- 157
- 48 519
Chunya Dc Online
Tanzania
Приєднався 27 гру 2021
MWONEKANO WA MTU UNATEGEMEA ANAKULA NINI
Afisa lishe Halmashauri ya Wilaya ya Chunya Ndugu Simon Mayala amewaasa wanafunzi wa shule ya Sekondari Makala iliyopo kata ya Matundasi Wilaya ya Chunya kuzingatia masuala ya lishe hasa wanapokuwa majumbani kwao kwani mwonekano wa mtu unategemeaana sana na lishe bora.
Переглядів: 155
Відео
ZIJUE TARATIBU ZA KUPATA MKOPO WA 10% WA HALMASHAURI
Переглядів 205День тому
Mkopo wa asilimia 10 unaotolewa na Halmashauri kwa wanawake , vijana na watu wenye ulemavu umerejea tena kwa awamu nyingine ambapo taratibu za jinsi ya kupata Mkopo huo zimewekwa wazi
MHE.SHUMBI "NI JUKUMU LETU KUHAKIKISHA MIRADI INATEKELEZWA KWA WAKATI NA KWA UBORA.
Переглядів 19День тому
Makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chunya Mhe. Ramadhani Shumbi amewataka waheshimiwa Madiwani kuhakikisha wanaendelea kusimamia miradi inayotekelezwa kwenye maeneo yao ili iwezekukamilika kwa wakati na kwa ubora.
TAZAMA SIFA ZA MTU ANAYEFAA KUWA KIONGOZI WAKO HAPA
Переглядів 40День тому
Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya wilaya ya Chunya anawakumbusha wananchi wa Chunya kwamba Muda wa Kuchukua fomu za kugombea nafasi mbalimbali za Uongozi umefika, Ni kuanzia tarehe 26/10-01/11/2024 Fomu hizi zitatolewa bure kabisa na zitatolewa kwenye ofisi za Watendaji wa Vijiji lakini kwa wale wanaoishi Mamlaka ya Mji mdogo kwa maana ya kata za Matundasi, Bwawani, Makongolosi na Mkola fomu...
MAZIMBO AMCOS MFANO WA KUIGWA: TAASISI NYINGINE JIFUNZE KWA CHUTCU
Переглядів 198День тому
Katibu tawala wilaya ya Chunya Ndugu Anaklet Michombero amewapongeza Chama Cha Ushirika Cha Mazimbo chini ya Mwenyekiti wake Bwana Sebastian Masika kwa kusimamia Vizuri Fedha za Wananchama wake jambo ambalo Limepelekea kujenga ofisi kubwa na Nzuri kwaajili ya kuendeshea shughuli za chama hicho Aidha Michombero amewapongeza Chama Kikuu cha Ushirika Cha Tumbaku Chunya (CHUTCU) chini ya mwenyekiti...
ZAIDI YA WANANCHI 480 WAJIANDIKISHA KIJIJI CHA ITUMBA, CHALANGWA CHUNYA
Переглядів 29914 днів тому
Wananchi zaidi ya 480 wa kijiji cha Itumba kilichopo kata ya Chalangwa wamejitokeza kujiandikisha leo baada ya Mgogoro ulikuwepo kutatuliwa jana na Mkuu wa wilaya ya Chunya Wakizungumza kwa Nyakati tofauti tofauti wananchi hao wamempongeza mkuu wa wilaya ya Chunya kwa Hekima aliyoitumia kuhakikisha mgogoro huo unaisha na wananchi wanapata haki yao ya Msingi ya kujiandikisha na hatimaye tarehe 2...
SIMBALIVU WAITIKIA WITO WA KUJIANDIKISHA
Переглядів 2,5 тис.14 днів тому
Wananchi wa Kitongoji cha Simbalivu wamekubali kujiandikisha ili waweze kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika 27/11/2024 ambapo watachagua mwenyekiti wa kijiji, mwenyekiti wa kitongoji na wajumbe ambapo Mkuu wa wilaya ameruhusu waendelee kuosomeka kata ya Chalangwa na Kijiji cha Itumba Mpaka muda vituo vinafungwa wananchi zaidi ya mia mbili (200) wamejiandikisha kwenye daftari l...
UKOMO WA UONGOZI KWA WENYEVITI WA VIJIJI, MITAA NA VITONGOJI CHUNYA
Переглядів 10914 днів тому
Tangazo la ukomo wa viongozi wa Serikali za Mitaa yaani wenyeviti wa vijiji, wenyeviti wa Vitongoji, wenyeviti wa mitaa pamoja na wajumbe wengine ni tarehe 19/10/2024 Hii ni kwa Mujibu wa Sheria zinazoongoza Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
CHUTCU INAPASWA KUIGWA NA TAASISI NYINGINE CHUNYA
Переглядів 22514 днів тому
Katibu tawala wilaya ya Chunya Ndugu Anaklet Michombero amesema Taasisi nyingine zilizopo wilayani Chunya zinapaswa kuiga CHUTCU kuhamasisha wananchi na wateja wao kushiriki kwenye shughuli za Kitaifa za Kiserikali kama ilivyofanya CHUTCU katika kuhamasisha wakulima wanachama wake kujiandikisha kwenye Daftari la mkazi wa kitongoji tayari kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024 Akizun...
CHUTCU MGUU KWA MGUU KUHIMIZA WAKULIMA KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA MKAZI LA KITONGOJI
Переглядів 30414 днів тому
Wakulima wengi wamekili kwamba Elimu hii ni nzui na imechelewa kuwafikia huku wengine wakidai hawakujua kama wafanyakazi wao wanapaswa kujiandikisha kwenye Daftari ya Mkazi wa Kitongoji ikiwa ni maandalizi kuelekea uchaguzi wa Serikali utakaofanyika Novemba 27, 2024 Siku ya kwanza ya Ziara imehitimishwa leo kwa vyama vya ushirika kwa Kambikatoto, Bitimantanga, Mafyeko, Kalangali na Lupa kutembe...
CHUTCU IMETOA SIKU MBILI; WAKULIMA WANACHAMA KUJIANDIKISHA
Переглядів 30514 днів тому
Chama Kikuu cha Ushika cha Tumaku Chunya (CHUTCU) wamepanga kutumia siku mbili kuhimiza wanachama wake wote kuhakikisha wamejiandikisha kwenye Daftari la Mkazi kwenye vitongoji wanavyoishi wao pamoja na vijana wao wanaowasaidia kutekeleza shughuli mbalimbali za kilimo cha Tumbaku wilayani Chunya Meneja uendeshaji wa CHUTCU Ndug Juma Shinshi amesema CHUTCU ni kawaida kwao kuiunga mkono Serikali ...
MSIMAMIZI WA UCHAGUZI CHUNYA AMESHAFANYA YAKE; UNASUBILIWA WEWE
Переглядів 24921 день тому
Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya wilaya ya Chunya ameanza rasmi kujiandikisha kwenye daftari la Mkazi katika kitongoji chake na amewataka wananchi wote pamoja na viongozi wote waliopo wilaya ya Chunya kuhakikisha wanatumia haki yao ya msingi ya kujiandikisha na hatimaye tarehe 27/11/2024 wapige kura kuchagua viongozi wanaowataka
ENDELEENI KUMUUNGA MKONO DKT SAMIA SULUHU HASSAN RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Переглядів 16321 день тому
Wananchi wa Mamlaka ya Mji mdogo Makongolosi uliopo Halmashauri ya wilaya ya Chunya wametakiwa kuendelea Kumuunga Mkono Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kujitokeza kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwani mambo makubwa, muhimu na ya kihistoria ymefanyika katika maeneo Jambo mojawapo ni ujenzi wa Shule ya Msingi Mpya ya Amani ambapo Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilitoa zaidi ya...
CHUNYA IMESIMAMA KWA DAKIKA CHACHE; BODABODA ILIKUWA UBAYA UBWELA
Переглядів 57821 день тому
Mkuu wa wilaya ya Chunya Mhe Mbaraka Alhaji Batenga amewataka Maafisa usafirishaji (Bodaboda) kuhakikisha wanatenga muda wa kujiandikisha lakini kuwasaidia wananchi wa Chunya kufika kwenye vituo vya Kujiandikisha jambo litakalo rahisisha zoezi hilo Zoezi la kujiandikisha linaanza rasmi kesho tarehe 11/10/2024 na litadumu kwa siku 10 hivyo wananchi wa Chunya tujitokeze kwa wingi ili kujiandikisha
UCHAGUZI USITUGAWE; MKATAEENI MGOMBEA ATAKAYELETA SERA ZA KUTUGAWA
Переглядів 25321 день тому
Mkuu wa wilaya ya Chunya yupo kwenye ziara ya kitongoji kwa kitongoji kuwaambia wananchi wa wilaya ya Chunya kwamba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa usitugawe bali utuunganishe ili tuchague viongozi wataoshirikiana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwaletea maendeleo wananchi wa Tanzania wakiwepo wananchi wa wilaya ya Chunya. Baada ya kuhitimisha mikutano kumi kwenye vitongoji vya Ilindi...
UJIO WA MADAKTARI BINGWA AHUWENI KWA WANANCHI WA CHUNYA.
Переглядів 17828 днів тому
UJIO WA MADAKTARI BINGWA AHUWENI KWA WANANCHI WA CHUNYA.
WENYE MAHITAJI MAALUMU WAPEWA KICHEKO NA FUWAVITA CHUNYA
Переглядів 64Місяць тому
WENYE MAHITAJI MAALUMU WAPEWA KICHEKO NA FUWAVITA CHUNYA
KAMBONA AHAIDI USHIRIKIANO WA KUTOSHA KWA MADAKTARI BINGWA CHUNYA.
Переглядів 166Місяць тому
KAMBONA AHAIDI USHIRIKIANO WA KUTOSHA KWA MADAKTARI BINGWA CHUNYA.
TOFAUTI YA KUJIANDIKISHA UCHAGUZI WA NOVEMBA 27, 2024 NA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025 NI HII HAPA
Переглядів 75Місяць тому
TOFAUTI YA KUJIANDIKISHA UCHAGUZI WA NOVEMBA 27, 2024 NA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025 NI HII HAPA
HAKUNA KUPITA BILA KUPINGWA CHUNYA; UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
Переглядів 268Місяць тому
HAKUNA KUPITA BILA KUPINGWA CHUNYA; UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
WANACHAMA WA SIMBA MAKONGOLOSI WAKABIDHI TOFALI 500 UJENZI WA NYUMBA YA MTUMISHI WA AFYA
Переглядів 95Місяць тому
WANACHAMA WA SIMBA MAKONGOLOSI WAKABIDHI TOFALI 500 UJENZI WA NYUMBA YA MTUMISHI WA AFYA
WANACHUNYA TUJITOKEZE KUJIANDIKISHA NA TUJITOKEZE SIKU YA UCHAGUZI
Переглядів 6Місяць тому
WANACHUNYA TUJITOKEZE KUJIANDIKISHA NA TUJITOKEZE SIKU YA UCHAGUZI
ELIMU YA MPIGAKURA INAENDELEA KUTOLEWA KILA KONA CHUNYA
Переглядів 15Місяць тому
ELIMU YA MPIGAKURA INAENDELEA KUTOLEWA KILA KONA CHUNYA
HIZI HAPA SIFA ZA MGOMBEA WA NAFASI MBALIMBALI KWENYE UCHAGUZI WA NOVEMBA 27, 2024
Переглядів 142Місяць тому
HIZI HAPA SIFA ZA MGOMBEA WA NAFASI MBALIMBALI KWENYE UCHAGUZI WA NOVEMBA 27, 2024
NAFASI ZINAZOGOMBEWA UCHAGUZI WA NOVEMBA 27, 2024
Переглядів 220Місяць тому
NAFASI ZINAZOGOMBEWA UCHAGUZI WA NOVEMBA 27, 2024
OMBI LA WANACHUNYA LA KUPATA STENDI MPYA YA MABASI YA KISASA CHUNYA LAJIBIWA KWA VITENDO.
Переглядів 314Місяць тому
OMBI LA WANACHUNYA LA KUPATA STENDI MPYA YA MABASI YA KISASA CHUNYA LAJIBIWA KWA VITENDO.
WATUMISHI HALMASHAURI YA WILAYA YA CHUNYA WATEMBELEA MATEMA BEACH KUFURAHIA UTALII WA NDANI
Переглядів 260Місяць тому
WATUMISHI HALMASHAURI YA WILAYA YA CHUNYA WATEMBELEA MATEMA BEACH KUFURAHIA UTALII WA NDANI
MNEC MWASELELA APONGEZA UTEKELEZAJI WA MAAGIZO YA MHE. RAIS JUU YA MIRADI YA MAENDELEO CHUNYA.
Переглядів 64Місяць тому
MNEC MWASELELA APONGEZA UTEKELEZAJI WA MAAGIZO YA MHE. RAIS JUU YA MIRADI YA MAENDELEO CHUNYA.
CHUNYA DC INAWABURUZA MCHEZO WA KUVUTA KAMBA HUKO MWANZA
Переглядів 2522 місяці тому
CHUNYA DC INAWABURUZA MCHEZO WA KUVUTA KAMBA HUKO MWANZA