Asanteni sana kwa wimbo mzuri wa kumshukuru Mungu wetu. Nimependa sana mpangilio wa sauti. Inapendeza sana. Hongereni sana. Mungu endeleee kuwabariki sana!!❤
Thank you so much brother for the work done. I was really delighted 😁 when I saw translation of this song in the lyrics form. May the good Lord reward you abundantly brother Ray.
Nipngoze upendavyo katika njia zahaki Amen
Pongezi Sana mungu hawalinde
Mt.karoli lwanga.kazi murua Kwa kushukuru muumba wetu Kwa uibaji Bora ❤🎉.Amina.
Asnate sana
Mambo yetu mpaka raha kuwa mkatoliki🎉🎉🎉❤
Umeonaeeee
Mungu bariki utume huu uzidi.
Amina, ubarikiwe pia mtu wa Mungu
Asanteni sana kwa wimbo mzuri wa kumshukuru Mungu wetu. Nimependa sana mpangilio wa sauti. Inapendeza sana. Hongereni sana. Mungu endeleee kuwabariki sana!!❤
Amina, ubarikiwe pia
Sku zote najivunia kuwa mkatorik Kaz nzur sana hongeren❤❤❤😅
Ndugu zangu katika Kristo hongereni sana
Asante sana ndugu yetu
Hongelen sana watumishi wa mungu mengi tunayapata kwenu mungu awatunze
Amina, ubarikiwe sana
Leo nimekuwa wa kwanza hongereni sana kwa kazi nzuri wana Carol
Asante sana mwalimu mwandamizi wa muziki
My brother Tumaini Swai on the keyboard..Asanteni sana wanakaroli..mola aendelee kuwazidishia
Amina, Mtumishi wa Mungu
@@karolilwanganjiro Amina 🙏
Very nice song be blessed
Hongereni sana kuimba ni Raha na ni kipaji
Nzuri sana❤🎉
Ubarikiwe
@@karolilwanganjiro 🙏🙏
nimebarikiwa mno
Share kwa wengine ili nao wapate kubarikiwa
Wimbo mzuri, hongereni sana
So amazing ❤❤❤
Than you
A beautiful thanksgiving song, thank you for adding English captions. Congratulations.,
Thanks for listening
Mambo ni moto 🎉🎉🎉
Tunaendelea kukiwasha mpiga vigelegele wetu
Thank you so much brother for the work done. I was really delighted 😁 when I saw translation of this song in the lyrics form. May the good Lord reward you abundantly brother Ray.
Rajo production... Ray🌹🌹🌹🌹🌹
Wanakwaya wangu kwanza mmependeza na WIMBO wetu
Pili nimewamis sana sana Mungu awabariki ❤🙏
Karibu tena tuemdeleze gurudumu hili la uinjilishaji
@@karolilwanganjiro Amina
Kuimba ni kusali
Kabisa, kuimba vizuri katika roho na kweli ni kusali
Hongereni sana
Asante sana
Nimeupenda kabla sijamaliza kuutazamaa
Sasa malizia kuutazama, utaupenda zaidi
nice song bless
Amen
👏🏽👏🏽🙏🏾
🙏🙏
👏
❤
🎉🎉🎉
Kiswahili lyrics pl
Tutalifanyia kazi