Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Safi sana Mailisita kwa kwa hatua mliyofikia.Mungu azidi kuwabariki jmn,nimeipenda kwaya bure jmn!
Haleluyah! Mwenyezi azidi kuwatumia sawasawa na Mapenzi yake.
Wow nice congratulations 👏
AMINA MUNGU awabariki mnoo haya ndiyo Matakatifu tunayohitaji hapo naiona Mail sita ikipanda Juu,,,, Hongera sana Mwl Sagise Kwa kazi nzuri
Hongereni mno wapendwa
Hongereni sana.Mungu apewe sifa
Wewe Sagise Kazi uliyoifanya ni nzuri mnoo endelea kuwanoa hawa Ndg Wewe ndiyo umeweza kumaliza kiu ya hii Kwaya,,,,, MUNGU akutangulie ktk Utume huu wa uimbaji
Jmn hongereni sana kwa huo wimbo wa kwanza nimeupenda sn jmn hautoki akili had usiku unanijia tuu usingizini mungu awabariki sauti nzuri sanaaaa
HOngera sana kwanyimbo nzuri
Hongereni sana jmn wimbo mzuri mnoooo sauti nzuri sn
Ujumbe wenu unaleta imani na tumaini tele
Mail sita jmn kwaya yetu mbarikiwe mno
❤🎉 hongereni sana kwaya ya mailisita wimbo mzuri unavutia kuangalia
Hongera sn
Nawapongeza Kwawimbo Mzuli
Hongereni sana. Mungu azidi kuwabariki!
Jamani sidanganyiki nyimbo tu sinanibaliki
Kwaya bikira maria mshindaji migoma
Waoo mambo si haya sasa
❤❤❤🎉🎉
🎉🎉🎉
❤❤❤
🙏🙏
❤
🎉🔥🔥🔥🔥
🙏
K2