Uko vizuri sana mtumishi wa Mwenyezi Mungu,wanaorusha matusi wanamjua baba yao ni nani,kama hauna zuri la kunena kuhusu mada hii,potelea mbali,ama ukae kimya katika jina la Yesu Kristo.🤔
Yes yes Yes Yesu Kristo ni Bwana ni Mungu ni mfalme juu ya falme zote apewe sifa sana kwa kuendelea kuwaokoa watoto wake wamjue mwokozi na kuyasalimisha maisha yao sehemu salama
Wewe ulitakuwa kuwa Paulo , imani yako ni kubwa sana, nilikushuhudia miaka ya 90 ulipokuja Kyela Mbeya , Moto uliwaka ! Barikiwa sana Mtumishi , nakupenda sana !
Bila Yesu Kristo uko gizani 100% Yesu ni nuru ya ulimwengu Kila siku ma elfu ya watu wako naokoka nakumupokea Yesu Kristo Sasa weye endelea na ukaidi wako afu utaona mwisho wa siku nakwambia utajuta kuzaliwa 1 Wakorintho 1 18 Kwa sababu neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuzi, bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu. 19 Kwa kuwa imeandikwa Nitaiharibu hekima yao wenye hekima, na akili zao wenye akili nitazikataa. Amen !!!
Aki Davista umefanya vizuri kweli kumtafuta huyu mzee nimetaka kusiliza tena ushuhuda wake huyu mzee anaushuhuda mzuri kweli aki . Sasa niko ange nimsikilize paka mwisho
Dini ya KIISLAMU imekamilika na hakuna yeyote atakayeweza kuichafua na jambo moja mkumbuke sisi binaadamu wote hatujakamilika jukumu letu ambalo allah mtukufu ametujaalia ni kukumbusha yalo ya kheri na kukataza mabaya jukumu la HUKMU ni lake mwenyez mungu mtukufu pia tujue kwamba sio wote tutaingia peponi laaa ila wapo watakao kuwa kuni za jahannamu kama Abilahab na mkewe
Hata wewe unatakiwa ubatizwe umpokee yesu kristo mwana wa Mungu aliye hai uislamu ni ushetwani ni ukafiri tu, mwenyezi Mungu amewandalia moto wa milele wote waislamu mnao jifanya mmeweka pamba masikioni
Hakuna kitu Kama hicho umeandika kwa hisia na ushabiki wa Upande wako.Shida nyinyi inakuja pale munaona mtu anatoa hushuuda kuwa alikuwa Muislamu munaumia sana,.Alipita hapa Omari Mnyeshani mukasema muongo na ni njaa inamsumbua,Meshaki alitoa hushuuda mukamtukana vile vile Lisa alisema alikuwa Muislamu.
Ndo namshangaa, Davistar anafanya crusade,kugombanisha uislam chini kwa chini ila wengi wamejaribu na ku fail, kila dini kuna wenye imani na wenye wasio na imani, kuzimu kuna black pope ila hakuna mufti kuzimuni.
Mbona haya mtume alishasema,,,umma wake utagawanyika ktk makundi na makundi yoote yataingia motoni isipokua moja,,,, Lkn ww mzee ulichagua njia ya waliopotea pole sn uliangukia kwenye mikono ya wapiga ramli,,,,
Ninyi waislamu mnaficha nini ,mtu anashuhudia yaliyomtokea pamoja na maisha yake , then wewe unasema muongo , ninyi mkoje mnaficha nini kwenye Uislamu ? Kuweni huru Mungu anajitegemea wala huwezi mtetea
Sasa kaka unanona Kila mtu msaniii ...okey hata kuona huoni bas hata kusikiaa pia na kuchuja mambo ..nimegundua waislam mna roho ya kutotambua mambo Yan uchanganuzi...kabla ya kuelewa ushahukumu jambo ,,,unachokiamin tayali kinakufanya usitake kuelewa hata ukiambiwa ukweeli ...Sasa watu wote wanakuja kutoa ushuhida wamepagwa....aisee kujitambua ni kitu kigumu
@@StellahMhilukwani kama alikua anafuga makini ni yeye kama yeye hakuna Aya Wala hadithi inayolihusu mambo hayo yeye akifanya yeye kama yeye na ushetani wake
Jamaa muongo hyu😂😂! Iv nyie wakristo mnanini lkn na waislam?? Davista hebu muoji siku Asome hata surat bakara walau hata aya 20... uone maajabu mjue mbivu na mbichi! Yan huyu mzee anavutia wakristo wenzio ndio kick yake..
😂 hawa wanao jiita mashehe huku kwa davista feeki 100%. Mbona tajwid yake mbovu ,maelezo ya elmu yake adi kujiita ulama mwenyewe inashangaza. Wengi ya hawa jamaa walienda kusoma uchawi tu na kutokuelewa kwao ndo kimewapotesha zaidi. Very weak argument, na story za holla ballo . Jamani fanya backgroud check usiwapoteshe watu
mzee acha uongo vurugu la kuchoma moto mabucha ya nguruwe 92 hukuwepo wewe ulisikia tu, wenyewe ndo kina marhum albashir we hukuwepo huyo utamdanganya sababu mtoto mi nilikuwepo wewe ni muongo na watu hawakufika 200 wacha chuki kafiri wewe ruka ruka tu ila jua ukifa moto unakuhusu
Uko vizuri sana mtumishi wa Mwenyezi Mungu,wanaorusha matusi wanamjua baba yao ni nani,kama hauna zuri la kunena kuhusu mada hii,potelea mbali,ama ukae kimya katika jina la Yesu Kristo.🤔
Umechagua njia sahihi ya Mungu wa kweli Jehova muumba mbingu na ardhi
Yes yes Yes Yesu Kristo ni Bwana ni Mungu ni mfalme juu ya falme zote apewe sifa sana kwa kuendelea kuwaokoa watoto wake wamjue mwokozi na kuyasalimisha maisha yao sehemu salama
Wewe ulitakuwa kuwa Paulo , imani yako ni kubwa sana, nilikushuhudia miaka ya 90 ulipokuja Kyela Mbeya , Moto uliwaka !
Barikiwa sana Mtumishi , nakupenda sana !
Daaah huyu mzee Rashidi aisee nina mpata sana.. jamaa ni moto sana.. ana story nzuri sana nimefatilia semina zake nyingi
Hallelujah, Amen.Bwana wetu YESU KRISTO ASIFIWE 🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤
Huyu aliyokewa na Bwana Yesu mwenyewe , Kama vile mtume Paulo
Bila Yesu Kristo uko gizani 100%
Yesu ni nuru ya ulimwengu
Kila siku ma elfu ya watu wako naokoka nakumupokea Yesu Kristo
Sasa weye endelea na ukaidi wako afu utaona mwisho wa siku nakwambia utajuta kuzaliwa
1 Wakorintho 1
18 Kwa sababu neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuzi, bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu.
19 Kwa kuwa imeandikwa
Nitaiharibu hekima yao wenye hekima, na akili zao wenye akili nitazikataa.
Amen !!!
Ameee.
sasa wewe endelea kucheza na jina la Yesu. kisa eti dini yako. pole sana.
Mr fact fanya tuu usitucheleweshee story hii maana tunaompenda YESU tunajifunza vingi sanaa na wewe pia MUNGU akubariki na akuongoze vyema
Malaika wanaimba huko mbinguni Yesu ni bwana amenibadilusha Yesu
HALLELUJAH! YESU NI MKUU
Umefanya vizuri kweli kumtafuta huyu mzee nimetaka kumsikiliza tena huyu mtumishi anaushuhuda mzuri kweli. Nko ange tena ushuhuda wake
Amen mungu huokowa watu wake kila mahali
Aki Davista umefanya vizuri kweli kumtafuta huyu mzee nimetaka kusiliza tena ushuhuda wake huyu mzee anaushuhuda mzuri kweli aki . Sasa niko ange nimsikilize paka mwisho
Mzee ameamua ahamie upande wa biashara
Dini ya KIISLAMU imekamilika na hakuna yeyote atakayeweza kuichafua na jambo moja mkumbuke sisi binaadamu wote hatujakamilika jukumu letu ambalo allah mtukufu ametujaalia ni kukumbusha yalo ya kheri na kukataza mabaya jukumu la HUKMU ni lake mwenyez mungu mtukufu pia tujue kwamba sio wote tutaingia peponi laaa ila wapo watakao kuwa kuni za jahannamu kama Abilahab na mkewe
Yeah
Ni kweli
Hakika
Hata wewe unatakiwa ubatizwe umpokee yesu kristo mwana wa Mungu aliye hai uislamu ni ushetwani ni ukafiri tu, mwenyezi Mungu amewandalia moto wa milele wote waislamu mnao jifanya mmeweka pamba masikioni
Mzee Ako sawa kabisa
Nakubali mkali👊👊
Nasubiri mapovu
Wameshaanza kuyatoa huku
Imani ya kiislam imesema ufanye hivyo Quran 9;29) hata Ally alichoma kanisa na kuuwa watu wakiabudu
Wakristo nirahisi kuwadanganya.....yani daah hawapendi kusoma wanapenda stori kama hivi na sikuzote wanasimuli wanachopenda kusikia.😊😊
Hakuna kitu Kama hicho umeandika kwa hisia na ushabiki wa Upande wako.Shida nyinyi inakuja pale munaona mtu anatoa hushuuda kuwa alikuwa Muislamu munaumia sana,.Alipita hapa Omari Mnyeshani mukasema muongo na ni njaa inamsumbua,Meshaki alitoa hushuuda mukamtukana vile vile Lisa alisema alikuwa Muislamu.
MBONA KILA MTU ANAZUNGUMZA ELIMUNDUNIA NA WAISLAMU WANAKUWA WABISHI MBONA KILA ANAYETOA USHUHUDA ANAZUNGUMZA HUU UKWELI HAUCHENGANI
Piga pesa Stefano ukimaliza rudi kwenu
Davista leta stiry kama za mzee wa scudi
Huyu..sheitwani..mbona anatupotosha
Mlete dr sure apambane kwa hoja
😂😂😂😂😂,...lazma waweke neno SHEIKH...!
Ndo namshangaa, Davistar anafanya crusade,kugombanisha uislam chini kwa chini ila wengi wamejaribu na ku fail, kila dini kuna wenye imani na wenye wasio na imani, kuzimu kuna black pope ila hakuna mufti kuzimuni.
@@FemmeNikie 😄😄 sema yote majina ya viongozi wenu hayajaandikwa kwa kitabu chenu kama mufti,mauramaa na mengine kibao tupa kule hayajaandikwa
Plz nitajie verse na chapter ipi wametaja jina la “ BISHOP” kwenye bible !!!!
@@FemmeNikiekwani nn maana ya bishop Kwa Kiswahili? Maana bishop ni kingereza sasa itafsiri
Aanaandika kw eruf kubwa kbsa😂
Kila shehe wa davista lazma asomee uchawi😂...
Atutajie wanatunzi aliohitimu nao hiyo shahada ya elmu dunia tafadhali.
chuo kikuu chenu mapasta wa kilokole ni maaswi na uchawi na shetani tushawazoe maan kama hujawa mchawi huja qualify kuwa mchungaji wa kilokole.
Muoongggooo huyoooo
Mbona haya mtume alishasema,,,umma wake utagawanyika ktk makundi na makundi yoote yataingia motoni isipokua moja,,,,
Lkn ww mzee ulichagua njia ya waliopotea pole sn uliangukia kwenye mikono ya wapiga ramli,,,,
Wacha njaa hiyo maisha haya ni ya kupita mwongo wewe.
😢😢😢
Ninyi waislamu mnaficha nini ,mtu anashuhudia yaliyomtokea pamoja na maisha yake , then wewe unasema muongo , ninyi mkoje mnaficha nini kwenye Uislamu ?
Kuweni huru Mungu anajitegemea wala huwezi mtetea
Jamani mjue davista ni mdogo alafu mjue davista nae alikuwa muislam kabsaaa na nnasubir stor ya davista alivyo toka kwenye uislam kuja kwenye uikristo
Baba yako alikupelekea kusoma uchawi wa kiarabu but hakukupeleka kuusoma uislam,endelea kukusanya maokoto coz ukitaka kupata pesa wadanganye wakristo.
Hii channel ilianza ya mikasa kdogo kdogo tumeletwa huku bila kujijua😂
Umeona ee saiv naona imekua chanel ya dini ya kikristo 😢
@@munaahkiogakioga7330 kabisa mdg me saivi kwanza nimekua hata mvivu kusikiliza nilikua mpenzi
😅😅😅😅😅😅😅
Wala hatubabaiki
Kwahivo ulama alisoma marupurupu ya imani ni fujo ,dharau na kiburi ?
Typo pmojaaaa sanaaaa
Unakotika si kuzuri angaza unakokwenda na ukufuate huko
Bahati nzuri tumeshajua malengo yenu ni nini, kwamaana mtu aliyesoma elimu levo yote hiyo anashindwa kutamka neno.......!?
Bahati mbaya saana huwa mnapambana na mtu au mkristo badala ya shetani Mungu awafunulie neema
Sasa kaka unanona Kila mtu msaniii ...okey hata kuona huoni bas hata kusikiaa pia na kuchuja mambo ..nimegundua waislam mna roho ya kutotambua mambo Yan uchanganuzi...kabla ya kuelewa ushahukumu jambo ,,,unachokiamin tayali kinakufanya usitake kuelewa hata ukiambiwa ukweeli ...Sasa watu wote wanakuja kutoa ushuhida wamepagwa....aisee kujitambua ni kitu kigumu
@@StellahMhilukwani kama alikua anafuga makini ni yeye kama yeye hakuna Aya Wala hadithi inayolihusu mambo hayo yeye akifanya yeye kama yeye na ushetani wake
Jamaa muongo sana
Hakuna mtoto anaye weza maliza msahafu kwa miaka mitano
Wewe ndiye kichwa maji !
Umeyakimbia majini ya mudi
Tufumbue macho mzee wetu kwa jina la yesu
We uliefumba macho
@@adamsafari7657 ww unaonaje?
Viewer 81 7th Like @19minutes
156views 8likes @39 mins
Uzushiiii
Kalibu baba yetu
next please thanks🙏🏾
Huu ushuhuda kama wa paulo mtanzania
Mmh
Jamaa muongo hyu😂😂! Iv nyie wakristo mnanini lkn na waislam?? Davista hebu muoji siku Asome hata surat bakara walau hata aya 20... uone maajabu mjue mbivu na mbichi! Yan huyu mzee anavutia wakristo wenzio ndio kick yake..
Kwubishi umebarikiwa 😂😂
😂 hawa wanao jiita mashehe huku kwa davista feeki 100%. Mbona tajwid yake mbovu ,maelezo ya elmu yake adi kujiita ulama mwenyewe inashangaza. Wengi ya hawa jamaa walienda kusoma uchawi tu na kutokuelewa kwao ndo kimewapotesha zaidi. Very weak argument, na story za holla ballo . Jamani fanya backgroud check usiwapoteshe watu
Ukiacha dini ya uislam unauawa na freemasonry nao ni ivo ivo
Mnafiki ukimwangalia tu unamjua huyu ni mnafiki
Haya sheghe mstafu lete matamu!!
Mtumishi ni ndugu yake na Agrey Mwanry? Mzee wa soma hiyo?
Mzee wa soma hiyooo😆 wanafanan kbs
J.boys 1999
Mwongo huyo anatafuta njia ya kuishi tu hayo anayo shuhudia ni ya uongo mtupu ni njia ya kuganga njaa tu.
🇹🇿👍✌.
Huyo ni muongo, maana ya tajwiid siyo mpangilio.
Yesu Ni Bwana
Na kweli ni bwana 🤣🤣🤣🤣
Ni bwana wenu lakini sio Mungu😂😂😂
Pumbavu
Wacha kudangajnya wakristo, mwongo wewe umepotea.
Wee mtazame mimacho tuuh anaonekana alikua mchawi mkubwa