HUU HAPA UTENZI WA WAWI NI AINA YAKE JINSI ULIVOSOMWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 жов 2020
  • Kwa Habari Moto Moto na zenye uhakika wa kina Si kwengine ni #RVS #ONLINE #TV, Fahari ya WaTanzania wote
    Ili Kuwa wa kwanza Kupata Taarifa Zetu basi unge bofya Neno Lilo Andikwa #SUBSCRIBE pamoja na alama ya #KENGELE ili upate habari Zenye Uhakika
    == JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NASI RVS ONLINE TV ( +255 772 666778), ( +255 719 700015)
    ⚫️ Email: rvsteam2020@gmail.com OR rvsteamhabari2020@gmail.com

КОМЕНТАРІ • 121

  • @khamislusang7548
    @khamislusang7548 3 роки тому +4

    Wallahi huu sio utenzi tu,bali ujumbe kwa watu wenye aqili.
    Yeyot alioko serikalini haya Ni mawaidha kwake.
    Allah amzishie kila la kheri mtunzi wa utenzi huu!🤲

  • @fatmamansour2369
    @fatmamansour2369 3 роки тому +3

    Allah atawafanyia wepesi watatoa kwa salama na amani waje kuungana na familia pamoja na jamii nzima

  • @mozakhamis7253
    @mozakhamis7253 3 роки тому +4

    Kwakweli kijana wetu mzuri na anastahili sifa zauongozi. Jisi anavouongoza utezi Ana maana kubwa sana amina. Yaraab

  • @alikombo5213
    @alikombo5213 3 роки тому +6

    Jamaa mashaallwah, yupo vizuri

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf 3 роки тому +5

    Asante sana utenzi murwa unanidai bahshishi Insha Allah ✋✋✋💜💜💜

  • @stonetown578
    @stonetown578 3 роки тому +6

    Masha'Allah TabarakaAllah
    Utenzi mzuri sana

  • @ahmadjuma6083
    @ahmadjuma6083 3 роки тому +3

    utenz mzur mashaa allah umewagusa watu wa ccm watake wasitake watatoa tuu mara hii inshaa allah

  • @issahdady608
    @issahdady608 3 роки тому +2

    Alhamdullilah umefikisha Allah atupe taufiq in shaallah

  • @sihabasihaba9366
    @sihabasihaba9366 3 роки тому +4

    Kwa uwezo wa Allah atajaalia kila heri inshaallah

  • @AliRaza-wq3sp
    @AliRaza-wq3sp 3 роки тому +4

    Utenzi Hanna ishu ,ishu kungowa cm madarakani Cheni Kurejea hayo kilasiku hatujaona jipya lakutolewa Ccm Madarakani Watoweni madarakani Tuone jipya

  • @alikombo5213
    @alikombo5213 3 роки тому +6

    Mabrook

  • @nassirmasoud2545
    @nassirmasoud2545 3 роки тому +1

    Kumuita muislamu mwenzaka maluuni hiyo si sawa.ba we maalumu safu upo hpo wasikiza tuu.lkb ujue ipo na cku yko.tangazeni sera nawala sikutukanana.hyo haki kweli itapatikana kwa kutusiana?

  • @allymacnair5189
    @allymacnair5189 3 роки тому +6

    Sub han Allah

  • @sihabasihaba9366
    @sihabasihaba9366 3 роки тому +3

    Hapana chezeaaaa ACT

  • @ibrakabwe2003
    @ibrakabwe2003 3 роки тому +3

    Uko vizur

  • @ashajj6534
    @ashajj6534 3 роки тому +1

    Subhanallah nataka nicheke lkn naogopa jamman Dunia Ina vituko hii CCM mambwa Hawa lkn inshallah Mola atawafedhehesha iwe mfano na funzo kwa wngn ccm حسبي الله ونعم الوكيل

  • @nassirmasoud2545
    @nassirmasoud2545 3 роки тому +1

    Unaapiza muislamu mwenzako kisha unafrahia?hi dini musichanganye na siasa binafsi

  • @mozakhamis7253
    @mozakhamis7253 3 роки тому +3

    Mambo yanaiva ishaalla heri

  • @salumomari4333
    @salumomari4333 3 роки тому +4

    Mola awape marazi mabaya wenye nia mbaya nauchaguz ujao

  • @sabranassor3616
    @sabranassor3616 3 роки тому +2

    Mtihani. Mwaka huu

  • @kautharsuleiman4262
    @kautharsuleiman4262 3 роки тому +2

    Masha' allah

  • @omaromicx4540
    @omaromicx4540 3 роки тому +1

    Upo vzr

  • @abasamwame6583
    @abasamwame6583 3 роки тому +3

    Utenzi wote act huyu ndio kiboko yao

  • @thedon8467
    @thedon8467 Рік тому

    MASHAALLAH TABARALLAH TAALA

  • @thedon8467
    @thedon8467 3 місяці тому

    WEWE NOMA MAANA HUU SIO UTENZI NI UJUMBE MZURI

  • @wahidabakar
    @wahidabakar 13 днів тому

    mashallah

  • @ahmadimukhtari5405
    @ahmadimukhtari5405 3 роки тому +1

    Mashaallwah maashaaallwah maashaallwah maaashaallwah maashaallwah maashaallwah

  • @sihabasihaba9366
    @sihabasihaba9366 3 роки тому +3

    Weweeeeeeeeee

  • @latifahali8228
    @latifahali8228 3 роки тому

    me nashanga iyo shida ikija kwa kila mtu tena awo ccm ndio kuzidi lkn hawasomi half maisha magumu. but kwa mungu hakuna kubwa wajuwe walikuwa wengi wenye kujinadi leo wako wapi. km shida na maish magumu kila mtu

  • @hashimali7925
    @hashimali7925 3 роки тому +3

    Utenzi hasa mwenyewe alikua saidi utenzi almarhum yule mzee we wacha tu

    • @fatmambarouk8107
      @fatmambarouk8107 3 роки тому

      Said Hamad alifariki Allah amlaze mahala pema PEPONI AAMIIN alikuwa akisoma vizuri sana

    • @MctMct-tt4rq
      @MctMct-tt4rq 3 роки тому

      UMEONA YULE MMM MUNGU ALIPA SAUTY MUNGU AMFANYIE WEPES😢😢😢

  • @rinovarthiliwi1314
    @rinovarthiliwi1314 3 роки тому

    CHADEMA NA ACT WAZALENDO TOENI TAARIFA MAPEMA UNITED NATION MAMBO MNAYOFANYIWA NA TUME ZA UCHAGUZI, CCM NA POLISI.

  • @ashajj6534
    @ashajj6534 3 роки тому +1

    مشا الله تبارك الله الله

    • @hafswaamabella80
      @hafswaamabella80 3 роки тому

      Amima amina amina yarabbiy

    • @hafswaamabella80
      @hafswaamabella80 3 роки тому

      Nalia kwauchungu yarabbiy tujaalie salama umma wako ulinde na shar ya makafir hawa ccm

  • @kautharsuleiman4262
    @kautharsuleiman4262 3 роки тому

    🤲🏾🤲🏾🤲🏾🤲🏾

  • @MctMct-tt4rq
    @MctMct-tt4rq 3 роки тому

    HUYU MSOMAJI KANIKUMBUSHA MSOMAJI ALOFARIKI SAID HAMADI MUNGU AFANYIE WEPES KTK MAISHA YA AKHERA 😢

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 3 роки тому +1

    Mash,mash,mash,ya Habib ana kulu maalum ziada.

  • @sihabasihaba9366
    @sihabasihaba9366 3 роки тому +3

    Kutoka Oman pamoja sana

  • @nguzohassan399
    @nguzohassan399 3 роки тому +1

    Allah karm

  • @hamishemed9396
    @hamishemed9396 3 роки тому

    Mmmmmmmmmh

  • @mozakhamis7253
    @mozakhamis7253 3 роки тому +2

    Lanatulla. Mungu hatosimama naoishaalla

  • @jamil1547
    @jamil1547 3 роки тому

    🤣🤣🤣🤣

  • @rukiasalum631
    @rukiasalum631 3 роки тому +3

    Na nyie mmeuwa ivoivo askari mmemkata kichwa km kuku au mmesahau mmeuwa wengi tu c wa kusema nyie mnyamaze tu

    • @farhatsalum1871
      @farhatsalum1871 3 роки тому

      Hahahahahahahahaaaaa ukweli unaumàaaa

    • @rukiasalum631
      @rukiasalum631 3 роки тому +1

      @@farhatsalum1871 ndokwanza ujue km ukweli unauma naona umejichomoza kwa kupewa ukweli kumbe mnaumia ee utacheka sana hata bado na mwisho utalia

    • @farhatsalum1871
      @farhatsalum1871 3 роки тому

      @@rukiasalum631 nitacheka sana kweli atanikilia nitalia kwa furaha

    • @rukiasalum631
      @rukiasalum631 3 роки тому +1

      @@farhatsalum1871 utalia kwa huzuni hutolia kwa furaha ilo nakwambia

    • @farhatsalum1871
      @farhatsalum1871 3 роки тому

      Hata nikilia nitalia duniani sijui nyie mtakaoloa akhera

  • @rukiasalum631
    @rukiasalum631 3 роки тому +1

    Askari hapigi raia burebure nyinyi ndo mnoanza fujo sasa wakuachieni tu tulieni msifanye fujo muone kama watakuguseni

    • @mussaseifabdullwahid341
      @mussaseifabdullwahid341 3 роки тому

      Hao askari hmn akili km ww

    • @rukiasalum631
      @rukiasalum631 3 роки тому

      @@mussaseifabdullwahid341 ww ndohuna akili unopelekeshwa na sefu ufanye fujo mkishikwa na askari mlalamike yy katulia kwake nyinyi mnapata tabu zindukeni nyinyi

    • @mussaseifabdullwahid341
      @mussaseifabdullwahid341 3 роки тому

      @@rukiasalum631 Mm hunambii chochote wala hunidanganyi khs aakari maana nna rfk zangu wengi askari na nnawambia wasitumike vby na wanasema kweli leo wapo kzn kesho hwp wp uraiani.Kwanza kubambikia kesi watu funguka ww mwanamke au kwakuwa hayajakufika au ndo nyie mnogawa uchi mkaachiwa?

    • @rukiasalum631
      @rukiasalum631 3 роки тому

      @@mussaseifabdullwahid341 Nawala hayatonifika mana nimetulia kwangu sina fujo na mtu na sifkirii askari akakufata nyumbani kukupiga km hujafanya fujo wanaakili zao wakikufata umehusika na fujo

    • @mussaseifabdullwahid341
      @mussaseifabdullwahid341 3 роки тому

      @@rukiasalum631 Omba Mungu tu yasikufike wangapi washachukuliwa majumbani mwao