MHE. MWANGINDE , AZITAKA MAMLAKA ZA MISITU KUDHIBITI UHARIBIFU WA MISITU CHUNYA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 лют 2025
  • MWwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chunya Mhe Bosco Mwanginde amezitaka mamlaka zinazosimamia misitu kuhakikisha zinapambana katika kudhibiti uharibifu wa misitu ikiwa ni pamoja na kuzuia ukataji miti holela kwaajili ya mkaa na shughuli zingine za kibinadam.

КОМЕНТАРІ •