роки тому +1

      Kumwona yesu sio ati unamwona hivyo..nisauti inakutokea inakwambia vitu or kwa ndoto..

    • @bambone1938
      @bambone1938 3 роки тому

      @@queensuzybeb9676 kaseme yesu kamtokeya alimuona apana kwenye ndoto

  • @MS.independent8934
    @MS.independent8934 3 роки тому +1

    Kaona mapepo ya'kwao anadai kamuona yesu 🙄

    • @bigjizee4130
      @bigjizee4130 3 роки тому +1

      Acheni kudharau Imani za watu, Kila mtu ana uhuru wa kufanya atakalo

  • @najmasalimsalim2741
    @najmasalimsalim2741 3 роки тому +1

    Mbona hakumponya huyo kakake

    • @patrickochieng79
      @patrickochieng79 3 роки тому +5

      Mungu ndiye anayepona sio mwnadamu

    • @gospelvibestv3914
      @gospelvibestv3914 3 роки тому +5

      Kuna kitu kina itwa MAPENZI YA MUNGU,Kama MUNGU akisema nife leo hata Nani aseme nisife NITAKUFA TU

    • @ivaniavianarodrigo7201
      @ivaniavianarodrigo7201 3 роки тому +1

      kaka yake kawa kafara, huu ni unabii wa kuzimu lucifer yupo kazini

    • @yeshuasweapon4384
      @yeshuasweapon4384 3 роки тому +4

      @@ivaniavianarodrigo7201 be careful
      Utajiinulia vita bila kupata msaada

    • @emmanueljohn8970
      @emmanueljohn8970 2 роки тому +1

      @@yeshuasweapon4384 Safi sana kwa kumuonya

  • @saidkale6465
    @saidkale6465 3 роки тому +1

    Nishakutana na watu kama wengi ambao wanasema wamemuona mpaka Mungu 🤦🏾‍♂️ Huwa nawauliza maswali machache wanashindwa kuyajibu...Yesu alikujia kwenye ndoto??? Ulijuaje kama ni YESU?? Ushawahi kumuona YESU ukasema aliekua kwenye ndoto ni yeye lazima tuwe na akili za kufikria
    Kwa mfano nitasema nimeota simba alikuja usiku akanivamia inaingia akilini kwa sababu nishawahi kumona simba jinsi alivyo ... kama nimeota mnyama mwengine ambeye simjui nitasema kuna mnyama nimemuota kwenye ndoto lkn sijui alikuwa nani.... nitamwelezea vile alivyo ... Sasa wezetu waliomuona Yesu kwenye ndoto sijui walishi miaka 2000 iliyopita?? Ni maswali tu najiuliziga ??

    • @faza4023
      @faza4023 2 роки тому

      Ufahamu wako bado mdogo kweny mambo haya, roho yako ikiona kitu inajua bila ata kuuliza.

    • @sinyora2793
      @sinyora2793 2 роки тому

      Musa pia alienda kumwambia Farao pamoja na waisrael waliokuwa utumwani misri kuwa ametokewa na Mungu, akamuuliza Mungu wakiniuliza ni Mungu yupi huyo wajibu "Mimi Niko ambaye Niko amekutuma."
      Hivyo kwa jinsi unavyouliza maswali yako hayo huwezi ukadisapprove vision za mtu aliyemuona Yesu.

  • @D-Man.B-Free
    @D-Man.B-Free 3 роки тому

    Biashara 2

  • @fastlady3099
    @fastlady3099 3 роки тому

    Alitokea nashetani n.a. alikuwa akimfata tokea mdogo anafanya huruma yakishetani hakuna yesu aliemvaa yamaji imani hizi kwanini wanadanganya watu hawsemi ukweli

    • @glorynguma3593
      @glorynguma3593 3 роки тому +2

      Kwa nn unampenda jumps shetani credit kiasi inaamana shetani tu ndo mwenye na uwezo WA kutokea watu kuongea nae Yesu yy hawezi dah kumbuka hata huyo shetani uwezo alionao amepewa na Mungu xo God the creator of the universe is xo powerful than everything

  • @marianachriss2444
    @marianachriss2444 3 роки тому

    Nabii wa uongo huyu

  • @OmanOman-fu8xy
    @OmanOman-fu8xy 3 роки тому

    🙄🙄🙄😉😉💉

  • @anahna6788
    @anahna6788 3 роки тому +1

    Sema nini huyu MCONGO a napiga pesa tu hana la zamani wala jipya wala la baadaye
    WAONGO KAMA WACONGO
    WANAJUMU WAPI WANAJIUNGA NA (FM)
    MTUMISHI HUWEZI KUPIGA KITAULO NA KUVAA HERENI
    LABDA MTUMISHI WAA LUSIFA

  • @ankalmzito254
    @ankalmzito254 3 роки тому +1

    ,😂😂😂Uislamu peke yake...hebuu imagine eti mtu kama ALI KIBA ama D arudi msikitini alafu aseme amemuona MTUME MHAMAD s.a.w afungue MSIKITI kisha awe USTADH sidhani kama cc waislamu tutamuani na kumfata...

    • @brigithadidas5128
      @brigithadidas5128 3 роки тому +1

      Sasa kwani Mohammed si mfu mtamuonaje labda mzimu wake

    • @ashleylocks5349
      @ashleylocks5349 Місяць тому +1

      Kuna tofauti ya Yesu Kristo na huyo mtume wenu wa shetani

    • @ankalmzito254
      @ankalmzito254 Місяць тому

      @@ashleylocks5349 tofauti yake ni nini hebuu nambie nijue leo

  • @allyeliasgodsdaughter5227
    @allyeliasgodsdaughter5227 3 роки тому

    Amen!