Aliye mshauli mama kutoa mrejesho kwa kila safari zake za kitaifa mungu ambariki sana maana wa tz tunahitaji taarifa. Hongera sana MHE RAIS kwa hili 🎉🎉
Mbona mnaongea tuu na huku mipaka inafungwa na mazao yanadorora na kukosa masoko na wakulima tunaambulia kupata hasara. Mnaongea kila siku Tanzania kulisha Africa na huku mna- block mipaka.
Aliye mshauli mama kutoa mrejesho kwa kila safari zake za kitaifa mungu ambariki sana maana wa tz tunahitaji taarifa.
Hongera sana MHE RAIS kwa hili 🎉🎉
Sahihi mama Tz siyo maskini .shida ni waminifu kwenye miradi ya selikali na ubunifu. Tz njaa hakuna mama Mungu ibariki Tz. Afrika
Mbona mnaongea tuu na huku mipaka inafungwa na mazao yanadorora na kukosa masoko na wakulima tunaambulia kupata hasara. Mnaongea kila siku Tanzania kulisha Africa na huku mna- block mipaka.