UTENZI WA UZINDUZI PEMBA TIBIRINZI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 вер 2020
  • Kwa Habari Moto Moto na zenye uhakika wa kina Si kwengine ni #RVS #ONLINE #TV, Fahari ya WaTanzania wote
    Ili Kuwa wa kwanza Kupata Taarifa Zetu basi unge bofya Neno Lilo Andikwa #SUBSCRIBE pamoja na alama ya #KENGELE ili upate habari Zenye Uhakika
    == JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NASI RVS ONLINE TV ( +255 772 666778), ( +255 719 700015)
    ⚫️ Email: rvsteam2020@gmail.com OR rvsteamhabari2020@gmail.com

КОМЕНТАРІ • 62

  • @aboubakarshaib2674
    @aboubakarshaib2674 3 роки тому +6

    Wapemba munavipaji mashallah. Mungu awazidishie ishallah...

    • @suleimansalym7537
      @suleimansalym7537 3 роки тому +1

      Sio lugha nzur ndugu yangu kuita Wapemba au waunguja hiyo ni chanzo cha ubaguzi 🙏🙏🙏

  • @yussufhussein1954
    @yussufhussein1954 3 роки тому +4

    Utenzi mzuri sana

  • @seifseif417
    @seifseif417 3 роки тому +1

    Very nice, ujumbe umefika

  • @muslimjuma3492
    @muslimjuma3492 3 роки тому +1

    Utenzi upo vizuri hongera

  • @fatmasaid5864
    @fatmasaid5864 3 роки тому +2

    Mashallah utenzi nzuri sana

  • @ahmadseif7241
    @ahmadseif7241 3 роки тому +2

    Hongera sana, unaweza ila mazowez ni muhimu ili kujenga pumzi

  • @hamadsobo304
    @hamadsobo304 3 роки тому +3

    Kk waweza tuko pamoja

  • @stonetown578
    @stonetown578 3 роки тому +2

    Masha'Allah utenzi mzuri

  • @nasrynnassor1492
    @nasrynnassor1492 3 роки тому

    Jaribuni muone kitakachotokezeesa waweza wee bunju da Amina

  • @saumuhasanhasn1388
    @saumuhasanhasn1388 3 роки тому +2

    Mashaalla

  • @ahmadjuma6083
    @ahmadjuma6083 3 роки тому +1

    mashaa allah ulipo tupo baba sefu

  • @khamisjuma5046
    @khamisjuma5046 3 роки тому +2

    Good jobs my.brothe salam zangu kutoka USA marekani

  • @georgepaskal9834
    @georgepaskal9834 3 роки тому +2

    Napenda sn utenz bela

  • @ruwaidaal-ismaily9099
    @ruwaidaal-ismaily9099 3 роки тому +1

    ماشاءاللہ

  • @aliissa6632
    @aliissa6632 3 роки тому +1

    Mashaallah

  • @ruwailaomar6501
    @ruwailaomar6501 3 роки тому +3

    Mara hii tupo tayari sirro upo

  • @saidmaulid523
    @saidmaulid523 3 роки тому +1

    MashaAllah

  • @abdulibakali3652
    @abdulibakali3652 3 роки тому +3

    Mwaka huu isiwe kama 2015 bora tuumizane tu huu uhanithi

  • @sihabasihaba9366
    @sihabasihaba9366 3 роки тому +1

    Rahaaaaa kamazoteeeèeeee

  • @salyali7807
    @salyali7807 Рік тому

    Nilikua naumeusubiri kwa hamu

  • @Binfuad
    @Binfuad 3 роки тому +2

    mashaaallah

  • @iddijumaali7192
    @iddijumaali7192 3 роки тому +1

    Hongera

  • @jumasaid1674
    @jumasaid1674 3 роки тому

    👍👍

  • @jumamussa5172
    @jumamussa5172 3 роки тому +2

    Màrhabaa

  • @abasamwame6583
    @abasamwame6583 3 роки тому +2

    Vitu vitanu kama hivi mbona mbavichekewesha @RVS

  • @aminasaid5568
    @aminasaid5568 3 роки тому +1

    Jaribunimuoneee kitachotokokezeaaa

    • @mamymamy7938
      @mamymamy7938 3 роки тому +2

      Kitokezee tu kwa wema kila nafs itaonja umaut kama waogopa kufa bas waogopa ww kwa maovu yako 😏😏😏😏😏😏

    • @maherjamal1777
      @maherjamal1777 3 роки тому +1

      Hakuna lolote tumeumbwa tutakufa

    • @huseinmikki5048
      @huseinmikki5048 3 роки тому +1

      Kam nan we

  • @aminasaid5568
    @aminasaid5568 3 роки тому +2

    Mmm boranigune mmeshindwa cuf mtaweza ect mumeazakujigawa wenyewe kwawenyewe

    • @mamymamy7938
      @mamymamy7938 3 роки тому +1

      Ww nawe kuawashwa huachi 😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏

    • @yunussothman7422
      @yunussothman7422 3 роки тому

      Unaguna umetiwa mboo

    • @mamymamy7938
      @mamymamy7938 3 роки тому

      @@yunussothman7422 🙄🙄🙄😂😂😂😂😂🦁🦁🦁Ww wacha kumwambia ivyo

    • @huseinmikki5048
      @huseinmikki5048 3 роки тому

      Tafuta yako we dada

  • @nooraallahuakibarumwenyeez3079
    @nooraallahuakibarumwenyeez3079 3 роки тому

    Ss mnatukana nyinyi ss nduguzanguni ktk imani tumiyeni hekma na busara Allah ndiyo anajuwa ni nani atashinda Kati ya CCM HOSEIN mwinyi au ACT maalim seif UZALENDO Allah ndiyo anajuwa ss wanaadamu wallah yaalam maana hatuijuw kesho yetu ss mnatumiya maneno km haya makali unazani ni kitu gani kitatokeya hapo sii ni kutiwa ndani baadhi ya watu Allah awafanyiyeni wepesi ktk uchaguzi huwo pasifemtu na pasiingizwe mtu ndani maana majonzi makubwa sana mashekhe wapo ndani mpaka leo na tatizo ndiyo hilo hilo

  • @Spooftales
    @Spooftales 3 роки тому

    ua-cam.com/video/ZRLUOkogYgM/v-deo.html bongo fleva ya act wazalendo

  • @rehemaswalehhanalolotenyim9275
    @rehemaswalehhanalolotenyim9275 3 роки тому

    We fatma khimis nani kakwambia kama siasa ni mambo ya kidunia kasome vizur utaona tumeambiwa tuchague kiongozi pasipo na kiongozi anakaa shetani wewe huna lolote

  • @fatmakhamis7876
    @fatmakhamis7876 3 роки тому +1

    Kweli siasa pasua kichwa ila tunawakumbusha Mungu hakuumba siasa siasa ni chezo wadunia tu hivo jitahidini kwenye kuchunga mipaka yakuvunja amani amani ya Tanzania ndio hazina yetu jitahidini idumu

  • @khajumkhamis7910
    @khajumkhamis7910 3 роки тому +2

    Kwn wanawake wa kusoma utenzi hawapo au?????????

    • @fatmahamad9314
      @fatmahamad9314 3 роки тому

      Hayakuhusu kwani wanaume hawasomi utenzi au

    • @sameramwajdu9029
      @sameramwajdu9029 3 роки тому

      Kwani nilazima wana wake mara zote tokeya cuf wasoma wanaume tunajiamini

    • @zuhuramuhanga5400
      @zuhuramuhanga5400 3 роки тому

      Wanawake tume wachia wawasomee ccm

    • @fatmahamad9314
      @fatmahamad9314 3 роки тому

      @@zuhuramuhanga5400 🤣🤣🤣🤣🤣. Mwambie uyo mjinga asotaka kujifunza

    • @teddyoscar6876
      @teddyoscar6876 3 роки тому

      😅😅😅😅huku kwa wenzetu balaa

  • @LaBboogo
    @LaBboogo 3 роки тому +1

    Sasa mbona hutuba hutuletei unaleta utenzi tu

    • @RVSONLINETV
      @RVSONLINETV  3 роки тому

      fuatilia rvs online tv unapata hutuba

    • @khamishajji9796
      @khamishajji9796 3 роки тому

      Kunawatu wengine wajinga kweli ivi mumeona mwanamke pekeyake ndie pekeee tu kusoma utezi mbona ww mjinga ...!

    • @user-oy8go8zs7e
      @user-oy8go8zs7e 3 роки тому

      Maneno tu hayooooooi

    • @user-oy8go8zs7e
      @user-oy8go8zs7e 3 роки тому +1

      Maneno tu hayooooooo

    • @LaBboogo
      @LaBboogo 3 роки тому

      @@khamishajji9796 aghui hujaelewa swali langu alielewa ameshajibu nimehoji kuhusu hotuba ya maalim pemba

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 3 роки тому

    Mashaallah.

  • @fdhjffdhjfsjdjfjfi9477
    @fdhjffdhjfsjdjfjfi9477 3 роки тому +1

    Mashaallah