PENALTY SAVE KUTOKA KWA DJIGUI DIARRA USM ALGER 0-1 YANGA SC FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 11

  • @jamaliramadhan3586
    @jamaliramadhan3586 Рік тому +21

    Quality players ambao yanga wako nao ndio wameifany Leo hii yang ifike katika level hiyo ya kiushindani, to me naiona yanga Bora Sana kwenye michuano ya afrika next season.

  • @FirdausyAbubakary-bl2wo
    @FirdausyAbubakary-bl2wo Рік тому +7

    Tuliupiga mwng saan wananch sema Allah hakujaalia rizq kua kwetu ila Alhamdullah hakuna kukata tamaa

  • @LinusJoseph-j3n
    @LinusJoseph-j3n 4 дні тому

    Diara love youuu

  • @AnastaziaMorce-wk1gs
    @AnastaziaMorce-wk1gs 11 місяців тому +3

    Vivaaaaaaa diarra vivaaaaaaa

  • @HassanMama-m5m
    @HassanMama-m5m 11 місяців тому +3

    Diaara ni kipa Bora mie namkubali😊😊

  • @BarakaNyakuruha-hu1hf
    @BarakaNyakuruha-hu1hf 6 місяців тому +1

    Hapana Afrika nzima imeshuhudia yanga tumeonewa goal halali du noma yanga hatari

  • @anethmsaki4600
    @anethmsaki4600 6 місяців тому +1

    nilishangilia hiyo siku kwa nguvu sito kuja kusahau

  • @HemedyMustapha
    @HemedyMustapha 12 днів тому

    Hawa jamaa bila mabomu

  • @NassoroSipemba
    @NassoroSipemba 4 місяці тому

    Yanga tulikosea ile mechi ya home tungepata sale Mwarabu alikuwa ameyakanyaga ila sio mbaya kupitia mechi hii Dunia ilitambua Yanga inatoka pande zipi barani Afrika imetosha sana.Ongera yake mdaka mishale.

  • @HamidZuber-vr9ms
    @HamidZuber-vr9ms Рік тому +3

    Endeleen tu kutuaminisha km hamna pengo yanga situnafanya vizur