Unataka kujifunza Cryptocurrency, Forex na njia za kuingia pesa mtandaoni? Hii ni habari njema

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 вер 2024
  • Tembelea www.dienacademy.com

КОМЕНТАРІ • 36

  • @meetmelch
    @meetmelch Рік тому +9

    Nipo kwenye Remote working na upande wa Crypto pia na kuna projects nimefanya nazo kazi za nchi tofauti. Ushauri wangu ni kwamba, Idea ni nzuri lakini kutokana na idadi ya watu wenye uelewa hata basic ni mdogo. Kungekua na FREE contents za kuwapa watu awareness kwanza kujua unazungumzia nini.
    Hii ya kulipa direct utapata watu walewale wenye uelewa basic tayari, lakini kundi kubwa ambalo halina uelewa wa hili, itakua ngumu sana kulifikia.
    Ni ushauri wangu kwa DIENA. Otherwise wanafanya kazi poa sana👌

  • @mohdmohd8428
    @mohdmohd8428 Рік тому +3

    Trizy fact ni knowleg ila wasiokuwa na elimu na walowahi kuingia bila ya elimu na wakaibiwa ndo wasema utapeli

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 Рік тому +1

    Haya wazeee wa save nikusave chuo tyr icho mjiunge na kozi sio mnaingia kwenye inbox za watu tu

  • @DodomaTanzania-r5z
    @DodomaTanzania-r5z Місяць тому

    Sky chapisha matisheti na mashati ya sns nadhan umenielewa

  • @chamyfx9377
    @chamyfx9377 Рік тому +1

    Elimu ni kitu cha msing sanaa watz weng hatupend kuelewa jambo kabla la kulfanyaa

  • @casxiv
    @casxiv Рік тому

    Nice content

  • @BarbaraDMcRae
    @BarbaraDMcRae 4 місяці тому

    Serikali yetu haijui watu wanateseka kiasi gani siku hizi. Ninawasikitikia walemavu ambao hawapati usaidizi wanaostahili. Asante CARITA BURIS, fikiria kuwekeza $1000 na kupokea $4000 ndani ya siku 3.

    • @KendaVanoflen
      @KendaVanoflen 4 місяці тому

      Hii inasaidia sana kwa hali yangu! asante kijana nitajaribu nijulishe ni kiasi gani ni sawa kuanza

    • @BarbaraDMcRae
      @BarbaraDMcRae 4 місяці тому

      Unaweza kumtumia ujumbe

    • @BarbaraDMcRae
      @BarbaraDMcRae 4 місяці тому

      ⓣⓔⓛⓔⓖⓡⓐⓜ

    • @BarbaraDMcRae
      @BarbaraDMcRae 4 місяці тому

      facebook

    • @BarbaraDMcRae
      @BarbaraDMcRae 4 місяці тому

      CARITABURS

  • @SHARONKATAMBALA
    @SHARONKATAMBALA Рік тому

    Naomba jina la channel ya you tube ya antony

  • @Laughters_club
    @Laughters_club Рік тому

    Bonge la platform hio mzee

  • @agrey_mgeni
    @agrey_mgeni Рік тому

    Build your successful on digital business via DIANA

  • @Bob-kz2ql
    @Bob-kz2ql Рік тому

    Bonge la platform

  • @nzeyimanasadiki6531
    @nzeyimanasadiki6531 Рік тому

    Please naomba number zake za sim

  • @kamilagwajuma8384
    @kamilagwajuma8384 Рік тому +2

    Uyo jamaa Miya yusho kujua kwingi ila watu forex 90 wame change maisha Yao,

  • @deneagrofarms5884
    @deneagrofarms5884 Рік тому +2

    Hiyo ya insurance ni nzuri sana naona itasaidia kuondoa usumbufu kama uliopo kwa sasa.

  • @mpgforex
    @mpgforex Рік тому +1

    very true

  • @johnrevocatus9955
    @johnrevocatus9955 10 місяців тому

    Huyo mwamba anajua mnooo yuko competent mpk raha haya madini kw ambaye hajawahi soma hizo course za Blockchain & Cryptocurrency hawezi elewa hapo 😂..

    • @hellendaniel3809
      @hellendaniel3809 9 місяців тому

      Weee huyu Tonny alituingizaga mkenge na Biticoin yake akiwa na rafiki yake Beka😂😂😂😂. Akatukimbia kumbe ameingia FX kuja kugundua ushaliaaaa

  • @KelvinNyaitara
    @KelvinNyaitara 9 місяців тому

    🎉

  • @upendo1020
    @upendo1020 Рік тому

    Ngoja niweke tu binance

  • @Laughters_club
    @Laughters_club Рік тому

    Trizy🙌🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 Рік тому

    Apo ninarafik yangu joy anachezaga Sana iyo mambo ya forex yupo naijeria ivi ayo mambo siyo ya utapeli kwer?naomba mnijibu,,awo siyo mambo yautapeli?

    • @IneHenry
      @IneHenry 11 місяців тому

      Sio utapeli coz unafanya mwenyewe...hakuna kuweka mtu wala nini...soma kwa umakini sana,na fanya mazoezi mengi then weka mtaji wako anza kufanya biashara basiiii!!!

    • @johnrevocatus9955
      @johnrevocatus9955 10 місяців тому

      Sio utapeli ndgu wengi wanakutana na watu wasio sahihi wanaishia kutapeliwa tafuta maarifa sahihi kwanza

  • @youngrappertz1735
    @youngrappertz1735 Рік тому +3

    Nyie mafala kweli, yaani mnaingiza pesa kwa kufundisha CRYPTO🤣🤣🤣🤣
    Si mkawekeze wenyewe mpate Mabilion kama mnadhan ni rahisi😅😅😅
    Wabongo wajinga sana , wataliwa mpaka wapate akili vzr😅😅😅😅

  • @Lassana755
    @Lassana755 Рік тому

    Wajinga ndo waliwao