Mbosso - Nadekezwa (Official Music Video)
Вставка
- Опубліковано 5 лют 2025
- Nadekezwa Available On:
iTunes:itunes.apple.c...
Spotify:open.spotify.c...
Wasafidotcom:www.wasafi.com...
Amazon:a.co/7IuFSvn
Deezer:www.deezer.com...
”Nadekezwa was shot by Tanzanian music video director: Director Kenny(under Zoom Production) and captured in the following locations of Arusha Tanzania;”
1. Ngorongoro Crater National Park
2. Meru Waterfalls
3. Mountain Meru
4. Lake Manyara
3. Arusha City Centre
For Bookings: managembosso@gmail.com
Follow Mbosso_ On:
Instagram: / mbosso_
Twitter: / mbossokhan
Miaauuuuu.....Kwa niaba ya wakenya toka Nakuru.Hii ni Moto wa koutea huku🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥🔥🔥👌
Brobox 😂😂😂😂😂😂
😂😂😂
Brobox 😂😂😂😂😂
Brobox hahahahahah imekusambusa hii
Imaan we brobox
nakubali saana kazi zote wasanii Wa tz na nje ya tz ila wcb wanajua zaid thanks mbosso unaendelea kuiwakilisha wcb Wasafi vizur hatujutiii kusajiliwa wcb Wasafi piga kaz mbosso khan upo mahali salama wcb
Wakenya ndo mashabiki wakubwa kwa nyimbo za Bongo! Tunawapenda sana tupatie likes !
Tumeshindwa kusikiliza mbogi genje
@@Dymitri-Babushka. hatuelewi mbogi genje buda🤣
Kitu kina miracle baby wametufanyia haisemeki
Kbsa
Weee ni mbongooo mkenyaaaa wa
Underrated singer, should be a superstar worldwide 🌍
Tujuane wasafi jaman cc ni wawakilishi wa nchi..
NANI ANA VIBE NA HII NGOMA HADI MARCH 2024
June here
June 😂
@@azmeenmaaz533 mapenzi imenilocate nikajipata hapa 😂😂
16/06/24 😊sem comentário
P
P
J
P
P
Mbosso huyo video vixen kajitahidi sana ..... Na umechangamka kwenye haka ka video hatari !!!!! #NADEKEZWA
Divann Inxas yes Umeonaa hee amechangamka sana kama boss wake chibu
Divann Inxas kaz nzur amefanya
wow u can see It too
Jaman mbosso mpeni mauwa yake huyu anakipaji Cha kuzaliwa nacho🎉
nadekezwaaaaa, dogo we ni kisu unapasua tuuu nyimbo nzuri👊👊👊👊
Love from Sierra Leone, although I am not getting what he's saying, but I am really loving it.
Only me here?
Let me get some love from the East, together as one.
he's telling his ex (who left her because he was broke) that he has a new girlfiend who loves him
@@isaacwechuli2105 Why, thanks!!!
more love
I'm being pampered. Telling off an ex who left him when he was broke that he currently has money and a new lover who loves him so much.
I was translating the same to my salone friends here in belgium...they love East African music...salone music swit too
Wa kwanza kuwatch new brand ya mbosso kama umeielewa hii video like twende sawa
22
From somalia🇸🇴
I am not understand but
I liked tanzanaian beat 🎧
Salute from Somalia but mbosso is the most underestimated artist in TZ.... Salute mbosso 100% acha na diamond Kweke kando
Umenena ndugu 💯💯💯
True
MBOSSO KHAN hahahaha!! tunapata raha sana Nimependa mwaya kazi nzuri ...respect WCB
Mbosso khan we mkali misauti ka lavalava duuu wcb respect
I am a Guinean🇬🇳. Living in USA 🇺🇸. I love Tanzanian music 🇹🇿 💗 💕 ❤️ even though I don’t understand a word.
Craft music you make them really Tanzanian bongo singers
harari sana pamoja sana mbosso gonga like kama unamkbali mbosso
namshukru mola kwa vile ulirudia kufanya muziki....ungekosea dunia sana kama hili talanta lingeozea mashambani...mshallah
❤💋💕😍💘✌💯
Wakati mwingine unayempenda kwa dhati huwa haoni ila anakudharau. Unapokwenda ndio anabaki kujuta na kutamani ungesalia, lakini muda wake huwa umeisha.
Trully said
I do not know what to say about this man Mbosso khan Mshedede
Listening to this beautiful music over and over from Ghana 🇬🇭 26/04/2024 ❤
Karibu. Twashukuru
Nakupenda bure Mbosso hata ukitaka kunioa leo poa tu
I've heard them all from East Africa but this guy has something special man...I call him "the special one of bongo music". The voice of Africa. We love and support you Mbosso the Bosso. One love from Johannesburg South Africa 🇿🇦🇹🇿
Your right brother I'm watching from Uganda
i totally agree wit u
I second you
You're right bruh, Mboso is the big thing after the late legendary Bi Kidude 🙏😊
True, this guy Mbosso is so full of talent and energy
Femi alikuwa mbichiiiii😊
Ndani ya mashamsham mtoto ‘kanikabili (oooh)
😷😷😷 Kumi na mbili alfajiri
Na nisha mvesha nyota cheo chake kikubwa cha mapenzi,
Kan’jaza kan’chota kan’shika pabaya!
My best part nmependa mbosso boy WCB all the way up 💯💯💯💪💪💪💪💪
Ram Dula it's my best part as well....namkubali Mhosso
Ram Dula kwelii
who is here December 2024😘. love from kenya
I am a South African Xhosa man, I love this language so much. I am in the process of learning Swahili online. I cant wait to understand the songs that my heart loves.
sivuyise Jika it’s a beautiful language
Xhosa is bantu, and swahili is derived from Arab and bantu languages.
Should be easy for you
@@ciruwainaina Bantu speakers have the advantage of learning fast coz some words are similar..
U will learn it bcz is an easy language and most beautiful on planet
@@ciruwainaina its a great song indeed
Mbooso big up ma guy
mboooooso khan nadekezwaaaa respect brother
Shakira Salumu arafu c ungie kwa channel yangu u subscriber
Kwa mtazamo wangu Hii ngoma ni kali sana kuliko ngoma zake zote za nyuma kama unakubali gonga like twende sawa
mufasa mufas Fact
Ooooh jomon nadekezwa imenigusaaaa kabsaaa asante mbosho
Pole fatuma hope now unadekezwa
John Felix yeah dear
Safi xana ok enjoy deko hilo fetty
Ndo tabia nn?
Fatuma Twalbu nice, zimenifikia ahahh
With love from an angolan woman in London... the memories ❤❤❤❤
Like ka ushawai temwa na ukapata wa kukudekeza.. Thankyou Mbosso na Khaligraph Jones Leo hii week izi ngoma mbili do my favourite..
charles Ndungu 😁😁😁😁
charles Ndungu e
charles Ndungu hahhhhhhhh
Kabisaa bro za wapi hapa 254
Charles ashafikaga huku pia😂😂
Nyimbo yangu pendwa kabisa katika mwaka huu I like Mbosso
Im American/Fijian.....My ancestors came from Tanzania....Tanzania songs really make me fall in love again😂😂😂😂....of my people in Tanzania. Been travelling around the world. My next stop will be Tanzania. Love the music. Definitely will love the place and my people the great Tanzanian people.
Welcome. I have fijian friends as well. Check me for best safari experience around Tanzania.
Iko pouwa
love thiz song
X xxbf
@@shoshobuju9862 b
Simu za usiku punguza, unahatarishaaaaaa
Tanzanians you are killing us Kenyans with good songs.., i love you more than our own here
This song never fades. I find myself playing it more than 3 times daily. Much love ❤️ from kanairo 🇰🇪
Ni mzuri forward to your ex
Moja kwa moja kwa ex Wang popote ulipo
just like me
Joka 👦 boy3,mungu,2,sana
This guy's so talented,,no single day can pass without listening to his songs,,🇰🇪🇰🇪 wakenya twakupenda.
Stop asking if you still hearing this song in 2021 bc this song will never get old
Nani Ako hapa 2024🇰🇪🇰🇪This song hits harder
Mimi hapa thumb 👍 yangu namba 11
Iiootr
Tuko apaaa 😂
Tukooo🇸🇴❤️
Aaah you are in love after kufanyiwa ile kitu cndiooo😅😅😅😅
Nadekezwa 🔥🔥🔥 .. Haubahatishi Kaka
Unajua ,kazana mbosso
MILL TREND
MILL TREND
This song is soo nice bcz it has deep meaning and teaching. Am from kenya
Am a Zambian but my family are in Tanzania so I love Tanzanian music especially this guy
Np salam ata usijat
Nkaali mbosso umenigusa sana na hii nyimbo... nlingoja kwa hamu hii vedio...uko vzuri bro!😎👍
FPL fd
Produce wa hiii ngoma ni fire. Hiii ngoma mboso ameonesha waz ana uwezo zaid ya slay
When they leave you thinking that you will never be happy or get somebody to love you but your happy now and then this songs comes in
enjoy
Aloo we alooo tena mmetisha sana chuma kimesimamia kucha yan Hatarii kabisaa
Director Kenny umetisha ....showcasing East african Resources
Tz mmenimaliza tena kwa sana. Ninge penda mniongelee na Magufuli nipewe uraia wa Tz. Napenda WCB, BONGO, SWAHILI na watoto wa Tz
Bingwa Mkenya welkum we are realdy here ,tulishaga fika
Bingwa Mkenya
Bingwa Mkenya wacha kiherehere tulia kwako kenya ...tuface this economic crisis together
Bingwa ckuelewi unless ww so bingwa ma bingwa wote hujikaza. Hhhha
@@alishika8667 haha anaenda wapi mshow arudi huku tulipe Deni ya China wote
This is song is lit...there is no Kenya or Tanzania this is Africa we listen to our beautiful songs
I’m already screaming this in 3000 😊😊😊
Sauti iko juu,peda sana huu wimbo.nausikia nikiwa Iraq Baghdad..on lit
Beth Njenga rip watu wa kenya via the Ethiopia 🇪🇹 aircraft
Tanzania is the land of craft music love sweet Melodies in Africa
The only sub Saharan country I’d love to relocate to my beautiful Ghana 🇬🇭
I love 🇹🇿 😍😍😍
Waaaaahhhhhh.... Aki hyo part ya me sina gari aki inauma wooow big up mboso.....
Nakutahadhisha simu za ucku punguza,unahatarisha penzi letu tamu punguza😍😍😍🥰
Kitu kitu,...nadekezwa
....enjoy music mzur
Thé only sénégalaise there one love mbosso nakupenda sana❤
@mbosso kaka una2konga nyoyo zetu mungu akusimamie Bro haipiti siku kam sijaskiliza #Nadekezwaa 🙌🙌🔥🔥🔥
That's wonderful songs brother mbosso l love yours song brother
Hii nyimbo kweli dogo kafanya kazi nzuri sana
Namkubali san mbosso na ww kama una mkubali piga likes
Such a masterpiece, This song never ages. 🇰🇪
The background is Truly African, beautiful sceneries, Best vibes!!
Yeere ,,Wa kwanza
I'm a Zambian lady but I really wish I could understand Swahili language even though the song is so emotionally it's entering my bones mbosso you are the best ever stay blessed.💓💗
Leave your number here, I will be happy to teach you swahili
You can get translations
Mbossooooooo...! Umeua Mzee Baba! Hao ndio Wasafi, always on top! 🔝🎶🎵🔥🔥🔥🌟⭐💪💪
Asante Kwasi kama unamkubali mboso kama mm gonga like apo chin
In support of mbosso from Zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲
wow!,Tanzanians were born to sing and do music,hapa kenya tunajua kuiba tu.
Calvince pigwa miti jinga sana...... Hama basi
Calvince 😂😂😂😂cheei
Hapo umesema ukweli,,,,,KENYA hakuna talent ya kuimba
Calvince 😂😂😂😂hahaha
Kenya kukimbia
It's really hurts,when you give someone all your heart and you value more than anything in this world,then all over suddenly isolate you with no reason or just because you a poor!!!?like if you went through the same.
Evil is everywhere bro
Absolutely true....it hurts a lot😢😢 I wonder why good hearted people are always unlucky in relationships...
😂
They are loser,you are not
Mumin Mohamed Ahmed absolutely
I am here after I saw ALIKIBA Singing this Song 😂He said the second verse is his favourite & Now I wanna here what's so special about it 😂😂♥️🇰🇪
🤣🤣🤣🤣🤣 ataki simu za usiku
How are you
Same here hee
Ai 2yrs later?
alikiba
Napenda ngoma za mbosso sana 🥰🥰msamiati safi
Tuliopo 2025 kwa ngoma tujuane kwa likes🔥🤚
Aaah niko hapa
Imfikie x wangu akiwa ziwa Nyasa..... Nadekezw😍
Haha
Nem Nem 😂😂
Hahahahahah.... salam zmenifika babyyy.. hata mm nmekusahau nakumbuka tu lako jina😅😄😃🤣😝😝
Being a Tanzania citizen is the biggest flex ever 🥺💯🇹🇿
Tu juu
To my baby daddy...Nadekezwa💃💃🥳🥳💃🥳🥳🤩....Anyway asante kwa kutuacha🤣🤣🤣
Mliachwa lini🤣
Mbosso is the best artist wasafi crew and east Africa wise, Mr consistency Harmonize, on point Rayvanny, the future lavalava and the boss, the mastermind the history maker D. Platinumz
Kama umewahi achwa na mpenz , baadae akaanza kukutafuta gonga like , mwambie nadekezwa
9e
Nadekezwa
Nadekezwa
Nadekezwa
😅😅😅😅
Iam south African Xhosa man.I love this language so much .iam in. The process of learning Swahili online.I can wait to understand the song that my heart love
As an African American, I particularly like this music, even thought I don’t understand any other language than American English and A little Australian I still think this song stands out!
Whoever will be listening 🎧 this song 2050 should know even 2021 was still a hit..
'nalishwa vitamu vinono na 📢 "biriani ya 🐫 "
🤗🤗🤗🤗🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺
@Mbosso umeweza msee
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Oooh my my ,4 year's down the line, and this song is still a vibe ,, My all tyme favourite musician ..💋💋🇰🇪🇰🇪🇰🇪
O Tanzania I love you so much I was born Iringa. Raised in Dar now live in UK however nothing compares to life in TZ am moving back soon. We have some social and infrastracture developments as well as many thing other things but will get their soon.
This video shows mesmerizing beauty of Arusha City and Tanzanian national parks, much love to Mbosso.
You are my best... Congratulations bro.. Senegal love you 🇸🇳😍
Wowwwwwww i rimbr the day about my meet
MBOSSO mziki wako umenijenga kwa sana.mziki umekomaa na mtulivu..UA-cam ingekuwa na eneo la kutag ningetag EX wangu..Tunasupport Kazi yako Nzuri kutoka KENYA.
mziki safi
Peter NzekiTv ü
Peter NzekiTv Hahaha
Mm wimbo huu kila nikiusikiliza nahis machozi kwayale yalio nikuta mungu ambariki nahsi kuzaliwa upya
@@malaqanisaidi1321 kweli kabisa ndio maisha
I pray that God bless the man who made me love this song😂😂! Fear men ooo!
We have to Hustle to the fullest to make money... Cause Money is everything... Wanaume may this song teach you something... So touching Mboso
Fally Dufanda arafu c ungie kwa channel yangu u subscriber
Kama unamkubali mbosso Khan like twende sawa
Namimi biya namukubali
Mpaka +254 twakubali kazi yako mbosso!Willy pozee x Nandy iko mwaaaaa pia.........
Nani yuko before a million views ka mie!
Niko Rwandesai nipenda iyi luga sana asantini sana kwa hiyi misquenzuli ❤️👍🏼
This dude is an amazing lyricist. I can feel the song deep inside my bones.
Yes he's an amazing lyrist
tha tone----goosebumps
Your bones😂😂😂
😂😂😂 I feel the same. I wish I understand what he's saying.
HUYU MBOSSO UANDISHI WAKE NI HAKUNA AMBAYE ANAWEZA KUMFIKIA.HARMONIZE KUANDIKA NYIMBO ANAZOANDIKA HUYU ITAMCHUKUA 100 YRS.
Kwa ngoma zako zote hii ndio imefanya niamini hubahatishi bro uko na kipaji
Wah iko powah tu sana
charles Ndungu it's really good
muongozaji kachagua kitu kizuri
kabisaa uko sahihi boy
charles Ndungu bro kwa kila nyimbo ninayoitazama lazima umewacha comments😂😂😂.. napenda mwenendo wako kaka
The poetry and vocal delivery of this song is amazing.
Representing kenya twendi twendi one April
Real Talent is so Beautiful. MBOSSO 🌈
I am Cameroonian and even if I do not even understand a word of what he says just the emotion and the gestures he makes make me feel so many emotions. you are a real Mbosso artist
Mbosoooo...254 tunakutambua na team yote ya wasafi tunawapendaga💕💕💕💕
💕💕 hii ngoma ni hatareee..kama
unakubaliana nami pls gonga like
👇#nadekezwa❤
Mboso hongera umenkumbusha mpenzi wangu wa zaman zainabu maliki maana nilimpendaga sana lain!!!!.
Anifah Ramzy sana yan
Team +254❤👑
Anifah Ramztgfggfgfgyyuy
naikubalii
My TZ favourite Artist 🔥🔥, from Zambia 🇿🇲 🇿🇲🇿🇲🇿🇲 ✊✊✊.