- 118
- 329 971
Lillian Mwasha Tv
Tanzania
Приєднався 24 сер 2016
HEARING, DELIVERANCE & PROPHECY
Відео
DR ELIE / LILLIAN MWASHA: MWANAMKE KUTOKA KWENYE NDOA NI SAWA NA KUJIUA
Переглядів 14 тис.4 години тому
DR ELIE / LILLIAN MWASHA: MWANAMKE KUTOKA KWENYE NDOA NI SAWA NA KUJIUA
UMUHIMU WA KITAMBI KWA MWANAMKE ( Manyara WOMEN GALA 2024)
Переглядів 1,8 тис.7 годин тому
UMUHIMU WA KITAMBI KWA MWANAMKE ( Manyara WOMEN GALA 2024)
LILLIAN MWASHA; NIGHT PRAYER -TRAFFFIC JAM.
Переглядів 17214 годин тому
LILLIAN MWASHA; NIGHT PRAYER -TRAFFFIC JAM.
Usiachie Fursa kwa Kuogopa. #mwenge #kigoma #tanzania
Переглядів 114Місяць тому
Usiachie Fursa kwa Kuogopa. #mwenge #kigoma #tanzania
Mwenge ulivyopokelewa #KIGOMA na Muheshimiwa DC Rashid M. Chuachua
Переглядів 79Місяць тому
Mwenge ulivyopokelewa #KIGOMA na Muheshimiwa DC Rashid M. Chuachua
Hivi ndivyo Mwenge ulivyopokelewa #KIGOMA na Muheshimiwa DC Rashid Chuachua
Переглядів 72Місяць тому
Hivi ndivyo Mwenge ulivyopokelewa #KIGOMA na Muheshimiwa DC Rashid Chuachua
WOMEN MATTERS:Lillian MWASHA alia kwa kunyimwa pipi.
Переглядів 1,6 тис.2 місяці тому
WOMEN MATTERS:Lillian MWASHA alia kwa kunyimwa pipi.
TPT - Mungu akufanyie Ishara Mwezi huu, WATU WATAMJUA MUNGU WAKO
Переглядів 1603 місяці тому
TPT - Mungu akufanyie Ishara Mwezi huu, WATU WATAMJUA MUNGU WAKO
TPT - Hii hali Sio Sawa, USIKUBALI IENDELEE
Переглядів 1133 місяці тому
TPT - Hii hali Sio Sawa, USIKUBALI IENDELEE
WOMEN MATTERS - UNAMTAMBUAJE MWANAUME ANAYEHUSIANA KIMAPENZI NA WANAUME
Переглядів 10 тис.5 місяців тому
WOMEN MATTERS - UNAMTAMBUAJE MWANAUME ANAYEHUSIANA KIMAPENZI NA WANAUME
WOMEN MATTERS - NAHISI MUME WANGU ANA MAHUSIANO NA RAFIKI YAKE
Переглядів 2,3 тис.5 місяців тому
WOMEN MATTERS - NAHISI MUME WANGU ANA MAHUSIANO NA RAFIKI YAKE
WOMEN MATTERS - KUACHANA KWA SMS BAADA YA MAHUSIANO YA MIAKA 3
Переглядів 2,9 тис.5 місяців тому
WOMEN MATTERS - KUACHANA KWA SMS BAADA YA MAHUSIANO YA MIAKA 3
WOMEN MATTERS - JE NI SAWA KUOLEWA NA EX WA RAFIKI YAKO?
Переглядів 2,5 тис.5 місяців тому
WOMEN MATTERS - JE NI SAWA KUOLEWA NA EX WA RAFIKI YAKO?
Mwanamke unapigwa, unadhalilishwa, na una uwezo kwa kujitafutia, kimbiaaaaaaa , acha ujinga,utakufaaaaa, hajakuumba huyooooo
Amen 🙏
Somo zuri. Tunaomba mwendelezo
Mungu akubariki Lilian Mwasha
Hahaha mashangazi wamenoga❤❤😂😂
Hallelujah mwana wa Mungu
Amen Amen 🤲🤲🙏🏼🙏🏼
Amen amen
Sauti ,sauti,sauti mtumishi wa Mungu ,
DOCTOR MIE NAOGOPA 🤦♀️🤦♀️
Amen 🙏
Wanawake acheni kuvumilia upumbavu wa aina yoyote. Beba begi lako sepa na kijiji..its 2024 huna faida na mume,umepewa maisha yafaidi acha kujinyima furaha ya kuenjoy maisha sbb unavumilia ujinga. Tatizo mmefanya ndoa mitaji hamna mwelekeo inabidi mkae ili mpate ugali. Women lets love ourselves and be self reliant..ukiwa na pesa yako utaelewa hujawahi penda ata mara moja,ilkw njaa tu
Ni 2024 wanawake fungukeni akili,kwanza ndoa haina faida yoyote kwa mwanamke karne hii ...faida ni ya mwanaume tu..anaishi kama mfalme wewe kama mtumwa na bado umstareheshe. .ila kwakuwa wanawake tunahis ndoa ndo purpose yao watafika wamechoka sana. Ushawah skia mume kamvumulia mwanamke kwa kosa lolote?wao wanajiweka kwanza,sasa wewe baki apo umevumilia ujinga ...unamskiliza huyu baba asiyejua alisemalo amezaliwa mwaka 1800 amejaa mfumo dume ..ni yeye ndo hana akili
kwahyo watoke ili wakazini au achakupotosha watu
Wewe ni nani unaepingana na Mwenyezi Mungu? Maana Ndoa ni maagizo ya mwenyezi Mungu wewe kama nani unasema ndoa haina maana?
Umetoka familia Gan? Aonavyo mtu ndivyo alivyo, familia bora zipo kwenye ndoa imara hiyo ni fact
Mmmmh aiseee,Mungu tufunulie haya tuweze kuelewa na kuyaishi
Asnte sana dada lilian mfumo wa wanaume unatumalize Wanawake tuzidi kujitokeza katika semina
Asante sana Dada Liliani akupandishe kiwango hadi kiwango akupe maisha marefu.nakufatilia sana na doctor Eli.niko Ugh'aibuni.Asante
Huyo mama mwenye wigi mpeni godoro jamani 😂😂
Lilian samahani hii haijakamilika kama kipo kipande kimebakia tueke tafadhali
Huyo mwanamke hapo tangu mwanzo wa seminar analala hadi anaboa
Msizitumainie akili zene wenyewe,bali muongozwe na Roho mtakatifu!
Bali pasipokuzaliwa mara ya pili kwa yaaani kuongoka kwa wanandoa wote hamuwezipata amani, upendo ni tunda la Roho!
Asante sana kwa somo. Tafadhali tunaomba utuwekee muendelezo wa somo🙏🏾🙏🏾
Ameen Mungu atusikie
Mwanamke mnyenyekevu kamwe hawezi pigwa na mume...,
Hujui unachoongea wewe
Wewe ndo wale wale,unajua kama kuna wanaume wako na trauma wanapiga wanawake bila sababu,je unajua unaweza ukawa mpole na ukamuuliza jambo mwanaume au mtu yeyote mwenye trauma na akaibua hasira kutokana na majanga aliyopitia huko,sasa mwanaume wa hivi hata apate mwanamke malaika atamuabuse tu. Vingine msiongee tu sababu mnataka kuongea.....
Da lili asnte sn . Kweli wanawake Mungu anatulinda . Da lili naomba no zako pls.🙏
Huyo Dr kwa sehemu kama America hawezi kusimama hadharani kuongea issues kama hizo while yeye mwenyewe kaisha vunja ndoa tena Mahakamani kwa kufata taratibu kabisa za kisheria mie shahidi wa hilo kwa macho na masikio yangu nikiwa nafanya field Mahakama ya Mwanzo Kariakoo nikiwa mwanafunzi wa sheria wa mwaka wa pili nilishuhudia vioja vingi sana kwa kumsikia mwenyewe huyo Dr na mkewe ambaye ndoa yao ilivunja Mahakamani hapo
Ameen. Be blessed.
❤❤❤❤❤❤❤
Nakukubali sana kipnzi Lil...Mngu akuweke Inshaallah
So sad
Njaa hufanya chakula kiwe na utamu.
Amen Amen Amen
MUNGU atusaidie sana aisee 😢
Dr. Ellie , ubarikiwe Sana ! Unaishi vile unavyoamini, Amini kuwa ndoa ni tamu❤
P
Be blessed Mpendwa Lillian
Amen amen.
Dada lili huna jambi dogo imenoga lakini kubwa zaidi ni elimu tulioipata mungu akubariki
Wapo wanaume wengi zaidi ya wanawake wanaokufa kutokana na wanawake kwa kupata presha ila ni vile wanaume hawana kusemasema ovyo. Na kwa hizi sheria zisipoangalia kizazi kijacho wanaume watawakimbia wanawake.
Kaka uko makini mungu akubariki
Uongo we nae dini zote zina bifu iyo vipi labda dini yenu
Amen amen
Amen kazi kazii
😮
ubarikiwe sana Dr 🎉
Dada Lillian hongera dadangu, law upendo wako,ila Kweeli mimi ninatafuta no zako niwasiliane tu kidogo na wewe.God BLESS you much
Tena wanawake wanauwawa sanaaaa ndani ya ndoa
Aisee. Hii Shule imeshiba Sana
Da Liliane ubarikie kwaswali hilo mana wanawake twa teseka sana
Asante sana Mungu awabaliki
Ahsante sana