Jinsi Ya Kutengeneza Karanga Za Mayai Tamu Kwa Urahisi.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 сер 2024
  • Mahitaji
    Karanga vikombe 4
    Sukari grams 70
    Chumvi kijiko 1 Cha chai
    Vanilla kijiko 1 Cha chai
    Mayai 3
    Maziwa ya unga vijiko 2 vya chakula
    Mafuta ya kukaangia
    Unga wa ngano vikombe 2
    #Karangazamayai #tengenezakarangazamayai #karangazamayainyumbani #kupikakarangazamayai #karangakukaangazamayai

КОМЕНТАРІ • 98

  • @fatumadugulu351
    @fatumadugulu351 Рік тому +3

    Ahsant sn kwa somo,MUNGU akubaliki sana

  • @edithbudebah5505
    @edithbudebah5505 2 місяці тому +3

    Nzuri sana lakini mbona kinachoonekana kwenye picha na ulichopractice ni tofauti,nilijua ni karanga fulani hivi naiona madukani ni ya nazi na ni mviringo iko coated sana nahisi sijui ni machine ndo inafanya mana zote zinalingana

    • @MisosimitamuC
      @MisosimitamuC  2 місяці тому +1

      Mpenzi Asante sana . Na karibu sana kwenye channel yangu. Ukitaka upate round Nzuri kama diamond karanga. Ukishachekecha kutoa unga. Chukua karanga moja moja zungusha kwenye mkono. Utengeneze duara. Zinatoka vizuri sana . Nutaonyeaha video muda si mrefu utaona

  • @shemsasaid384
    @shemsasaid384 Рік тому +2

    Nice nimependa

  • @VioletyTemu-ps8sv
    @VioletyTemu-ps8sv 2 місяці тому +1

    Asante nimejifunza je vip kama sina maziwa ya unga na vanila naweza tumia unga na sukari na mayai pekee

    • @MisosimitamuC
      @MisosimitamuC  2 місяці тому

      Ndio mpenzi. Unaweza kutumia na zikatoka Nzuri tu. Karibu sana kwenye account yangu

  • @knasso
    @knasso Рік тому +2

    Asantee kwa somo lako

  • @magrethmsami6320
    @magrethmsami6320 2 місяці тому +1

    Asante unajua kufundisha mno

  • @MariamuMkama
    @MariamuMkama Місяць тому +1

    Barikiwa nitafanya jaribio la kuzikaanga

    • @MisosimitamuC
      @MisosimitamuC  Місяць тому

      Tubarikiwe wote kipenzi. Asante Kwa kupita kwenye page yangu. Usisahau kushare tafadhari

  • @Wsdddjsssnd
    @Wsdddjsssnd Рік тому +3

    Anaelekeza taratbu ad Raha hatua Kwa hatua ❤️💃🙏

  • @aureliaaugustinomsoma7327
    @aureliaaugustinomsoma7327 Рік тому +1

    Hongera na asante najifunza

  • @user-gf7ef3yd1z
    @user-gf7ef3yd1z Місяць тому +1

    Asante.

    • @MisosimitamuC
      @MisosimitamuC  Місяць тому

      Asante pia sana dear Kwa kua hapa. Ubarikiwe. Usiache kushare please

  • @josiamsomba4671
    @josiamsomba4671 7 місяців тому +1

    ❤ Asante kwa somo

    • @MisosimitamuC
      @MisosimitamuC  7 місяців тому

      Asante sana kipenzi. Karibu tena

  • @veronicamabula5124
    @veronicamabula5124 Рік тому +1

    Asante mpendwa wangu nimependa

  • @PriscalKisenah
    @PriscalKisenah Місяць тому

    Akina uko vizuri dada

  • @user-nh1jv8yl5j
    @user-nh1jv8yl5j 11 місяців тому +1

    Santeeeeee

    • @MisosimitamuC
      @MisosimitamuC  11 місяців тому

      Karibu sana dear. Asante pia sana sana kunipa support

  • @olivabata287
    @olivabata287 Рік тому +2

    Asante kwa somo zuriiii ubarikiwe

  • @ZainabJuma-iy3qt
    @ZainabJuma-iy3qt 11 місяців тому +1

    Asanteee❤

    • @MisosimitamuC
      @MisosimitamuC  11 місяців тому

      Asante sana dear. Na pia karibu

  • @neemashaabancakes
    @neemashaabancakes Рік тому +3

    🔥🔥🔥

  • @elizabethhaule8989
    @elizabethhaule8989 Рік тому +1

    Asante SoMo zuri maelekezo yameeleweka karanga kilo mbili unaweka mayai mangap

    • @MisosimitamuC
      @MisosimitamuC  Рік тому

      Asante sana sana kipenzi na karibu sana ..Weka Mayai 4 tu

    • @elizabethhaule8989
      @elizabethhaule8989 Рік тому

      Pia naomb kuuliza nini kinachofanya coat ya karanga kuwa na rangi ya maziwa dear??

  • @user-zj5xg8fu4t
    @user-zj5xg8fu4t 2 місяці тому +1

    nimejifunza kitu asante,,,kama hauna maziwa je?? unaweza kutumia ngano tu na hvy viungo vingn??

    • @MisosimitamuC
      @MisosimitamuC  2 місяці тому +1

      Sio lazima maziwa mpenzi.

    • @user-zj5xg8fu4t
      @user-zj5xg8fu4t 2 місяці тому +1

      asante sana,,,nilijaribu na zimekuwa nzuri bila maziwa na nimeanza kuuza

    • @MisosimitamuC
      @MisosimitamuC  2 місяці тому +1

      @user-zj5xg8fu4t Asante sana mpenzi. Nimefurahi sana. Hongera sana kipenzi .

  • @angeliqueChris
    @angeliqueChris Рік тому +2

    Asante dada, uliweka unga wote na ile mix ya mayai?

    • @MisosimitamuC
      @MisosimitamuC  Рік тому

      Karibu sana dear. Ndio dear niliweka ila badae nikacheka kuondoa unga uliobaki.

  • @EsterElia-g2v
    @EsterElia-g2v 9 днів тому +1

    Tatizo hamjibu maswali mnayoulizwa

    • @MisosimitamuC
      @MisosimitamuC  7 днів тому

      Mpendwa hebu pitia comment kama sijibu maswali ninayoulizwa. Kama sijajibu ni bahati mbaya tu. Ila Mimi lazima nijibu

  • @Tiktoks86254
    @Tiktoks86254 3 місяці тому +1

    Nmejifunza kitu kikubwa sana ..nime subscribe pia lv❤

    • @MisosimitamuC
      @MisosimitamuC  3 місяці тому

      Oooh kipenzi Asante sana sana na ubarikiwe sana sana. Karibu sana. Nashukuru sana

  • @hosealema8157
    @hosealema8157 Рік тому +1

    Sorry best vipimo vya unga na sukari my dear hujatuambia

    • @MisosimitamuC
      @MisosimitamuC  Рік тому

      Bila samahani dear. Asante sana
      Mahitaji
      Karanga vikombe 4
      Sukari grams 70
      Chumvi kijiko 1 Cha chai
      Vanilla kijiko 1 Cha chai
      Mayai 3
      Maziwa ya unga vijiko 2 vya chakula
      Mafuta ya kukaangia
      Unga wa ngano vikombe 2
      PIA UKITAKA VIPIMO ANGALIA CHINI YA VIDEO HUA NAWEKA KIPENZI. Asante sana

    • @mwingirah7141
      @mwingirah7141 3 місяці тому

      Kama hutojali naomba mawasiliano yako ya simu

  • @veronicamabula5124
    @veronicamabula5124 Рік тому +2

    Kwa kilo moja ya karanga naweka mayai mangapi?

  • @pendosamwel
    @pendosamwel 3 місяці тому +1

    Kama situmii maziwa ya unga je maziwa ya maji nitatumia kiasi gani kwa karanga kilo1

    • @MisosimitamuC
      @MisosimitamuC  3 місяці тому

      Hapana usiweke maziwa ya maziwa ya unga. Tunaweka maziwa ya unga kwenye unga wa ngano ili kuleta ladha tu mpenzi ila sio lazima

  • @hakimkim8447
    @hakimkim8447 4 місяці тому +1

    kama huna unga wa maziwa unaweza tengeneza bila?

    • @MisosimitamuC
      @MisosimitamuC  4 місяці тому +1

      Ndio wangu. Unaweza tengeneza bila kuweka unga wa maziwa na zikawa Nzuri tu. Karibu tena sana

  • @adolphmwangoje2887
    @adolphmwangoje2887 5 місяців тому +1

    We kuelekeza bdo

  • @evalineemmanuel8178
    @evalineemmanuel8178 4 місяці тому +1

    maziw umewek mud ghn may

    • @MisosimitamuC
      @MisosimitamuC  4 місяці тому +1

      Salama kipenzi. Maziwa ya unga nimechanganya na unga wa ngano.

  • @elizabethhaule8989
    @elizabethhaule8989 Рік тому +2

    Je kwa wanaotumia baking powder unaweka kwa wakat Gani

    • @MisosimitamuC
      @MisosimitamuC  Рік тому

      Baking powder changanya na unga dear. Ila usiweke nyingi sana weka 1/2 au 1/4 kijiko Cha chai tu

    • @user-ht6mb1gl4c
      @user-ht6mb1gl4c Місяць тому +1

      Samahani naomba kujua kazi ya baking powder kwenye karanga

    • @MisosimitamuC
      @MisosimitamuC  Місяць тому

      Inasaidia karanga kua na rangi Nzuri na pia inazifanya kukauka vizuri. Kua crispier

  • @zubedamohammed-nk4kv
    @zubedamohammed-nk4kv 5 місяців тому +2

    Mimi huwa ngono haizibi karanga yote msaada plz

    • @rachellameck8236
      @rachellameck8236 3 місяці тому

      Da zubeda mm Niko najifunza ila sms yako nilivyo ona nimechekaa ngano dada sio ngono🤣🤣🤣 amsory lakin

    • @MisosimitamuC
      @MisosimitamuC  3 місяці тому +1

      Pole mpenzi. Ukishaweka unga zimwagie Tena unga wa Mayai. Alafu weka Tena ngano. Samahani dear comment niliiona ila sikielewa. Nisamehe sana kuchelewa kujibu

  • @abdulmsham381
    @abdulmsham381 11 місяців тому +1

    Je unatumia karanga mbichi au zlee zilizotengenezwa

    • @MisosimitamuC
      @MisosimitamuC  11 місяців тому

      Salama wangu. Karanga tumia mbichi tu ila ukitaka kuwekea Mayai zilizokaangwa inawezekana pia ila Sasa inabidi uwe shapu sana kwenye kuziepua ili zisiungue ndani. Mana zinakua tayari zimeshakaangwa. Asante sana

  • @rosemaryrobert788
    @rosemaryrobert788 Місяць тому

    Aina gan ya sukar umetumia

  • @angeliqueChris
    @angeliqueChris Рік тому +1

    Dada unga na maziwa ni kiasi gani

  • @sophiaramadhan2995
    @sophiaramadhan2995 Рік тому +1

    Sukari naeka kias Gan??

    • @MisosimitamuC
      @MisosimitamuC  Рік тому

      Salama dear. Sukari ni gramu 70 au vijiko 5 vya chakula . Mahitaji mengine haya Sukari grams 70
      Chumvi kijiko 1 Cha chai
      Vanilla kijiko 1 Cha chai
      Mayai 3
      Maziwa ya unga vijiko 2 vya chakula
      Mafuta ya kukaangia
      Unga wa ngano vikombe 2Mahitaji
      Karanga vikombe 4

    • @sophiaramadhan2995
      @sophiaramadhan2995 Рік тому +1

      Ahsant dr

    • @MisosimitamuC
      @MisosimitamuC  Рік тому

      Karibu na Asante sana kipenzi

  • @treshynyalusy5674
    @treshynyalusy5674 Рік тому +1

    kama hauna ovena unaacha kwenye jua kwa dk ngapi

  • @fatumadugulu351
    @fatumadugulu351 Рік тому +1

    Vanila kiasi gani mamy

    • @MisosimitamuC
      @MisosimitamuC  Рік тому +1

      Kijiko 1 cha chai dear

    • @fatumadugulu351
      @fatumadugulu351 Рік тому +1

      @@MisosimitamuC Nashukulu sn sn,nimekupenda bure kwani sio mchoyo💕

    • @MisosimitamuC
      @MisosimitamuC  Рік тому

      Asante sana dear. Umenifanya nifurahi sana. Love u ❤️

  • @agnesmgodogodo
    @agnesmgodogodo 4 місяці тому +1

    Vipimo plz

    • @MisosimitamuC
      @MisosimitamuC  4 місяці тому

      Mambo dear. Karibu sana misosimitamu
      Mahitaji
      Karanga vikombe 4
      Sukari grams 70
      Chumvi kijiko 1 Cha chai
      Vanilla kijiko 1 Cha chai
      Mayai 3
      Maziwa ya unga vijiko 2 vya chakula
      Mafuta ya kukaangia
      Unga wa ngano vikombe 2

    • @VerogTz
      @VerogTz 3 місяці тому +1

      mwalimu nimekupenda buree kabisa,kwa kutenga muda wakujibu na kuelekeza, barikiwaa

    • @MisosimitamuC
      @MisosimitamuC  3 місяці тому

      @@VerogTz Asante sana dear

  • @salmakayeke2747
    @salmakayeke2747 4 місяці тому +1

    Vanila ya unga inafaa?

    • @MisosimitamuC
      @MisosimitamuC  4 місяці тому

      Inafaa dear Tena hiyo itapendeza zaidi

  • @eunicejohn5520
    @eunicejohn5520 Рік тому +1

    Naomba namba zako madam