MZEE ABDUL NAYE AMKANA DIAMOND SIO MWANANGU WAMEONGEA NA MAMA YAKE/ASITUMIE JINA LANGU/MUNGU ATALIPA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 59

  • @khethukuthulamlungisi636
    @khethukuthulamlungisi636 3 роки тому +3

    Usikonde mzee maisha

  • @benjambesseltdltdt.v.shiny9457
    @benjambesseltdltdt.v.shiny9457 3 роки тому +4

    *Pole san muzee utapowa2☺☺😁*

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 3 роки тому +1

    Mungu atusitiri yaarabi nahaya yanaotokea duniani jamani 💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @bekaali8930
    @bekaali8930 3 роки тому +2

    Huyu mzee anabusara sana ila roho inamuuma lkn anajikaza kikubwa Allah akusaidie mzee wang katika mitihani hii ulionayo.

  • @warrensantana1570
    @warrensantana1570 3 роки тому +5

    Imeniuma Sana Sasa huo muda wote mbona hakusema watu waende DNA tu,,mama mjinga sana

  • @khadijamasoudmikidady1726
    @khadijamasoudmikidady1726 3 роки тому +3

    Mungu atamlipia tu mama huyu hamuonei huluma babawawatu😭😭

  • @erickzephania1030
    @erickzephania1030 3 роки тому +1

    Pumzi anatoa Mungu, maisha bado yanaendelea. Najaribu kufikiria tu Mzee uliyekataliwa angekuwa Mo au bakhresa sijui kma ayo yote yangekuwepo

  • @OmanOman-iu7jf
    @OmanOman-iu7jf 3 роки тому +2

    Mmmmmmh.subuhanawa.mtihani unakuja mzigo.daaaah

  • @jamilaingu7922
    @jamilaingu7922 3 роки тому +2

    Ilikuwa inasubir 2021 ,ndio ibain,lahaula wakuwata ila billah

  • @aishaharuni2937
    @aishaharuni2937 3 роки тому +3

    Mzee Abdul agekuwa tajiri Sandra agetafuta juu mzee

  • @adamusururu4013
    @adamusururu4013 3 роки тому +2

    Mungu anakuona wewe mama

  • @salehesalmn4845
    @salehesalmn4845 3 роки тому +2

    Hii nchi ya viwanda

  • @joezeno8
    @joezeno8 3 роки тому +1

    kweli kwasababu hakuwezi kutokea mfanya kazi wowote wa Wasafi tv na Radio na WCB lebo kusema kwamba mama Dangote kakosea kwasababu wote wana mtegemea Diamond Platnumz!
    Kila mtu anajuwa mama Dangote hakupaswa kusema vile kwenye Radio mbele ya umaa na watanzania wote

  • @VinsMtv
    @VinsMtv 3 роки тому +2

    🤣🤣🤣hapa mzee anajibu huyu interviewer vibaya aje

  • @adamumuki1242
    @adamumuki1242 3 роки тому +2

    Ote amna akiri apo studio mnafuraia Mavi matupu kakaataa mimba mzee Abdul alafu baba mlezi kivipi ajamsaidia kitu kulea n mana yake yadunia tu tu ayo

  • @samwelsamson4135
    @samwelsamson4135 3 роки тому +2

    Kweli ela zinalewesha et mtu alikataa mimba na kamkataa toka yuko chekechea halafu tena Kamlea Diamond alimkataa vp wKat kamlea nanyie wa wtangzaji kwnn msioji hpapo tuskie

  • @Craftiummah123
    @Craftiummah123 3 роки тому +1

    joining this session,Stay connected.

  • @warrensantana1570
    @warrensantana1570 3 роки тому +5

    Urefu wa Mondi=Mzee Abdul
    Akili ya Mondi=Mzee Abdul
    Kichwa Cha Mondi=Mzee Abdul
    Twende DNA Sasa

  • @hildadaniel3828
    @hildadaniel3828 3 роки тому +2

    Namuonea uluma uyu baba jamani kaaaa 😭😭

  • @abdulmillanzi7355
    @abdulmillanzi7355 3 роки тому +2

    Dunia tunapita

  • @husnanyamvula2372
    @husnanyamvula2372 3 роки тому +2

    Punguzen kumhoji mumezidi kumhoji na hamna msaada mnaompa

  • @lazarojacob641
    @lazarojacob641 3 роки тому +2

    Sasa apo apo anakataa aliikataa mimba na kulea alikataa sasa iyo baba mlez inatoka wap tena????

  • @jabarmalid5393
    @jabarmalid5393 3 роки тому +1

    Wambea chanel

  • @agustinolugusi9671
    @agustinolugusi9671 3 роки тому +2

    Huyu mama laana tupu

  • @emmamatemu8225
    @emmamatemu8225 3 роки тому +2

    Ila mondi na momo wamefanana pua

  • @MrSokwe
    @MrSokwe 3 роки тому +2

    Mama anasema alikataa mimba ila ni baba mlezi 🙄

  • @salehesalmn4845
    @salehesalmn4845 3 роки тому +2

    Wadangaji wotee

  • @warrensantana1570
    @warrensantana1570 3 роки тому +3

    Diamond ni mtoto wa Mzee Abdul acheni drama jamani,,mnataka Kila siku msemwe nyinyi tu

    • @mussamayele3134
      @mussamayele3134 3 роки тому +1

      mwandishi utakuja pigwa ngumi mbona usenge

  • @shalmasshalmas7175
    @shalmasshalmas7175 3 роки тому +1

    Huyu anaehoji sijampenda hajui kuhoji

  • @abdulosman2836
    @abdulosman2836 3 роки тому +1

    Watangazaji wengine hawako kikazi wako kidaku hata maswali muhimu ya kuuliza hawajui wao wanalizimisha ya kwako,acheni ujinga.

  • @ruthjames2086
    @ruthjames2086 3 роки тому +2

    Ntakuja KUMROGA MTU Mimi

  • @zaynubsallim541
    @zaynubsallim541 3 роки тому +2

    Mama unalana kwamungu utatafuta chakujibu

  • @hamzanangameta6243
    @hamzanangameta6243 3 роки тому +3

    Huo uchizi tu, kama alikubali kulea mimba ilikuwa unasema hajamsaidia nasibu na wewe ulijua mlezi, unampatiaje jina mtoto la MTU asie kuwa baba yake. Mama mwenye kichaa naona kwa mara ya kwanza ndio unajitokeza duniani

  • @rozmihambo1935
    @rozmihambo1935 3 роки тому +1

    Majuto ni mjukuu

  • @kawtharsaleh9229
    @kawtharsaleh9229 3 роки тому +1

    Wanawake wanawake mapito wa allah unatusubiri katika mazambi yasosameheka na allah mazambi yakumdhurum mwanaume mtt ukampatia mwanaume mwengine hiyo zamani inatusubir siku ya hukum

  • @simongaudence2685
    @simongaudence2685 3 роки тому +1

    Kuwa na msimamo

  • @najmamohmad6348
    @najmamohmad6348 3 роки тому +1

    Hii wasaf wote watafuna mgokaa Bila taa watafuna makunyadze ujinga mtupu

  • @rozmihambo1935
    @rozmihambo1935 3 роки тому +1

    Alisha mzika aagalie tena la nn ushaubuka mzee

  • @AMI-ip1lx
    @AMI-ip1lx 3 роки тому +2

    Pepo Mtaiskia aise Uuuuwi Mnadhambi Kubwa

  • @zaitunimohd3617
    @zaitunimohd3617 3 роки тому +1

    Kwa nini aseme leo duh dunia hii pepo ngumu kuipata

  • @rozmihambo1935
    @rozmihambo1935 3 роки тому +1

    Uliweka masikio😬😬😬😬

  • @ramadhanimtetu7246
    @ramadhanimtetu7246 3 роки тому +2

    Kwani Huyu Daimondi
    Ni nani hahahahahaha
    Ujinga Mtupuuuuuu

  • @davidkatindily1263
    @davidkatindily1263 3 роки тому +2

    Uo ni ujinga siku zote unaxema baba mond leo unaxema xiyo uo unafiki af uxha kua lizee ww

  • @warrensantana1570
    @warrensantana1570 3 роки тому

    Everything is planned,hii ilipangwa sikiliza vizuri utajua hakunq ukweli wowote hapa

  • @officialprincedenic8510
    @officialprincedenic8510 3 роки тому +1

    hata ongea ya huyu mzee ni diamond tupu

  • @simongaudence2685
    @simongaudence2685 3 роки тому +1

    Acha drama bi mkubwa ww, mbona hauelewek mara unasema baba mlez na hakumsaidia chochote diamond

  • @rozmihambo1935
    @rozmihambo1935 3 роки тому +1

    Unalijua sidamu yake kumbe uyajua

  • @africanbeauty6556
    @africanbeauty6556 3 роки тому

    Mzee una hasira akaonyeshe kaburi mbona wamesema alienda kwa maina wa baba yake, Aachen kutapatapa mzee

  • @bettyoluoch9774
    @bettyoluoch9774 3 роки тому

    DNA iko

  • @silverrichard2975
    @silverrichard2975 3 роки тому +3

    hawa jamaa wanajua sana kuwafanyia drama watanzania wajinga wajinga wafatilia mitandao wale limbukeni lakin kwa watu tulipo nje za nchi huku akili pevu tunajua tu ni drama za kutafuta pesa😂😂

  • @jamilaingu7922
    @jamilaingu7922 3 роки тому

    Usifanye hasira babaangu ,kapime DNA muakikishe

  • @fatimaamiri21
    @fatimaamiri21 3 роки тому +2

    Alafu mtangazaji ulimalizia hijra seminari