Asante Mungu kwa kunifafanulia leo kupitia mtumishi wako Amen wakati mwingine Mungu anataka tubaki na yeye ili Tujifunze vitu vikubwa mfano kama umeteuliwa kuwa mtumishi wa Mungu ili badae ukija kusimama madhabauni ni wewe Kuna muda atakuacha ujichanganye na watu wenye Mungu ili ujikuze kiroho kuna muda atakutenga nao asante Roho Mtakatifu kumtumia mtumishi wako
Man of God, I'm indeed blessed by the true word of God that has been spoken to me by you, My grace of God abundantly falls upon and fill you in Jesus name I pray ameeeeen.
Wau wau Man of God thaxs so much umenibariki kweli kweli.Hee umenisaidia pahali.Man of God wacha Mungu azidi kuachilia mafuta mabichi juu yako zaidi na zaidi.Really blessed too much.
Nakuaminia saaaaana. Na huwa nakuelewa sana. NIKUUE NIKUE AEEE NIKUE NA KUONGEZEKA IMANIIIIIII. HUU wimbo hautatoka moyoni mwangu. Barikiwa na YESU KRISTO WA NAZARETI
Nimekuelewa sana ndo maana watumishi wengi hata kufundisha ufunuo wa yohana hawataki maana unatisha wanaogopa kufukuza waumini, Kama Yesu Kristo alikinywa kikombe na sisi lazima kikombe tukinywe Kwa wakati wetu na Kwa nafasi zetu Amina
Duuuh ! Apostle umenilenga, msalaba wangu Ni mzito , nahitaji kutiwa nguvu niendelee na safari...Cha Moto nimekiona Ila kufa sijafaa, sitaacha wokovu apostle, ata iwejeeee....Nina agano na Mungu wa Major 1....Yeremiah 32: 40. Nilitimuliwa kanisani Niolewe nazeeka, na kudhulimiwa hio sio sababu ya kuacha wokovu. Sitamuacha Mungu
Jambo Tanzania...munakuwa na Pasta muzuri saaaana. Mafundisho yako baba Mtalemwa yame ni deliver toka mambo mengi. Kwa kweli,nimebarikiwa kupitiya pasta huyu. Samuel toka Goma DRC
Amina nitaubeba msalaba wangu had golgota
Ninakufurahia Sana...Asante Sana kwa mafundisho
Yesu nipe uvumilivu na hekima ya kusimama Kwa njia ya wokovu Amen stay blessed Apostle
Asante Mungu kwa kunifafanulia leo kupitia mtumishi wako Amen wakati mwingine Mungu anataka tubaki na yeye ili Tujifunze vitu vikubwa mfano kama umeteuliwa kuwa mtumishi wa Mungu ili badae ukija kusimama madhabauni ni wewe Kuna muda atakuacha ujichanganye na watu wenye Mungu ili ujikuze kiroho kuna muda atakutenga nao asante Roho Mtakatifu kumtumia mtumishi wako
AMEN 🙏🙏🙏 APOSTLE NAPOKEA NGUVU YA KUYAVUMILIA HAYA NINAYOPITIA , AMEEN
Man of God, I'm indeed blessed by the true word of God that has been spoken to me by you, My grace of God abundantly falls upon and fill you in Jesus name I pray ameeeeen.
Ubarikiwe Sana mtumishi Kwa ujumbe na mafundisho mazuri hii ndio injili tunayoitaka , ya uwazi na ukweli. Be blessed man of GOD 🙏
aisee naitwa dua cheketela nipo kakola kahama nimebalikiwa sana asante kwa ujumbe mzuri
Amen amen nimejifunza kitu kipya APPOSTLE
Amen Amen.. Asante kwa somo.. Lakujitoa.
Asante Mwalimu apostle mtalamwa. Barikiwa siku zote.
Apostle Mtalemwa Ubarikiwe Sana Nakufuatilia Unafundisha vizuri Sana,, pia Nakuelewa Kwa Viwango vya Juu Sana,,,
Mtumishi wa Mungu ungekuwa my Spiritual Father ningefika mbali sana.... ECG Mungu amewabariki sana na Amewapeleka Utukufu hata utukufu
May the almighty God open our spiritual eyes to see more.....great sermon
Thank you so much chief so powerful
Wau wau Man of God thaxs so much umenibariki kweli kweli.Hee umenisaidia pahali.Man of God wacha Mungu azidi kuachilia mafuta mabichi juu yako zaidi na zaidi.Really blessed too much.
Naitwa pastor Vincent, Ukweli Apostle Mtalemwa unatupa Siri nyingi za ufalme, namwomba Mungu akupe maisha marefu ili usaidie wengi.
Kweli chifu wewe ni mwalimu mzuri sana, huwa nakuelewa sana Mungu akubariki sana mtumishi
Nakuaminia saaaaana. Na huwa nakuelewa sana. NIKUUE NIKUE AEEE NIKUE NA KUONGEZEKA IMANIIIIIII. HUU wimbo hautatoka moyoni mwangu. Barikiwa na YESU KRISTO WA NAZARETI
Kweli Injili ni Moto Baba endelea mbele na Roho aendelee kuyaeleza mkanisa Mungu akubariki
Mafundisho mazuri be blessed man of God
Thank you for the teaching. Powerfull son of Major 1
Ameen AmenAmen nimeamua kupitia hili baba ajue alio nipagoe
Nimekuelewa sana ndo maana watumishi wengi hata kufundisha ufunuo wa yohana hawataki maana unatisha wanaogopa kufukuza waumini, Kama Yesu Kristo alikinywa kikombe na sisi lazima kikombe tukinywe Kwa wakati wetu na Kwa nafasi zetu Amina
Ameen baba naomba niwe dhabiu mbele za Mungu yesu anivishe
Asante mtumishi kwa neno
Barikiwa baba,,mahubiri yanayoreflect ukweli ndio mazuri zaidi ingawa ukweli mchungu,,ila limenibariki
Amen Amen Amen 🙏
Hallelujah Baba Neno linaingia na kuchoma ili tupone.
Utukufu Kwa Mungu. Barikiwa Mtumishi Kwa ujumbe mzito.
Very educative message, God help us to learn from your servant and avoid making silly mistakes that deny us God's blessings.
Asante sana Mtumishi kwa neno la Mungu.Amen kubwa kabisa
Ameeen
Asante mtumishi nimeelewa kuliko kawaida namuomba MUNGU nitie nguvu niombe ipasavyo kwakweli.
Baba nimekuelewa
Duuuh ! Apostle umenilenga, msalaba wangu Ni mzito , nahitaji kutiwa nguvu niendelee na safari...Cha Moto nimekiona Ila kufa sijafaa, sitaacha wokovu apostle, ata iwejeeee....Nina agano na Mungu wa Major 1....Yeremiah 32: 40. Nilitimuliwa kanisani Niolewe nazeeka, na kudhulimiwa hio sio sababu ya kuacha wokovu. Sitamuacha Mungu
Ulitimiliwa na nani? Kwani walikuwa wanakuchagulia mtu wa kukuoa?
@@highzacknnko9685 yameeisha ndugu yangu, nimewasamehe na kusahau. Let them go....
@@highzacknnko9685 hatukati tamaa, Time and seasons will tell! When God will say Yes no one will say no!
Nipo Rombo Tarakea nafuatilia mafundisho yako ya UA-cam na najifunza kila siku
Amen my prophet..go ahead,,,I appreciate your mafundishoo...God be side with all the time🙏🙏
SOMO ZITO AJABU
🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
NASHUKURU SN NAELEWA
asante kwa mafundisho mazuri be blessed
That's what have just pass through, thank you apostle mtalemwa for giving me more strength in this.
Napokeaaaa
Nipo Finland nafuatilia mahubiri yako Mchungaji yamenigusa. Hivi kanisa hili lipo wapi nchini Tanzania.
Kanisa lipo makongo juu Dar es Salaam barabara ya kwenda makongo juu ni baada ya chuo cha ardhi na ofisi za dawasa
Ubarikiwe apost kwa neno la musingi nimebarikiwa sana n'a tamani kuishi maandiko haya
Naomba Mungu afaye Maisha yangu ikae kama msalaba.
Ameeeen Kwa mafundisho haya i learned something 🙏🙏
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nabarikiwa sana na masomo yako nilishwah kuuliza huduma iko wapi na km ninaweza kuwasliana na wewe
Huduma iko Makongo juu mpendwa ECG Makongo
Huduma iko Makongo juu mpendwa ECG Makongo
Wewe ni preacher kiboko 😂🤣❤️❤️❤️❤️
Amina barikiwa mchungaji kwa mafunzo mema 🙏
Asante, hiyo ndiyo Injili ya uponyaji.
Amen nmakali lakn n ukweli kwa mkiristo
AMEN CHIEF NAPOKEA NGUVU YA KUSTAHIMILI NIOMBEE CHIEF NIPO MBEYA
👏👏👏👏👏👏👏
AMEN CHIEF NAJITOA DHABIHU MBELE ZA MUNGU
Amen keep the fire burning
Mwalimu unafundisha vizuli sana
Mwalimu unafundisha vizuli sana
Mwalimu unafundisha vizuli sana
Mwalimu unafundisha vizuli sana
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🌈💯
Jambo Tanzania...munakuwa na Pasta muzuri saaaana. Mafundisho yako baba Mtalemwa yame ni deliver toka mambo mengi. Kwa kweli,nimebarikiwa kupitiya pasta huyu. Samuel toka Goma DRC
Be blessed amsha Roho za watu mtumishi.
Amen glory to Jesus
AMEN CHIEF NAPOKEA NGUVU YA KUSTAHIMILI
Asante kwa mafundisho mazuri
Barikiwa mtumishi 🙏
Yeeeeeeeee
Amin nimejifunza kitu ubarikiwe sana.
naomba kujua kanisa lilipo please 🙏
Kanisa lipo eneo la makongo baada ya chuo cha ardhi na ofisi za Dawasa ibada ni siku ya jumapili
Wewe upo wap
Tuko baba tunakusikia
ee Mungu nakuomba unisaidie nijitoe kuwa sadaka mbele zako
Uongezewe mafuta
AMEN! AMEN! AMEN!
Ameen
Injili ni moto naendelea kujikaza na kubarikiwa
Amen
AMEN
Ameni
🙏🙏🙏 amen
AMEN CHIEF
😂🤣😂🙏
Glory to Jesus Christ
Amiiina
Ameeen