TAZ GENIUS AJITOKEZA KUJIBU TUHUMA ZA MAUAJI YA MLINZI WAKE| HUU NDIO UKWELI WANGU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 485

  • @philoteuslwena3082
    @philoteuslwena3082 6 місяців тому +10

    Wewe Umetuzulumu sana tena sana... ukikamatwa tutaenda kutoa ushahidi we ni mbaya saaana tena hufai ktk jamiii

  • @ElizabethWamcha
    @ElizabethWamcha 6 місяців тому +21

    Ina mana wananchi wote wakusingizie

  • @AliAbdalla-jf8np
    @AliAbdalla-jf8np 6 місяців тому +15

    Kaka kua mkweli tu na ogopa mungu usipende kucheza na jina la mungu

    • @petertemba9048
      @petertemba9048 6 місяців тому

      Mambo ya shetani naMungu wapi na wapi!!

    • @AliAbdalla-jf8np
      @AliAbdalla-jf8np 6 місяців тому

      Jamaa kalia na mungu sna na yy ni mfuasi wa shetani

  • @prophetkanku9611
    @prophetkanku9611 6 місяців тому +1

    Mungu ndiye anaejuaa naombaa sana msitumieee chuki kwa mafanikio ya mtuu

  • @AlfanGtweve
    @AlfanGtweve 5 місяців тому

    Pole sana bro changamoto zipo ili zipitiwe na viumbe hai ndo ssi wenyewe pia ukifanikiwa maadui huwa niwengi sana wengine huji fanya malafikhi sana wengine machawa pole sana bro piga moyo konde pia mshukuru mngu kwa kila jambo pia tukifanikiwa tupunguze malafkhi

  • @Sharefa-v6n
    @Sharefa-v6n 6 місяців тому +29

    Naomba kuulza, lla hyu kaka ni tapel anakuambia tuma hela utumiwe dawa alaf ukimtumia hela baadae anakuambia eti huyo uliemtumia hela alikua ni mfanya Kaz wangu ila kwa Sasa nimemfukuza wakat ni yeye mwenyew, yaan wananch wangemuua tu tapel Mkubwa huyu hzo ni laana za watu anaowatapel Mungu atalpa, one day yes

    • @PelicePetro-t3d
      @PelicePetro-t3d 6 місяців тому +4

      Mie nilishituka ila ilibaki kidog anitapel

    • @AngelaMollel
      @AngelaMollel 6 місяців тому

      ​@@PelicePetro-t3dulishamtumia hela akakutapeli

    • @Clex-f5s
      @Clex-f5s 6 місяців тому

      Dah sasa mnakaaje kimya ripotini polisi

    • @oscartalljembemgonya3528
      @oscartalljembemgonya3528 6 місяців тому +1

      huyu muuwaji tena tapeli mkubwa. geleza linakusubili.

    • @Lulualshagri
      @Lulualshagri 6 місяців тому +1

      Jamani mlotapeliwa pelekeni malalamiko yenu serikali inawatafuta kweli hawa matapeli wa mitandaoni

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 6 місяців тому +22

    Kwann usingeenda polisi kutoa maelezo haya

  • @BeforeZayekha
    @BeforeZayekha Місяць тому

    Mungu akubariki sana kaka

  • @BonaBonala-bp5qm
    @BonaBonala-bp5qm 6 місяців тому +1

    Hata nyiee mnatakiwa mkamatwe Kwa kumuua baba yake wote na taz genius muwe Ndani Kwa mauwaji

  • @KAHINDITV
    @KAHINDITV 6 місяців тому +5

    Me nachoshangaa nikitu kimoja tu,yaani huo wivu wa maisha ya huyu kijana uko upande upi? Kwamba yy anamiliki mabilioni kias umati wote ule ushuhudie maovu yak?😢😢😢 vp kuhusu tuhuma za mkenya nae😢😢kwa uelewa wang mdg wivu wa maendeo huwez chukiw na umati wala kuchokwa na umati wote ule😢😢

    • @ZariaAbdullah-r5t
      @ZariaAbdullah-r5t 6 місяців тому +1

      Ana dalilizoto kwaba huyu nimuhuni wahaliyajuu saana anaknekena nimzoefu wahaliya juusana haja azanyeye kupata hicho alichonacho huyu nimshenzi

    • @fettymilly7664
      @fettymilly7664 6 місяців тому +2

      Haiwezekan watu wote wamchukie yeye tuuu hakuna lazima utakuwa na matatizo tyu

    • @KAHINDITV
      @KAHINDITV 6 місяців тому

      @@ZariaAbdullah-r5t wewe umeona km mimi

    • @KAHINDITV
      @KAHINDITV 6 місяців тому +1

      @fettymilly7664 kuna kitu hakipo saw,alafu yy anawavuaza police lkn Mungu ndio hakimu wa haki km kaua hizo damu za hao watu zitamlilia kutoka aridhini kiasi apate fimbo ya Mungu,na vile saa hii malipo hayachelewi bas atalipwa kutokana na kikombe wenzie wamenywea

    • @gaidianmaketa7108
      @gaidianmaketa7108 6 місяців тому

      Jamaa wanajaaa sana waongo

  • @africamoja2924
    @africamoja2924 4 місяці тому +1

    ANAONGEA UONGO ASILIMIA 99.9% na hajiskii vby babake kuuwawa.

  • @NuruNyanja-kz1qr
    @NuruNyanja-kz1qr 6 місяців тому +12

    Nenda police kajisalimishe usiongelee pembeni

  • @zenatyzeya7825
    @zenatyzeya7825 4 місяці тому

    Pole sana mdogo wangu kwa mapito hayo.

  • @MarthaDaniel-c5f
    @MarthaDaniel-c5f 3 місяці тому

    Mh mungu anakuona wew kama kwel utalipa maan auae Kwa panga hat yet atakufa hvyhvy

  • @Don_Will.i.am07
    @Don_Will.i.am07 6 місяців тому +2

    Hiv mnaskia iyo kauli "kama hujafanya serikali ipo itafanya uchunguzi kama akarekebisha na kusema kama sijafanya " hii mbon naka imeandikwa 6:40 mnts

  • @AishaOman-k6f
    @AishaOman-k6f 5 місяців тому

    Mungu.hafichwi.anajua.kila kitu.atakuhukumu.siku yakiyama.ikifika

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 6 місяців тому +11

    Kashatoa kafara uyu kunguni,,, baba kafa unaongea kawaida HiVO??

  • @YassinRajabu
    @YassinRajabu 6 місяців тому +15

    pole sana kwakupoteza baba yako ila mwambie mama yako akutafutie baba mwingine

  • @EmmyMtila
    @EmmyMtila 6 місяців тому +9

    Usije ukamponza huyo mfanya usafi maana uongo sidhani kama una kumbukumbu kuliko kitu halisi

  • @Yunussmuhsinmitii
    @Yunussmuhsinmitii 6 місяців тому +6

    Mimi nasema huyu nimuwaji na zimtazania na huo mlizi kanamtowa kafara pia na huo baba
    Ake kanamtowa kafara

  • @frankmfuse6990
    @frankmfuse6990 6 місяців тому +10

    Ulimteka na kumfungia ndani ukiwa umemfinga kamba
    Juzi tu , Leo kafa ww unatokaje hapo

    • @JosephineAlex-d8f
      @JosephineAlex-d8f 6 місяців тому

      Omba yasikukute mwombee dua

    • @abbiecox1
      @abbiecox1 6 місяців тому

      @@JosephineAlex-d8f UNANZAJE KUMUOMBEA DUA TAPELI AU NAWE NI WALEWALE TU

    • @SmilingCityMap-xb9md
      @SmilingCityMap-xb9md 5 місяців тому

      @@JosephineAlex-d8f kumtumikia shetani kuna ghalama ya kutoa kamasi maana akijua atauwa mlinzi na kuyamaliza kama kawaida yake sasa ona kamlaza babake Kwa uchungu na subili na bado asipotubu kibao kimeshageukana ataona ya kuona yatakayomtoa jasho la damu

  • @annajohn3377
    @annajohn3377 5 місяців тому

    Freemasoni huyooo kakosea mashart anaumbuka han maisha marefu kuandamwa nabidamu nikitu kibaya sana

  • @kimjey0012
    @kimjey0012 6 місяців тому +12

    Dah wivu mbaya sana 💯
    Hawa wananchi ni WIVU UNAWASUMBUA

    • @yasminoluoch169
      @yasminoluoch169 6 місяців тому +1

      Si angeenda police

    • @joyce55727
      @joyce55727 6 місяців тому +1

      Kaka wa marehemu yule mlinzi alisema mlinz alifungiwa ndani sku 3 kama aliona mlinz wake sijui kaiba si angempeleka polisi kiufup ata ajifiche vipi hii laana itamtafuna milele

    • @Lulualshagri
      @Lulualshagri 6 місяців тому

      Hakuna cha wivu hili jamaa ni katili

    • @Lulualshagri
      @Lulualshagri 6 місяців тому +1

      Huyo mschana wa usafi asepe mapema kabla mambo hayajamuharibikia jamaa keshasema kuwa alipigiwa cm na huyo mdada keshamtumbukiza kwenye balaa

    • @mathiasshirima4520
      @mathiasshirima4520 6 місяців тому

      Kwa kweli Taz binadamu sio yani hapa ni uongo TU inamaana jamaa hajui mwezi na miezi6. Chuki binafsi.

  • @Hamy1109
    @Hamy1109 6 місяців тому +1

    Jisalimishe polisi kama unajiona hauna hatia. Polisi wana vyombo vya kuchunguza ili kupata ukweli. Ukijificha inaonyesha wazi kuwa unahusika na tukio.

  • @hamidabarraball3162
    @hamidabarraball3162 5 місяців тому +1

    Unachotakiwa ufanye kazi ya uhalali, Achana na utapeli wewe sio mganga, usitumie matatizo ya watu, ujipatie pesa kwa kuwadanganya

  • @singidaprincetz1883
    @singidaprincetz1883 6 місяців тому

    Uyu jamaa ni tapeli na ni muongo anataka kujisafisha mtandaoni ila majirani wake ndo wanamjua zaidi ,,, kwanin ajaongelea mtaara wa marehemu serikali ichukue hatua Kali zidi yake Taz gineus

  • @daudiisaac676
    @daudiisaac676 6 місяців тому +1

    Tabia zako tunazijua wewe mpaka umesha wai kumteka ndugu yangu ukampiga tukaripot police ukaenda ukaoga pesa ukatoka wewe wadanganye hao wengine wasio kujua tabia yako

  • @EzekiaMalemi
    @EzekiaMalemi 6 місяців тому

    Tazz pore kaka,ila haki yako itapatikana tu,ninaimani kuna kundi la wahuni nao watafahamika tu. Ukiangalia tu shuhuda za watu unaona kabisa kuna uhuni unaenderea. Pore sana Kaka

  • @mohamednagib2594
    @mohamednagib2594 6 місяців тому

    Mali ulitoa wapi kaka...umbri unao huna ujuzi wa Daktari sio Pilot wala Mwanasiasa. Utapeli sio mzuri bro wa mine..kuwa mkweli otherwise utapitia mingi. Pole sana kwa baba yako na askari mlinzi wako.

  • @GeorgeOtieno-ug7et
    @GeorgeOtieno-ug7et 6 місяців тому

    Pole broo hayo ni malimwengu, ukweli hajuaye mungu nimeumiya sana kama fan wako wakaribu, kama hujafanya nenda polisi mungu atakutetea

    • @danielmgomo717
      @danielmgomo717 6 місяців тому

      Akienda huko hawezi kurudi tena ndio itakuwa mwisho wake.

  • @PeterBenson-rf1og
    @PeterBenson-rf1og 5 місяців тому

    Ww Taz atukatai chuki kwa binadam zipo lakin nikwanin matukio kama hayo yanajiludia sana upande wko inamana kuna mtu nyuma yako anakusaidia kuwaua wabaya wako au unajua unachokifanya😢

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 5 місяців тому +1

    Komenti nyigi ni zachuki na kuhukum

    • @PascleShayo
      @PascleShayo 5 місяців тому

      Watu wanaingilia kaz ya mungu ya kuukumu

  • @remiomar7154
    @remiomar7154 6 місяців тому +6

    Nimuongo huyu kama nikweli ungeenda kuandikisha habari kituo cha polisi kabla kwa kuwa unatumia nguvu zanguza ila kila lenye mwanzo linamwisho mpaka majirani zako unawatishia maisha hawana amani n wewe

  • @gideonmwaweza8177
    @gideonmwaweza8177 6 місяців тому +1

    Ukweli wako upo na Mungu basi

  • @YassinRajabu
    @YassinRajabu 6 місяців тому +1

    wananchi wanakusubili kwenye msiba wa baba yako ili mushilikiane kwenye mazishi ukimaliza kulekodi njoo msibani

  • @josephmbuya9860
    @josephmbuya9860 6 місяців тому +8

    Binadamu bwana ukipata kidogo wanaanza kuku ona m'mbaya

    • @abbiecox1
      @abbiecox1 6 місяців тому +1

      PIMBI WEWE KATI BAKHRESA NA HUYU NA ZAIDI MBONA HUJASIKIA KAPIGWA NA WATU

    • @SmilingCityMap-xb9md
      @SmilingCityMap-xb9md 5 місяців тому

      Una mawazo ya kimaskini kupitiliza wewe unaona MTU akijemga nyumba na kununua tugali tuwili tutatu tayali keshapata na anasthili kuonewa wivu yaani wewe jamaa akili finyu huna tofauti na huyo muuwaji alipopata kajumba amejiona mungu na anawaza kutoa roho ya yoyote ona sasa kasababisha mauti ya babake hakuwaza Hilo akijua atauwa mlinzi na kwake kutabaki salama sasa ona kamletea Mzee wake mauti kabla ya MDA wake na huo ndio mshahala wa kumtumikia shetani lazima akutoe jasho na kamasi

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 5 місяців тому

    Pole sana

  • @elifurahalameck1608
    @elifurahalameck1608 6 місяців тому

    Kaka Mungu akusaidie,Hawa wananchi wambea tu hawana uhakika na wanachosema, police wafanye uchunguzi ,

  • @SHAMADAVISUAL
    @SHAMADAVISUAL 6 місяців тому +1

    Jela inakusubili wewe muuwaji mkubwa na tapeli uwende jela ukaliwe kiboga😂😂😂

  • @Ramlakimaro
    @Ramlakimaro 6 місяців тому +1

    Yaan anavo ongea utazani panya ndio kauliwa eneo lake na ww utakufa tuuu mungu yupo km kweli umehusika damu ya hao marehemu itakufuata ktk uzao wako na utalaanika

  • @MoshiJoseph83
    @MoshiJoseph83 6 місяців тому

    Wewe ukiwawapi naulichukua hatua gani mbonahukujitokeza kwenda kulipoti polici wemuuwaji2 mukonowashelia utafanyakaziyake

  • @innocentchristopher7571
    @innocentchristopher7571 6 місяців тому +3

    Nenda kazike baba ako ushirikian na wananch msiban ha😅😅😅😅

  • @aal8041
    @aal8041 6 місяців тому +1

    Yani unapigiwa sim mlizi wako kauwawaa kwanini usiende kituoni muda uo uo kutowa taharifa

  • @IsihakaMohamed-l3o
    @IsihakaMohamed-l3o 5 місяців тому

    Daah! Hili ndio kusema mkuu wa majeshi, .hata kifo Cha magu Kuna wakuu wa police wenyetamaa hawakutaka ,katibaifuatwe Samia kua Rais .Sasa kama ndio hivyo wanachi tutapata hakizetu?

  • @AminaKassim-ni9wd
    @AminaKassim-ni9wd 6 місяців тому

    Mnafki muone mungu anakuona tena atakulipa duniani na kesho ahera

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 5 місяців тому

    Unapoona tukio la mauwaji nyumbani kwako unalipoti police au unaanza kuwapigia ndugu wa malehemu na kuongea na mpelelezi? Jamani police hebu tuomdoleeni hii laana ya watu waovu kijikinai na kuona wameiweza selekali kwa pesa zao huwezi kuona tukio la mauwaji halafu unampigia ndugu au baba yako unaanza kuongea na mpelelezi wakati huo police hujalipoti

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 5 місяців тому

    Yaani sio kwamba ni uvumi wa mitandaoni kaka acha ushetani mambo yako ya kipuuzi yameghalimu maisha ya baba yako mzazi hivi utawaambia nini watoto yako kuhusu kifo cha babu yao

  • @alfredrutaguza7506
    @alfredrutaguza7506 6 місяців тому +2

    Wew fara enzi za magu ungeshughurikikiwa fara wew

  • @JamyyRamadhani
    @JamyyRamadhani 4 місяці тому

    Dar...macho makav

  • @victorkamugisha2282
    @victorkamugisha2282 4 місяці тому

    Kumbe hawa waganga wanamtanguliza Mungu

  • @dismaslalubare4196
    @dismaslalubare4196 6 місяців тому +3

    Nenda pale kaunta centrol ukaongelee hayo ..

  • @danielmunis7524
    @danielmunis7524 Місяць тому

    We muongo Kwanini mda ya kazi alipopiga simu huku Toa taarifa polisii hadi kuwasiliana na baba yako na wengine unajifunga alafu unajifanya genius

  • @cracemwenda
    @cracemwenda 6 місяців тому

    Ww huna hofu ya mungu hata kidogo unataka jina la mungu kinafik ,ila tambua aneua kwa upanga anakufa kwa upanga na ww muda wako utafika tu

  • @Ramlakimaro
    @Ramlakimaro 6 місяців тому +3

    Kw nn ulimfungia cku za mwanzo ukiuwa kw upanga utakufa kw upanga

  • @godthomas9637
    @godthomas9637 6 місяців тому +2

    Chuki mbaya sana kipato huleta chuki wasikize hawa watu ni chiki tu pilice chunguzeni chuki wivu wa maisha

    • @GeorgeOtieno-ug7et
      @GeorgeOtieno-ug7et 6 місяців тому

      Wachunguze kwa undani binadamu wabaya wanaweza dhulumu huyu

  • @CharlesMaige-y2i
    @CharlesMaige-y2i 6 місяців тому +3

    Kuna wivu wa maisha lkn inaonekana kuna ukweli wa tuhuma zinazomkabili...

  • @AlexKinunda-j9l
    @AlexKinunda-j9l 6 місяців тому

    Huyo ndugu kwanza si mtu mwema hapana .taarifa za raia ambao ni majirani nzake wasingeongea uongo .Kwanza omeongea kuwa ameshawasiliana na police upelelezi ,ombi langu taarifa zake pamoja na huyo polisi yachunguzwe.Nakumbuka raia waliongea kuwa akitenda kosa akipelekwa polisi huwa anaachiwa ivyo wakati mwingine wapo Marefari wake huko polisi.Kwanza raia mulifanya makosa mngeteketeza mali yake yote.Na akirudi hapa siti fanyane kitu ili ajue utapeli sio kitu.

  • @GeorgeJames-pc3eb
    @GeorgeJames-pc3eb 6 місяців тому +11

    anavoongea n kama anatunga maneno hiv

    • @innocentchristopher7571
      @innocentchristopher7571 6 місяців тому

      Ana Tunga huyu

    • @geofreylucas7870
      @geofreylucas7870 6 місяців тому

      Over

    • @SmilingCityMap-xb9md
      @SmilingCityMap-xb9md 5 місяців тому

      Hata kufunga mwenyewe hawezi keshazoea uongo wa kuwaibia pesa hao wateja wake anafikili hapo anaongea kilingeni haeliwi anaongea na dunia ya watu wenye za kupambanua mambo hiyo sula yake Tu inasomeka uongo

    • @SmilingCityMap-xb9md
      @SmilingCityMap-xb9md 5 місяців тому

      @@geofreylucas7870 kufunga uongo hawezi anajifunga Kwa maneno yake mwenyewe mala nimeongea na mpelelezi hivi utaongea na mpelelezi shauli hujalipeleka polisi utawaambia ndugu wake wachukue mwili hujalipoti police yaani huyu oooooooo kweli

  • @steramwanakira7183
    @steramwanakira7183 6 місяців тому +1

    Why you didn't call the police??

  • @OthmanKijemkuu
    @OthmanKijemkuu Місяць тому

    Duh

  • @AgustinoAretas
    @AgustinoAretas 4 місяці тому

    Ooo Taz Damu ya babaako itakulilia Maisha yako yote tulikuonya mapema tukakuambia mafanikio huleta majivuno umejionea na ndy mwisho wako pole

  • @stellaMwakatulie
    @stellaMwakatulie 6 місяців тому +5

    Mungu atakulipa kwa ili acha kudanganya watu wewe mwisho wako ni mabaya kijana

  • @SefuHabibu-sn8cx
    @SefuHabibu-sn8cx 6 місяців тому +1

    Hawa watu wanaotoa maelezo hawajielewi hayo maelezo Yao yanaweza kumfanya jamaa aonekane Hana hatia hawajui kueleza mara Ving,ora kauziwa mikelele Hawa Kuna chuki ndani Yao pamoja hayo lakini Wana chuki Hawa hawajielewi hakuna point hapo

    • @SafayaPlatnum-zz1dz
      @SafayaPlatnum-zz1dz 6 місяців тому

      Katoe point zako we msomi

    • @johdullayo4960
      @johdullayo4960 6 місяців тому

      Kila mtu anawasilisha Kero zake juuu ya jamaaa acha usenge mbwa ww na una Mattz ya kuelewa

    • @johdullayo4960
      @johdullayo4960 6 місяців тому

      Sio chuki acha usenge

    • @johdullayo4960
      @johdullayo4960 6 місяців тому

      Kwa mfano tuh ww umesikia mauwaji nyumbani kwako utaenda TikTok au utaenda kwako na kutoa taarifa polisi

    • @SefuHabibu-sn8cx
      @SefuHabibu-sn8cx 6 місяців тому

      @@johdullayo4960 unatafuta bwana endelea

  • @kiflikhamis5205
    @kiflikhamis5205 6 місяців тому +4

    Unajuwa utawekwa ndani tuu

  • @ramadhanimtetu3656
    @ramadhanimtetu3656 6 місяців тому

    Sawa ila Kuna Waliosoma CUBA wanajua nyuma ya Unachoongea Kikubwa Serikali ipo Macho na Ushahidi utapatikana

  • @ZamzamRamadhani-w5n
    @ZamzamRamadhani-w5n Місяць тому

    Wivu mbaya sana wamaendeleo

  • @SaidAli-rs5pc
    @SaidAli-rs5pc 6 місяців тому

    Unaonekana huyobwana kazoea kuhonga hao polisi ningeshauri naowachunguzwe manakama wangeifanyakaziyao kwaweledi asingekuana kiburi kiasihicho.

  • @easternyerembe7271
    @easternyerembe7271 6 місяців тому +12

    Mbna ulikimbia

    • @josephmbuya9860
      @josephmbuya9860 6 місяців тому

      Jamani angekaa leo hii angekua marehemu

    • @abbiecox1
      @abbiecox1 6 місяців тому

      @@josephmbuya9860 UMETUMWA KAKA MAAANA UNAJIBU KILA MESEJI KUNGUNI WAKE NINI

  • @HadijaShango
    @HadijaShango 6 місяців тому

    Wee nimuaji mkumbwa unalolote unajitetea mungu anakuona mpelelezi wako hamisi wote wachawiii😂😂😂 nakama umeua utajibu haherah unalolote umemuaa mlinzi uondio ukweli unalolote

  • @PascleShayo
    @PascleShayo 5 місяців тому

    Unawezaje kuukumu wakati na ww unapaswa kuukumiwa tusingilie kaz ya mungu chuki na fitina sio sawa

  • @NanaHassan-s8x
    @NanaHassan-s8x 5 місяців тому

    We n muongo, tukio kama Hilo utapigia police ama kakaake marehem?

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 6 місяців тому

    Mbona hata sura inaonyesha ni tapeli kabla hajakutapeli. Sema watu tumekua na tamaa ya pesa bila kuitolea jasho ndo maana watu wanaingia mkenge.

  • @aminabandatz
    @aminabandatz 6 місяців тому

    Toka jana saa moja kamili siko nyumbani kwangu!! Nimetoka tandale nikatafuta sehemu nikapumzika. Yani hiyo kauli ndio imenifanya niamini you did it … Yani ungetafuta lawyer before ya kuongea huu utopolo! Hana huzuni ata kidogo

  • @NuruNyanja-kz1qr
    @NuruNyanja-kz1qr 6 місяців тому +2

    Kwako si nasikia kuna kamera zitaonyesha kama hujafuta

  • @AlexMulunja
    @AlexMulunja 6 місяців тому

    Yan wew unatakiwaufungwee taper mkubwa sana unajivunia helaa jambaz mkubwa wew tokazako ukoo polix msimuachehuyoo

  • @OmanOman-dd5qk
    @OmanOman-dd5qk 6 місяців тому +4

    Mwenyezimungu atasimama na wewe hatakama umeuwa kitakulambatu jipeleke

  • @GodfreyMwino
    @GodfreyMwino 5 місяців тому

    Nitapeli halafu huyo mlinzi alimlisha sumu babake hakawajibu ovyo raia wakamua hamewabia wengi sana

  • @pascalmgina
    @pascalmgina 5 місяців тому

    Kwanini hukupiga simu police? Ila majirani huishinao vizuri pia. Lakini watu hua na chuki na maendeleo

  • @zainabramadhani9838
    @zainabramadhani9838 6 місяців тому

    Kwenye mitaa Kuna vitu vingi vinavyoendelea balozi, mtemdaji , Mwenyekiti wanafanya nini ukitowa taharifa kwao wanakuchoma tunaishi na matapeli, wezi,wauza unga, bangi, piwa na majambazi

  • @PhilkevinFelix
    @PhilkevinFelix 6 місяців тому

    Jeshi letu la Polisi ninaliaminia. Tumuache atatarike kama bisi a police watamnasa tu .

  • @ZainabaJuni
    @ZainabaJuni 6 місяців тому

    Hivi ni nani Hufurahia Vita? Mungelikuwa ndio Nyie na vurugu hizo zinatokea kwenu Mngekaa Majumbani Mwenu ? Unafiki hujengi.

  • @AbdurrahamanAbdurrahaman-uk6dj
    @AbdurrahamanAbdurrahaman-uk6dj 6 місяців тому

    Yn mm nimeumia sn maana nilikua nakufatilia sn Ila nashanga wengi kwenye comment watu wengi walikua wanakufagilia lkn baada ya matatizo wengi wanakuponda Ila komaa kaka penye ski patasimama sw

  • @KERRIESSICHULA
    @KERRIESSICHULA 6 місяців тому

    Pole kaka

  • @ZariaAbdullah-r5t
    @ZariaAbdullah-r5t 6 місяців тому

    Ana uzoefu nahaya mambo anaona kwamba anauwezo wakucheza na akilizawatu kwasababu ameshafanya maranyingi na akafajikiwa lakini hiikesi hana lazima hakimu alie bobea ipowazi sana

  • @SaidAli-rs5pc
    @SaidAli-rs5pc 6 місяців тому

    Wewe nitapeli na umekua kweli ndomana ulikimbia ilautakamatika tu haiwezekani wananchi wote wakusingizie istoshe ulimfungia huyomlinzi ukiwakamanani katika serikalihii ?

  • @estakapufi7582
    @estakapufi7582 6 місяців тому

    Wewe unafurahisha kama uliona hayo uliwapigia polisi umeshaambiwa kuna mlinzi wako kauwawa, ulienda wapi muda huo wewe unataka kusema wanaokubeba kwenye maovu yako unahisi na hili litakuwa ivo ivo acha ujinga, wewe umekimbia kwanini kwa nini usikimbilie polisi.

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 6 місяців тому +4

    Lakini kaka,mbona ulikuwa mnamsumbua kwa mshahara? Mbona wa2 umewachuna laki 5,unawaambia walale makaburini,wa2mie maji Maiti ya mtoto wa mwaka mmoja,huoni watoto waliuwawa kwa akili yako?

  • @meddybokko4301
    @meddybokko4301 6 місяців тому

    Innall nllaaih waiinna illaih rajiuuuun

  • @hastatz
    @hastatz 6 місяців тому

    Ukiwaangalia unaona kuna chuki za umasikin ndani yao ila acha sheria ifuate njia yake

  • @FatumaSaid-t4r
    @FatumaSaid-t4r 6 місяців тому

    Bola ungekaaa kimya.unazidi kutuchefua wallah.Uongo usio na kichwa wala miguu. DAMU YA MTU HAIPOTEI BULE.

  • @mohamedkipara1315
    @mohamedkipara1315 6 місяців тому +1

    Vijana tafuteni pesa kihalali njia za mkato sio sawa.matokeo ndio hayo.kijana nenda polisi karipoti.usikimbie kukimbia niko kosa

  • @salmamlokela1987
    @salmamlokela1987 6 місяців тому

    Wewe kwako kuna alarm akipita tu paka inapiga kelele kwann hao wezi walivoingia alarm aijapiga kelele na ndo wewe uliyempigia cm kaka wa marehemu kuwa aende kumchukia ndugu yake amelala

  • @AminaKassim-ni9wd
    @AminaKassim-ni9wd 6 місяців тому

    Macho tu unaonekana mnafki fulani ivi mungu anakuona kwasababu kwanza kuua ni dhambi kubwa unafki pia mungu apende watu wote wakudanganye na ulivyokosa akili unanusuru roho ya mke na watoto unamuacha baba baba yako una akili bloo ila unaroho ngumu sana Allah akulipe yote unayoyafanya

  • @issaramadhani9141
    @issaramadhani9141 6 місяців тому

    Yaani maelezo yako hayashawishi wala kuonesha kama ww unasingziwa, unaelewa vizuri kilichofanyika ila unajitahidi kujitengenezea utetezi wenye mashaka tele.

  • @ndorobocarworks-dx4pf
    @ndorobocarworks-dx4pf 6 місяців тому +2

    Mimi ni nilipitia michezo ya karate na boxer yaan ngumi na niliwahi kukaa magereza tulifundishwa kuwa mtu muongo akiongea huwa anapepesa macho huwa akuangalii uso kwa uso. Apo bro umejichanganya jiandae tu kwenda mahabusu kukaa inshu ya kufungwa bado sana hadi upelelezi kukamilika sio leo umeyakanyaga ndugu mganga

  • @alfredrutaguza7506
    @alfredrutaguza7506 6 місяців тому

    Huyu jeuri yake pesa inamaana hata serikari kaiweka mfukoni Ila ana bahati enzi za mzee magu angejutia ujinga wake

  • @sebastianthadeus5270
    @sebastianthadeus5270 6 місяців тому

    Mbona ulikimbia ??ungeenda polisi kusema hayo na uchunguzi ungefanyika ujulikane kama ni ukweli !!

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 6 місяців тому +1

    Muongo! Mbona ulidanganya dude limeibiwa wakati ulilificha?

  • @SalumuOmary-dn6gt
    @SalumuOmary-dn6gt 6 місяців тому +3

    Kutoka tandale mpaka pugu unapumzika kaka

    • @anitamwehonge8287
      @anitamwehonge8287 6 місяців тому +1

      😂😂😂😂😂yaaani hata kudanganya hajui

    • @fettymilly7664
      @fettymilly7664 6 місяців тому

      ​@@anitamwehonge8287Yani hajui hajui mshambaa huyuu Kijiji kizima Wana msema vibayaaa

    • @AsminNassor-e5p
      @AsminNassor-e5p 6 місяців тому +1

      Tufanye wewe ndio hakimu mtuumiwa kajitetea ivyo utamuelewa au anachukulia Sheria inatungwa chumbani kwake

  • @Namaize-lc8sh
    @Namaize-lc8sh 4 місяці тому

    Acha utapeli usiringie hyo punzi kila neno la kichwa chako utalitolea hesabu ipo siku