ASKOFU GWAJIMA AWASHA MOTO, ISHU YA MACHINGA KUONDOLEWA MITAANI, "MNAMUHARIBIA RAIS SAMIA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 224

  • @kelvinkeita319
    @kelvinkeita319 2 роки тому +20

    Gwajima ndan yako unahekima sana hongera kwa kulisemea taifa mungu akubariki ww na uzawo wako pia tetea na boda boda

  • @dominicfrancis4073
    @dominicfrancis4073 2 роки тому +15

    Sisi vijana wamachinga 2025 tuna jambo letu kwa machozi jasho na damu shaidi mwenyezi Mungu mmetualibia maisha yetu na sisi tutawavuruga 2025

  • @kelvinkeita319
    @kelvinkeita319 2 роки тому +5

    Taifa linahitaji viongoz kama gwajima zaidi ya kumi wanao weza kuwasemea walio wengi cyo machawa wanao tukana viongoz wetu mungu ibariki 🇹🇿 wabariki na viongoz wetu wote nawale wanao penda matumbo yao piya uwakumbushe kula kwa jasho 🙏

  • @maigekelvin75
    @maigekelvin75 2 роки тому +8

    Mungu aendelee kukuweka gwajima👏

  • @guzomc255
    @guzomc255 2 роки тому +15

    Hongera ngwajima.. 👍

  • @simbayassin5456
    @simbayassin5456 2 роки тому +5

    Gwajima ungalikua raisi nahisi ungalifuata muenendo wa magufuli tunamlilia😭😭😭

  • @martinsntonyo8537
    @martinsntonyo8537 2 роки тому +10

    Mh Gwajima you are the hope of the masses of this nation

  • @adorateurpaulbukuru6864
    @adorateurpaulbukuru6864 2 роки тому +2

    well said & appreciated mr GWAJIMA🖊️no matter am not Tzanian, but l do like ur Speach in protecting Ppl of God in defending the Truth ever🖊️Stay blessed Sir🤝🏾

  • @muradsadik535
    @muradsadik535 2 роки тому +20

    Sad to say but this Gwajima knows what he’s talking but the government does not follow the steps and that brings us down to the drain, keep up the good work Mhe Gwajima keep up the good work

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 2 роки тому +4

      These are same politicians knows what they are doing

  • @nkwabitz233
    @nkwabitz233 2 роки тому +20

    SAFI SANA GWAJIMA.

  • @sautikaliitz934
    @sautikaliitz934 2 роки тому +5

    gwaji boy Mungu anakuona na akubariki

  • @angelwilliam3471
    @angelwilliam3471 2 роки тому +15

    Kweli kabisa machinga wanateseks mna poteza kula bila kujua kuwen na roho ya huruma

  • @mashiassenga8849
    @mashiassenga8849 2 роки тому +1

    True mchungaji hari ww umetuonaa vile wanatutesa sana thanks u

  • @yohanemwitumba3711
    @yohanemwitumba3711 2 роки тому

    Mweshimiwa gwajima mungu aendelee kukupatia hekima na busala Ivo ivo

  • @mkilinditv3147
    @mkilinditv3147 2 роки тому +2

    big pont sana Gwajima hongera kwa kuwatolea uvivi hawo mambwa mwitu wasio tambua nini maana ya machinga

  • @hajimanajdedieu2910
    @hajimanajdedieu2910 2 роки тому

    Mzee ngwajima mungu akubariki sana kwenye luga yetu ya kirundi tunasema imana iguhezagire baday uweje kuwa president watanzania

  • @lamerkngungulu6347
    @lamerkngungulu6347 2 роки тому +1

    Mungu aendelee kukutumia gwajima kichwa Cha🇹🇿🇹🇿

  • @ignasankoma5383
    @ignasankoma5383 2 роки тому +9

    Week ina siku 7... Tuwe wawazi... Wewe ipewe siku moja ... Unaweza kutunza familia .. na kuendesha maisha ya Siku 7 Kwa siku moja...
    (Be transparent.... Apostle... Raisi Kama angeona sivyo alivyoagiza angekataza Mara 1,.. Silent Ni Yes )

    • @CharlesLeoMgaya
      @CharlesLeoMgaya 2 роки тому +1

      Kasema kama mfano tu, maana ya utaratibu. Hakuna ambae hajui ugum wa mazingira yetu kibiashara.

    • @arnhemzuid8885
      @arnhemzuid8885 2 роки тому

      Haiwezekani. Ni yale yale ya mwenye shibe..... Na yote hayo ni kutotafakari cha kuongea zaidi ya kutafuta mitaji ya kisiasa isiyo rasmi. Sifikiri mbunge kutetea uchafuzi wa mazingira then athari zinapotokea aenze tena kuibebesha lawama serikali na kuilaumu kuwa haijali wakati kumbe yeye ndiyo alikuwa kinara wa uporoshaji kwa kutafuta sifa huku ndan ya nafsi akiuficha ukweli. Na huo ndiyo ubaya wa kutotambua kuwa siasa ni huduma na kuchukulia kuwa ni ajira daima mtapigania mioyo yenu inayovyoona kuwa mtadumisha kupata kula yenu.

  • @kasiankillo6949
    @kasiankillo6949 2 роки тому +9

    Gwaji unajisumbua kuelekeza ao watu ni zana yao kuonea wanyonge Ni mfumo wa selikali, Ila sema tu, mungu akulinde

  • @alextumbe1382
    @alextumbe1382 2 роки тому +2

    Hongera Sana mkuu wangu

  • @fransisigulu9761
    @fransisigulu9761 2 роки тому

    Naku admire Sana askofu endelea full of wise and wisdom.

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 2 роки тому +19

    Hivyo walivyofanya watendaji ndivyo Rais alivyotaka, ndiyo maana alinyamazia. Angeona wamefanya tofauti na alivyoagiza angewazuia.

    • @mrdeniskomba6199
      @mrdeniskomba6199 2 роки тому

      Si kuwazuia tu hata kuwawajibisha.
      Kipindi hiki si cha fact ni siasa tu. Kutafsiri mambo yasiyo ya kweli.

    • @bjzee1981
      @bjzee1981 2 роки тому

      Gwaji boy ana akili wewe anatumia mafumbo 😂

    • @namandamzuma5478
      @namandamzuma5478 2 роки тому

      @@bjzee1981 Ahaaa...na wewe unaakili sana kuling'amua hilo fumbo

  • @yohanayohanaadamu6483
    @yohanayohanaadamu6483 2 роки тому

    Jaman machinga poleni sana mungu yupo pamoja na nyie 2025 cyo mbari itafika

  • @amosmichael487
    @amosmichael487 2 роки тому

    Gwajima Mungu akubariki Sana

  • @mosesmzakwe7774
    @mosesmzakwe7774 2 роки тому

    Hongera sana Gwajima
    Uko vizuri sana

  • @mdsaid1527
    @mdsaid1527 2 роки тому

    Huy ngwajima mungu akubariki Kwa hekma zako

  • @rehemaamry4585
    @rehemaamry4585 2 роки тому +24

    Mgambo wamekuja kwa nguvu na wananenepa kwa vyakula vya watu,wamerudia mambo Yale ya zamani wanachukua vyakula wanagawana

    • @nyundomaster1541
      @nyundomaster1541 2 роки тому +1

      Kama unamkumbuka zamani mama lishe walikuwa wanakaa na sumu ya panya.wakija tu wanachanganya

    • @shinipapaya846
      @shinipapaya846 2 роки тому

      Ina maana hao mgambo wakila tu ndio kwisha? hao mama ntilie walikuwa wana akili sana nawaomba wainunue tena hiyo SUMU YA PANYA 🤣🤣🤣🤣🏃🏃🏃🏃

    • @josephsungi2292
      @josephsungi2292 2 роки тому

      Wengi Kwa sasa wanalala njaa sababu bidhaa zao zimefungwa ndan na hakuna wateja naowatafta sahv hakuna maana ya kuwepo uongozi nchii hii sababu wanaongoza watu ambao hawana uhuru

  • @barnaba3037
    @barnaba3037 2 роки тому +7

    Gwajima unajitahidi lakini serikali hii ni tofauti na iliyopita mambo yamebadilika

  • @mussamussa8181
    @mussamussa8181 2 роки тому

    Daaaaa safi sana gwajima kwa maombi yako na watu wa tofaut na din yako

  • @jeniphermyingajeniphermyin8029
    @jeniphermyingajeniphermyin8029 2 роки тому

    Kwa kweli

  • @jumannerajabu1356
    @jumannerajabu1356 2 роки тому +1

    napenda sana kuona Tanzania ikiwa naviongozi kama Hawa mkirisito kumtetea muisiram na muisiram kumtetea mkirisito nashukull mno

    • @dapinitiative2451
      @dapinitiative2451 2 роки тому

      Umewaza Kama ninavyowaza Bwana rajabu

    • @jumannerajabu1356
      @jumannerajabu1356 2 роки тому

      baba wataifa katureta pamoja Sana udini ukabira kwenu hamna nijambo rakushukull

  • @marysinkolongo7347
    @marysinkolongo7347 2 роки тому +21

    Mmewapa mgambo maisha, wananenepa na familia zao.

    • @magengekovu2947
      @magengekovu2947 2 роки тому

      Kuimba kupokezana wamepiga hela sana na Bado wanapiga hela wenye maduka walikuwa awafanyi kazi kabisa machinga Kila Kona ulicho na Cho dukani machinga kaweka mbele ya duka lako hii Ni haki kweli. nyinyi mnajiongelesha tu lakini watu wengi biashara zimekufa kwa ajili yao

    • @rashidikanyama7227
      @rashidikanyama7227 2 роки тому

      @@magengekovu2947 siku ukiwa na akili utafaham unachokisema

    • @زيتونتنزانيا
      @زيتونتنزانيا 2 роки тому +2

      @@magengekovu2947 hao machinga wengine walikuwa. Ni wao wenye maduka wanawapa vijana

    • @resmakihiyo3463
      @resmakihiyo3463 2 роки тому

      @@magengekovu2947 Haaaaaaaa!!!!! Kweli alieshiba hamjui mwenye njaa

    • @twangalagsung8649
      @twangalagsung8649 2 роки тому

      @@magengekovu2947 machinga kukaa mbele ya duka haimanish kua mwenyeduka hufany biashala maana machinga ananunua dukan ndio anaweka mbele kiufup akiuza machinga na mwenye duka kauza maana machinga haagiz mzigo inje ya nnch

  • @hamisiselemani4927
    @hamisiselemani4927 2 роки тому

    Gwajima nakukubali sana mungu akulinde sana

  • @lumumbasankara6388
    @lumumbasankara6388 2 роки тому +4

    Yani waisilamu sisi tumekaa mpk anaetuzungumzia. Ni mkristo lkn ss hapana gwajima Allah akuongoze

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 2 роки тому +1

      Waisilam gani waliokaa mpaka? Km hufatilii watu walikua wakipiga kelele kila siku kwa jambo hilo. Huyo unaemsifia hakuwahi kusemea masheikh hata siku moja kipindi cha Magufuli mpaka alipomuona kafa. Atawafumba macho msiofatilia lkn tunaofatilia tunamuona mnafik tu.

    • @isikesamike
      @isikesamike 2 роки тому

      @@alhamdulillah5796 huna shukrani kabisa.

    • @goodlucky8532
      @goodlucky8532 2 роки тому

      @@alhamdulillah5796 mbwa ww

  • @jumamlisho443
    @jumamlisho443 2 роки тому

    Hapo bungeni upo peke yako unae watetea wanyonge gwajima fire🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @bibianajangandu1727
    @bibianajangandu1727 2 роки тому

    Ni kweli baba

  • @pitabariki2499
    @pitabariki2499 2 роки тому

    Wewe si upo kwenye utawala, kumbe unatafuta kura na SI usahihi ktk ujenzi wa mfumo wa kujipatia kipato Kwa jamii na mapato ya taifa, , Hongera Rais wetu taifa lazima lewe na mfumo sahihi, kiongozi apate kura za utendaji wake na SI tofauti

  • @janethpallangyo2633
    @janethpallangyo2633 2 роки тому

    Gwaji boy love you..........

  • @morganizemeshack6643
    @morganizemeshack6643 2 роки тому

    Nakukubaliiii Mr Tanzania, wwe ndiye rais wetu after mama Samia

    • @victorjustus9258
      @victorjustus9258 2 роки тому

      Itatimia ,

    • @ntulloboy2916
      @ntulloboy2916 2 роки тому

      Masikini saivi tumeshikwa Koo kila mala mahitaji yote muhimu ya kila sku yamepanda Bei yaani wanataka umaskini utuive vizur

  • @soudbako5925
    @soudbako5925 2 роки тому

    That true

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 2 роки тому

    Thank you Gwajima.

  • @lusajomwaipopo5042
    @lusajomwaipopo5042 2 роки тому

    Wasukuma Bwana yaani wafanye kazi cku moja halafu cku zingine wataishi vp

    • @pascmedia1713
      @pascmedia1713 2 роки тому

      Acha ukabira

    • @lusajomwaipopo5042
      @lusajomwaipopo5042 2 роки тому

      @@pascmedia1713 Sawa nimeacha lakini VP kuhusu kufanya kazi tuu watu wataishi vp

  • @omarikessy2339
    @omarikessy2339 2 роки тому +4

    Keep it my brother Gwajima
    You don’t choose color on your dealing 👍🏿

  • @omarikessy2339
    @omarikessy2339 2 роки тому

    Keep it up

  • @Shadyofficial_tz
    @Shadyofficial_tz 2 роки тому

    Well done

  • @kalumbugideon4159
    @kalumbugideon4159 2 роки тому

    Big Mind.

  • @gabriellyadam9415
    @gabriellyadam9415 2 роки тому +2

    👊👊👊👏👏👏👏.akili nyingi.

  • @vallenymugande5712
    @vallenymugande5712 2 роки тому

    Bahati yenu mm sio Mungu hakika ningekuwa Mungu ningelipa titifor tat ningetangaz msiba wa vigogo na rais mwingine Tanzania tungebaki yatima na wajane na wagane pia

  • @shemmaugo5420
    @shemmaugo5420 2 роки тому +6

    Machinga kufanya huduma kwenye maeneo kwa muda jioni yanafanyika Bunda nimipango kuwa mizuri niwapi wawe n'a wakati gani

  • @Amani1682
    @Amani1682 2 роки тому

    Na ni vizuli kilewekea mpango mzima maana mliyo ya fanya hayatufurahisha Sasa sisi watoka vijijini tutaishije.
    Na kingine maisha yetu nikutafuta Kila sku kla mda Ila Mambo mlo yafany hayato imlsh maish yt hp mjn maan tuspo fany hutuwez kul tuna LL njaa😭😭😭😭😭😭😭

  • @mussamarwachamahaaaaaaaaaa8065
    @mussamarwachamahaaaaaaaaaa8065 2 роки тому

    Hongela San mweshimiwa kwakusema ukwel nakupongeza

  • @revocatusreuben4605
    @revocatusreuben4605 2 роки тому +1

    Saf sana ngosha

  • @ashaomari7972
    @ashaomari7972 2 роки тому

    Mashaallah ako sawa kabisa watu wameumia vyaktosha😢😢😢

  • @nelsonbonzo5129
    @nelsonbonzo5129 2 роки тому

    Safi

  • @humphreybilly7437
    @humphreybilly7437 2 роки тому

    Kiukweli Mungu ana sababu kukuweka bungeni.

  • @nassoromwasandube3727
    @nassoromwasandube3727 2 роки тому

    Umeongea fact Sana gwajima

  • @mrdeniskomba6199
    @mrdeniskomba6199 2 роки тому +9

    Kama haikuwa maana ya samia kuwafukuza na yote waliyo tendewa machinga ni kiongozi gani aliye wajibishwa?

    • @ericksagara1719
      @ericksagara1719 2 роки тому +2

      Eti yeye sio simba wa yuda.
      Huyu mama anaboa.
      Amewaacha watu wajifanyie wanavyotaka

    • @sinyorekitaly998
      @sinyorekitaly998 2 роки тому

      Msianglie bodaboda tu Manisha ya watanzania wa hali ya chino ni magumu Sana tumekata tamaa

  • @carlosmzena548
    @carlosmzena548 2 роки тому +1

    Kariakoo juzi machinga kapewa kichapo na wagambo

  • @elizalutiga6287
    @elizalutiga6287 2 роки тому

    Naongea mkono hoja 100%👍

  • @hellengwopundo4927
    @hellengwopundo4927 2 роки тому +3

    Tena hao watendaji ndo wamevuruga masoko na ndo wamemwaribia Samia sifa tena tumewachukia mno tena mno jinsi tulivyovurugwa , labda waje na lugha laini ,tumevurugwa saaaana yaani machinga tumekuwa Kama wakimbizi

  • @jamesmachibya6532
    @jamesmachibya6532 2 роки тому +4

    Wengine tumekuwa masikini hatujui kesho yetu ni nini!
    Kwenye hili Raisi alikosea sana tena ukizingatia na yeye alikuwa kiongozi mkuu kati ya wakuu serekali iliyopita.
    Naumia sana kila nikikumbuka nilipotoka na nilipo sasa hata hela ya kula hakuna.
    Sijui tunakokwenda na hii nchi.

  • @samsonlubida9307
    @samsonlubida9307 2 роки тому

    Saf Sana gwajima!

  • @monalisahassan2951
    @monalisahassan2951 2 роки тому

    Uyu mama chizi Hana kazi ya kufanya anaitesa nchi

  • @alexanderkapinga700
    @alexanderkapinga700 2 роки тому

    Kama dhana yake haikuwa inamaanisha klilichofanyika sasa watekelezaji waliopotosha wakati wa implementaion kwanini hajawachukulia hatua au kukaripia hata.

  • @atanasjuma433
    @atanasjuma433 2 роки тому +1

    gwajima kichwani uko vzr, ila yale mambo ya zaman ya kuwarudisha misukule achana nayo itakuondolea uamunifu maana ile inatumika kujitangaza tu ww tayar unajulikana

    • @filbertshoo8304
      @filbertshoo8304 2 роки тому

      Achana na kusikiliza taarifa za mtaani fatilia ukweli halisi

    • @atanasjuma433
      @atanasjuma433 2 роки тому

      kwa dunia yasasa kiongoz wa dini ni bora angejikita kwenye kufundisha watu wamjue MUNGU kuliko kuwafanyia usanii wa miujiza

  • @meddydoubledi1675
    @meddydoubledi1675 2 роки тому

    Hili ni jitu kutoka KANDA YA ZIWA Kanda ya ZIWA kunavichwa zaidi kuliko pande zote TZ

  • @petergirago5465
    @petergirago5465 2 роки тому

    Umeupiga mwingi Sana ndg

  • @thomastemu3332
    @thomastemu3332 2 роки тому

    Muwe mnsoma msg vizur nirvyo muelewa gwajima siku zote unafanya bishara unavyo juwa ila siku moja hiyo ndo unaenda kuza barabarani

  • @kurumwagodfrey7052
    @kurumwagodfrey7052 2 роки тому

    Gwaji boy

  • @abdulrahmanpaskalina7627
    @abdulrahmanpaskalina7627 2 роки тому +3

    Serikali ya sasa siyo ya kuwatumikia wanyonge

  • @sinyorekitaly998
    @sinyorekitaly998 2 роки тому +1

    Kwa nini zanzibar vitu vyote bei ni rahisi alafu mnatuambia nchi ni moja why?

  • @reginaosward6170
    @reginaosward6170 2 роки тому

    Nenda kwenye masoko mapya mojawapo ununio kajioneeni wandishi wa habari mabanda tumejenga lakini hata choo hamna mbaka leo tunasubiri ,tukafanyie biashara wapi?

  • @damianichayo895
    @damianichayo895 2 роки тому

    Hivi kwa nini wakati mwingine mbunge anapochangia vitu vinavyowagusa wananchi asipewe mda zaidi? Kuna wakati nilikuwa nasikia mh spika akisema "nakuongezea dk 3 kwa point zako"

  • @hellengwopundo4927
    @hellengwopundo4927 2 роки тому +1

    Tena huku kwetu mkuu wa wilaya aliungana na watendaji na migambo walivuruga saaaana watu

  • @edwardmalila5230
    @edwardmalila5230 2 роки тому +1

    Wewe ni bora umewambia hao hawajui

  • @piusicharlesi5372
    @piusicharlesi5372 2 роки тому +2

    Gwaj boy

  • @yohanamhagama8975
    @yohanamhagama8975 2 роки тому +2

    Lakini gwajima ukipanga siku eiza iwe moja au siku mbili kwa week hizo siku nyingine ambazo alizozoea kuuza na kupata kipato atakula nini sasa ?? Kuna mtu serikalini alisema eti wataanza kukamata na watu wanaonunua vitu kwa wamachinga sasa unajiuliza huyu kiongozi anajua kweli maana ya wamachinga au,? Au anaongea utopolo

    • @thomasisdory1531
      @thomasisdory1531 2 роки тому

      Pumbavu hujaenda shule we're

    • @isikesamike
      @isikesamike 2 роки тому

      Ametoa mfano na si kwamba amesema wafanye biashara siku moja.

    • @yohanamhagama8975
      @yohanamhagama8975 2 роки тому

      @@thomasisdory1531 tuambie wewe ulienda shule

  • @mishysuyya9821
    @mishysuyya9821 2 роки тому

    Yaan hapa nimaonevu tu kila siku huyu mama

  • @healingclinic978
    @healingclinic978 2 роки тому

    Nashangaa sanaaa Kama Dodoma machinga wamejaaa mpaka bungeni wamepanga bara barani sielewi hiii nchi Ina tenda kazi kwa kuangalia maeneo kwani dodoma Ina nini mpaka machinga hawaondolewi

    • @sadahgullam8228
      @sadahgullam8228 2 роки тому

      Wanaondolewa hata wao kuna sehemu inajengwa wahamie uko ilibidi tangu tarehe 1apr waondoke naona bado hawajamaliza ujenzi wa sehemu usiku

  • @christophertz
    @christophertz 2 роки тому

    ✌🏿

  • @jastinjustus6878
    @jastinjustus6878 2 роки тому

    Kweli kabsa machinga wanateseka aseeeh

  • @flavianjoshua8055
    @flavianjoshua8055 2 роки тому

    Hatuwachagui

  • @emanuelpiniel5277
    @emanuelpiniel5277 2 роки тому

    Naona unamwekea mhe raise maneno kinywani,rais amesema wapangwe maeneo maalum na sio wapangwe barabarani

  • @emilyboytz5627
    @emilyboytz5627 2 роки тому

    Yaani selikari yasasa inawatukuza wenyehela kupita kawaida aise😩😩

  • @amanichazy4047
    @amanichazy4047 2 роки тому

    Tunawasubr kwenye kura

  • @gabrielpott3325
    @gabrielpott3325 2 роки тому

    Sasa ngwajima kama alisema wapangwe kwani huyo laisi kama alisema wapangwe mbona wanavo pigwa anaona nahaogei Acha kumtete huyo msalit hana lolote mana angesema wapangwe hata wanavo pigwa bac angeongea ila mpka amekaa kimya inamana anapenda

  • @horizongroup-tanzania6363
    @horizongroup-tanzania6363 2 роки тому

    Noooo!

  • @arsenalwenger4797
    @arsenalwenger4797 2 роки тому

    In a month street vendors will only work four days a month? How much are they going to earn in those four days? How are they going to pay the expenses of their families. Acheni niwaambieni, hamna watu wanakula jasho la watu kama wabunge, na mawaziri.

  • @annajohn2488
    @annajohn2488 2 роки тому

    Gwajima ndio alivyotaka

  • @Malakitzkigoma
    @Malakitzkigoma 10 місяців тому

    Mm acha nikae kimya tu

  • @Nyanda506
    @Nyanda506 2 роки тому +2

    Tutavurugika kweli kweli

  • @saidipara4134
    @saidipara4134 2 роки тому

    Hilo swala lakusema et mama hakusema wawafukuze machinga.wawa pange sio Kweli.kama alisema wawapange mbona mpka sasa hatuoni hizo sehemu walizo pangwa.hamna kumtete hapo uyo mama yenu ndio alietoa maagizo ya kuwatoa .

  • @shakilarobati9854
    @shakilarobati9854 2 роки тому

    Gwajima una hekima saana,,kuna kitu kizur MUNGU ameweka kwako ndymaana unaangalia haki ya mtu

  • @meryevance6944
    @meryevance6944 2 роки тому

    Watachemka sbb bila wajisilihamali watakosa kula

  • @jacksonrjackson6979
    @jacksonrjackson6979 2 роки тому

    Sna comment ispokua mko juu

  • @azizasaid5255
    @azizasaid5255 2 роки тому

    Wamachinga wawe na sehemu malum. Ya kufanya biashara. Kuliko barabarani. Mji uliaribika biashara mpaka barabarani.

    • @hamisijuma3276
      @hamisijuma3276 2 роки тому

      Tambua maana halisi sio machinga Bali n (Marching guys) biashara ya kutembea

  • @cvanoedward3093
    @cvanoedward3093 2 роки тому

    Nikiwa mdogo niliusikia wimbo wa Marehemu Justin Kalikawe unaitwa WAMACHINGA ila hadi Leo niko mkubwa bado tatizo halijakoma Hii ndo Bongo

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 2 роки тому

    Miaka 18 gerezani duh. Unatoka unakuta watoto wako washa zeeka.

  • @hamismabula5813
    @hamismabula5813 2 роки тому

    Rais mwenyewe yuko kimya tu!

  • @kelvinmtavangu7701
    @kelvinmtavangu7701 2 роки тому

    Hii ni Hayati Sana. Hili kundi siyo la kuchezea. Kuna kitu hapa