GB 64 AMFOKEA KAYOKO KWA HASIRA, TUMEFUNGWA KWASABABU YAKE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024
  • Simba vs yanga

КОМЕНТАРІ • 147

  • @yusufyusuf-br5qk
    @yusufyusuf-br5qk 58 хвилин тому

    Mtoto kautaka mtoto kautaka....😂

  • @deogratiusGodfrey
    @deogratiusGodfrey 4 години тому +2

    Safi kabisa nmekubali point zako zasingi

  • @andrewlupatu8661
    @andrewlupatu8661 5 годин тому +3

    Verry nice mwana sipot maneno yako kumtu 64G pambania Simba yako

  • @DieyMakonga
    @DieyMakonga 5 годин тому +4

    Umeongea kiume kaka upo sahh

  • @NemesMasawe
    @NemesMasawe Годину тому

    Nakuelewaa sanaaa gb 64

  • @chiefmajai9345
    @chiefmajai9345 Годину тому

    Simba motomoto ubaya

  • @essaumapunda5766
    @essaumapunda5766 4 години тому +2

    Big up GB64

  • @ramadhansembuche3457
    @ramadhansembuche3457 4 години тому +2

    Kumbe inauma pacome azizi walikataliwa magoli yaoo na na uyo uyo nyiee mlikaa kimy leo zamu yenu na sisi tunacheka🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @allymohamed2724
    @allymohamed2724 4 години тому +1

    REFA YANGA ASHINDE SIMBA

  • @Tee-King
    @Tee-King 4 години тому +2

    😂😂😂😂😂😂😂 bado mtaenda kwa GSM ana waharibia mpira.

  • @LeonardGilbert-ox5ul
    @LeonardGilbert-ox5ul 3 години тому +1

    Nyoko minio we siku zote mnafungwa anasababisha kayoko

  • @badimruma6695
    @badimruma6695 3 години тому +1

    Acha kupumbaza wenzako. Mlimfunga Yanga mara 4 mfululizo lini? Unajishushia cv

  • @sandalakabalo5442
    @sandalakabalo5442 4 години тому +2

    Hilo tagazo nasiki elfu tano tano za a kayokoooo,kwahiyo bado anadai hela zake kuibeba yanga

  • @ramajr3762
    @ramajr3762 2 години тому +1

    Kumbe huyu awakukosea kumtumbua uwalimu yani off side unalazimisha liwe goal.

  • @BrunoNamanga
    @BrunoNamanga 4 години тому +1

    Pole sana sana......
    Mmekutana na kisiki ..
    Kapombe kateleza tu kawaida.
    Na Kagoma alikuwa majeruhi
    Usilaghai watu Bwanaaaa.....
    Pen unaona upande mmoja na pen ya Musonda hujaiona we kweli MAHABA NIUE.....
    UMEKWISHHHHAAAA
    YANGA WALICHEZA KIUME ...
    SISI TUNATAKA WOTE MUWAKE😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 2 години тому +1

      Anajitetetea maana aliongea sana kabla ya mechi afu suala la kujifunga kwani bila kuzidiwa utajifunga?? Ye alisema yanga imejaa wazee lkn walokata moto ni wao sasa sijui anaongea nn mpuuzi huyu anataka kuwaaminisha watu upuuzi wake

  • @SalumMwankemwa
    @SalumMwankemwa Годину тому

    Umeongea kiume ila kamati ya ufundi ya Simba inazidiwa kila upande Amina manara

  • @Muhammedually
    @Muhammedually 3 години тому +2

    Aliye pewa hirizi alianguka jana mtashinda vp na nyinyi mlisha zoea uchawi

  • @HalidMuhammad-gi9qy
    @HalidMuhammad-gi9qy 3 години тому +1

    Yaani huyu gb 64 mimi naona kama shoga tu mbona cku mlioifunga.dodoma jiji refa alifanya nini pididy njoo chukua gb 64

  • @SuleimanHarun-v4l
    @SuleimanHarun-v4l 5 годин тому +2

    Kama simba hatutasoma halbadri kayoko atatusumbua siku, zote

  • @AbubakariMussa
    @AbubakariMussa 50 хвилин тому

    Nyie Simba,kila mkifungwa mmeonewa mmelogwa,lini mtakubAli ??.mchezaji asiguswe.Chezeni Boli litembee ,Iko siku.na nyinyi."YOU HAVE TO ADMIT THE DEFEAT AS WINNING,AND, LOOSING IS PART OF LIFE " ONE DAY YES.
    Wachezaji walicheza vema si kama huko Ni swala tu la kutumia nafasi zinazo patikana.

  • @MathayoRajabu
    @MathayoRajabu 2 години тому

    Asante kwa kuitengeneza Yanga maana katika watu wanao itengeneza Yanga wew upo na Simba unaibomoa

  • @swaleheukwaju2225
    @swaleheukwaju2225 4 години тому +1

    Hilo fungu analopewa na mangungu imesaidia sana jamaa asiwashambulie tena viongozi lazima atetee tu kwani muamala hautasoma tena 😊

  • @MussaKitaluta
    @MussaKitaluta 4 години тому +1

    Tatizo Simba mnaamini sana uchawi ndo maana mnaferi Kila siku. Chezeni mpira

  • @JuhudiKasanga-yq5ks
    @JuhudiKasanga-yq5ks 4 години тому +2

    Huyu 64gb ndo anaihujumu Simba toka akaanza kujipendekeza timu inaharibika Kila siku huyu mnafiki TU waachievakina kisugu timu yao ndo wenye uchungu sio wewe

    • @MasoudMganga
      @MasoudMganga 4 години тому

      Msenge huongei mambo ya mana

  • @tonyliverpool2394
    @tonyliverpool2394 2 години тому +1

    Ujamfunga yanga Mara 4 mfululizo muongo tutajie iyo miaka mi 4 mfululizo ?

  • @KondoAmini
    @KondoAmini 3 години тому

    Kazi kweli kweli yaani hatufungani mpaka tologane 😂😂😂

  • @SillinusNyanda
    @SillinusNyanda 2 години тому

    Umeongea vzr sana.Mungu mwema sana

  • @JoelMosses
    @JoelMosses 4 години тому

    Kapombe alianguka kwasababu alilewa pombe😂😂😂😂😂😂😂

  • @NasraNjunde
    @NasraNjunde 4 години тому +1

    Sahihi kaka goli lenyewe mpira ulitoka nje

  • @hekimaoscar6527
    @hekimaoscar6527 Годину тому

    Kijiliii iiiiiii

  • @AmurJecha
    @AmurJecha 2 години тому

    MAREHEMU KADHULUMIWA❤❤❤

  • @AloyceMwasapili
    @AloyceMwasapili Годину тому

    Wewe umezaliwa juzi hujui mpira

  • @RajabuhamisiHassan-qv5wm
    @RajabuhamisiHassan-qv5wm 19 хвилин тому

    Umeongea pont

  • @amrisaleh8804
    @amrisaleh8804 4 години тому +1

    GB.64 ukovizuri sana nakuku bali sana kikubwa tusiwatupie.lawama wachezaji wetu kikubwa tua ngalie timu yetu Simba nguvu moja

  • @YonaDaimon
    @YonaDaimon 2 години тому

    Namkubali sana gb64

  • @MlawaClemence
    @MlawaClemence 3 години тому

    gud point 🙏

  • @JoshuaMmali
    @JoshuaMmali 3 хвилини тому

    Yaan hata mo angekuwa refa ahmed ally kibendera kuwashenyeta kuko pale pale

  • @AlexKanuya-fs2vr
    @AlexKanuya-fs2vr Годину тому

    Yule maneno tu Amna kitu broo

  • @EmanuelMuna-w2q
    @EmanuelMuna-w2q 31 хвилина тому

    Ni kwa nini VAR haikutuika katika mchezo wa jana?
    Haya makosa makubwa sana wanayofanya waamuzi wa mchezo, hasa huyu Mr. Kayoko yanajulikana sana.
    Yanga hatuwaamini tena kabisa.
    GB64 waambieni TFF/AZAM MEDIA waanze haraka san kutumia VAR kwenye michezo mingi mikubwa ya Tanzania Premier League.

  • @zeyanaalhabsi8636
    @zeyanaalhabsi8636 2 години тому +1

    Maneno ya mkosaji pole64gb pitishia coca cola baridi upozee koo pole kwa machungu ya goli

  • @alimohammedomar3412
    @alimohammedomar3412 4 години тому +1

    Miaka ya 94 mwenyewe ulikuwa mapajani kwa mamaako unanyonya

  • @faheemwasingle8488
    @faheemwasingle8488 51 хвилина тому

    Basi tufanye ilikuwa sare

  • @dastankinyenya5973
    @dastankinyenya5973 Годину тому

    VIVA GB

  • @FrankKipingu
    @FrankKipingu Годину тому

    Hega kwanini usiachane na soka la bongo tu ndugu yangu anzisha hata tution kubwa la maana upate fedha mbona pcm uko vizuri tu mipira hiyo waachie wa mpira

  • @FumaoFumao-d8w
    @FumaoFumao-d8w 3 години тому

    Nakuelewa sana GB 64 yote uliyosema ni kweli wachezaji viongozi tulieni

  • @EmanuelMuna-w2q
    @EmanuelMuna-w2q 20 хвилин тому

    Ni kwa nini VAR haikutumika katika mchezo wa jana?
    Haina maana kabisa kununua VAR-systems kwa fedha nyingi sana, kuzinduliwa na Mheshimiwa Majaliwa na hatiaye kuziweka mashine zote kabatini.
    Haya makosa makubwa sana wanayofanya waamuzi wa mchezo, hasa huyu Mr. Kayoko yanajulikana sana.
    Hawa waamuzi wa mchezo Tanzania hatuwaamini tena.
    Yanga hatuwaamini kabisa. Tunawafahamu sana wote hawo.
    GB64 waambieni TFF/AZAM MEDIA waanze haraka sana kutumia VAR kwenye michezo mingi mikubwa ya Tanzania Premier League.
    Kuendelea kujadiliana mitandaoni haisaidii kabisa. Kinachohitajika hapa tu ni serious action plan ya TFF kutekelezwa haraka.

  • @hekimaoscar6527
    @hekimaoscar6527 Годину тому

    Tulia dawa iingiieee

  • @ISAYABUCHINDIKA
    @ISAYABUCHINDIKA 2 години тому

    Kaka umeongea ukweli kabisa viongozi wawe makini kabisa kuhusu hilo swala

  • @PascalJoseph-u4n
    @PascalJoseph-u4n 35 хвилин тому

    Akuna Malefa bongo hapa

  • @MussaRqjqbu
    @MussaRqjqbu 4 години тому +1

    Kawaida ya wasenge hutabiri mambo kwakua Wana vikao vyao ok

  • @saidmansoor8528
    @saidmansoor8528 Годину тому

    Hata mimi nashangaaa ninyi mmeshinda jana kafunga kijiri sasa fujo kelele za nn

  • @hassanrashid9436
    @hassanrashid9436 38 хвилин тому

    Ali komwe hana secret moja mbona hakusema kabla ya mchezo??? yale ni maneno tu wala gb usiingie kwenye maneno yake ni mbwatukaji tu yule.

  • @KijanaMollel-zj2cs
    @KijanaMollel-zj2cs 3 години тому

    Shida Simba awa chesei wachesaji woto inafaa ikimutoa kibu ana mueka kama chasambi

  • @Jerryminenewtony-fc5cp
    @Jerryminenewtony-fc5cp 2 години тому

    Ukiwa na adui 10 ujue mmoja yuko upande wako,hivyo kuna kiongozi mmoja ambae wa simba yuko upande wa yanga

  • @RussellHome-c1e
    @RussellHome-c1e 37 хвилин тому

    Sijaona hizo penalty yaani uguswe nje useme penalty kweli nyie wehu ateba penalty ipi au mpira umeangalia pekeyako chumbani sio team bado hiyo shukulu mechi za taifa mlikuwa mnakula 10

  • @sijaonamjungufinias481
    @sijaonamjungufinias481 2 години тому

    GB 64 Hayo mambo ya tradition siyo ya kuongelea hapo na huyo kamwe mlopokaji tu hana chochote

  • @saidmansoor8528
    @saidmansoor8528 Годину тому

    Ni yule ALIEMLAZIMISHA ROBATINHO KUMPANGA MANULA ILHAL MGONJWA SI BADO YUPO AU MMEPUGA!!!!????

  • @DaudSichula-m1p
    @DaudSichula-m1p 2 години тому

    Live umeongea point

  • @jacktani2280
    @jacktani2280 3 години тому

    Wewe ndipo navi kabisa, nyie simlihonga refs?

  • @geraldbagole4494
    @geraldbagole4494 4 години тому

    Kijili Hana kosa,wala Camara.Wachezaji wasiguswe,Viongozi ni KAZI yenu kujua kwanini inatokea.

  • @DaudMwanrdy
    @DaudMwanrdy 4 години тому

    We haujui mpira

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 3 години тому

    Huyo pumbaaaaaaaaaa.

  • @merickshadrack4509
    @merickshadrack4509 2 години тому

    Lkn mbona yanga kapata penalty hamuongeii pili beki wa alie mzuiaa dube akiwa mshambuliajiii wa mwisho alisthilii red card mbona hamu isemiiii ndugu zangu

  • @BrownAndrew-i4u
    @BrownAndrew-i4u 2 години тому

    Mbona avaa jersey ya Liverpool 🤔🤔

  • @saidbakari7998
    @saidbakari7998 Годину тому

    Ila kayoko

  • @stevenobure8241
    @stevenobure8241 5 годин тому +1

    Amekuwa mpole sana leo

    • @kassidpandu866
      @kassidpandu866 4 години тому

      Mwaka 94 mlifungwa mara 4 mfulululizo

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 2 години тому

      ​@kassidpandu866 1991 yanga walianza kuwafunga simba mara nne mfululizo au hyo huitaki

  • @HABIBHASSAN-wf5mr
    @HABIBHASSAN-wf5mr 3 години тому

    GB 64 KILA MWAKA MANENO YAKE YALEYALE INASAIDIA NN ACHA UJINGA WW

  • @Taito-brand
    @Taito-brand 4 години тому

    Mwaka upi na mwaka
    Upi

  • @leonardfungo
    @leonardfungo 4 години тому

    GB TUMEFUNGWA KWA MIPANGO YA TFF NA KAYOKO USIHANGAIKE.

  • @farakisenterprises6146
    @farakisenterprises6146 3 години тому

    Tatizo Ahmed Alli

  • @SamsoniMwihambi
    @SamsoniMwihambi 4 години тому

    Nimetotaarifa CAF penat tatu kayoko amekataa Kesho akaripot hizo tuhuma

  • @SefuAbedi-f8q
    @SefuAbedi-f8q 4 години тому

    Nyinyi mlisema ubaya ubwela kisugu anajuwa wanganga wote

  • @saidmasoud9004
    @saidmasoud9004 4 години тому

    KAYOKO KAYOKO DHULMA MBAYA, MALIPO HAPA HAPA DUNIANI.

  • @RabsonSalmon-ys7bf
    @RabsonSalmon-ys7bf 39 хвилин тому

    Baba mkwe hapo umeferi"!! Auna tm ww

  • @AloyceMwasapili
    @AloyceMwasapili Годину тому

    Sababu mme wafunga Simba fatiria mpira wewe mwanga

  • @HamisRashid-xl4mn
    @HamisRashid-xl4mn 4 години тому

    MPUMBAVU NI WEWE UTOPOLO KATUFUNGA MALA 4 MFULULIZO SIKIMPLA NIMIPANGO MNABEBWA KILA SIKU NAWAMUZI WENU WAJINGAWAJINGA HAO WEHU NYINYI UTOPOLO WEUPE KABISA HAMNA LOLOTE WAJINGA NYINYI ENDELEENI KUBEBWA

  • @tonyliverpool2394
    @tonyliverpool2394 2 години тому

    Sasa na sie tungepata nafasi zote za magoli yangekua mangapi pumbafu zako yanga nguvu mbele nyuma mwiko

  • @ZaliyaSaid
    @ZaliyaSaid 3 години тому

    Kapombombe alinguka kwa Nini muzunguze

  • @ClementMwampamba
    @ClementMwampamba Годину тому

    Kama haunawazo la kutoa ili tuone acha kuliko kutukuna mpumbavu acha na inaonyesha wewe ulietoa wazo hilo hauujui mpira jifunze kwanza

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy7047 3 години тому

    Simba muache kulalamika sana.
    Tengezeni team. Ligi bado kwisha.

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 2 години тому +1

      Kwa singida black star hawachomoi kwa jkt hawachomoi hamna hamna basi wapate droo weshapoteana hawa kazi kubattle na yanga tu wakati wanajua kabisa hawana wachezaji wakuwashindanisha na yanga

  • @SefuAbedi-f8q
    @SefuAbedi-f8q 4 години тому

    simba bado jengeni titu yenu waganga sio dili ubaro wa kikosi utakupa matokeo

  • @allytwalib7787
    @allytwalib7787 4 години тому

    hapa ukiangalia macho ya hao wanaolalamika utagundua kwamba hata kile wanacholalamikia wanajua hakipo maana tuliokuwa uwanjani tuliona kabisa kibu kaotea hata kocha fadru hakushangilia maana ilikuwa ni offside ya wazi... tusitafute vichaka vya kujikingia maana hata huyo ateba alikosa goli lakini move yenyewe ilikuwa tayali kaotea na kama angefanikiwa kufunga simba wangeshangilia...
    kwani refa alimwambia kamala aufuate mpira uliokuwa unatoka aurudishe kwenye mchezo na kusababisha goli, au alimwambia kijiri ajifunge mpira ambao tayari ushagonga mwamba na kurudi uwanjani !
    tatizo tunakuja ya matokeo uwanjani na kuamini tunashinda ilhali mpira unadunda ...
    tengeneza kikosi ambacho hata wakitoka key players watatu wanaoingia wanakuwa kama wale waliotoka na kuendeleza momentum ya timu sio kurundika wachezaji ambao watawavyonza wengine na kupunguza momentum ya timu...

  • @stevenobure8241
    @stevenobure8241 5 годин тому

    Timu ya ubaya ubwela 😂😂😂😂😂

  • @christopherkazumba1952
    @christopherkazumba1952 3 години тому

    Mpumbafu ww wakati ww

  • @ZaliyaSaid
    @ZaliyaSaid 3 години тому

    Kachezeshe wewe kama lefa humwerewi

  • @kamazimamuganyizi6932
    @kamazimamuganyizi6932 4 хвилини тому

    Twaambie alietufunga ninani?

  • @SembucheMahiya
    @SembucheMahiya 4 години тому

    Chamaaaaaaaaaaaaa

  • @allymohamed2724
    @allymohamed2724 4 години тому

    Timu unatengeneza wachezaji wanaumizwa.na mwamuzi, timu utaipata wapi

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 5 годин тому

    Nyinyi ndiyo mchawa wabaya

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 5 годин тому

    Sisi tumacheza mpira wao bize kuwanga halafu tutegee kushinda??mbwa hyo

  • @MsafiriShabani-n8x
    @MsafiriShabani-n8x 4 години тому

    Refa mpumbavu sana

  • @ErnestBoniface
    @ErnestBoniface 4 години тому

    Wewe akili huna

  • @twahakabajemi9716
    @twahakabajemi9716 4 години тому

    Hili pumbavu tu!!

  • @SHAMSHEDY
    @SHAMSHEDY 4 години тому

    Bradh uko vizur saaan

  • @RackertoneyRhmes
    @RackertoneyRhmes 2 години тому

    Camara akae bench

  • @DaudMwanrdy
    @DaudMwanrdy 4 години тому

    We haunaakili kadi nyekundu na penati ya musonda ujaziona au

  • @stevenobure8241
    @stevenobure8241 5 годин тому

    Tupe hizo rekodi na takwimu 😂😂😂😂 aache kudanganya umma

  • @SamsoniMwihambi
    @SamsoniMwihambi 4 години тому

    Hiyoni pila kayoko

  • @SlysalehKitabu
    @SlysalehKitabu 4 години тому

    wamrudishe yule mwarabu mana kwasasa amesha PONA majeraha

  • @JOHNMARWA-pb5wy
    @JOHNMARWA-pb5wy 3 години тому

    uyu jamaa mbn kabadilik mpm jela walimufany nn