Nyumba ya Jhene Aiko yateketea kwa moto, apoteza kila kitu, Mange afunguka alipo, LA hali ni tete

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 267

  • @suleymuntar3544
    @suleymuntar3544 8 годин тому +70

    Yan alichokifanya Israel na marekani Gaza zaidi mwaka mungu kakifanya kwa masaa tu ujue mungu ni mkubwa kias gani yan like Jiji la starehe ghafla limekuwa ghost city

    • @madiwarongomba6
      @madiwarongomba6 8 годин тому +1

      Kabisaaaa

    • @DINASSOUR
      @DINASSOUR 7 годин тому

      Tuanze kuwachangia wenzetu jamani....

    • @Fgldesigns
      @Fgldesigns 7 годин тому +1

      Alianza na Dubai😊

    • @MohamedOmari-y1t
      @MohamedOmari-y1t 5 годин тому

      Ni kweli maana wazungu wameenda kuharibu kule😂​@@Fgldesigns

    • @oprahben6341
      @oprahben6341 5 годин тому

      Wewe ni mpumbavu sana yani waafrica tunaroho ya kororsho hamas walikuwa wanataka kufuta Israel kwenye lamani vile mungu aliwapigania wakashinda na kwenda kushambulia maadui zao Leo hii unamtaja mng kua kalipiza kisasi wewe njinga sana tena wewe utakuwa muisilam maana nawajuwa hawakuwagi naakili

  • @FeruzHakiba
    @FeruzHakiba 2 години тому +8

    Mungu anafanya kazi yake kwa njia nyingi, hivi wa marekani wanasau kua watu wa Gaza nao ni watu kama wengine sasa ona kinachowakuta kwa mda mfupi tu

  • @medystarter
    @medystarter 8 годин тому +35

    Malipo ni hapa hapa duniani VIVA 🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇵🇸

    • @oprahben6341
      @oprahben6341 5 годин тому

      Kwenda

    • @DanielKigesa
      @DanielKigesa 4 години тому

      Saudia umeiyona au unaropoka

    • @salmabasil385
      @salmabasil385 3 години тому +1

      Mbona mnabishana kama nyie ni waisrael au wanawahusu au nyie wapagani mana waisrael hata hawaamini uislam wala ukristo sa mnakasirikaga nini waislam wakiungana na gaza au mmeamua tu kua wapinzani wa waislam bila sababu hatakama waisrael hawa amini hiyo dini

    • @Niget-us1np
      @Niget-us1np 2 години тому

      ​@@DanielKigesa saud wamepeleka chakul Kam ujui uliza wamepeleka chakul na madosheki kifupi wacha peleka Zaid ya Mala kadhaa na mkataba wao na marekni umeish na hawaja sain ten sabb ya palestine na hawawezi ingilia vita Kam wao wnavyofany

    • @Niget-us1np
      @Niget-us1np 2 години тому

      ​@@salmabasil385ujue wakristo wnaamin Israel Ni wazao

  • @sanoureyaliwadoakaroyo1696
    @sanoureyaliwadoakaroyo1696 8 годин тому +31

    CHOZI LA WANA WA PALESTINE 🇵🇸 MUNGU ANAWAJIBU

  • @BisharaAlbimani
    @BisharaAlbimani Годину тому +6

    Inshaallah Kila dhalim uwahukumu. Allah atuhukumiye kwa Kila adui. Mkuki kwa nguruwe kwa binaadamu mchungu

  • @MwanaHussein-s2n
    @MwanaHussein-s2n 8 годин тому +46

    Wakati wao wa najitahidi kupeleka mabom ili kuwaangamiza wa Palestine... Bila hata kutumia nguvu moto unajichochea wenyewe... Eeeh mungu hakika uwezo wako haulinganishwi na chochote 🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲

    • @mtzhalisi2232
      @mtzhalisi2232 7 годин тому +3

      Natamani pawake kote ili wawe busy na mambo ya inchi Yao kuliko kusababisha majanga nchi nyingine

    • @lydiamsheri4095
      @lydiamsheri4095 16 хвилин тому

      Kabisa kabisa

  • @swalehemusa4546
    @swalehemusa4546 8 годин тому +33

    Magaidi marekan wanachomwa moto na mwenyezi mungu

  • @boscomakala.3923
    @boscomakala.3923 8 годин тому +19

    Gaza haitawaacha salama nyinyi masheitwan wakubwa nyinyi......😢😢😢😢😢

    • @elmiaxmed6870
      @elmiaxmed6870 2 години тому +3

      Watapigwa na majanga zaidi ya hayo damu ya wa Palestina na bado Israel inakuja

  • @emanueluroki6160
    @emanueluroki6160 9 годин тому +8

    Mungu Anafanya kazi yake kwa njia nyingi kila jambo mungu anajuwa na analiona na sababu zipo kwanini anafahamu MUNGU zaidi

  • @ngendakumanajeanmarrie7490
    @ngendakumanajeanmarrie7490 7 годин тому +6

    Hiyo chi inadhambi nyingi sana wamrudie muumba

  • @AminiMsellem-gk3yy
    @AminiMsellem-gk3yy Годину тому +2

    Acha Mungu aitwe Lungu 🙏🙏🙏🙏

  • @hassanparamana2215
    @hassanparamana2215 8 годин тому +21

    moto + mafuriko + kimbunga kila mwaka shoo mtaipata Sadam Hussein mwenyezi Mungu akupe kauli thabit Amiin 🤲🏆💚💛💪🇹🇿🇦🇪

    • @SabihaibrahimRajabu
      @SabihaibrahimRajabu 7 годин тому +3

      Ameen

    • @oprahben6341
      @oprahben6341 5 годин тому

      Tenaa😂😂😂😂waislam mmelogwa mlishazowea kunywa damu zawatu

    • @TangaMashewa-qe8kk
      @TangaMashewa-qe8kk 5 годин тому

      ​@@oprahben6341 tafadhar naomba nieleweshe waislam wanakunywa damu za watu kivipi hembu nieleweshe

    • @Niget-us1np
      @Niget-us1np 2 години тому

      ​@@oprahben6341wanao kufa palestine sio waisimu tu Israel sio wakristo kbc Maan hawatumii bibilia na wao wnauwa waisimu na wakristo wote wale Ni mayahud na wazanaki

    • @rosemahenge9071
      @rosemahenge9071 2 години тому

      Hivi kwa nini ndugu zetu mnapendaga kuhusisha udini kila kitu looh

  • @AlfaMwasofu
    @AlfaMwasofu 8 годин тому +10

    Mwenyezi mungu ibarik Palestine

  • @fadhilngalanda7520
    @fadhilngalanda7520 9 годин тому +12

    Hello wana SNS tupo Pa1 sana na kupata habari mzuri na bora leo nimebahatika kuwa wakwanza mnipe japo like nijipongeze kuwa wa kwanza

  • @Grataaaaa
    @Grataaaaa 2 години тому +3

    Kwa kweli asiye kubali juu ya uwepo wa mungu kwa kutokea haya uyo akili zake xio mzima

  • @SabihaibrahimRajabu
    @SabihaibrahimRajabu 7 годин тому +6

    Wamesema watapeleka jehanamu gaza sasa Allah amewapelekea jehannamu mwanzo kuliko gaza hii ndio jehanamu

  • @mohamedikinu9502
    @mohamedikinu9502 8 годин тому +21

    Huyo Mungu wao lusifa yupo wapi mbona hawasaidii?,m,Mungu ni yule muumba ardhi na mbingu tu hakuna Mungu mwengine

    • @sandeboynewtanzania
      @sandeboynewtanzania 8 годин тому

      😂😂😂kwan kuna mtu anaabdu lusifa😂😂😂 ila waTz kwa ujinga😅😅

    • @faridaamasha5700
      @faridaamasha5700 8 годин тому

      Wanajidqngny hao

    • @faridaamasha5700
      @faridaamasha5700 8 годин тому +2

      Mungu ni mmoja tu akunmungu mwingne allah akbar❤

    • @SabihaibrahimRajabu
      @SabihaibrahimRajabu 7 годин тому

      ​@sanni hao marekanideboynewtanzania

    • @PendoMarco-x3u
      @PendoMarco-x3u 6 годин тому

      Sisi tunamwabudu Mungu pekee muumba mbingu na nchi, jina la Yesu milele litasimama

  • @MwanaHussein-s2n
    @MwanaHussein-s2n 8 годин тому +8

    Yaani pamepigwa level ya Gaza inasubiri😢😢😢

  • @hassanjuamchipua9384
    @hassanjuamchipua9384 52 хвилини тому +2

    Wallah mm nawaombea wao pia wangeteketea km vile wanavyo teketeza wa Palestine

  • @AlfaMwasofu
    @AlfaMwasofu 8 годин тому +22

    Mwenyezi mungu ibariki gaza and Palestine

  • @LoneWolf-ng8yg
    @LoneWolf-ng8yg 44 хвилини тому +2

    Najisikia furaha sana nikiona na wao wanaangaika 😂

  • @hanifa9153
    @hanifa9153 8 годин тому +13

    Iwe mungu wetu wa haki wadhalilishe madhalim wa kimarekani waanze mwanzo kabisa ni waharibifu ewe mungu wetu wametufanyia dhulma kubwa tumelia mitandaoni kila cku kwa kuua ndugu zetu bila makosa😭💔💔💔 yarrab twakuomba uwafilisi kila kitu waje watuombe na wao hku kwetu😂😂

  • @saidiomar6642
    @saidiomar6642 34 хвилини тому +2

    Zaidi ya gaza😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @allywilson4155
    @allywilson4155 8 годин тому +7

    Zambi nyingi sana huku marekani

  • @haji352
    @haji352 7 годин тому +3

    HUO MOTO NI MOJAWAPO YA MAJESHI YA MUNGU MNAVYODHANI KUZIPIGA NA KUUNGA MKONO MAUWAJI YA GAZA HAYO NDIO MAJIBU YA MUNGU

  • @marrykigabimk
    @marrykigabimk 51 хвилина тому

    Mungu awatiye nguvu na wabariki upya❤

  • @DominickDavid-n3v
    @DominickDavid-n3v 8 хвилин тому +1

    Sio Marekani tu waovu wapo hata hapa Tanzania zamu yao bado

  • @HabibuHoseni-sv8hd
    @HabibuHoseni-sv8hd 9 годин тому +9

    Uo moto ni zaid ya mabomu mbon kumechakazwa ivo sehem kubwa mmh mungu akiamua bhna binadam si lolote c chochote duuh

  • @fatmamsallam437
    @fatmamsallam437 10 хвилин тому

    Jahannam Allah aipeleke Kwao na Kwa israel

  • @mfupakhamis9751
    @mfupakhamis9751 50 секунд тому

    Pole marekani kwa moto.
    Je inakuwaje majanga kama haya mazingatio yapo hiyo ni marekani Wana miundo mbinu ya hali juu ni kweli?

  • @JghghfgjjgfHvfghhhff
    @JghghfgjjgfHvfghhhff 15 хвилин тому +1

    Ni habari jema sana mungu ameaza kuwapa azabu wajinga hao damu ya watu wapalastina

  • @MonicaGeorge-f2h
    @MonicaGeorge-f2h 8 годин тому +5

    Mungu awaongoi watu madhalim

  • @JauZaty
    @JauZaty 7 годин тому +3

    Allahu akbar 🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇵🇸

  • @abdillahchikota4303
    @abdillahchikota4303 8 годин тому +3

    Hakuna inchi naichukia Kama mareka wallah wabillah

  • @kalengashoppingcenter1108
    @kalengashoppingcenter1108 8 годин тому +2

    Ningeumis kama ingetokea Africa, mbona hao wanyonyaji tu😂😂😂😂😂

  • @choggysly3541
    @choggysly3541 9 годин тому +9

    Palestina poleni sana ,Allah yupo nanyi

  • @Zuhuranadadoita
    @Zuhuranadadoita 13 хвилин тому

    Mungu naye yupo online 😂😂

  • @Keyjop
    @Keyjop 7 годин тому +3

    Mpaka mange. Amkili Yesu kuwa Bwana na mokozi wake this time...

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji 8 годин тому +4

    KARMA HITS BACK

  • @thamani5842
    @thamani5842 8 годин тому +3

    ALLAHU AKBAR

  • @fauzishabani2622
    @fauzishabani2622 2 години тому

    Wanasema wao ni Wana wa Mungu😭

  • @Rawdha-y8t
    @Rawdha-y8t Годину тому

    mange naye ana dhambi nyingi tu

  • @saidiomar6642
    @saidiomar6642 36 хвилин тому

    Bado saudia na UAE

  • @StrongbowArrow2004
    @StrongbowArrow2004 9 годин тому +3

    Majimbo ya Marekani mengi kama si yote yana majanga ya Moto, snow na kimbunga

  • @fatmamsallam437
    @fatmamsallam437 11 хвилин тому

    Yaa Allah hakika uwezo wako ni mkubwa walipe madhalim Kwa udhalim wao

  • @fatmamsallam437
    @fatmamsallam437 12 хвилин тому

    Na Bado Allah atawaangamiza wote madhalim

  • @BONGOINMOTION
    @BONGOINMOTION 14 хвилин тому

    Ana bima

  • @godcompeter9844
    @godcompeter9844 8 годин тому +3

    Hizo nyumba zina bima so zitajengwa chapu sana 😊

    • @WadySaidi
      @WadySaidi 7 годин тому +1

      Wamekuambia we we mbwaa au ndio umejichanganya

    • @aminatanzanya7475
      @aminatanzanya7475 6 годин тому

      ​@@WadySaidi😂😂😂

  • @medystarter
    @medystarter 8 годин тому +3

    Dollar ya USA inaenda kushuka 😅😅😅😅😅😅

  • @sharifahabsi5004
    @sharifahabsi5004 7 годин тому +2

    Subhanallah

  • @husseynomar9523
    @husseynomar9523 3 години тому +1

    ALLAH AKBAR

  • @MwanaHussein-s2n
    @MwanaHussein-s2n 8 годин тому +3

    Mungu walinde wasio na hatia Mali ni za kupita

    • @swalehemusa4546
      @swalehemusa4546 8 годин тому +1

      Samaki mmoja akioza ni wote pamekuwa zaidi ya gaza chezea allah ww

  • @georgekabaka377
    @georgekabaka377 16 хвилин тому

    Kuungua kwa nyumba au documents mtu hawez kuwa na stress kwa wenzetu...... Bima zinafanya kazi...... Ndugu yangu aliunguza nyumba ya mke wake sweeden kwa bahati mbaya lakin ndan ya 5 month nyumba ikatengenezwa tena

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171 8 годин тому +2

    WATALIPWA NA INSURANCE

  • @Lashymreal96
    @Lashymreal96 5 годин тому +1

    Ushoga na matendo yao ya kisengesenge

  • @evakessy3282
    @evakessy3282 8 годин тому +3

    KWANI HUU MOTO UMESABABISHWA NANINI JAMANI NAOMBENI KUJUZWAAAAAAAAAA

    • @MkubwaMakame-e4j
      @MkubwaMakame-e4j 7 годин тому

      Kawa ulize wenyewe uko

    • @evakessy3282
      @evakessy3282 6 годин тому

      @MkubwaMakame-e4j kaa kwakutulia kama hujui funga mdomo

  • @OctavianiRongino
    @OctavianiRongino 6 годин тому +1

    Angalia nchi za wezetu baada ya miezi3 kilakitu kitakua shwari ayo maeneo yote yalioungua yatakua mapya

  • @immaomarwa5122
    @immaomarwa5122 6 годин тому

    Hao ndio wataazibiwa sana na mungu

  • @dahero160
    @dahero160 7 годин тому +1

    Hao watateseka sana kuuzima sababu wenzetu vitu vyao vingi kwa nyumba ni mbaoo

  • @ayk20
    @ayk20 8 годин тому +2

    Kama ni staa afu hakuwa na bima basi ni uzembe wake

  • @FredrickMatiku-xf2uk
    @FredrickMatiku-xf2uk 7 годин тому +1

    Jumba la p.didy vipiiii alijaunguaaaa😂😂😂

    • @Aishatheboss117
      @Aishatheboss117 7 годин тому

      ila we kaka hakuna mwengine umejifikili bila P didy🤣🤣🤣🤣😃🤣

    • @FredrickMatiku-xf2uk
      @FredrickMatiku-xf2uk 7 годин тому

      @ mafutaaaa yatakuwa yameunguaaaaa yaleee 😂😂

  • @jumamussantuiche
    @jumamussantuiche 9 годин тому +1

    Iyo mzur kwa marekani,ulaya,israel.

  • @nasibugunda7927
    @nasibugunda7927 6 годин тому +1

    Nyumba nyingi za mbao

  • @ramakira7895
    @ramakira7895 8 годин тому +1

    Hii ni Gaza ya malekaniiii😁😀🐆🐆

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw Годину тому

    Naomba moto ufike mpaka white house mpaka new york uunguze marekani yote

  • @victorvancharlz
    @victorvancharlz 9 годин тому +7

    Kwel Mungu fundi.. hakuhitaji mabomu ya nyuklia kulipua maelfu ya KM huko LA bali katumia kamoto kadogoo TU ambako hata wew unaweza kikawasha na kanaonesha maajabu.. nyie maombi ya watu wa Gaza yanajibiwa huko

    • @NaifatAlly-e3j
      @NaifatAlly-e3j 8 годин тому

      Yan sana kaka

    • @MonicaGeorge-f2h
      @MonicaGeorge-f2h 8 годин тому +1

      Haswaa

    • @MwanaHussein-s2n
      @MwanaHussein-s2n 8 годин тому

      @@victorvancharlz ka jahanam ka trump

    • @godcompeter9844
      @godcompeter9844 8 годин тому

      Izo nyumba zina Bima zitajengwa chapu sana mzee acheni ujinga

    • @Saidkhel
      @Saidkhel 7 годин тому

      Ndiyo lkn zisha ungua na zitazid ungua​@@godcompeter9844

  • @allykassim1120
    @allykassim1120 54 секунди тому

    bado kwa shoga biden

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 8 годин тому +1

    Ata Gaza walipotenz ten watoto alio spot munajuw

  • @chancelebishopofficial2785
    @chancelebishopofficial2785 5 годин тому

    Kumbukeni iyi itakuwa ni kazi ya Insurance company zitalipa nothing to lose period

  • @saidsalim851
    @saidsalim851 7 годин тому +1

    Wanauwa watu kwa mabom ausio.
    sasa hii ni kutoka kwa muumba haina lawama. Mrudi pale mlipo kosea

  • @WadySaidi
    @WadySaidi 7 годин тому

    Saizi marekani itakuwa kama gaza

  • @enocksimpassa4682
    @enocksimpassa4682 9 годин тому +5

    Poleni Sana. Kwani huu moto chanzo chake ni Nini?

    • @swalehemusa4546
      @swalehemusa4546 8 годин тому

      Subiri kwanza tuwachome moto then tutakwambia chanzo ni nn

    • @hassanparamana2215
      @hassanparamana2215 8 годин тому

      Ubabe ndo uliyo mponza bwana Bush sasa kila mwaka ni hivyo hivyo majanga bila sababu ya kusababishwa na mtu wala joto kali hapana ni Mungu tu ana muonyesha kuwa yeye ndio mwenye haki ya kumuhukumu mtu na sio binadamu kwa binadamu.....🏆💚💛💪🇹🇿🇦🇪

    • @sleymankassim4332
      @sleymankassim4332 5 годин тому

      Chanzo ni October 7😂

  • @hassanially1773
    @hassanially1773 28 хвилин тому

    Allah akbar Palestine 🇵🇸 free

  • @fauzishabani2622
    @fauzishabani2622 2 години тому

    Hiyo siku watasema tumetii. Muda utakuwa umeisha.

  • @swalehemusa4546
    @swalehemusa4546 8 годин тому +12

    Hatutaweza kuwaombea magaidi dua zetu tunawaombea wapalestina

  • @pulikisia7963
    @pulikisia7963 8 годин тому +1

    Duh!! Yaani pamoja na kuwa na mipango miji,maana tunaambiwaga sie tunaoishi mitaa ya kajamba nani moto ukitokea ni mtaa mzima unaungulia.

  • @barbarahassan507
    @barbarahassan507 7 годин тому +1

    Daaah... skia kwa watu tu. Halafu kuna watanzania jamani huku... tuwachekini na kuwaombea...

    • @abdulomari4932
      @abdulomari4932 2 години тому

      Uwaombee nini ACHA we

    • @FatumaMuya-w5h
      @FatumaMuya-w5h 2 години тому

      ​@@abdulomari4932janabi usifanye hivo tuombeeni dua😢😢

  • @hanifa9153
    @hanifa9153 8 годин тому +1

    Yaani ziungue adi bank zao🤲

    • @sandeboynewtanzania
      @sandeboynewtanzania 8 годин тому

      Jmn acheni Dua mbaya hizo😢😢😢😢 kuwen na imani😢😢😢

  • @ShehaHaji-k8t
    @ShehaHaji-k8t 4 години тому

    Ata bdo Marekani shetani Gharka itokeee hasa kwenu

  • @MfizoCrypto
    @MfizoCrypto 7 годин тому

    Kuna Dua ya walii imepokelewa

  • @fadhilngalanda7520
    @fadhilngalanda7520 9 годин тому +2

    Oyaaa wahuni ad huko wanatumia fulsa wanakwapua hata kama kuna moto

  • @Dranka186
    @Dranka186 3 години тому

    Uwo moto tunaomba uzidi kuwaka

  • @twahahamidu6246
    @twahahamidu6246 8 годин тому +2

    Gaza❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @titus_maridhia
    @titus_maridhia 5 годин тому

    Mashirika ya Bima za Makazi na Magari, yatafirisika

  • @rajimuashirafa8265
    @rajimuashirafa8265 8 годин тому

    Mungu ni Mungu tu yupo na kila sekunde yu hai ,,,,mambo ya lucifa hayo

  • @habibumnibo4000
    @habibumnibo4000 6 годин тому

    Kweli malipo ni hapahapa duniani.

  • @dianasemakula8075
    @dianasemakula8075 4 години тому +1

    Lakini wamekufa only 5 people, nakumbuka vitu vinaweza patikana tena.

  • @fauzishabani2622
    @fauzishabani2622 2 години тому

    Mungu mkubwa

  • @omarwayu6811
    @omarwayu6811 7 годин тому

    Kichapo cha Mungu hicho wadhalimu wakubwa hao wamarekani Na iungue yote io LOS ANGELES

  • @safarivahocha8077
    @safarivahocha8077 6 годин тому +1

    SNS fanyeni utafiti wa sheria za Bina za Marekani. Kampuni za Bina Marekani hazilipi wahanga walio poteza mali zao kutokana na Majanga au vimbunga. Sheria zina linda makambuni ya Bima ili yasifilisike. Kwani hasara zinazotokana na uharibufu wa aina hii gharama zake zinaweza kua zaidi ya mtaji wa Kambuni za Bina husika.

  • @ashahassan2120
    @ashahassan2120 8 годин тому +2

    Malipo apapa

  • @MailesSezero-l4c
    @MailesSezero-l4c 8 годин тому +2

    Uzuri wa wenzetu wanakuwa na bima za nyumba

    • @WadySaidi
      @WadySaidi 7 годин тому

      Wew hata ukiwa na bima majanga ni majanga wewe unakivunjika mguu utasema Nina bima zaidi ya kuumia moyoni ajali inauma bima aisaidi uache moto uendelee acha ujinga

    • @atutweve4160
      @atutweve4160 5 годин тому

      @@WadySaidiinasaidia bima zao zitawalipa na wanajenga new city na kutavutia zaidi

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 6 годин тому

    😂😂😂 Malipo ni hapa hap duniani moto endelea kuwaka ikiwezekan Marekan yote

  • @ChamMusic
    @ChamMusic 6 годин тому

    Unajua maana ya los Angels?? Mungu anawachoma the Lost Angels

  • @honestmosha6203
    @honestmosha6203 8 годин тому +1

    Na bado

  • @vladimirputn1809
    @vladimirputn1809 42 хвилини тому

    Ranayaushoga inawaangmixa

  • @mohamedS-yd9wh
    @mohamedS-yd9wh 9 хвилин тому

    Allah Akbar, Allah Akbar, Allah Akbar. Hayo ni malipo ya hapa duniani ingawa waathirika huenda wanachukizwa na matendo ya serikali yao kupeleka silaha israel ili kuuwa wapalestina. Na tunaomba viongozi wao nao wapate pigo kubwa kuliko hilo, najua wengine wataniona mimi ni mtu wa ajabu kuwaombea mabaya lakini nao wakumbuke wapalestina watoto, wanamaker, wazee na wagonjwa wanaouwawa kikatili nao ni binadamu wana haki ya kuishi kwa salama na amani

  • @WadySaidi
    @WadySaidi 7 годин тому +1

    Niachee kuambea watu wa Gaza niwaombe nyinyi waarifu pelekeni siraha uko iondome ziko wapi saizi saiz marekani majivu tu

  • @suleimanally1004
    @suleimanally1004 37 хвилин тому

    Kila alie shiriki kuwa Gaza malipo yake niangamizo la kama Hilo Moto miezi mitatu huo ndio utaondoka kwa uwezo wa Allah

  • @RashidSonara
    @RashidSonara 8 годин тому +1

    Iyo tam