KIJANA ANAE TREND KWA KUFICHUA MAMBO YA CHIEF GODLOVE, HUYU SIO TAJIRI, EXCLUSIVE NA MARTIN OG

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 425

  • @ShabiniAmri
    @ShabiniAmri День тому +1

    Ahsante ndugu umetisha ,hatumuungimkonosisi kwapesazake za mikataba huyo shetani love

  • @danieljoseph1610
    @danieljoseph1610 Місяць тому +5

    Mwenyewe namuunga mkono martin og!

  • @AthumaniMkumbo
    @AthumaniMkumbo 2 місяці тому +17

    Safi kijana wa chief good love

  • @ShabaniHamadi-t7q
    @ShabaniHamadi-t7q 2 місяці тому +10

    Kijana mm nakuunga mkono Vijana wengi tunapenda miujiza kuliko kufanya kazi sasa anapo sema kuwa anapesa ni nn chanzo cha pesa izo na serikali inafaidika nn kupitia vyanzo vyake vya mapato

  • @hassangaddafi2347
    @hassangaddafi2347 2 дні тому +1

    Noma sana kaka

  • @ShesheKaoneka
    @ShesheKaoneka Місяць тому +6

    Huyu kijana anaelimisha wenye Tamaa wasimfuate huyo.

  • @BarikiNimrodi
    @BarikiNimrodi 2 місяці тому +7

    Jaman naombeni basi mnichangie buku mbili nipatw hela ya kula

  • @BraveMajaliwa-gf7ru
    @BraveMajaliwa-gf7ru 2 місяці тому +10

    Gidlove ni kama ugonjwa unasumbua watu pia unasumbua watu kwa mda mrefu na huyo dogo ndo TIBA YAKE 😅😂😂TIBA NI HUYU DOGO 🎉🎉🎉😂

  • @Gadrozjayofficial8521
    @Gadrozjayofficial8521 2 місяці тому +8

    Dogo uko sawa kabisa sijawahi kumkubali huyo mwamba

  • @mtalemwafesto
    @mtalemwafesto 2 місяці тому +19

    CHIEF ANGEKUA TAJIRI HASINGE TUOMBA LAKI NA NUSU.....SA KAMA MTU UNA ELA ZISIZOISHA KWANINI UTAKE LAKI NA NUSU ZA WATU.....KIUFUPI SISI NDO MABOSS WAKE NA YEYE NI TAPERI

    • @alexsebastian4146
      @alexsebastian4146 2 місяці тому +2

      Mo extra anazo hela za kutosha lakin na bado anaendelea kutuuzia energy za jero jero,

    • @EREVUKATV
      @EREVUKATV 22 дні тому

      Uko sahihi kabisa

    • @EREVUKATV
      @EREVUKATV 22 дні тому

      ​@@alexsebastian4146mo extra ni nin!?? Tumia akili mo extra ni biashara na hakuna TAJIRI asiyefany biashara Nkuulize ww Chief anauza nini !???

    • @monirangerera7155
      @monirangerera7155 5 днів тому

      Sahihi na pesa nyingi laki na nusu uwo wizi

  • @OMONDIMTUKAZIOG
    @OMONDIMTUKAZIOG 2 місяці тому +4

    Mm mwenyewe alinikosa nikashitu😅😅

  • @chakupewaonlinetv7045
    @chakupewaonlinetv7045 2 місяці тому +11

    Kiukwe goodlove siamini

  • @flaxbeatman
    @flaxbeatman 2 місяці тому +3

    fact❤

  • @RebecaLesananda
    @RebecaLesananda Місяць тому +3

    Huu kweli kaka jamii ya watu wa Tanga tunatambua chifu godlove tapeli sana na masikini kabisa niliongea naye na nilimwambia huyu dogo

  • @ErickEdward-c5u
    @ErickEdward-c5u 2 місяці тому +4

    Dogo anaongea point

  • @LeonardJeseph
    @LeonardJeseph 2 місяці тому +5

    kaa tu kufuatilia maisha ya watu

  • @kalengashoppingcenter1108
    @kalengashoppingcenter1108 2 місяці тому +1

    Tunapotea kwa kukosa Maarifa, tutapigwa mpaka basi😢😢😢😢😢😢😢😢😂😂😂😂😂😂

  • @Kalebo-l2f
    @Kalebo-l2f 2 місяці тому +4

    Unae jua ana hela haongeii ni nanii na kama yupo BAC ujue hata hela uyooo

  • @ruginavenance3042
    @ruginavenance3042 14 днів тому +1

    Ila dogo anachosema huenda kikawa na mashiko maan hata mimi nimewahi kupigwa m2+ tena na msanii maarufu, alafu mwisho wa picha Chali.

  • @ikabako2454
    @ikabako2454 2 місяці тому +20

    Dogo ana akili kubwa ila wabongo wengi akili hamna.

    • @damianmcba9525
      @damianmcba9525 2 місяці тому

      Kinachomfanya afatilie maisha yasiomuhusu ni nini? Au atakuwa choko? Yani shisa yake yeye amuonyeshe connection ya pesa km ni kweli ili na yy awe tajiri? "" ujui km Utapeli pia umewapa watu utajili? Mata

    • @tausifautini407
      @tausifautini407 2 місяці тому +1

      ​@@damianmcba9525Anawasanua msiojielewa😂

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 2 місяці тому

      😂😂mmoja apo wewe huna akili

    • @johnngoyo5589
      @johnngoyo5589 2 місяці тому

      Fanya kazi mdogo wangu acha uchoko

    • @EREVUKATV
      @EREVUKATV 22 дні тому

      Yuko smart sana

  • @pastor-Chrisfeston1
    @pastor-Chrisfeston1 9 днів тому +1

    Na nikweli kabisa kuna baba kalia kua Chief Godlove kamuibia laki tano kisha ka brock uko sahihi sana kijana

  • @mihayoonline1573
    @mihayoonline1573 2 місяці тому +13

    Mbona anafanana nae😂

  • @taseni_vevo
    @taseni_vevo 2 місяці тому +12

    Huyu jamaa anaongea point Sana...kinachowaponza WATU NI tamaa

  • @sharifumhata
    @sharifumhata 2 місяці тому +2

    Yaan uyu dogo ukimuangalia hata lak moja hana et chen milion 10 duh 🤣🤣🤣

  • @MatikoWaryana-b9r
    @MatikoWaryana-b9r 2 місяці тому +2

    Anae hoji hajui kuhoji na anae hojiwa hajui anacho hojiwa

  • @salymsuleiman2035
    @salymsuleiman2035 2 місяці тому +11

    Mm nilijuwa tu msenge sio tajir ni tapeli tu

  • @ibrahimmwalende2953
    @ibrahimmwalende2953 2 місяці тому +6

    Jamaaa kaongea ukweli mtupu sasa kama tajiri anachukuaje ela za maskini hamuoni bakhresa anawapa watu fursa

    • @alexsebastian4146
      @alexsebastian4146 2 місяці тому

      Anawapa watu fulsa wanafanya kazi na anawalipa, kwan anagawa hela bure

    • @EREVUKATV
      @EREVUKATV 22 дні тому

      Mshamba sana Godlove ni shamba haswa

  • @Mwaisumodevid381
    @Mwaisumodevid381 2 місяці тому +3

    Wewe fanya Yako sawa

  • @emmanuelnaiyiomaofficial939
    @emmanuelnaiyiomaofficial939 2 місяці тому +1

    og nipo Kenya 🇰🇪 ithink una clause chase😮😅😅😅

  • @richytarimo4656
    @richytarimo4656 2 місяці тому +4

    dogo big up,,, jamaa anaigiza utajir hamna kitu pale

  • @Lilmizermichae
    @Lilmizermichae 2 місяці тому +7

    Ebu jaribu huchinja naww au gawa nawew msaada kama utaweza au nawewe jalibu kufeki kama utaweza

    • @saltechnologiesco.ltd.2377
      @saltechnologiesco.ltd.2377 2 місяці тому

      Mtaolewa sana kwa tamaa zenu

    • @EREVUKATV
      @EREVUKATV 22 дні тому

      Tumia akili kidogo tu utamuelewa, izo pesa anazotapeli watu ndizo anawekeza na anazitumia kama mtaji katika miradi yake anazizalisha anavyojua ili kufaidika nazo zaidi, yule ni mwizi hakika nakwambia ni mwizi

    • @EREVUKATV
      @EREVUKATV 22 дні тому

      Hakuna tajiri atakwambia tuma kwenye namba hii hayupo

  • @RashidLupatu-bg8dr
    @RashidLupatu-bg8dr 2 місяці тому +14

    Sura sio utajili acha uboya

    • @Johnbida7559
      @Johnbida7559 2 місяці тому

      Ameongea vingi sio sura tu na huyu jamaa Yuko sahihi ila nyie wabongo hamna akili ndo maana

  • @bonyngoyindengoyinde6139
    @bonyngoyindengoyinde6139 2 місяці тому +1

    😂Picha linaanza kwenye umr, apo tumepigw😂😂

  • @princenelsonsinko5237
    @princenelsonsinko5237 2 дні тому

    Miguu imepauka😅😅😅😅

  • @onesmomrisho5456
    @onesmomrisho5456 2 місяці тому +1

    Njaa kali

  • @devisfrank6637
    @devisfrank6637 2 місяці тому +6

    yeye ndo anasura ya hela sasa..kijana tafuta hela acha kutaka kutoboa kupitia mwanaume mwenzako...

    • @saltechnologiesco.ltd.2377
      @saltechnologiesco.ltd.2377 2 місяці тому

      😂😂😂 unadhani huyo anayejitapa kuwa nazo alizipataje? Wengi njia zimeshaachwa wazi ili wapate maisha. Ogopa mtu anayejitapa upataji wake mali mtandaoni na kuwaona vijana wengine mazuzu "upinde wanavisha shanga wafuasi wao"

    • @EREVUKATV
      @EREVUKATV 22 дні тому

      Maisha hayana formula acha makasiriko😅😅😅😅

  • @mifxx88
    @mifxx88 2 місяці тому +4

    Kamaskin hako kwanza inaonekana kameshinda njaa kanaanza kumuongelea mtu asiekajua

  • @benjaminhardwork9355
    @benjaminhardwork9355 20 днів тому

    Hana mda wakukufungulia kesi wewe masikini akifanya hivi utapatanda zaidi ajili yeye tayali anajulikana kama tajili sasa wewe unapotia kwake ili upate pesa .ila mwisho wako utaumia sana.ukitamani kuishi maisha maleficent kwa hii Dunia achana nakufatana namaisha ya watu.

  • @josephjohn2114
    @josephjohn2114 2 місяці тому +37

    Mi huwa najiuliza Godlove anafanya kazi gani? ameajiri watu wangapi?ofisi yake iko wapi ? inajishugulisha na nini ? nakosa majibu naona giza tu.

    • @msatibongonyuzi14
      @msatibongonyuzi14 2 місяці тому +5

      Fanya mambo yako mkuu acha ya watu yatakupotezea muda😂😂

    • @festomarwa4633
      @festomarwa4633 2 місяці тому +3

      @@msatibongonyuzi14 ndio tunapo kosea hapa wabongo...kama huyo Godlove ni tapeli ni vyema kuufichua uongo wake ili kunusuru vijana wengi hao wanaomuamini na kumpa hela zao ndogo ndogo kwa kuamini atawasaidia. au mpaka yakukute wewe ndio utaamini.

    • @YoakimMsuha
      @YoakimMsuha 2 місяці тому +2

      Sio lazma kilamtu aweke vitu vyake je ww umetuambia unavyopata fedha? Upumbavu tafuta vyako

    • @josephjohn2114
      @josephjohn2114 2 місяці тому +1

      @@YoakimMsuha kwani mimi najitapa kuwa na hela kama huyo bwana ako Godlove? Kama anaonesha pesa anashindwa nini kuonesha kazi zake ? Anaficha kwani kuna siri gani? wewe ni mjinga fungua kichwa hicho

    • @YoakimMsuha
      @YoakimMsuha 2 місяці тому +1

      @@josephjohn2114 maskn mbwa takataka wewe tafuta hela k ww

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 2 місяці тому +13

    Sipendi watu kama Chief Godlove, clearly anaigiza maisha ili watu washikwe tamaa wamtake ushauri na hapo ndio kupigwa sasa .

  • @Kujason12
    @Kujason12 2 місяці тому +11

    Ukisikia kukosa akili ndo huko sasa hana point

    • @NtakarutimanaIriho
      @NtakarutimanaIriho 2 місяці тому

      Kuna Siku moja tuu utakuja kuona kama kaongeya ukweli

    • @Kujason12
      @Kujason12 2 місяці тому

      @NtakarutimanaIriho ukweli upi tena mimi naamini chief ni frimasoni nakuhusu pesa anazo sasa niamini nini tena

  • @PouloMtyana
    @PouloMtyana 2 місяці тому +2

    Maskini chef yukoo sawaa hajakosea ndo maisha yake aliyoamua ww Sasa tafuta maisha yako usonge mbele usimsikilize mtu Fanya kaz /jicho la mtafutaji ni sumu kwa wengne

    • @EREVUKATV
      @EREVUKATV 22 дні тому

      Yule ni mwizi shtuka ww

  • @charlespeter7445
    @charlespeter7445 2 місяці тому +3

    Bado chief good love akikodi magari nahizo mmbwa bado anapesa uyo dogo ache kumchafuwa mwamba wa kyela akubari kazidiwa2

  • @Lilmizermichae
    @Lilmizermichae 2 місяці тому +3

    Huyu hela anayo chif good love anathema huyo

  • @omanbarka1588
    @omanbarka1588 Місяць тому

    😂😂😂 vijana wanamambo mengi chrya milion kumi kweli we kijana na we Una Anza ya chifu dodylove

  • @SamwelBahati-x9z
    @SamwelBahati-x9z 2 місяці тому +1

    Ukosawa😂

  • @paulmsele3696
    @paulmsele3696 2 місяці тому +3

    Kwani huyo cheaf wa mchongo anafanya biashara gani inayomuingizia pesa kiasi cha kujitangaza kua yeye anapesa

    • @MikelSitoe
      @MikelSitoe Місяць тому

      Nsifuatilie maisha ya watu ntapotea😂😂😂😂😂

  • @romwaldoamsi2783
    @romwaldoamsi2783 2 місяці тому +7

    Tafuta hela Achan na Godlove.

    • @yokoi-u3g
      @yokoi-u3g 2 місяці тому +1

      Mwezako anakula viewers na hela yako ww mjinga umekaa nyumbani mwezako napiga hela ww una hate

    • @EREVUKATV
      @EREVUKATV 22 дні тому

      Shoga ww

  • @AliKhamis-l1x
    @AliKhamis-l1x Місяць тому +1

    Mtu wa miaka 20 anajulikana sura hiyo siyo miaka 20

  • @HusseinChai-n4g
    @HusseinChai-n4g 2 місяці тому

    😂😂😂😂😂kumekuchaa

  • @DarliotonTumaini
    @DarliotonTumaini 2 місяці тому +1

    Wana ume hatupogo hivo dogo badrika achana nanae fanya kazi zako

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 18 днів тому

    Chief Godlove ni TAPELI wa kisasa . Anaazima vitu anatengeneza matukio na kuhamasisha vijana watafute pesa .... lkn sasa hiv kapitiliza anaanza utapeli cjui tuma pesa namba hii uunganishwe huku na kule . Huo ni utapeli kama utapeli mwingine .

  • @WaziriJuma-m2p
    @WaziriJuma-m2p 2 місяці тому

    😂😂😂 anamiaka 20 😂😂😂

  • @BonifaceBonala-w9j
    @BonifaceBonala-w9j 20 днів тому

    Chief godlove sio jina lake ni chief mkundu love

  • @ImanNjogolo
    @ImanNjogolo Місяць тому

    We tumeni hizo hela kea chief good love:si hamjitambui.

  • @ShadrackSumila
    @ShadrackSumila 6 днів тому

    Hata bakhlesa ana pesa Ila sjawahi ona ajisifu , kwel wenye hela hawajitangazi tunawaona tuu.. vitendo sio kujitangaza

  • @alexmlelwa249
    @alexmlelwa249 11 днів тому

    Na wew unataka umaarufu tu😂

  • @nellyshow2772
    @nellyshow2772 2 місяці тому +2

    Ana miaka...?

  • @MikelSitoe
    @MikelSitoe Місяць тому

    Huwo ni uskini

  • @GiliardLugala
    @GiliardLugala 2 дні тому

    Maisha haya ni magumu huyu jamaa anatembelea upepo wa chifgood love

  • @JumaYasini-o6w
    @JumaYasini-o6w Місяць тому

    W chizi kweli acha usengee mwemzako anakula vizuri w unashinda njaa

  • @amosmahona433
    @amosmahona433 Місяць тому

    HUna ushahidi wowote

  • @FrederickThadeo
    @FrederickThadeo 7 днів тому

    Hana utajili ni tapeli aliyekoma sana

  • @stanslausmwasumbi4236
    @stanslausmwasumbi4236 Місяць тому

    👹👹👹 wivuuuu acha wivu wivuuuuu tu mwisho mnakuwa wachawi achana na maisha ya watu

  • @ShabaniKindaile
    @ShabaniKindaile 2 місяці тому +5

    Dogo ni mjinga sana awe na pesa asiwe na pesa inakuhusu Mimi tatizo wa bongo wengi tunatumia muda mwingi kujadili maisha ya watu yetu yanalala

    • @KalenjeMasoud-vg3om
      @KalenjeMasoud-vg3om Місяць тому +1

      Ameusishwa na maisha ya godlove pindi pale tu alivoanza kuonyesha lifestyle yake mtandaoni maana yake anaeaonesha watu so watu wameusishwa na maisha ya godlove so umewapa fursa ya kucoment, kujudge, na kukudiscuss

    • @EREVUKATV
      @EREVUKATV 22 дні тому

      Anafunua wajinga akili chief ni tapeli

    • @SalumYusuph-t2l
      @SalumYusuph-t2l 15 днів тому

      yanamuhusu nikwasababu chifu anatumia nguvu nyingi kuwashawishi watu kujiunga na grup lake

    • @QabyQaby-x2w
      @QabyQaby-x2w 12 днів тому

      Yani awachwe aendelee kutapeli watu...yani kila mmoja akitizama kazi zake na matapeli waendelee kufanya kazi zao... 😂😂😂😂😂😂😂​@@KalenjeMasoud-vg3om

  • @jackisonluvanda8088
    @jackisonluvanda8088 2 місяці тому +1

    Jamaaa anaongea ukweli huyu

  • @devisshirima6780
    @devisshirima6780 Місяць тому

    Kuna msemo unasema "fanya kazi kwa bidii uyaache mafanikio yako yapige kelele" wewe wala huna mda wa kusema saaana yani hata ukikaa kimya tuu pesa inaongea !!
    Sema kwa mimi mtu kama Godlove anavyoigiza maisha huwa ninampenda kwasababu ananipa hamasa ya kupambana yeye akiigiza mimi nafanya kweli !! Fake it till you make it !

  • @bavonnyaulingo4188
    @bavonnyaulingo4188 2 місяці тому +2

    Siku zote tajir huwa hajitangaz kwa ninavojua mm

  • @yosouphatmohamed7468
    @yosouphatmohamed7468 Місяць тому +1

    Yupo mwingine anaitwa Daniel Shila wale ni matapeli kabisaaa😢

  • @Denzzotz
    @Denzzotz 2 місяці тому +20

    Mimi nilimtuumia pesa ya kujiunga kwenye group lakin nilipigwa na kitu kizito 😢😢😢😢

  • @nashnene6326
    @nashnene6326 2 місяці тому +1

    Kuna chief na kinasa msukuma 😂😂hawa watu ni wa kuwazoom! Mazingaombwe

  • @dr.dishon2960
    @dr.dishon2960 2 місяці тому +2

    Interviewer be creative uliza maswali ya msingi

  • @SifaMasamba-rq6ee
    @SifaMasamba-rq6ee 2 місяці тому

    😊Jiho latatu unalijuwa kweli tagazaji😂😂😂😂😂 una akili kweli

  • @JuliethaJulius
    @JuliethaJulius 2 місяці тому +9

    😅😅😅Akiwa na pesa au Hana unaumia nn

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 2 місяці тому +1

      Lazima auumie maana watanzania wanatapeliwa.

    • @tausifautini407
      @tausifautini407 2 місяці тому

      ​@rumdeesommnsoa1811 msafala wa mamba na kenge wamo😂😂

    • @JuliethaJulius
      @JuliethaJulius 2 місяці тому +1

      Kijana muongo huyo! Kwanza haelewi anavyoongea hivyo ana maanisha Nini. Kwanza hata haelewi yeye mwenyewe ana miaka mingapi. Tutafute pesa za halali..tuache makasiriko​@@rumdeesonsoa1811

  • @adamzullu5036
    @adamzullu5036 Місяць тому +1

    Wivuuuu

  • @bossmtoto133
    @bossmtoto133 2 місяці тому +9

    Kijana tafuta kazi ya kufanya achana na maisha ya watu mtoto wa kiume

    • @tyronemofekeng7152
      @tyronemofekeng7152 2 місяці тому

      Ndio kazi yake hii tayari. Creativity. Ona kina Mwijaku ujinga ujinga ndio umewaweka kwenye macho ya watu

    • @Godbless-o6c
      @Godbless-o6c 2 місяці тому

      Hapo Yuko kazini kijana acha wivu wa kike

  • @DonMooFILMES_Express
    @DonMooFILMES_Express 2 місяці тому +2

    Kuna watu mnasema huyu bwana mdogo ni muongo kwasababu anaongea kiuoga uoga. Sipo hapa kujibu kuwa anaongea uongo au ukweli, ila nazungumzia kuhusu kuongea kwa uoga. Kama mtu sio mzowefu wa mahojiano ya namna hii ukiwa unafahamu kabisa yanaenda online lazima uwe muoga bila kujalisha unaongea ukweli au uongo. Kwani waongo wangapi wanafunguka kwenye interview bila uoga wowote. Hata wewe unaweza kubananishwa kuwa umezini na mtu au umeua mtu ukawa muoga sana katika maelezo ingawa haujui tukio hilo. Tusipende kucomment ili mladi tunacomment tu

  • @amosmahona433
    @amosmahona433 Місяць тому

    Tanzania hatujambo kwa kufatilia mambo ya watu

  • @RauwrencMbwana
    @RauwrencMbwana 2 місяці тому +17

    Mimi nazani chief gdlove yupo sawa amewapa vijana hasira yakutafutà pesa huyu anafaa sana

    • @rogersiddy
      @rogersiddy 2 місяці тому +1

      Kweli akili ni nywere anawapa hasira vijana anaeneza ujinga kwa jamii tu aeneze kazi anayofanya ili watu waige sio hela kushika mtandaoni ujinga ndiomana alishawahi kujibu maswali ya watu kwanini haonyeshi kazi anayofanya anaoyesha hela😂😂😂😂🙌

    • @BarakaMahamud
      @BarakaMahamud 2 місяці тому +1

      Sasa hasira ya nini wewe mwehu kweli 😅😅😅😅😅

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 2 місяці тому +2

      Kwn vijana walikuwa hawatafuti hela kabla Godlove hajaanza kuja mitandaoni? Hapo anawahamasisha vijana kujiingiza kwenye shughuli zisizo halali ili kujaribu kupata mafanikio ya haraka

    • @LatifaCharles
      @LatifaCharles 2 місяці тому +1

      @@BarakaMahamud😂😂😂😂

    • @saltechnologiesco.ltd.2377
      @saltechnologiesco.ltd.2377 2 місяці тому

      ​@@rumdeesonsoa1811sahihi sana, na vijana wengi watazibukiwa mitaro kwa tamaa zao za utajiri wa haraka.

  • @husseinbakromar5865
    @husseinbakromar5865 Місяць тому

    Niulize bongo wanaume ni gani?

  • @EmmanuelNamsonmbwaga-uk5hf
    @EmmanuelNamsonmbwaga-uk5hf 2 місяці тому +6

    kama hutojari Fanya kama anayo yafanya ukagawe mchela na vingine anavotoa mbwa Malaya weee

    • @yokoi-u3g
      @yokoi-u3g 2 місяці тому

      Ha ha ha ha kweli ujinga ni ufala. Mnatuma hela kati ya hizo hela ndio ana leta sukari na mchele akili kwa mkichwa 😂😂😂 acha kuwa fala

    • @EREVUKATV
      @EREVUKATV 22 дні тому

      Yule mjanja , anapiga pesa milioni 20 anaenda kutafta fem kwa kugawa mil 5 akili mukichwa ndugu

  • @emmanicko1535
    @emmanicko1535 2 місяці тому +5

    Vitu vingine sio poa kabisa
    Kwani ukikaa kimya unaumia

  • @JohnsonJoseph-h1y
    @JohnsonJoseph-h1y 8 днів тому

    sasa maisha yachif yanakuusu nini sasa tafuta pesa acha majungu na utoto

  • @venancerutta6875
    @venancerutta6875 29 днів тому

    Acha ww kijana wanaojiunga ni matapeli wanatumia jina lake

  • @AmiryMuhanji-b8l
    @AmiryMuhanji-b8l Місяць тому

    Dogo anaongea kweli,Kuna banz moja Maybach ya rang ya udongo,Ile ni mwamba mmoja jirani yangu huku juu kilakala morogoro....

    • @EREVUKATV
      @EREVUKATV 22 дні тому

      Yule ni mwizi hakika yani ule hamna kitu mshenzi yule

  • @swaggerriic
    @swaggerriic 2 місяці тому

    Ukweli tupu 🤣😂😁

  • @PastoryLazaro
    @PastoryLazaro 2 місяці тому +5

    Watanzania siyo kila king,aaa ni dhahabu huyo chief ni tapeli tu.

    • @Mussaphanuel-p1q
      @Mussaphanuel-p1q 2 місяці тому

      Huyo chif hana hela.acheni kutapeliwa.kama kweli atuonyeshe atuonyeshe kijana hata mmoja.aliefanikiwa kupitia yeye.

  • @RahemaOman
    @RahemaOman Місяць тому

    Hahahaha😂😂😂😂😂😂hataaaliiiii

  • @TwahaHemed-n6v
    @TwahaHemed-n6v 2 місяці тому +1

    Ila wivu bwana hiki mkikiangalia vzuri kichawi mumuhoji nayy kwann apigi mswaki ilo jambo lamsingi

    • @MWATANOMOTEE
      @MWATANOMOTEE 10 днів тому

      Pumbavu wewe ndio michawi yenyewe nyie tafuteni pesa kihalali dogo yupo right sana

  • @AmaniModeste
    @AmaniModeste 2 місяці тому +9

    Anasema kweli uyo jamaha mana île gari ya unganda iko wapi

  • @geofreymilinga2965
    @geofreymilinga2965 2 місяці тому +1

    Jamaa alipata milioni 50 Tu leo anapesa nyingi ametumia contents ambayo vijana wengi walijuwa kweli za majini wakijunga nawao watafanikiwa vijana zaidi ya 10,000 x 150,000 =150,000,000 nabado kuna watu wachache wana endelea kupigwa ivyo sahizi god love atumii vimbao bali anatumia pesa za kweli za mazwazwa na kugundulika kwake ndio kufilisika kwake ila yule anaweza kutumia mbinu nyingine ya kupiga pesa.

  • @eltonmika2797
    @eltonmika2797 Місяць тому

    Kumbe akili huna

  • @VeronicaBonafasi
    @VeronicaBonafasi 2 дні тому

    ❤❤❤❤😂😂🎉🎉🎉👍

  • @JudithMaliseli
    @JudithMaliseli День тому

    Nendeni mkatapeliwe uyo nitapeli mtokotaji

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 2 місяці тому

    Acha wivu kijana

  • @NeemaMacheni
    @NeemaMacheni 2 місяці тому +3

    😂😂😂😂😂😂😂😂 eti miaka 20 umetupiga mwanangu

    • @FurahaMakosi
      @FurahaMakosi 2 місяці тому

      Uyo 26

    • @AminaAmine-v4m
      @AminaAmine-v4m 2 місяці тому

      Maneno yake ya utu uzima kabisa eti miaka 20😂😂😂

  • @venancerutta6875
    @venancerutta6875 29 днів тому

    Wivu wivu

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 28 днів тому

    Uyoo anachuki tu kwani akiwa Anaela au ana ela ww unaumia nini

  • @PizzoDreamChaser
    @PizzoDreamChaser 2 місяці тому

    Ata ivii unaonekana huja tairi we kacha 😂😅