Ubarikiwe sana mtumishi ushuhuda wako ni kwa uwezo wa MUNGU kila ninapo husimiza hurudia kila mara wabarikiwe wote walio fanikisha ushuhuda huu kusikizwa ulimwengu mzima nafatilia kutoka DUBAI U.E.A
PROPAGANDA YA DINI , Halafu hawajui Kujipanga 🤣🤣🤣 MAONI YANGU : QURANI Ni MANENO YA ALLAH Na Uongozi Kwa WAISLAMU , Na Yeye Anasema Amesoma Juuzuu zote 30 , Swali Kwanini Ameenda Kujifunza Uchawi au Majini , Wakati QURANI Imetukataza ???😂😂😂. Huyo Kapangwa na huyo MUANDISHI Anatoa Usuhuda wa UONGO
Uongo, huwezi kuanguka hujitambui, ukabebwa mpaka kwa kaka yako hujitambui, halafu kitabu cha dua ulichokuwa nacho bado umekishikilia mpaka mchungaji ndio akaja kukupokonya. Unaposema uongo kuwa na kumbukukumbu!
Nakama vitimbi hivyo ndivyo vimekufanya UE kafiri ukienda itali utakua pagani naukikutana na Freemasons utakua pia ,wewe umejitekenya mwenyewe ukajicheka mwenyewe.pole sana kwa kua kafiri kwavitimbi vya kitoto kabisa mama
@@patricklukas8758 nikweli home kwao kafiri zamani hilo tunalijua .hakuna majini lakini kila siku mnatoana mapepo makanisani wanatokea WAPi?icho nikikafiri kiduuchu kimehadaika nq sadaka za kanisa ,duh njaa mbaya
@@lusekelomwinsasu318 nyinyi ata mpwage vipi tunakujueni nimakafiri tu na hao mbuzi wakubwa wanajua hasa kwamba hawana dini lakini atawchaje sadaka akale wapi na njaa mbaya!
Anakashifu anasema ukweli harithi au unataka aongope ili audanganye ulimwengu? Kabla hujasema hayo fanya utafiti wa anachokisema alafu uzungumze ya kwako
Sasa alikimbilia kufwata wanawake akati kwenye ukristo anaruhusiwa kuwa na mke mmoja .😂😂😂😂😂 Aliondoka sehemu kwenye sehemu ambako anaweza kuwa hata na wanawake kumi kama ana uwezo .Think big
Ubarikiwe sana mtumishi ushuhuda wako ni kwa uwezo wa MUNGU kila ninapo husimiza hurudia kila mara wabarikiwe wote walio fanikisha ushuhuda huu kusikizwa ulimwengu mzima nafatilia kutoka DUBAI U.E.A
Ushuuda muzuri sana ubarikiwe sana muse wetu anaitwaje Jima la mutumishi wa Mungu
Piga Injili baba Umefika Mahali sahihi. Yesu ni Mzuri wewe
Jesus is great
mungu endelea kuonekana
Jina la YESU.nijinalipitalomajinayote
YESU KRISTO NI ALFA NA OMEGA AMINA
Bwana YESU endelea kujifunua kwa watu wako ili wakutumikie wewe MUNGU wa kweli.
Amina
Umepotea acha kudanganya watu ni njia ya kupata hela kafe kafiri huko mjinga
Amen..
@@sudingolola5446 wachahasira wewe pia unakaribishwa.
Amina
Hakika MUNGU jina lako ni kuu sana
Mwaipopo anatakiwa kumrudia YESU asikie huu ushuhuda
PROPAGANDA YA DINI , Halafu hawajui Kujipanga 🤣🤣🤣 MAONI YANGU : QURANI Ni MANENO YA ALLAH Na Uongozi Kwa WAISLAMU , Na Yeye Anasema Amesoma Juuzuu zote 30 , Swali Kwanini Ameenda Kujifunza Uchawi au Majini , Wakati QURANI Imetukataza ???😂😂😂. Huyo Kapangwa na huyo MUANDISHI Anatoa Usuhuda wa UONGO
Uhai hongereni,naombeni part 3
Kuondoka kwenyedini ilioanzishwa na aisha hujakosea
Uongo, huwezi kuanguka hujitambui, ukabebwa mpaka kwa kaka yako hujitambui, halafu kitabu cha dua ulichokuwa nacho bado umekishikilia mpaka mchungaji ndio akaja kukupokonya. Unaposema uongo kuwa na kumbukukumbu!
sikiliza vizuri na elewa nini anasema utajua kitabu kimetajwa mda gani,
Nimesikiliza vizuri sana, ila nyie ndio hamjaelewa point hiyo
Mbona povu tulia awapashe dini ya majini
Kila siku wewe tu sisi tupo ktk uislam tokea kuzaliwa hatukuwahi kuona wala kufanya ushenzi acha kutafuta ridhiki kwa njia hii kaka
Eeeee jamani huyu mwenzetu anashukuru analazimishwa kwenda mbinguni kwa lazma?
Acha uongo. Wadanganye wasio jitambua. Wewe tapeli
Kweli ukitaka kusema uongo nenda Tanzania
Kama anasema uongo, nyie tuambieni ukweli.
Nakama vitimbi hivyo ndivyo vimekufanya UE kafiri ukienda itali utakua pagani naukikutana na Freemasons utakua pia ,wewe umejitekenya mwenyewe ukajicheka mwenyewe.pole sana kwa kua kafiri kwavitimbi vya kitoto kabisa mama
Amerudi home sweat home hakuna uchawi wala majini
Haaaaaaahaaaaaahaaaaaaa unapayuka tu hauna la kuongea Pole sana ila wakristo siyo makafiri makafiri ni waislamu wafuga majini
@@patricklukas8758 nikweli home kwao kafiri zamani hilo tunalijua .hakuna majini lakini kila siku mnatoana mapepo makanisani wanatokea WAPi?icho nikikafiri kiduuchu kimehadaika nq sadaka za kanisa ,duh njaa mbaya
@@lusekelomwinsasu318 nyinyi ata mpwage vipi tunakujueni nimakafiri tu na hao mbuzi wakubwa wanajua hasa kwamba hawana dini lakini atawchaje sadaka akale wapi na njaa mbaya!
Msitukane mtafuteni kaka ake ili mpate ukweli
Mnafiki wewe sio kweli km ukibadili dini ndio ukashifu dini uliotoka
Anakashifu anasema ukweli harithi au unataka aongope ili audanganye ulimwengu?
Kabla hujasema hayo fanya utafiti wa anachokisema alafu uzungumze ya kwako
Part 1 ipo wapi?
chek vzr nimeweka kwa kuandika sehemu ya 1,2,3
Sisi tunajua wewe nikafiri zamani ,ulihamia huko kwasababu ya Mali na wanawake bass.
Katambua njia yakweli na yauzima najibi mapepo uchawi kavikimbia
Sasa alikimbilia kufwata wanawake akati kwenye ukristo anaruhusiwa kuwa na mke mmoja .😂😂😂😂😂 Aliondoka sehemu kwenye sehemu ambako anaweza kuwa hata na wanawake kumi kama ana uwezo .Think big
@@sixteenonline9811 Mnafiki huyo
acha uongo
misimu ya babu yako
haya planed story