Ubarikiwe mutumishi wa MUNGU nawa pongeza wote walio faulisha ushuhuda huu usikike ulimwengu mzima mubarikiwe ndungu katika KRISTO YESU hufatilia ushuhuda wa dungu yetu Rashid MUNGU azidi kukubariki neno la MUNGU lithihirike ulimwengu mzima YESU amekuweka huru amekutoa kifungoni MUNGU ahimidiwe milele
Hizo propaganda za Kikafiri haziwezi kumbabaisha Muislam hata chembe huo ushuhuda ungekuwa bora Ziad kama angetoa aya kuwa ALLAH kaagiza tusomee hayo mambo
😂😂😂😂😂😂😂😂 njaa ni kitu kibaya halafu kuna wajinga watamuamini na sadaka watampelekea kwanini hawa watu wezi hawana elimu ya kutosha!, kwa kifupi ni wajanja wajanja tu
Ni uongo kwa maana alikuwa muislamu.Nimekaa middle east miaka tisa nanimekutana na waislamu wenye imani kubwa na wote wanaongea same thing.majini kwa uislamu ni kitu cha kawaida infact ualabuni wizi hamna maanake boma zina maroho wakulinda .
@@walkerfamily5582 Acheni kudanganya watu dini ya kudanganya na kudanganyana ni batili. Haki inasimama kwa dalili si kwa visa vya kuzua. Wizi kwa waarabu ni fedheha. Mimi nipo Oman nainshi Oman nami ni Muoman. Sababu gani hapa zimfanye raia kuingia katika wizi?!!! Ikiwa ana kazi ya ajira basi mshahara wake wake unamtosha na ikiwa hana kazi serikali inamshughulikia kwa kumsomesha na kumfundisha na kila mwezi inampa pato la kujikidhi na kuhifadhi heshima yake. Ama mgeni hapa haingii bila ya kujulikana yuko chini ya idhamini wa nani na kwa kazi gani. Na ikitokeza kufanyika makosa basi mahakama zipo na kanuni za kudhibiti makosa zipo. Hata mteja hapa anapata himaya kamili katika anayonunua. Hebu acheni kudanganyana eti majini wee majini.
@Juma Salum, Hii kazi ya hukumu Ni ya Mungu Haina haja yakubishana Na kutumia ligha chafu ya matusi chukua kamusi yako uangalie Kafiri Ni mtu wa Aina gani? Lila mmja ana Uhuru wa kuchagua Dini aipendayo
@@jumasalum5769 Kwani kafanya kosa gani? Kila mtu anauhuru wa kuabudu na kuamini dini anayoona itampeleka mbinguni. Km anayosema ni ya uongo hukumu ipo juu yake hakuna sababu ya kumhukumu.
Mungu akusamehe mpendwa, wewe uliyembishi na unayetukana yesu ana kutafuta anataka umtumikie yeye ni njia kweli na uzima bila yeye huwezi kumwona mungu. Mpe sasa maisha yako atakukomboa nawe utakuwa huru kabisa
@@brigithadidas5128 yani hayo anayo yasema ili me niende nae sawa ni sharti kwanza angenukuu maandiko na sio propaganda za Kikafiri et nd zinisumbue mm? 😂🤣😂🤣😂🤣 Wamechemka aisee
Nasikilizaga porojo za wale wabishi kumpokea huyu Bwana Yesu basi nawaombea kwa neema yake Mungu mwenyezi awaokoe pia
Sikio la kufa haliwezi kusikiya dawa.
Njooo kwa Yesu ungali hai
Anakupenda sana
Alifanya kila kitu kwa ajili yako
Mungu akubariki sana mch, tena Mungu akutunze tu huwa nabarikiwa sana nikikuona,,,Yesu kweli hana upendeleo,,,
Nyie waisilamu pasipo kutumia jina la YESU kiristo mtateseka sana.
Bwana Yesu ni njia kweli na uzima hakuna cha uislamu wala cha Muhammad
Ubarikiwe mutumishi wa MUNGU nawa pongeza wote walio faulisha ushuhuda huu usikike ulimwengu mzima mubarikiwe ndungu katika KRISTO YESU hufatilia ushuhuda wa dungu yetu Rashid MUNGU azidi kukubariki neno la MUNGU lithihirike ulimwengu mzima YESU amekuweka huru amekutoa kifungoni MUNGU ahimidiwe milele
Jameni tuwaombeye ndugu zetu wa eslam Yesu awa funguwe akiri watoke uko kwaiyo dini ya shetani.
Hizo propaganda za Kikafiri haziwezi kumbabaisha Muislam hata chembe huo ushuhuda ungekuwa bora Ziad kama angetoa aya kuwa ALLAH kaagiza tusomee hayo mambo
Waislamu wote Shetani ndo Maana hata Baba zao Wa kiroho ni Alshabab, Boko haramu.
😂😂😂😂😂😂😂😂 njaa ni kitu kibaya halafu kuna wajinga watamuamini na sadaka watampelekea kwanini hawa watu wezi hawana elimu ya kutosha!, kwa kifupi ni wajanja wajanja tu
Daaa, stori Nzuri ya kutunga,kila mtu akili kichwani mwake.
Hakika Yesu ni mkuu sana.
Hongela Sana Mtumishi wa Mungu Pastor Nakuelewa Sana in
aina part 2??
Huyu mwamba alikuwa m,bishi,kiburi jeuri na hasikii kitu eti kalikuwa hakali na kanalaa kiti moto ila aikuhizi si dhani kama ataacha
Hahaha yaniuwanafurahi sana izi movei yaniuwongo unapitiriza kiasi alafu wakiristo hawajii wanaaminishwa uwongo
Middle east majini iko almost kila nyumba.Nimekaa na walabu wenye dini nahuwa wakubali .
Nice brother don't give up
Mtangazaji samahani maneno yana tangulia mixed up.
Unachokisema hata hukijui
Mungu akusaidie
Naipenda Sana yesu
Mmmh jaman mbona maajabu hadi kufa? Chakufia nin?
Acheni kudanganya watu hicho huo alichodai kuwepo Muscat Oman hakijawahi kuwepo.
Ni uongo kwa maana alikuwa muislamu.Nimekaa middle east miaka tisa nanimekutana na waislamu wenye imani kubwa na wote wanaongea same thing.majini kwa uislamu ni kitu cha kawaida infact ualabuni wizi hamna maanake boma zina maroho wakulinda .
@@walkerfamily5582
Acheni kudanganya watu dini ya kudanganya na kudanganyana ni batili.
Haki inasimama kwa dalili si kwa visa vya kuzua.
Wizi kwa waarabu ni fedheha.
Mimi nipo Oman nainshi Oman nami ni Muoman.
Sababu gani hapa zimfanye raia kuingia katika wizi?!!!
Ikiwa ana kazi ya ajira basi mshahara wake wake unamtosha na ikiwa hana kazi serikali inamshughulikia kwa kumsomesha na kumfundisha na kila mwezi inampa pato la kujikidhi na kuhifadhi heshima yake.
Ama mgeni hapa haingii bila ya kujulikana yuko chini ya idhamini wa nani na kwa kazi gani.
Na ikitokeza kufanyika makosa basi mahakama zipo na kanuni za kudhibiti makosa zipo.
Hata mteja hapa anapata himaya kamili katika anayonunua.
Hebu acheni kudanganyana eti majini wee majini.
@@hakikwadalili ina maana hiyo chapa aliyonayo mkononi kaibandika Mwenyewe?
Life itself is spiritual my friend,, the earlier you believe the better
Kila sehemu yupo duuh
@Juma Salum,
Hii kazi ya hukumu Ni ya Mungu Haina haja yakubishana Na kutumia ligha chafu ya matusi chukua kamusi yako uangalie Kafiri Ni mtu wa Aina gani? Lila mmja ana Uhuru wa kuchagua Dini aipendayo
Mafundisho mazuri alexie kiuwazi uliwatu Waelewe jinsi ya kujiepusha
Duu kweri Qu ran inatumika kuua Roho nying mno
Endeleeni kukalili nyie Makafiri wakubwa
Huyu mtumishi nlimfaham alipokuja dar basihaya t.a.g nakumbka xn huo mkutano ulitikisa jiji mungu akubarikia xn
@@jumasalum5769 kafiri ni mamako
@@jumasalum5769 kafiri ni mamako
Jina la yesu lipo juu ya majina yote
God is God
Siasa za kifamilia
Bado mwaipopo
Ipo siku Yake
Umechemka Kafiri
@@jumasalum5769 Kwani kafanya kosa gani? Kila mtu anauhuru wa kuabudu na kuamini dini anayoona itampeleka mbinguni. Km anayosema ni ya uongo hukumu ipo juu yake hakuna sababu ya kumhukumu.
Abby Adams Kweli
Kwanini hashemi kuwa alikuwa kuzimu!!?
yani mkiona hamna mtu aliekoment mjue kwamba mnaongea pumba na wenye akili #WANAWAPUUZA (no senc)
Kwamba anadanganya au?mbona ni kawaida sana kwenye hio dini ndg yng
Ibrahim ni maamuma hajui kitu kilicho ndani ya uislam anachojua ni kuswali tu.
Hayo ndio mambo ya dini tulizo zing'ang'ania tubadilike tumfuate YESU
Tuachane na dini za mababu jamani
My Pastor love you so much
Shoga Wewe unalolote unatafuta kiki
Kumbe kuna dini zinaruhusu matusi? Ngoja tuone hiyo mbingu utakayoenda
Ukweli unauma bro. 😂😂😂uislamu ni ukafiri
@@samutykuntathebantu8402 Tuwaombee hawa ndugu zetu.Wakizidiwa hoja wanaanza kutukana.
Kwa juu juu unaweza amini uislamu ni mtakatifu ila uhalisia ni kuwa Yesu ni njia pekee
Mungu akusamehe mpendwa, wewe uliyembishi na unayetukana yesu ana kutafuta anataka umtumikie yeye ni njia kweli na uzima bila yeye huwezi kumwona mungu. Mpe sasa maisha yako atakukomboa nawe utakuwa huru kabisa
Propaganda za Makafiri tunazijua vzur tu so wala hamtupi shida nyie wahuni wa vijiweni endeleeni kuitangaza biashara yenu ya Kanisa
Ingekuwa ni mkristu apo kawa muislam mngeamini ila kwa kuwa ni muislan kawa mkristu hamuamini kweli shetani mjanja
@@brigithadidas5128 Ukwel siku zote haufanani na Uongo na wala Uongo haufanani na Ukwel sas me nd nmesema Huo n Uongo huyo sio Muislam
@@jumasalum5769 ni kweli sio muislam angekuwa muislam asingeweza sema hayo anayosema yupo huru sasa ndo maana anaongea hayo
@@brigithadidas5128 yani hayo anayo yasema ili me niende nae sawa ni sharti kwanza angenukuu maandiko na sio propaganda za Kikafiri et nd zinisumbue mm? 😂🤣😂🤣😂🤣 Wamechemka aisee
@@jumasalum5769 waamini majini wanajulikana kwa wakristu majini yote ni adui zetu so hata usipoamini ukwel unafahamika tu haina haja ya kubishana