The problem with Tanzanians is underrating the artists who know... believe me this man sings good and logic than diamond and other big artists,,the problem is underrating
Fobby Mimi napenda kukuita star ukwel fobby unajua sana kaka kuimba nakuombea kwa mungu mzk wako ufike mbali mm ndo shabiki wako no 1 by ommy wa mbez DSM tz
Da Yani leo hi nyimbo imenikumbusha mbali sana Yani naona maumivu Kama yameaza upya inauma sana mwanaume niliempenda kwa moyo ote kuniacha bila sababu yoyote kiukweri iliniuma sana usiombe yakukute😭😭😭😭😭😭😭
Nani mwingine anaisikiliza 2024 🔥🔥
Mie huyu...nimeukuta TikTok huko 😅
Mm apa ❤❤❤🎉🎉
😂😂@@melloelisha4630
Mee😢
2024 twende swa kwa like kma umeangali mwakaa huu"
Wangapi tutaimiss hii melody hadi 2030
❤❤❤
Kwa nini wimbo haujafikisha views milioni Moja kwenda juu,😭😭😭😭😭😭jameni tumsupport Foby
Kwani foby ndio ibranation au
Kwani hata wewe si umeona umetaja majina mawili tofauti?😂
Hapo kweny kiitkio jmn dah😢 natamn ningmwamby aje aniimbie2 duh kaka ww noma wallah
Saaaana mwwna by tizoo
Like zenu jaman watanzania kwa foby from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
The problem with Tanzanians is underrating the artists who know... believe me this man sings good and logic than diamond and other big artists,,the problem is underrating
Kweli baba unakuja vizuri
Nyimbo unanifanya nimkumbuke mpz wangu jmni
Can't believe I just noticed you now.... you great 🔥🔥
Braza ukosahihi foby unujua
Kubalii Sanaa kijanaaaa MUNGU akusaidiee
Fobby Mimi napenda kukuita star ukwel fobby unajua sana kaka kuimba nakuombea kwa mungu mzk wako ufike mbali mm ndo shabiki wako no 1 by ommy wa mbez DSM tz
Kwahiyo TikTok ndo imekuleta hapa sio 😁
Imagine nimeiskiza tiktok😅never heard of it before 😅
2024 still the best song❤
Since namjua huyu jamaa nimegundua hilo ni kipaji kikubwa sana
naupenda sana huu wimbo jmn dah😘😘😘
Imenitawala Dunia,hatari foby
Nakukubali saaana❤️❤️❤️🥰🥰🥰
Tatizo nyota jamaa uko vizuri
Hii ni ngoma Milele homeboy
Ngoma yangu Bora ya mda wote🎼🎼🎼
Real tumeshindwa kuufikishia huu wimbo viewers 10M jmn
Hu wimbo mkali sana
huyu kaka anaimba aisee..! 🥰🥰
Bong l song jah bls UE bro
Saruti kwako broo mungu nimwema ipo siku utafika mbali
mkali wenu umenileta mpaka uku, barikiwa sana kaka
Hiiii ngoma hpn salute
Big up Kaka nilikua naitfuta
Foby tunaomba wimbo wetu wa trampa tuupate y you tube na ktk platform zingine fanya fasta maana umeua sana mule umetisha mno wimbo bora Tanzania
Usijali
Jitahidi kuonesha kipaji❤
Xafiiiiiii
Bonge,la ngoma.
Enyewe hii ni melody ❤❤❤❤
Nakubali foby
Wimbo wa Dunia
"Na kama ikitokeaaa,kufa kwa ajili yako,hata mama nimemwambia,wasikuteengeee!!"😭😭😭😭
Ngoma yangu Pendwa Tangu ilipotoka mpa leo tarehe 27/6/24
Chuma hichi daa
Bro utanihuzunisha sana nikapata hautoi nyimbo.....uku🇰🇪 twakuskiza sana
Kali sana kaka najua unapitia magumu Kwa sai ila mungu yupo nawe kaka 🫡🙏
Bonge la ngoma!
🥲😪 jamaa anajua sana .. tatizo yuko underrated sana.. ipo siku ataonekana tu.
Noma sana Fobby 👊
Kaliii
Undamaged kk
Kali sana napenda sana
2024 tujuane
Da Yani leo hi nyimbo imenikumbusha mbali sana Yani naona maumivu Kama yameaza upya inauma sana mwanaume niliempenda kwa moyo ote kuniacha bila sababu yoyote kiukweri iliniuma sana usiombe yakukute😭😭😭😭😭😭😭
Duuh
Good Song
Kali sana
I always have dic song since form 2 mpk nw nko chuo. Track supaaa
Hatarii sanaa🔥🔥
Kiukweli huu wimbo uko poa sanaaa zaid ya saaana daaah
Nimeuelewa saana
God bless you my black beauty, great song❤😍😍
Bonge la ngoma aise melody kali sana
Kazi kubwa bro
Unajua xn
Foby nakukubali sana mwamba, bonge la ngoma.
🔥🔥Kazi nzuri sana na yenye ubora na utulivu Hongera sana.
Mwanangu unandika mpaka unakela Fobby nakukubali sana video Kari Dana
Kazi nzuri hongera sana foby
Big up brother foby big song
Uniokoe daaah nakukubali mwamba utakuja juuu sanaaa
Asee huu wimbo big up San broo
Nakupenda sana❤
Umebarikiwa I swear 🥂🥂🥂
Yamenikuta ila mm sio mywaji asikwambie 2 kuachwa bika 7bu na m2 unaemoenda inauma sama daah! Foby umenifanya nyimbo niiludie zaid ya 50
Do what you do ma man nimekuja kupitia native23
Me hapa
❤❤
My favorite song 🎵🔥🔥🔥😭😩
Niokoeeee🎯😁🔥🔥🔥🔥💪🙏mwanangu ww mm nakuelewa xana mwamba
Franck umetishaaa
Tunaelewana sasa mzee mwenzangu 😂
Yaan uko poa sanaaaa, ndo nakuona Leo kwa hii nyimbo! Nice
Bonge la song bigup sanaaa"
Foby sijawah kukupinga Mungu akutangulie
Una director mzur
Nomaa
😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍one day u will archivee n utakuwa msanii mkubwaa sanaa
Kali sana kaka
Don't forget is boy
Wimboo mzuri
Love from kenya❤
Niokoeee!!
sina mengi 👏🏾👏🏾
Foby 1
Naipenda san nyimbo inanikumbusha mbali sana
Who is here from tik tok
Nouuuuuuma sonaaaaaa
Kama hivi nikitoka nalewa chakariiiFoby nomaaa sanaa
Nakubal to bro
Kk umepotea
Hataree
🔥🔥🔥 fundi Foby nimerudi kusikiliza tena km mpya hivi kweli kizuri kizuri tu
Good music ma bro fobi
I heard this sing through producer kimambo's interview. For sure its such a great one