UZINDUZI WA MFUMO WA GIMIS NA MAJENGO MAPYA YA GPSA SIKU YA JUMAMOSI 21/10/2023 JIJINI DODOMA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 лис 2023
  • Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA) ulifanya uzinduzi wa mfumo jumuishi wa kielektroniki wa utoaji huduma za Wakala wa GIMIS pamoja na majengo mapya ya Mtumba(Dodoma), Pwani,Simiyu na Songwe siku ya Jumamosi tarehe 21/10/2023 jijini Dodoma uliofanywa na Waziri wa Fedha Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb).

КОМЕНТАРІ •