DR.SULLE AWANYOOSHA WAISLAMU BADILIKENI ACHENI/

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024
  • #tanzania #drsulle #islaamic #tanzania

КОМЕНТАРІ • 35

  • @AnliomarbacarAnliomarbacar
    @AnliomarbacarAnliomarbacar 2 дні тому +7

    Kuanza nakuombia dua udumu daima milele mungu akulinde kua na maisha mema duniani, na akhera niko pamoja na wewe hadi kifo

  • @niyorHamiss-yv4rm
    @niyorHamiss-yv4rm 2 дні тому +4

    Mashallahu❤❤ chisaa hatari baba

  • @AhmediKilingamoyo
    @AhmediKilingamoyo День тому

    Maashaallaah ALLAAH akujaalie kheri hapaduniani na aakhera

  • @SakinaKukudume-r8e
    @SakinaKukudume-r8e 2 дні тому

    Mashaallah,, allah akulipe shekhe wetu,,

  • @AmisamauridNgagada
    @AmisamauridNgagada День тому

    Axante Sheikh umetugusa sana wanatunduma 👏👏👏👏

  • @RahmaIddi-s2s
    @RahmaIddi-s2s День тому +1

    As-salam Alaykum warahmatullah wabarakat ,, vipenz vya Allah Tabarak Rahman 🤲 tupo

  • @SaidIsmail-w2w
    @SaidIsmail-w2w 2 дні тому +3

    mashaallah

  • @RahmaIddi-s2s
    @RahmaIddi-s2s День тому +1

    Subhana Allah 😭😭 laa illah haillah 😭 ni kisa Cha kujifunza wallah Yarrab 🤲 atupe subra

  • @ZainabuBakari-yb4vj
    @ZainabuBakari-yb4vj 14 годин тому

    Hakika Dr shule,upo sawa

  • @AbasiAbdi
    @AbasiAbdi 2 дні тому +3

    Umesema kweli shekhe Allah akuhifadhi

  • @HemediMussa-gx4gx
    @HemediMussa-gx4gx День тому

    Swadaka Dr sulle

  • @MasterTulo
    @MasterTulo 2 дні тому +2

    Wafafanulie vzur wengine watakuwa wazaruraji maana Mungu ndo kila kitu na hakuna sehemu isiyokuwa na fursa sema uwezo wa kupembua mambo ndo unatutia umasikini vijana wakitanzania

  • @AbdulBakari-i4u
    @AbdulBakari-i4u 2 дні тому

    Nimekuelewa aallaa akuzijishie elimu

  • @asawoasawo517
    @asawoasawo517 3 години тому

    Kweli

  • @adambaton5521
    @adambaton5521 2 дні тому

    Tuliayafaidi vuzili mawidha yako hapa tunduma mwaenyezi mungu akuifadhi

  • @officialAlikoBrand
    @officialAlikoBrand 21 годину тому

    geniuses

  • @TisaMkenda-oj5uj
    @TisaMkenda-oj5uj 2 дні тому

    Huyo ndio mwamposa wetu,

  • @user13375
    @user13375 2 дні тому +1

    Ndo maana ww ulibadilika ukawa ndugu wa majini😂😂😂😂

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt 2 дні тому

      Utatoa hayo maneno Yako mbele ya Allah siku yamwiso utamuonyeshea Allah hayo makini unayoyasema akonayo

  • @TisaMkenda-oj5uj
    @TisaMkenda-oj5uj 2 дні тому

    Dunia imemkamata,

    • @MuhammadWesonga
      @MuhammadWesonga 2 дні тому

      Usimchukie shekhe,akileta baya lichukie,akileta la kheri lipokee,ukweli ni kwamba hata kufanya da'wa sharti uchumi uwe thabiti,kwani utakuwa ombaomba tena kwa unaowalingania? Tusiweke siasa isipofaa.

  • @Wastara001
    @Wastara001 2 дні тому +1

    Yaani huyu jamaa mawaidha yake ni kuwa tajiri.
    Badala ya kuusia nafsi kumcha Allah wewe unang'ang'ania utajiri.

    • @ZainabuBakari-yb4vj
      @ZainabuBakari-yb4vj 5 годин тому

      Kama unaona umasikini ni fahari,bas wewe unashida,dini gani unaona umasikini ni faida

  • @mzeerajab9154
    @mzeerajab9154 2 дні тому

    Sheikh kufa maskini ni sawa tu na kufa tajiri.Kwani ukifa tajiri utazikwa nao huo utajiri kwenda nao akhera?Bora shauri tu watu wabadilike isiwe hoja kufa maskini.Na wangapi wamejitahidi na hata kuhama makwao lakini hawakufanikiwa.

    • @ramadhanwilbard8196
      @ramadhanwilbard8196 2 дні тому

      Mwenyezi Mungu ndiye katutaka tuhame pale mambo yetu yanapogoma sio maneno ya SULE,hata Mitume wa Mungu wengi walihama!

    • @amissiradjabu6561
      @amissiradjabu6561 День тому

      kijana mwenyezi mungu katwambia inapo kwicha salah tawanyikeni katika ardh kutafuta

    • @ZainabuBakari-yb4vj
      @ZainabuBakari-yb4vj 14 годин тому +1

      Elewa,hakuna ufahari wa umasikini,shekh yupo sawa

    • @mzeerajab9154
      @mzeerajab9154 14 годин тому

      @@ZainabuBakari-yb4vj elewa kwanza kuwa fahari ni mama wa ujinga.Lakini hata kama yuoko sawa bado niukweli kuwa maskini na tsjiribmwisjo wao ni mmoja.,hakina ataezikwa na mali zake.

    • @mzeerajab9154
      @mzeerajab9154 14 годин тому

      @@ramadhanwilbard8196 hakuna anaepinga hilo ila amri ya kuhama sio kwenda kutafuta utajiri,bali ni kupata nafasi ya kumuabudu Mungu bila kukwazwa.Haihusu kufa tajiri au maskini.

  • @user13375
    @user13375 2 дні тому

    Ndo maana ww ulibadilika ukawa ndugu wa majini😂😂😂😂

    • @ramadhanwilbard8196
      @ramadhanwilbard8196 2 дні тому

      Hayo unayoyasema ni madhaifu yake lakini katika jambo la kuhama sio uhongo ni anaongea ukweli hata Mitume walihama!