Wew jusa acha khabari zako kwa sasa tulipo fikia inshaaallah lengo lenu halitotimia kwasababu nyinyi ndio mnao sababisha kila wakati wa uchaguzi mnatupigisha na kusababisha wazanzibar kuuliwa
@@Mahirwazanzibar Hicho kitu ni kigumu sana Zanzibar kuwa na Mamlaka kamili ni lazima Muungano uvunjike ni lazima sio hiari, Maana Zanzibar atatakiwa awe na jeshi lake,pesa yake,Ushirikiano wa kimataifa ni yeye mwenyewe na sio kuitegemea Tanganyika tena,Banki kuu yake Je hapo kuna Muungano?
@@R10_Rajab Kweli tapeli mwezako mazuri yepii alofanya kuna mijitu mijinga sijui umelishwa mavi ww ayo maisha wanayoishi Wanzanzibar huyaoni ya njaa na dhiki subiri aue aendelee kuongoza apo lakini kuna kufa na dhuluma zake izo na wizi wake
Jussa, waache Waafrika wenyewe wapambane, wewe ni Kumbaro, hata ufanyeje huwezi kuwa na asili ya Afrika, hats iweje wewe na kizazi chako chote mtakuwa wageni maisha hapa Afrika
Wewe unamwambia Mwinyi hana asili ya Zanzibar, si bora yeye angalau ana asili ya Afrika, wewe ndo kabisaaa , Kumbaro asili ya Asia , mbali kabisa na Afrika, hivyo huwezi kuwa na uchungu na Zanzibar
Karume alifanya kosa kubwa sana kuyabakisha haya makombo ya Masultani pale alipowapindua, ndo sasa yameanza kutaka kuwagawa Waafrika ili warudi hapa Zanzibar kulipa kisasi cha kupinduliwa, Wazazi wake OMO walikuwa wanafugwa na Wamanga, walikuwa wanakula makombo ya biriani na kuwafulia nguo wamanga, eti naye anajiona Mwarabu, ili hali ukimwangalia unaona kabisaa, wazazi wake wana asili ya Congo, aliletwa Zanzibar na Waarabu enzi za utumwa. Na huyu Kumbaro wazazi wake walikuwa ni Wahindi waliokuwa wakifanya kazi za ukarani kwenye biashara za utumwa, wakati ule wazazi wake OMO walipoletwa kutoka Congo, OMO anafanana sana na Wakongo, akina Kofi Olomide 😂
@@MohdIkra-d7s Watanganyika wanaejenda yao kwa Zanzibar ambayo ni siri miyoni mwao so Kiongozi mkuu mwenye sauti ndani ya ACT ni Zitto kabwe ambae ni Mtanganyika vipi mnamuamini kushare nae idea katika kuleta mabadiliko kwa mnavyosema wenyewe yenye faida kwa Wazanzibari?mnadhani wanafurahia hayo?Hakuna Mtanganyika mwenye imani na Zanzibar hakuna....Hapo ni ngumu sana kupata Serikali Zanzibar ila kama ACT watapata unadhani genge lake la ACT ambao ni Watanganyika hawatokuja Zanzibar?na hapo unadhani kina Kumbaro watakubali?picha litaanzia hapo sasa .....Nipo paleee

ACT oyeeee allah atujalie viongozi wetu awape nguvu tuweze kuipata zanzibar yetu 2025 tumechoka manyanyaso ya ccm kwishaaaaaaaaaaaaa
Kunaa mpumbavu mmoja, sjui anaitwa beti mboto etii anasema ACT Wanataka kuvunja MUUNGANO hivi wazanzibar kudai mamlaka kamili ndo kuvunja muungano sisi tutadai na muungano utadumu INSHAAALLAHU
Tunataka manlaka kamil 2025 inshaallah ❤❤❤
ZANZIBAR HAIWEZI KUWA NA MAMLAKA YAKE KAMILI BILA KUVUNJA MUUNGANO HIYO HAIWEZEKANI
Ndoapo muungano utakuepo ila Zanzibar iwe na mamlaka kamili
@@Mahirwazanzibar Hicho kitu ni kigumu sana Zanzibar kuwa na Mamlaka kamili ni lazima Muungano uvunjike ni lazima sio hiari, Maana Zanzibar atatakiwa awe na jeshi lake,pesa yake,Ushirikiano wa kimataifa ni yeye mwenyewe na sio kuitegemea Tanganyika tena,Banki kuu yake Je hapo kuna Muungano?
ACTwazalendo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉2025🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
mamlaka kamili 2025❤❤❤❤
Mwinyi tapeli
Kwa haya mazuri anayofanya Zanzibar na awe tu Jambazi tena azidishe ujambazi haswaaa maana hao walio sio majambazi wamefanya nini?
@@R10_Rajab Kweli tapeli mwezako mazuri yepii alofanya kuna mijitu mijinga sijui umelishwa mavi ww ayo maisha wanayoishi Wanzanzibar huyaoni ya njaa na dhiki subiri aue aendelee kuongoza apo lakini kuna kufa na dhuluma zake izo na wizi wake
@@MOHAMMEDPANDU-u6o Mtanganyika Zitto atakuletea chakula ndani
Jussa, waache Waafrika wenyewe wapambane, wewe ni Kumbaro, hata ufanyeje huwezi kuwa na asili ya Afrika, hats iweje wewe na kizazi chako chote mtakuwa wageni maisha hapa Afrika
Weweeeee!! tutaizika CCM 2025
C c m watupishe wamechoka watupishe
Ma ccm hata haya hayana dah hayo yote kweli muheshimiwa jussa
Washenziiii wakubwa 😂
Wewe unamwambia Mwinyi hana asili ya Zanzibar, si bora yeye angalau ana asili ya Afrika, wewe ndo kabisaaa , Kumbaro asili ya Asia , mbali kabisa na Afrika, hivyo huwezi kuwa na uchungu na Zanzibar
Karume alifanya kosa kubwa sana kuyabakisha haya makombo ya Masultani pale alipowapindua, ndo sasa yameanza kutaka kuwagawa Waafrika ili warudi hapa Zanzibar kulipa kisasi cha kupinduliwa, Wazazi wake OMO walikuwa wanafugwa na Wamanga, walikuwa wanakula makombo ya biriani na kuwafulia nguo wamanga, eti naye anajiona Mwarabu, ili hali ukimwangalia unaona kabisaa, wazazi wake wana asili ya Congo, aliletwa Zanzibar na Waarabu enzi za utumwa. Na huyu Kumbaro wazazi wake walikuwa ni Wahindi waliokuwa wakifanya kazi za ukarani kwenye biashara za utumwa, wakati ule wazazi wake OMO walipoletwa kutoka Congo, OMO anafanana sana na Wakongo, akina Kofi Olomide 😂
JE ZITO KABWE SIO MZANZIBARI NI MTANGANYIKA JE ANAUCHUNGU NA ZANZIBAR???
@@R10_Rajab wewe ni juha mfuatilie Mh zito sera zake utajua anao uchungu au hana halaf jee ao wengine watakwenda leba wakati hawana uchungu
@@MohdIkra-d7s hiyo ni Siasa brother bakia na hilo.
@@R10_Rajab sijakufahamu mbona hemu elwza kwa uwaazi tujue ipi siasa na upi mmchez
@@MohdIkra-d7s Watanganyika wanaejenda yao kwa Zanzibar ambayo ni siri miyoni mwao so Kiongozi mkuu mwenye sauti ndani ya ACT ni Zitto kabwe ambae ni Mtanganyika vipi mnamuamini kushare nae idea katika kuleta mabadiliko kwa mnavyosema wenyewe yenye faida kwa Wazanzibari?mnadhani wanafurahia hayo?Hakuna Mtanganyika mwenye imani na Zanzibar hakuna....Hapo ni ngumu sana kupata Serikali Zanzibar ila kama ACT watapata unadhani genge lake la ACT ambao ni Watanganyika hawatokuja Zanzibar?na hapo unadhani kina Kumbaro watakubali?picha litaanzia hapo sasa .....Nipo paleee
Hii ni ya lini?
Kama sikosei bandika bandua walipokwenda Pemba
Sie tunausubiri huo mguu supu tuwaletee boflo mbaguzi mkubwa we na sabuni yako ya omo
We kinooo unasemaje huna Sera mpumbavu mkubwa
kwisha nyie Act mwinyi mitano tena