CHUNYA YAENDELEA KUJIIMARISHA KWENYE KILIMO; SASA NI UJENZI WA MAGHALA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 лют 2025
  • Halmashauri ya wilaya ya Chunya imeendelea kujiimarisha katika uzalishaji wa Mazao mbalimbali ambapo pamoja na shughuli nyingine Halmashauri imeaanza kujenga Maghala ili kurahisisha uhifadhi wa Mazao ya wakulima na hata kutunza mazao hayo kwa matumizi ya Baadaye
    Mkuu wa Divisheni ya Kilimo na Mifugo amesema wananchi watanufaika sana na uwepo wa Maghala lakini pia Halmashauri ya wilaya ya Chunya itakusanya kodi kwa wepesi

КОМЕНТАРІ •