Obama na mkewe Michelle wamrarua vibaya Trump kwenye mkutano Mkuu wa Democratic

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 вер 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

КОМЕНТАРІ • 96

  • @nellymtambo8432
    @nellymtambo8432 Місяць тому +11

    Naona Rais mwanamke marecan i can't wait ❤ Sns wekeni hii comment yangu kwa ukumbusho nasubiri zawadi yangu Sns Women's to the world ❤

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 Місяць тому +1

      Hawezi pita sio majira yake
      Muda utafika Marekani kuongozwa na mwanamke but not now

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 Місяць тому

      Marekani ipo tayari, wewe ndio haupo tayari​@@christinewomanoffaith5479

  • @jumashedafa
    @jumashedafa Місяць тому +5

    Ngoma imepata wachezaji trump kazi yako imeisha..Ila nakuombea Mungu akupitishe huu udhalimu huend ukapungua hasa vita

  • @henry1933
    @henry1933 Місяць тому +9

    Obama alimuua Gadafi
    Kamala Haris ni muhindi

  • @shanelpeterz
    @shanelpeterz Місяць тому +5

    Obama maongezi mengi ila hakuna alichofanya cha maana kwa wamarekani weusi, wamarekani na Dunia kwa ujumla.

  • @WilbertChambilo-yl1kc
    @WilbertChambilo-yl1kc Місяць тому +1

    USA, si wajinga kiasi hicho. Mtu mmoja anasumbua vichwa vyote hvyo. Trumpu juu juu zaidi. Mtasema yote

  • @Patrick-w1j
    @Patrick-w1j Місяць тому +2

    Wanatishia Nyau ..Mwamba Trump lazima awatandike

  • @RamaMdoe
    @RamaMdoe Місяць тому +4

    Obama shetani mweusi

  • @innocentfortunatus725
    @innocentfortunatus725 Місяць тому +4

    Mr. President Donald Trump

  • @mdimistudio6041
    @mdimistudio6041 Місяць тому +6

    Obama kibaraka

  • @jacksonngusi4122
    @jacksonngusi4122 Місяць тому +4

    Hii vita bado ngumu yaani haieleweki nani atanyakua

  • @justingodfrey8282
    @justingodfrey8282 Місяць тому +5

    Obama ni natural politician trump naona anaforce ila hana sifa ya kuwa kiongozi

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe Місяць тому +2

      Trump sio politician ni mfanyabiashara ambae ameweza kuiongoza nchi na ataongoza tena.

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 Місяць тому +1

      ​@@BigZhumbeyes yes na Yuko sr8 sio muongomuongo

  • @OmegaJustine
    @OmegaJustine Місяць тому +3

    😊😊mwendelezo WA filamu kawaida huwa mbaya zaidi

  • @besteva499
    @besteva499 Місяць тому +5

    Hapa nihakili kubwa iko inatumika

  • @thelonewolf4429
    @thelonewolf4429 Місяць тому +5

    Sasa campaign gani hii yakushambuliana hawa wauni kweli… trump anawapa tabu sana

    • @stanleymanya438
      @stanleymanya438 Місяць тому

      Ukiona MTU mmoja unapambana na majeshi ujue wewe ni zaidi ya binadam😂😂😂 trump nilifubwasha flani likubwa linatazamwa na kutarajiwa na mataifa makubwa

    • @yasminoluoch169
      @yasminoluoch169 Місяць тому +1

      Hiyo ndo campaign lazma mshambuliani na pia kwa tarifa yako hawa huwa ni wamoja sema kisiasa lazma wawe madui

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji Місяць тому +3

    Wote same tu ni MASHETANI 😢😢😢

  • @romamtalambuga7
    @romamtalambuga7 Місяць тому +3

    Obama akili hana

  • @AmaniMathod
    @AmaniMathod Місяць тому +3

    Democrats wao wanawaza mauwaji

  • @edishaa3108
    @edishaa3108 Місяць тому +5

    Trump yupo na kazi kubwa Huyu mwanamama anaweza kumburuza sana

    • @StevenTaylorx
      @StevenTaylorx Місяць тому

      @@edishaa3108 Huyo mama ni hatari na Obama Ana mpigia debe Sanaa na Obama Ana ushawishii mubwa katika America

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 Місяць тому

      Kwani Hilary Clinton ilikuwaje?😅
      Hata huyu mama ajipange

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 Місяць тому +3

    Maraisi wanao pendwa marekani waone nikama mizimu, siunaona

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 Місяць тому +4

    Hiyo yote ni Vita dhidi ya puttin ila wakidhubutu kuingia kbabe Moscow hii sayari itapasuka vipande,"natamani kuwa kama puttin ila hiyo ndoto hata usiku siioti kabisa dadeq"

    • @DjskillsTboiyprincess
      @DjskillsTboiyprincess Місяць тому +1

      Iyo Russia ina uchumi kiyasigani ata top 5 ya inchi tajiri Russia ayupo sasa unataka mlinganisha na Marecani.
      Marecani ndo inchi peke duniani aijawahi kuomba msahada ila Russia kilakukicha puttin anazurula kutafuta msahada mara yuku North Korea ma Iran mpaka anatamani kupewa msahada na Tanzania mara apigwe picha na speaker wa bunge wa Tanzania mpaka leo 2 weeks Anashindwa kumtoa Aduwi inchini mwake

    • @msodokidasilva6739
      @msodokidasilva6739 Місяць тому +2

      Huna ukijuacho marehem wewe pole yako 😂😂😂​@@DjskillsTboiyprincess

    • @AFRICA_D669
      @AFRICA_D669 Місяць тому

      @@DjskillsTboiyprincess bro unaelewa maana ya umoja wa uraya

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe Місяць тому

    Wamemtuma Biden kapigwa chini, wanamtuma Kamala wanaona kama haiwezi nguvu ya Trump inabidi wajitokeze kugombea ugali wao, Obama ndiye anayeiongoza nchi Biden na Kamala ni machawa wao, na wakishindwa ni DT itakua loss ya Democrats wengi against one Republican. MAGA 2024 DT for the president.

  • @JamesMwandoje
    @JamesMwandoje Місяць тому +1

    Dunia IPO mbio nani kma mama historia inakwenda kubadili Dunia...Kamal Harris uar welcome 2 white house🎉🎉🎉🎉❤😂

  • @Stillrunlikeaball
    @Stillrunlikeaball Місяць тому +1

    Raisi ajae wa America ni Kamala Harris eka kumbukumbu ya text hii

  • @Anthonyzombie-d2s
    @Anthonyzombie-d2s Місяць тому +3

    Huy trump kichaa tu

  • @water_music40
    @water_music40 Місяць тому +1

    Huyu obama ni kama kikwete tu.😅

  • @gsbstudio7052
    @gsbstudio7052 Місяць тому +2

    Bro as Australian and Tanzanian start hate this Chanel 😒

  • @consolatandayikengurukiye7481
    @consolatandayikengurukiye7481 Місяць тому

    Obama namkewe wote niwjinga Sana Hiyo myaka 4 wanayoisema ninani alikuwa madalakani?kwani ni Trump?Alafu wajinga wanashangilia😂😂😂😂😂😂 siasa ni ujinga

  • @KassimAlly-xp4dz
    @KassimAlly-xp4dz Місяць тому +1

    Wafrika wanajua kuongea

  • @IsakaMgeje
    @IsakaMgeje Місяць тому

    Siku zote asili ya Macho ni uoga. Wanaokwenda harusini ndio wanaokwenda Msibani . Uwingi wa watu sio Ishara ya ushindi mana wasariti ni Wengi . Kila kitu ni Mungu tu Akishaandika basi hata mjazane dunia nzima . Amuwez pindua Neno Lake . Wee Uogopi

  • @bestpriceafrica
    @bestpriceafrica Місяць тому

    Mwamba Trump lazima toboe kwa vyovyote hapo wanatishia nyau

  • @waytruthlife4171
    @waytruthlife4171 Місяць тому

    ushoga na utoaji mimba unaenda kushamiri, maana democrat ndo waanzilishi wa ujinga huu wakitumiwa na Shetani, wamarekani wakichagua hiking chama taifa limekwisha.

  • @joshuaemmanuel3704
    @joshuaemmanuel3704 Місяць тому

    Siku zote wajuzi wa kuongea hawanaga majabu, Obama with his 8 yrs hakuna alichofanya

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 Місяць тому +2

    Kamala my president

  • @CRYPTO2TRADINGPLAN
    @CRYPTO2TRADINGPLAN Місяць тому

    Wana crypto lazima tumpitishe trump ili soko lipae zaid kwasababu trump kafanya crypto ijulikane zaid ya ilivyokua awali kama wewe mwana crypto weka like❤

  • @IssaMatandi
    @IssaMatandi Місяць тому +1

    Wanaume wapigaji.

  • @jackhans7708
    @jackhans7708 Місяць тому

    Hawa wawili nilikua ninawapenda sana,lakini baada ya ile cku ya mkutano Wa mwaka 2017 marais wote walipata bahasha hadharani kutoka kwa family ya watu wenye sifa mbaya duniani na matokeo ni haya tunayoyaona, Obama aliuza ucrain.

  • @AnnaIlunga-u8h
    @AnnaIlunga-u8h Місяць тому

    Ata wanjiunge wangampi kumpinga Trump Trump atapita kuwa Rais.😃😃😃

  • @BunzarMarco
    @BunzarMarco Місяць тому +2

    Trump anapelekewa moto😀😀😀😀

    • @SaumuSaidi-z2v
      @SaumuSaidi-z2v Місяць тому

      Si apumzike utajiri wote huo na mke kafa anataka naye afie madarakani?wkt Alistair?

  • @stiveerasto1683
    @stiveerasto1683 Місяць тому +1

    Trump ni mtu anayependa amani

  • @StevenTaylorx
    @StevenTaylorx Місяць тому +2

    Kaka mkubwa ameingia kazini Trump kazi anayo hakika..

  • @zuricakes6817
    @zuricakes6817 Місяць тому +2

    Ila SnS mna mambo.....imeshindwa kumrarua risasi itakua Obama na mkewe?!😅

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 Місяць тому

      Trump hatapita

    • @andromedagalaxy8627
      @andromedagalaxy8627 Місяць тому +1

      ​@@rumdeesonsoa1811hakuna jipya hapa. 2016 wakati wa Hillary Clinton walisema hivyo hivyo na trump akakiburuza kimama kile 😀😀😀

    • @zuricakes6817
      @zuricakes6817 Місяць тому +1

      @@rumdeesonsoa1811 Sawa mmarekani mpiga kura 😊

  • @YamunguMatamya
    @YamunguMatamya Місяць тому

    Mpaka hapa Trump kapoteza nafasi,maana upepo umegeukia kwa kamala

  • @arijuma724
    @arijuma724 Місяць тому +1

    This is nonsense, watoke tu maana hawa ndio wanaosababisha dunia kuwa na uoga na machafuko. Things are happening in Ukraine, Palestine they are the main reason.

    • @karaniomoit5259
      @karaniomoit5259 Місяць тому

      @arijuma wewe Toka hapa usitulete hisia zako za kisilam hapa nani kasema Americans ndo wanafa kutuliza ujinga wa Palestine? Acheni ushamba trump Hana Akili ya utulivu vote Kamala harris for president

    • @missp1814
      @missp1814 Місяць тому

      Kabisa USA na NATO ndo chanzo Cha vita duniani,me sio muislamu....ila sipendi jinsi waarabu hasa Palestine wanayopitia haipaswi kua vile...naona Kuna mtu amesema umeleta hisia za kislamu msamehe Bure tu....

    • @MichaelMathew-j3f
      @MichaelMathew-j3f Місяць тому

      ​@@karaniomoit5259hahahahahaha vp mwanamke atatuongoza kweli? Ahhh sitaki bana

    • @arijuma724
      @arijuma724 Місяць тому

      @@karaniomoit5259Kwanza Mimi sio muislamu ila ungeuwa muelewa ungejua hili kabla ya kuandika. Nani kamuua Muamar Gadafi? Akina nani wamesababisha vurugu zote zinazoendelea duniani? Africa yenyewe washaigeuza kama taka hasa nchi ya DRC. Think before you speak on this matter.

    • @arijuma724
      @arijuma724 Місяць тому

      @@missp1814Sina kinyongo na huu jamaa, ila chama cha kina Obama’s ndio chanzo cha vurugu zote zinazoendelea. Trump has no issue with all chaos that is happening around the world.

  • @KikiSalum
    @KikiSalum Місяць тому +2

    Miaji mkubwa huyu amesahau watu wa Libya 🇱🇾 wamekosa fraa hadi leo si mtu mzuri huyu

  • @JustSomebody-fj3we
    @JustSomebody-fj3we Місяць тому

    Michelle Obama's speech was Lit ,, just chills ❤️❤️❤️🎉🎉🎉

  • @WilbertChambilo-yl1kc
    @WilbertChambilo-yl1kc Місяць тому

    Subilini mdahalo lazima mtatoa mlio tu

  • @AthumanKasanga-gj9kp
    @AthumanKasanga-gj9kp Місяць тому

    huyu ndo ali iweza marekani

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f Місяць тому

    Vp Trump wangu. ?

  • @IssaMatandi
    @IssaMatandi Місяць тому

    Bora tuongozwe na wanawake sasa.

  • @IssaMatandi
    @IssaMatandi Місяць тому

    Wanawake wana huruma.

  • @petronyereresaliboko4047
    @petronyereresaliboko4047 Місяць тому

    Obama noma kama kikwete

  • @Farajahelene23031
    @Farajahelene23031 Місяць тому

    Black Americans bravo

  • @Annsikoboy-ut8bs
    @Annsikoboy-ut8bs Місяць тому

    Langu jicho

  • @winnesakara6957
    @winnesakara6957 Місяць тому

    Obama ❤

  • @harithwhite589
    @harithwhite589 Місяць тому

    Kaka sky unafanya kazi nzuri sana

  • @aceofspades3728
    @aceofspades3728 Місяць тому

    Wazee wa the Simpson tunajua kila kitu

  • @maikojohny345
    @maikojohny345 Місяць тому +2

    Michelle kanajua kuongea Aka

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 Місяць тому

    Hatar sn

  • @raphaelkaswahili323
    @raphaelkaswahili323 Місяць тому

    Ni bora wangejikita kuzungumzia utatuaji wa changamoto za wananchi wao wangeeleweka kuliko kua busy kumshambulia mpinzani wao

  • @KassimKhalaid
    @KassimKhalaid Місяць тому +1

    Bora mama apate tu awe rais wa dunia namuombea sanaa black mwenzangu jmn

    • @AbelCharles-co6qb
      @AbelCharles-co6qb Місяць тому +1

      Harris anaasili ya hindia sio Africa mkuu

    • @KassimKhalaid
      @KassimKhalaid Місяць тому

      @@AbelCharles-co6qb ni mtu mweusi tu juu watu wafata kwa baba

    • @Ryannkae
      @Ryannkae Місяць тому

      ⁠@@KassimKhalaid baba yake ni Jamaica na mama yake ni india

    • @trecygohy7847
      @trecygohy7847 Місяць тому

      Yes ana asili ya black person ila sio an African coz baba yake n Jamaican ambaye yeye n mwanauchumi wa marekani na n proffesor wa chuo cha Stanford na mama yake alikuwa indian coz ameshafariki in 2009 na alikuwa scientist wa Biomedical

    • @andromedagalaxy8627
      @andromedagalaxy8627 Місяць тому

      ​@@KassimKhalaidbaba yake pia siyo mweusi. Wala hana asili ya watu weusi.