MAALIM SEIF:MKUTANO WA KAMPENI MAGOMENI 14-10-2020

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 жов 2020
  • Kwa Habari Moto Moto na zenye uhakika wa kina Si kwengine ni #RVS #ONLINE #TV, Fahari ya WaTanzania wote
    Ili Kuwa wa kwanza Kupata Taarifa Zetu basi unge bofya Neno Lilo Andikwa #SUBSCRIBE pamoja na alama ya #KENGELE ili upate habari Zenye Uhakika
    == JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NASI RVS ONLINE TV ( +255 772 666778), ( +255 719 700015)
    ⚫️ Email: rvsteam2020@gmail.com OR rvsteamhabari2020@gmail.com

КОМЕНТАРІ • 72

  • @yunussshammis5489
    @yunussshammis5489 3 роки тому +1

    Yaarab tunakuomba mjalie kheir mwalim seif Sharif na wale wote wanaomkubali nasiomkubali waonyeshe njiaaaaaaa

  • @is-hakabinruweikh3833
    @is-hakabinruweikh3833 Рік тому

    Asante maalim seif ulitetea taifa na ulidhamiria ila mungu kakupenda upumzike salama mungu akujaalie uko uko uliko pepoyako inshaallah na utuombee dua huk wananchi wako twateketea kwa njaa kutokana na uongozi mbovu wa ccm (wadhalimu) mungu atawalipa si mda mrefu inshaallah ila waelewe Allah hana haraka na viumbe alowaumba!

  • @mustafaseif164
    @mustafaseif164 3 роки тому +4

    MAALIM SEIF SHARIF HAMAD Kwa uwezo wa allah utapata URAIS INSHAALLAH AMEEN YARABB

  • @mustafachiget530
    @mustafachiget530 3 роки тому +5

    Hongera sana maalim uskate tamaa tukopamoja nawe mzee shkamoooo

  • @abdulihafidhali5379
    @abdulihafidhali5379 3 роки тому +3

    maalim seif ww ndiye raisi wa zanzibar na kwa uwezo wake ALLAH utakuwa raisi wa zanzibar

  • @mgeniali941
    @mgeniali941 3 роки тому +7

    Ww ndio kiongozi tunaekukubali hongera baba ikulu iko wazi

  • @topaviator
    @topaviator 3 роки тому +12

    Inshallah Mungu akikujaalia utaupata uraisi kwa uwezo wa Allah sio kwa uwezo wa kura za wananchi mana kwa kushinda kila siku unashinda lkn hawakupi sasa mi cha kukuombea ni Allah akujaalie upate

  • @mbaroukmassoud720
    @mbaroukmassoud720 3 роки тому +8

    Hampaswi kukata tamaa Allah atawasaidia

  • @aldaghariaziyz6420
    @aldaghariaziyz6420 3 роки тому +8

    Safi sana Rais ulobakia

  • @yussufhaji3335
    @yussufhaji3335 3 роки тому +6

    maalim seif ndie kiongozi ninae mpenda mana namuona nimwema

  • @allyhajji1077
    @allyhajji1077 3 роки тому +8

    Hongera rais wa zanzibar

  • @hamadsaid4277
    @hamadsaid4277 3 роки тому +2

    Vibaraka wa CCM wametunyima raha ya nungwi lakini mwisho wao ni tarehe 27 /28 inshaallah kwa uwezo wake mwenyezimuungu mwalim seiff shariff hamad atatuongoza katika taifa hili la zanzibar inshaallah

  • @dullahdullah4459
    @dullahdullah4459 3 роки тому +4

    Safi

  • @amrozwhite1073
    @amrozwhite1073 3 роки тому

    Malim seifu nakuamini asilimia mia moja utaya badilisha maisha ya maskini wa ccm na maskini wa act n.k kua katika hali nzuri ya kimaisha

  • @khamisjuma5046
    @khamisjuma5046 3 роки тому +3

    Inapendeza nduguzagu zanzibar

  • @zuhurambarouk6558
    @zuhurambarouk6558 3 роки тому +5

    act oyeee

  • @iddijumaali7192
    @iddijumaali7192 3 роки тому +2

    Hongera

  • @haniyyashimel6030
    @haniyyashimel6030 3 роки тому

    Wasokupenda hawajui thamani yako wajue tu kuwa old is gold

  • @fahalhabib6707
    @fahalhabib6707 3 роки тому +2

    Mbona RVS hamujatuma mkutano wote

  • @ahmadjuma6083
    @ahmadjuma6083 3 роки тому +6

    tunakuamin mzeee ya kazi ww

  • @mozakhamis7253
    @mozakhamis7253 3 роки тому

    Mungu akupe nguvu ishaalla maalim sef maoni yangu ni kura hazina shaka 🤙 sikuzote kutangazwa Ndio mtihani mkubwa

  • @fdhjffdhjfsjdjfjfi9477
    @fdhjffdhjfsjdjfjfi9477 3 роки тому +2

    Hmm kuchi amewika yarabi salama

  • @allyhajji1077
    @allyhajji1077 3 роки тому +9

    Kura zote kwako maalim seif raisi wa wazanzibar

  • @amrozwhite1073
    @amrozwhite1073 3 роки тому +1

    Wanzanzibar wasijali chama wajali maslahi yao tu. shida Zao hazitatuliki kwa chama zinatatulika kwa uongozi mzuri .kila mmoja anahaki ya kuchagua chama anacho kipenda, kura kwa ACT

  • @mariyam2023
    @mariyam2023 3 роки тому +2

    Mungu atupenguvu tuikomboe zanzibar

  • @saidabdala4980
    @saidabdala4980 3 роки тому +8

    Wazee wtu waliteswa na NYERERE. Na kizazi kipyai kinateswa na mchina mweusi jambazi magufuli

  • @nusaybasaid3378
    @nusaybasaid3378 3 роки тому +4

    Vipi leo hamuendi tumbatu

  • @hajihussein7057
    @hajihussein7057 3 роки тому +2

    Malim atakama wamekufungiya lakini sie bado tutakuwepo

  • @husnamohamed9245
    @husnamohamed9245 3 роки тому

    Maalim hongera tunakupenda mmungu akuweke akupe umry mrefu amina yarrabi. Wasokupenda hawajui thamani yako ni crazy.

  • @ramzangomez9597
    @ramzangomez9597 3 роки тому

    Naku Bali nawe Maalim seif na Timu yako ya ushindii. Ww una hikmaa na system ya siasa

  • @chimbaboytv2937
    @chimbaboytv2937 3 роки тому +1

    We are all together

  • @omarabdallah7080
    @omarabdallah7080 3 роки тому +2

    Sawa

    • @vanynadymhamad1996
      @vanynadymhamad1996 3 роки тому

      Yarabi t2nakuwomba kw uwez wako n ut2kufu wko marahii ccm uiyangushe chin kmmfano wa mti ukiangusha majani yke au mat2nda yke ardhin uwajaalie ccm uwatowe ngufu wawe wazaifu ck hiyo waiache serakali y zanzibar

  • @allyhajji1077
    @allyhajji1077 3 роки тому +7

    Hakuna rais kama wewe

  • @mozakhamis7253
    @mozakhamis7253 3 роки тому +1

    Wanafiki hao. Maalim usipate shida watu washaamka. Kilakitu anajuwa nini kiendeleyacho duniyani

  • @mozakhamis7253
    @mozakhamis7253 3 роки тому +2

    Maalim rusha ni njaa tu ikiwa mishahara inatosheleza na kila wikibili unapokeya check yako kuna sababungani ya rushwa maalim wewe umekuja marekani je ulisikiya rushwa. Hiyo ni njaa tu

  • @mudijuma6474
    @mudijuma6474 3 роки тому +2

    Ccm kwisha kabisaaa

    • @mayasalum9794
      @mayasalum9794 3 роки тому

      Tatizo lako kesho unabadilisha msimamo wako ndio mama nikaamuwa kuachana na ww

    • @rashidshehe5685
      @rashidshehe5685 3 роки тому +1

      Allah akufanyie wepes uingie ikulu bila mashaka

    • @drabdi6806
      @drabdi6806 3 роки тому

      @@mayasalum9794 hahahaha

  • @tintendamour2089
    @tintendamour2089 3 роки тому

    Sefu hunaishu

  • @axmedcali5097
    @axmedcali5097 3 роки тому +1

    huu ni wizi ufisadi na rusha hawa kina srif ali iddi wanatakiwa wapelekwe mahakamani na wazitapike mali zote

  • @sabrinamohammed5378
    @sabrinamohammed5378 3 роки тому +1

    Cc

  • @fakihsule5988
    @fakihsule5988 3 роки тому +1

    ati babuali

  • @mozakhamis7253
    @mozakhamis7253 3 роки тому

    La msingi tuingiye tu madarakani. Mambo yote yanawezekana.

  • @yussufhamad5801
    @yussufhamad5801 3 роки тому

    Wambie vikosi wakipewa kura ambazo zishatiwa tiki ili watumbukize kisandukun wacizitumbukize had wazihari wachague wagombea wawili au watatu napita tu

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 3 роки тому

    Kaka ongea SERA BHANA SIO KUBEZA BHANA HILO TATIZO LAKO

    • @mosalum3657
      @mosalum3657 3 роки тому

      Sera sisi tunazijua

    • @saadaissa2524
      @saadaissa2524 3 роки тому

      Sera zishaongelwa sana na wazanzibari wote washasikia na wadhafanya maamuzi saivi ni kujibu mapigo

  • @adhanduale7466
    @adhanduale7466 3 роки тому

    Kalale wee babu

    • @yunusabdulrahma6700
      @yunusabdulrahma6700 3 роки тому +2

      Akalale na ww au sio

    • @omaralirashid2152
      @omaralirashid2152 3 роки тому +1

      mjinga huyo

    • @mahirkombo3286
      @mahirkombo3286 3 роки тому +1

      Adhan ww unahashuo.kwan rais anabeba zege

    • @haniyyashimel6030
      @haniyyashimel6030 3 роки тому

      Adhan wewe sawa sawa na hao wajinga wenzio viongozi wako ujue tu kuwa old is gold

    • @khulayfnassor6938
      @khulayfnassor6938 3 роки тому +1

      Mabunju ukiwambia hili ni jiwe wao wanakuambia mchanga hawajui kutofautisha mchanga najiwe

  • @zuhurambarouk6558
    @zuhurambarouk6558 3 роки тому +2

    act oyeee